Haha tumia akir ndo uongee ujaambiwa cmg aito kuwepo na ukitaka kusema hivy virabu vya mpira visinge kuwa na sehemu ya kusajisi wachezaji kwanini wasikuchukuwe wewe wakamchukuwa mwijaku wew si binadamu na mwijaku binadamu
@ursulinenyandindi3051Ай бұрын
Game ya media ni ya watu hao hao tuu wachache (mabosi). Wanaamua tuu kwenye vikao wanapeleka nguvu huku wakiona kumewaka wanaibuka na uhamisho mwingine.. yani ni hivyo. Wamesha calculate kila kitu, wataishi vipi, ndio mana bongo media inaanza hata haijaruka hewani,hata tathmini ya inawafikia jamii kiasi gani haijafanyika lakini tayari wana dili la bonge la kampuni (benki/bia).. mipango
@salimhassan3369Ай бұрын
(1)real Madrid (2)man city 😂😅
@erickhussein5960Ай бұрын
Umelogwa ww tafuta kaz ya kufanya uwache kulalamika😅😅😅😅😅😅
@davidibrahim9138Ай бұрын
Mwijaku ana impact gani kwenye radio mara elfu Baba levo,,mwijaku kwenye kipindi Cha ya Leo tena hajawahi kuwa na point,, mwijaku anaweza kumuongelea diamond negative Hana content ya maana redioni
@tonnybrighton7528Ай бұрын
Umemjua lini mwijaku? Mwijaku ana zaidi ya miaka 10 n mtangazji
@alexshabani2012Ай бұрын
Diamond mchawi atakuroga usionekani mwijaku
@ElizabethAtanasiАй бұрын
Pumbav huna lolote
@MohamediKalanjeАй бұрын
Mbio za sakafu huishia ukingoni, nko pale
@HappyBurrito-bm5meАй бұрын
Sasa mcheza kamari baba levo na mwinjaku ambae ni balozi wa wasafi bet si wote njia moja tu nae pia anakula haramu au vile huchezi wakati wew muhamasishaji
@theuniversetv2870Ай бұрын
Milioni ishirini uongo usituletee drama mwemba weweee
@ndarnationsoundtzАй бұрын
Hahha clouds wasafi is best izi zingine kelele.wakianza kulipa kodi mdo wote wanarudi waliko.toka