DC NJOMBE AWAPA MASAA 48 VIJANA 80 KUHAMA WILAYA YA NJOMBE

  Рет қаралды 27,772

NJB TV NEWS

NJB TV NEWS

27 күн бұрын

DC AWAHAMISHA VIJANA ZAIDI YA 80 NJOMBE AWAPA MASAA 48 KUONDOKA
Mkuu wa wilaya ya Njombe Kissa Kasongwa ametoa saa 48 kuondoka katika wilaya yake kwa kampuni inayofanyashughuli zake kwa njia ya mtandao ya Alliance in Motion Global kwa kukusanya vijana 80 bila kuwa na vibali vya kisheria.
Kampuni hiyo ambayo imekosa uhalali wa kufanya kazi wilayani Njombe imekuwa ikikusanya vijana toka mikoa mbalimbali na kuwatoza fedha kiasi cha shilingi laki sita ili kujiunga na kisha kufundishwa masuala ya afya na virutubisho lishe pamoja na fursa za kibiashara pasina kuwa na usajiri wa kisheria.
Kutokana na hali hiyo mkuu wa wilaya ya Njombe Kissa Kasongwa amechukua hatua ya kuwafurusha katika wilaya yake kwa kuwapa saa 48 na kuwataka kufuata taratibu za kisheria kuendesha mambo yao.
Awali mamlaka za serikali kupitia Ofisa Afya wa Halmashauri ya mji wa Njombe Inosensia Mtega anasema shughuli wanazofanya vijana hao hazijazingatia maelekezo ya wataalamu wa Afya na hawajatoa kibali chochote.
Kaimu mkurugenzi wa Halmashauri ya mji wa Njombe Isack Mapunda anakiri kuwapo kwa ujanja ujanja wa kupata baadhi ya nyaraka ambazo hakuna mamlaka ya serikali iliyozitambua huku Ofisa kodi wa TRA Mkoa wa Njombe Pyson Mwansasu akisema leseni waliyoanza kufuatilia vijana hao haikukamilishwa taratibu zote.
Kituo hiki kimezungumza na baadhi ya vijana hao akiwemo kiongozi wao Bahati Ndundo wanakiri kunufaika na mfumo huo wanaouendesha huku wakiahidi kwenda kufuata taratibu zote za kisheria za kusajili kampuni.

Пікірлер: 159
@Aminmwansile-we8vn
@Aminmwansile-we8vn 23 күн бұрын
Duuh mama wakinyakyusa wana huruma sana hongera mkuu wa wilaya hao ni mataperi hao viongoZi ingebidi jeshi la polisi liwakamate
@skeetergodwins2576
@skeetergodwins2576 21 күн бұрын
Mnatapeliwa watoto. Nendeni nyumbani. Tunashukuru sana Serikali kwa kuingilia hili jambo
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 25 күн бұрын
Asante Mkuu Kwa kutumia maovu, Asante kutulindia watoto wetu
@user-wg3yu5uy4w
@user-wg3yu5uy4w 25 күн бұрын
Nakushuru mkuu☑️☑️☑️☑️💯
@user-cd7zg4hj4w
@user-cd7zg4hj4w 23 күн бұрын
Hawa wanazunguka nchi nzima ni hatari sana sana kwa vijana na kwa nchi yeti naomba uchunguzi wa kina ufanyike
@selegioelias9076
@selegioelias9076 21 күн бұрын
Yes yes inchi hii itakuja kujuta kama wataeendeleea kuwa achaacha vijikundi vya namna hii
@deodatangereza960
@deodatangereza960 25 күн бұрын
Hili limetokea pia Tabora, Asanteni viongozi,lifanyieni KAZI. Ni utapeli tu huo.
@HBMtega
@HBMtega 15 күн бұрын
Tunashukulu sana Dc wetu kwa nihatalikubwa mno hawa watoto wakikosa hera kinachoendele ni kujiuza, sasa natakwimu yetu njombe ya maambukizi ya vvu duuu taifa limeisha kwakweli
@kibasamohamedi8029
@kibasamohamedi8029 25 күн бұрын
Yaani sijui hawa huwa wanarishwa sumu gani ? Mimi huwa naona ujinga huu
@omarkapula588
@omarkapula588 25 күн бұрын
Matapeli hao wameshatapeli sana hai waongo sana
@yudanziku6030
@yudanziku6030 23 күн бұрын
Hao vijana wanatapeliwa sana
@rostandunguru2010
@rostandunguru2010 25 күн бұрын
Vizuri sana dc kisa nikweli hao Awaja kizi vigezo kaziinderea 🎉🎉🎉
@JosefuSwai
@JosefuSwai 13 күн бұрын
Good job
@rizikiminga3010
@rizikiminga3010 25 күн бұрын
Si ndio kikundi kama iki mkuu wa wilaya uko Tanga kafukuza watoto zaidi ya 80
@MwanakomboNassor-bw3by
@MwanakomboNassor-bw3by 23 күн бұрын
Hivyo ndiyo vyama vya kishoga hongera mkuu
@thomasmwambuba680
@thomasmwambuba680 23 күн бұрын
Wengi wameliwa saana ..utapeli mtupu
@user-nt6fb2ky3t
@user-nt6fb2ky3t 25 күн бұрын
Mkuu wa wilaya naomba namba Yako,I love you 💕
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh 25 күн бұрын
We ni mzazi bora na mtoto wa mwenzio ni wako barikiwa sana mama
@thadeusmarkiminja2282
@thadeusmarkiminja2282 25 күн бұрын
Hivyo vyote hivyo serikali Kama haina taarifa na TRA pia kuna nini hapo katikati?
@rehemamadusa4892
@rehemamadusa4892 22 күн бұрын
Mkuu hongera kwa kazi nzuri sana..ushauri wangu ni Serikali kujiridhisha usalama wa hizo bidhaa, zimetengenezwa wapi, zimethibitishwa na Serikali na kwa nini kwa vijana???
@user-ef2ln1mx3s
@user-ef2ln1mx3s 23 күн бұрын
Tatizo ni ajira na umasikini na elimu mbovu ndicho chanzo Cha vijana kuingizwa kwenye vikundi vya hovyo naofia ata ushoga na ugaidi vitaanzia apo Asante mama mkuu wa wilaya
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 23 күн бұрын
@@user-ef2ln1mx3s Elimu mbovu to kisingizio. Kujenga nyumba bila ramani. Nyumba ikiwa kituko unalaumu nani?.
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 23 күн бұрын
@@user-ef2ln1mx3s Kuna elimu inapatikana kwenye bible, kitabu cha mwanzo. Historia ya uumbaji. Hûwa nashangaa bible inasema binadamu alikuwa wa mwisho kuumba!. Neno Mungu akaona vema. Sisi hûwa tunaona vema kwenye mipango. Bajeti yako na watu wako unataka wafanye nini, na ili wafanye wawe na ujuzi na elimu ipi?. Ili mwisho tuone vyema. Liko ombwe la mambo mahususi ya kutekeleza na vipaumbele kitaifa. Kwa hali hiyo elimu yetu itapwaya. Mfano pale Kenya wanawekeza kwenye digital city. Ivyo kijana Kenya akijikita kwenye AI na mambo kama hayo anajua kesho kwao kuna KITEDEWA KAZI. Tatizo letu ni kutokutulia rasimali Zetu kuanzisha fursa za kutendewa kazi. Sio elimu. Tunategemea kijana akute kiwanda mfano cha kuchakata pamba mpaka bidhaa ya mwisho. Ikiwa hivyo kila msomi kwa taaluma zao ataajirika. Umaskini nao utatoweka. Hakuna kumbukumbu inayoonyesha kwamba taifa Mfano china kukataa kununua nyama ya Nguruwe toka tz. Zaidi watamwambia uzalishaji mdogo hatuwezi kutosheleza soko lao. Wakati huo utasikia hatuna ajira. Wakati huo pesa za umma zinatumika vibaya. Utasikia Misiri wanataka mahindi ya njano, anatokea mkubwa mmoja asema vijana wachamkie fursa baada ya hapo kimya. Kumbe kuna hatua mbele ya kufanya. Huwezi kujenga uchumi wa taifa kwa kutupiana mpira. Lazima kuwepo mikakati ya wazi inayotumia mitaji ya umma. Kijana mfano anayegundua mfumo wa AI angetaka saver ya kuhost watumiaji mfano Billion 1 kwa sekunde ili pesa hiyo ije kwenye taifa letu. Mfumo kama huo ni gharama kubwa kutokea kutengeneza,hati miliki, platform, lesseni, kodi na nk. Hatuitaji kujifunika koti la ubovu wa elimu bila kuangaliia mikakati yetu na utashi wetu kisiasa na kijamii kutekeleza mikakati. Tuwe wawazi kwamba bado tumekwama kupanga na kutekeleza mikakati shindani kwenye soko la utanda wazi. Kuna wengi tunaamini kwa usalama wa nchi ni jambo pana sana halishii nani kamsema vibaya kiongozi au una silaha Kali kiasi gani. Usalama ni pamoja unajimudu vipi bila kutegemea mataifa mengine. Mfano kama leo ipo kampuni ya kijana ina potential ya kuleta uchumi ndani. Ni jukumu letu kusadia, sio tuache ishindikane alafu tuanze sema elimu mbovu. Kahawa kule Kagera ilidolora. Ila shangaa bei imepanda sana, ila Mganda anunua bei kubwa zaidi. Kumbe Tatizo sio elimu, ila elimu inasadia wakulima kuacha kulima kugomea unyonyaji. Vipindi kahawa ni mali hatuzisikii.Tatizo wizi na uchoyo. Yafanyike yote ziwepo fursa za kazi au VITENDEWA KAZI uone kama elimu itakuwa mbovu au uone kama umaskini utauona. Ramani ya Safari ya Maendeleo ya taifa letu ikijulikana kwa wote, elimu itakuwa ya mfano, utasikia matumizi ya ovyo, utasikia kutekana, hutasikia kua ovyo, utasikia kukosa matibabu, hatukuwa wote wachuuzi. Nchi yetu itakuwa kama Shabaan Robert alivyo tafakari kwenye Kitabu Mapenzi bora. Wakati gharika Nuhu alisafiri na viumbe. Chui hakumla Mwana mbuzi, faru hakupiga pembe.......walisafiri wote viumbe. Raia ili wajenge taifa hawatakiwi kuachwa kama kuku wa kienyeji. Hata kuku wa kienyeji mfugaji anakikisha maji, dawa na nk vipo. Je binadamu. Soko huria hakumanisha holela. Somo la kilimo Lina maana kama kuna kilimo. Kama magonjwa yapo basi elimu inahitajika. Au mwasibu wa nini kama hakuna pesa ya kusimamia. Kama bado umelala kubadilisha rasilimali kuwa utajiri. Elimu zote utaziona mfu.
@SmilingApron-zw6ne
@SmilingApron-zw6ne 25 күн бұрын
NI KWERI KABISAA DADA ETU KISA, SAFI SANA , NI HUZUNI SANA ,ILA NAOMBA SERKAL ITOE MSAAFA WA USAFIRI KWENDA NYUMBANI AU MIKOANI KWAO.
@Victoria-bv6xu
@Victoria-bv6xu 12 күн бұрын
God bless you madam
@charlesmwasi7646
@charlesmwasi7646 25 күн бұрын
Safi DC njombe nayo ilitajwa kuwa na vikundi vya ushoga na usagaji
@MoinaminaAmina-qh1jb
@MoinaminaAmina-qh1jb 22 күн бұрын
Wafukuzwe kwa sababu ugaidi , ulevi , wizi ,ukatili , ushoga na kafara zinanza hivo hivo haswa ushoga aina yote kwa hio mama ? mungu akubariki tena ifwatilie hizo group
@stanastana3199
@stanastana3199 24 күн бұрын
Vijana wa good morning hao,hata saa mbili usiku utaskia good morning
@JosephHaule-yg1cf
@JosephHaule-yg1cf 23 күн бұрын
Jamani rohoyangu mkuu
@JumaMbaga-sd5yi
@JumaMbaga-sd5yi 25 күн бұрын
Upo vizuri mama
@fazo-kl9fu
@fazo-kl9fu 23 күн бұрын
Safi sana kiongoz na hao matapeli muwatafute kwa nn wawepo na police hawanakazi wanakula tu mishahara
@cloudngoko.2679
@cloudngoko.2679 25 күн бұрын
Wanaouendesha mtandao huo ni matapeli ty wameliz sana vijana wanaotoka mikoani masikini wanachikuliwa pesa ovyo ovyo. Pigeni marufuku hizi mambo. DC wa ubungo safisha watu hawa.
@johnmwalingo5218
@johnmwalingo5218 17 күн бұрын
Hongera sana Mh Dc
@JosephHaule-yg1cf
@JosephHaule-yg1cf 23 күн бұрын
Dadaa dadaaaaa saf
@VenerandaKundi-ph4hg
@VenerandaKundi-ph4hg 25 күн бұрын
Safi sana mkuu
@glorysungura3180
@glorysungura3180 25 күн бұрын
Hao wanaowakusanya hao vijana ndio wanaotakiwa kufikishwa mahakamani. Kwa sababu wapo nchi nzima na wanaendelea kuwatapeli watu. Lakini serikali haifanyi kitu chochote, wakati jambo hilo wanalijua. Hakuna cha semina wala mafunzo hapo, bali ni WIZI tu. Hao vijana wanalala kama magunia kwenye chumba kimoja, kula yao ni shida, kuoga tabu. Mwishowe wanakuwa wezi na uzinzi. Hao watu wakamatwe. Tumechoshwa.
@rosehaule6765
@rosehaule6765 23 күн бұрын
Sijui kwnn hao wanao zisha hizo taasisi awachukuliwi hatua kwnn. Wapo.miqkq.mingii na watu vijana. Wengi washatapeliwa lakini awachukuliwi hatua jamani serikali kataza hizo taasisi
@SuediRwabatwa
@SuediRwabatwa 20 күн бұрын
Mkuu uko vizuri tena masaa umetoa mengi
@godwingobe1887
@godwingobe1887 25 күн бұрын
Tunazalisha kizazi kibovu sana na wavivu wa kufikiri
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 25 күн бұрын
Godwin uliwahi kusikia habari za Eden ya bible. Mungu aliweka kila kitu. Hili ni zao letu. Ulaya wakisema hawana ajira na tunachukua kama kasuku tunaambiana. Ukweli ajira zipo, ila zinahitaji mtaji wa jamii. Zao la pamba tunajua linaweza kuwaajiri hawa wote. Je kwa nini tunababaisha miaka nenda Rudi. Hili ni zao letu. Tukihamua kwa kukataa kivitendo huwezi kuwaona. Kipaumbele chetu nini viwanda na mitambo ya ajira kwa watoto wetu?.
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 23 күн бұрын
NANI ALAUMIWE????
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 25 күн бұрын
Upatu WA mtandao Ni utapeli kwanini wasifanyie kwenye mikoa Yao mmmm hapo kuna kitu nyuma ya pazia waende Bila hivo mnawafanya vijana kuwa wavivu WA kufanya Kazi yaani jamani Hela apate Kwa njia ya mtandao hapana
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 25 күн бұрын
Hizo bidhaa tbs wanazijua
@elikanaernesti8440
@elikanaernesti8440 23 күн бұрын
Sijui hawa jamaa nyuma Yao Kuna nani mkubwa Maana hawa ni wezi na wapo kila mkoa Yaan watanzania tuna tamaa sana kuajiliwa
@andersonsamuel9214
@andersonsamuel9214 25 күн бұрын
Kamata huyo kiongozi wao. huu ni wizi kama wizi mwingine hawakomi hao, kila cku wanatumia hiyo kama fursa ya ukosefu wa ajira kuwalaghai vijana.
@mpefu_4936
@mpefu_4936 24 күн бұрын
Hawa watu wakamatwe haya mambo nani anawsluusu hii nchi Ina Sheria
@meshacknyandongo577
@meshacknyandongo577 24 күн бұрын
Hizi biashara mnaibia tu watu pesa biashara za uongo sana hizi ninyi ni matapeli
@beinafuu6219
@beinafuu6219 21 күн бұрын
Kumbe wao wanIpenda aise.
@user-oz6zp8fr1c
@user-oz6zp8fr1c 25 күн бұрын
Hatari
@user-dy9eg1yc1b
@user-dy9eg1yc1b 25 күн бұрын
Hiyo haina tofauti na DECI tatizo la wengi hawajui. Nashangaa kuna watu wana Comment kwa kuunga mkono. Huo ni mchezo wa Upatu ambao ulishapigwa marufuku.
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 25 күн бұрын
Na wao wanachuuza kwa namna yao. Wasiunga mkono, wanawaza hivi, tupumguze matumizi, na mtaji tuwape wajasilia mali walete mitambo ya kuchakata pamba yote. Tulime chiki chiki, tuvue samaki kwenye bahari kuu tule ndani, tuwauzie nchi jirani kabla ya kufikiri ulaya na America. Kama hatutendi hayo au kushauri mfano hayo, ni kazi Bure.
@thadeusmarkiminja2282
@thadeusmarkiminja2282 25 күн бұрын
Asante mama una uchungu kama mama hawa watu wapo wengi waliona hivi vikundi vya namna hii.mtt sio gari sio nyumba wala nguo usichoke pambana tunakuunga mkomo
@johnnkelebe7360
@johnnkelebe7360 23 күн бұрын
MAtapeli hao kamata weka ndani hao mbwa.
@George-jz3jg
@George-jz3jg 22 күн бұрын
Enzi za baba yangu JPM vitu vya ovyo kama hivi havikuwepo
@TPW_FLUXY
@TPW_FLUXY 20 күн бұрын
Kabisa upuuzi mwingi sana sasahivi
@user-kv8sq6qz7g
@user-kv8sq6qz7g 23 күн бұрын
Asante mkuu wa wilaya huu ni utapeli kwakweli nakumbuka Arusha walikodisha nyumba vijana tulikua wengi nilichoshangaa naambiwa tu nimeingiza millioni 6 sasa nikawa nazitaka sasa kwani nilipata 😂😂😂😂😂
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA 22 күн бұрын
😀😀😀😀😀😀😀😀😀 kumbe ulijiunga na utapeli
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 23 күн бұрын
Jamani hao Alayansi ni waongo matapeli , mimi mdogo wangu kabisa nilitumia nguvu kumtoa huko akakataa, Nikamwacha siku ya siku akanijia kuniomba pesa laki sita nimpe apeleke huko , weweeee 😂! Nikaiona nikamnyima . Baadae siku zimeenda akanijia nyumbani usiku akaniambia kaka Alayansi ni matapeli nimeondoka tena ni wahuni kabisa😂, mama yangu mdogo anawaitaga kwa kiha, Iyoharansi mwemweee! 😂 . Matapeli walikuwa hapa mjini kahama .
@user-cg3vf2bl6b
@user-cg3vf2bl6b 20 күн бұрын
Watu hawa wametapeli wadada WA KAZI za ndani Kenya Sana wanaofanya KAZI Saudi Arabia,i say NI NI scam kabisa Mimi mdogo wangu alitapeliwa 38k pesa taslimu za kenya
@user-cg3vf2bl6b
@user-cg3vf2bl6b 20 күн бұрын
Watu hawa wametapeli wadada WA KAZI za ndani Kenya Sana wanaofanya KAZI Saudi Arabia,i say NI NI scam kabisa Mimi mdogo wangu alitapeliwa 38k pesa taslimu za kenya
@msongojumbe486
@msongojumbe486 21 сағат бұрын
Viongozi gani hawa?
@danielshimora5315
@danielshimora5315 25 күн бұрын
Kila MTU anasema amenufaika amenufaika, kama shida ni shelia Mkuu wa Mkoa wasaidie tumia ukuu wako wa mkoa kuwasaidia, mjue watu wana shida mtaani.
@ShishackgaudensiLuhwago-br2nl
@ShishackgaudensiLuhwago-br2nl 23 күн бұрын
𝙎𝙝𝙞𝙙𝙖 𝙣𝙞 𝙨𝙝𝙚𝙡𝙞𝙖 𝙣𝙖 𝙩𝙖𝙡𝙖𝙩𝙞𝙗𝙪 𝙗𝙨! 𝙛𝙖𝙩𝙞𝙡𝙞𝙖 𝙫𝙯𝙧 𝙨𝙤 𝙣𝙟𝙤𝙢𝙗𝙚 𝙩𝙪 𝙩𝙖𝙣𝙜𝙖 𝙠𝙞𝙜𝙤𝙢𝙖 𝙣.𝙠
@DALALIMTOTOMPANDAKATAVI9169
@DALALIMTOTOMPANDAKATAVI9169 23 күн бұрын
Matapeli TU HAO fukuza HAO
@saiditasher8362
@saiditasher8362 23 күн бұрын
Utapeli mtupu
@SmilingApron-zw6ne
@SmilingApron-zw6ne 25 күн бұрын
TENA MKUU WA WILAYA NI MZURI SANA ANAZUNGUMZA KAMA MAMA, ANAONGEA KWA KUWAHURUMIA SANA, KWANZA ILIBIDI AONGEA KISHERIA NA KWA AMRI LAKINI MKUU WA WILAYA ANAONGEA KAMA MAMA.
@hamisihemedi1099
@hamisihemedi1099 23 күн бұрын
Wahuni.wa kawaida
@mbondelotv8380
@mbondelotv8380 19 күн бұрын
Hapo ni laisi sana wana gawana pesa za hao wanao itwa join au watapeliwa kugawa pesa zao.chukueni mnyororo/mtililiko wa mtu mmoja muwaulize ni vikundi vya matapeli vya limitandao..Ambao wanafanya vijana wajiingize kwenye makundi mabaya baada ya kutapeliwa na kukosa huduma za msingi
@m24ditectivditect42
@m24ditectivditect42 16 күн бұрын
Kwani hivyo vikampuni vinasajiliwa wap jamani
@rosehaule6765
@rosehaule6765 23 күн бұрын
Yaan watoto wa Sasa wanapenda short cut tu akiyaMungu baade lawamq.kwa.serikali wanapenda.pesa za haraka haraka tu wanaenda.kulundikq.wqtt kuwafundisha ujinga tu watt serikal.fungueni ajira.mwa.vijana.wamesoma. ajira.awapati serikalimiangalie namna.kundi la vijana wengi wamezagaa.mtaan wakisikia mahala.kuna.pesa wanakimbilia huko cos wapo na.mahitaji yao wanahitaji.kipato watt na nyie muwe na subra Kuna pesa ya buree akuna.maisha ya bure
@alanusrespicius1796
@alanusrespicius1796 21 күн бұрын
Hao wanaotetea hili ni vibaraka tu. Mimi nina jamaa yangu hadi sasa anaokota makopo kisa QNET 😂😂😂
@godfreymushi6966
@godfreymushi6966 20 күн бұрын
Nenda Gym ohh shauri.zako we subiri
@lgf7297
@lgf7297 22 күн бұрын
Ni bora kuwe na rule of law, hawa watoto wanaumiwa na wapinzani au hata magaidi.
@SuediRwabatwa
@SuediRwabatwa 20 күн бұрын
Hawa wilifukuzwa daa kwanini serikali msifatilie nyuma yao kuna nani hamna itereje see yakuwachunguza
@Commentsplus
@Commentsplus 22 күн бұрын
Sura zao tu zinaonyesha wanashida kiukwelii
@mwajabuYusuph
@mwajabuYusuph 7 күн бұрын
Hapo mmeliwa hakuna kitu hapo ni utapeli sana 😂😂😂😂😂😂😂 jichanganye sasa😂😂😂
@ShishackgaudensiLuhwago-br2nl
@ShishackgaudensiLuhwago-br2nl 23 күн бұрын
𝙉𝙖𝙨𝙝𝙪𝙠𝙪𝙧𝙪 𝙨𝙖𝙣 𝙢𝙝𝙚𝙨𝙝𝙞𝙢𝙞𝙬𝙖 𝙠𝙬𝙖 𝙠𝙖𝙯𝙞 𝙣𝙯𝙪𝙧 𝙝𝙪𝙠𝙤 𝙣𝙮𝙪𝙢𝙗𝙣 𝙣𝙟𝙤𝙢𝙗𝙚
@user-pp7ug2bc1y
@user-pp7ug2bc1y 25 күн бұрын
Eeeh?
@yazu-se8dj
@yazu-se8dj 19 күн бұрын
Hicho ķikundi ndio kile kile kinafanya utapeli kenya
@mbalizisdachoir3479
@mbalizisdachoir3479 20 күн бұрын
Hata mbeya wapo
@user-qp7gb7pu4l
@user-qp7gb7pu4l 25 күн бұрын
Hao walishatepeli mdongowangu fukunzakabi sa ikiwenzekana funga kampuni hiyo nakumfunga huyo alayadhi
@ZawadianaMwangosi-is2jm
@ZawadianaMwangosi-is2jm 22 күн бұрын
Qunet hiyo weziii san
@user-cg3vf2bl6b
@user-cg3vf2bl6b 20 күн бұрын
Mkuu Kwanza hiyo alliance global NI tapeli hapa Kenya wanajifanya wadozi NI vijisuti vidogo,na KAZI zao kutapeli watu ,
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA 22 күн бұрын
Aisee utapeli unawamaliza vijana nchi hii ni hatari mno
@JosephKulwa-rc7en
@JosephKulwa-rc7en 23 күн бұрын
Vijana tujifunze tu hatakulima hakuna hela ya bure bure hao wanafundishwa kitapeli watu
@kayombotv9758
@kayombotv9758 25 күн бұрын
Upato huo
@chuchetresha
@chuchetresha 19 күн бұрын
Camera man 🥺🥺🥺umakini
@selegioelias9076
@selegioelias9076 21 күн бұрын
Hawa nimatapeli sana
@MoinaminaAmina-qh1jb
@MoinaminaAmina-qh1jb 22 күн бұрын
Ni magaidi wa kesho wanatafutwa kwa kesho au washoga wa kesho
@xaixaiobrigado4846
@xaixaiobrigado4846 22 күн бұрын
Akulililie kwa nini? Marfuku ,cjui hawana kibali kutoka wapi ,cha nini?
@dottomabula7253
@dottomabula7253 17 күн бұрын
Wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu
@Niika870
@Niika870 25 күн бұрын
Biashara ya mtandao weziii nyie,matapeli sambaa haraka
@mpefu_4936
@mpefu_4936 24 күн бұрын
Kijana acha mambo ya aja u
@philimonmtweve4522
@philimonmtweve4522 25 күн бұрын
Kikundi cha mashoga hicho mkuuu
@rizikiminga3010
@rizikiminga3010 25 күн бұрын
Nadhani ivyo NAMI piah maana sio jambo la kawaida
@PastorsTz
@PastorsTz 23 күн бұрын
Asiye sikia la Mguu huvunjika mguu,,kikundi hiki kilikuwa hapa jirani,,,maskin waMungu watu wametapeliwa mamilionn ya pesa,,,hafu vijana hao ni wabishi hatari,,,,,😂😂😂HAPO WATAONDOKA NA WATAHAMIA ENEO JINGINE NDIVYOWANAVYOFANYA WACHQCHE WAKIPIGA PESA WANAJIACHIA MBALI
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 25 күн бұрын
Biashara ya upatu wa mitandao vijana mnapoteza muda wenu watawafundisha kukariri sentensi za kuzungumza, watawaonyesha picha za waliofanikiwa, mtashawishiwa kuleta marafiki zenu wajiunge kila unayemleta unapata point, lakini mwisho wa siku ni ubabaifu tu hakuna kazi hapo
@danielsinda
@danielsinda 23 күн бұрын
Watakuja kuelewa wa walishaibiwa tayari hao
@bakarishaban9311
@bakarishaban9311 22 күн бұрын
Hao wanafundisha ushoga
@user-oo1vz3zi1t
@user-oo1vz3zi1t 23 күн бұрын
Mh wanamuda gani hao nanimafunzo yanini
@mpefu_4936
@mpefu_4936 24 күн бұрын
Kajisajiri serikali ipate mapito yake
@machakuroger7068
@machakuroger7068 25 күн бұрын
Wengine wanaotoroka majumbani, halafu wasema wametekwa
@mataypanga5262
@mataypanga5262 25 күн бұрын
Wewe mama DC ni mpole na mwema. Ongeza ukali
@kazikazini1042
@kazikazini1042 25 күн бұрын
Ukali wa nini sasa wakati maelekezo ni yaleyale na lengo litatimia
@SmilingApron-zw6ne
@SmilingApron-zw6ne 25 күн бұрын
ETI , HUMKINI HATA MAANA KAMILI YA ILO JINA HAWAJUI MASKINI
@jacquelinemwakasala9563
@jacquelinemwakasala9563 23 күн бұрын
Ni utapeli tu mtandaoni humu
@charlesSomeke
@charlesSomeke 22 күн бұрын
😂😂😂😂😂dah wapuzi hawa walicho nifanyia sina nao hamu wakaniingiza cha kike nikaacha kaz ya laki 2 nikiambiwa nalipwa laki 6 tena toka mara hadi dar nashukuru nilitoka nyumbani na hela ya kutosha kwa matumiz nilipo fika kesho yake nilisanuka nikaondoka huko kbisa watoto wapo wanaishi maisha magumu sana wanakurupuka wakifika huko wanaishi kama yatima
@frankphiri9132
@frankphiri9132 25 күн бұрын
Mkoa WA Mbeya Jiji kundi hilo lipo mkuu WA wilaya upo ni copy right nipo nitawasaidia
@frankphiri9132
@frankphiri9132 25 күн бұрын
Ni mbaya sana Kuna kijana katoka mbali kadanganywa kuwa Kuna ajira ya ualimu shule X amefika hapa anakuta SI kweli amekutana na kundi hilo tatizo ni namna ya kuwaita Kwa udanganyifu
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 25 күн бұрын
Wako kwa nani, na ni nani aliyewaita huko huyo ndiye abanwe
@mbwanakiting7180
@mbwanakiting7180 23 күн бұрын
Watu wanasifia. Bila kujua...hii ni biashara ya mtandao ndio ajira zenyewe huku dar wako maelfu wanaafanya haya. Mkuu wa wilaya hajui anachoongea ni kukurupuka tu kwenye mavideo. Ulitakiwa ufanye uchunguzi sasa unaaribu ajira zao warudi mitaani. Unafokafoka tu
@danielshimora5315
@danielshimora5315 25 күн бұрын
Mkuu wa wilaya kaa na hao vijana huko huko Njombe mboleshe hicho kikundi usiwe muoga wa ulimwengu wa Digital, sijaona kuna mwanakikundi akilalamika, Tumia kichwa chako kuwasaidia wakifanikiwa utasifiwa Wewe..
@ShishackgaudensiLuhwago-br2nl
@ShishackgaudensiLuhwago-br2nl 23 күн бұрын
𝙆𝙟𝙣 𝙪𝙣𝙖𝙘𝙝𝙤 𝙠𝙞𝙯𝙪𝙣𝙜𝙪𝙢𝙪𝙯𝙖 𝙪𝙣𝙖 𝙠𝙞𝙚𝙡𝙚𝙬𝙖 𝙫𝙯𝙧
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 23 күн бұрын
Hao wanaibiwa san a
@RaphaelMachinda-ih5we
@RaphaelMachinda-ih5we 22 күн бұрын
Waendewapi raia watanzania wanauhulu wakwenda kokote lakini hao waliowachukua umewachukulia hatugani nahichokikundi unakichukulia hatuagani alieanzisha?
@mpefu_4936
@mpefu_4936 24 күн бұрын
Wako kwenye mikoa mingi piga faini mwizi huyo
@danielshimora5315
@danielshimora5315 25 күн бұрын
Angekuwa Makonda angewasaidia kubolesha kikundi hicho,,
@eliajimmy95
@eliajimmy95 25 күн бұрын
Hakuna kitu kama hicho
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 25 күн бұрын
Mnasapoti ujinga
@ShishackgaudensiLuhwago-br2nl
@ShishackgaudensiLuhwago-br2nl 23 күн бұрын
𝙒𝙚 𝙠𝙟𝙣 𝙪𝙣𝙖 𝙨𝙖𝙥𝙤𝙧𝙩 𝙪𝙟𝙞𝙣𝙜𝙖 𝙚𝙩
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 23 күн бұрын
Mataperi hawa
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 39 МЛН
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 17 МЛН
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 196 МЛН
Kontrowersje wokół ceremonii otwarcia. Ostra wymiana zdań w studiu
16:10
Nyisake Chaula_Kongamano la Pentekoste
1:23:12
Nyisake Yuda Chaula
Рет қаралды 2,2 М.
Naczelni: Złamane serce Tomka Sekielskiego
15:36
Onet
Рет қаралды 56 М.
DEREVA AKUTWA  AMEFARIKI KWENYE GARI AKIWA NA  JIKO LA MKAA
11:38
NJB TV NEWS
Рет қаралды 2,4 М.
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 39 МЛН