No video

DIAMOND AOMBA MSAMAHA KWA HARMONIZE,,,,DOGO TUYAMALIZE SISI WENYEWE NA MANAGEMENT ZOTE MBILI...

  Рет қаралды 265,863

PTVTANZANIA online

PTVTANZANIA online

Күн бұрын

Пікірлер: 286
@yasmeenaal4191
@yasmeenaal4191 2 жыл бұрын
Konde gang love , diamond mweh
@dangsonspiter5068
@dangsonspiter5068 2 жыл бұрын
Km kweli Kondeboy km fanyiwa hivyo aieseee DIANOND SIO
@emanueliphilipo997
@emanueliphilipo997 2 жыл бұрын
Nyau wew
@mohammedkitsao5432
@mohammedkitsao5432 2 жыл бұрын
Simba juu bana allah
@erickernest999
@erickernest999 2 жыл бұрын
Tuweken ushabiki pembeni Kwa maelezo ya harmonize Tu inaonesha Mond so mtu mzuri.
@wefri1581
@wefri1581 2 жыл бұрын
We haujui kitu Harmonize katolewa ktk njaa kali analalamikia mkataba wa 40% na huku hata bure angekubali kusign label ili apate fame sasa tatizo umaalufu ndo aseme anaonewa wivu
@mirambohussein5871
@mirambohussein5871 2 жыл бұрын
Simba anazinguwa anasaidia wanaomuingizia pesa kimuziki
@eppiemodest
@eppiemodest 2 жыл бұрын
Mtangazaji unastahili kufukuzwa kazi huna unachoongea %
@Chrinton1998
@Chrinton1998 2 жыл бұрын
Ni sawa kabisa afu iyo nikawaida sana
@vannillahabdallahmarandaab1253
@vannillahabdallahmarandaab1253 2 жыл бұрын
Love so much
@bashanbrussel
@bashanbrussel 2 жыл бұрын
Mond hana lolote temple forever
@danielnyabukika5009
@danielnyabukika5009 2 жыл бұрын
Mashabiki wengi wa diamond washamba wanaakili za kubebewa ,Kama uyo aneongea Hana hata la Maana analongea
@mwajabsabiti5687
@mwajabsabiti5687 2 жыл бұрын
Kama ww uliyokuwa mshamba
@danielnyabukika5009
@danielnyabukika5009 2 жыл бұрын
@@mwajabsabiti5687 hahahhahaha ⛷️
@danielnyabukika5009
@danielnyabukika5009 2 жыл бұрын
@@mwajabsabiti5687 ⛷️⛷️⛷️⛷️naelekea mtwara
@batman9206
@batman9206 2 жыл бұрын
Ww unayamaana enda uongee tusikie domo to
@pascomagesa3103
@pascomagesa3103 2 жыл бұрын
Simba Ni Mmojaaaaa,
@alijuma6337
@alijuma6337 2 жыл бұрын
Never give up
@ericknyonikajogolo3619
@ericknyonikajogolo3619 2 жыл бұрын
Hawawote wako saw a Maneno yanini
@josephmahende9169
@josephmahende9169 2 жыл бұрын
Safi Sana Simba ataback kuwa Simba
@batman9206
@batman9206 2 жыл бұрын
Kabisaa😎🔥🔥
@omarypetro2419
@omarypetro2419 2 жыл бұрын
Oya tupo pamoja mwanangu SIMBA atabaki kuwa cmba
@jafarrameck3884
@jafarrameck3884 2 жыл бұрын
Siku zote ukisikiliza mja 2 lazima uone anaonewa ila nacho juwa siku zote shingo halizidi kichwa
@didashmessi2528
@didashmessi2528 2 жыл бұрын
acha kubwabwaja we bwana,usimchezeee mtoto wa mtwara utabadilishwa kuku uliwe supu😂😂😂😂
@piccokikongwe5437
@piccokikongwe5437 2 жыл бұрын
Naitwa Picco kikongwe ni mwana music wa bongo flavor, niliimba kikongwe, swagga na nyinginezo, hizo chini Ni platfom ambazo music wangu unapatikana za zamani andika Picco kikongwe Album utapata ngoma zote za kitambo, na ukitaka mpalya andika Picco ameshushwa utapata music mzuri mkali wa kijanja na wa kisasa, sapoti music wa nyumbani msapoti mtanzania mwenzio 1. Boomplay 2. Audiomack 3. Spotify 4. Apple Music 5. Shazam 6. Deezer 7. KZfaq Music 8. Notjustic 9. Soundcloud 10.Tidal 11. Amazon 12. Facebook Etc
@shannykarisa8563
@shannykarisa8563 2 жыл бұрын
Simba mwenyewe wakuchorwa sasa 😂😂Tulieni team simba fujoo
@blendembesimba
@blendembesimba 2 жыл бұрын
Atari sana 😂
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 2 жыл бұрын
Yani Wezie Anawavua Nguo Jamaa Asie Na Aiba Au Aibu
@rusweruswe9810
@rusweruswe9810 2 жыл бұрын
Angekuwa Simba anawivu yeye alisaidiwaje mpaka kufka hapo alipo
@rahmarajab3688
@rahmarajab3688 2 жыл бұрын
Sio Harmonize peke yake anae lakamikia robo mbaya ya Sadala Mziki wa matusi ndo watoka WCB, Mziki mzuri Kwingine,,,,,
@mwajabsabiti5687
@mwajabsabiti5687 2 жыл бұрын
Toa Wa kwako wa injili
@batman9206
@batman9206 2 жыл бұрын
@@mwajabsabiti5687 🤣🤣🤣🤣 mwambie atoe yake ya injili🤣🤣😂🔥🔥
@batman9206
@batman9206 2 жыл бұрын
Matusi wapi tempo ndio anajifanya anabishana na Simba bure kabisaa mond ako level ingne banah
@menyajoseph9729
@menyajoseph9729 2 жыл бұрын
Diamond kumbuka tulikua nawa sani kama professor j Mr nice ferooz Joseph chameleon. etc so diamond atashuka miaka mitatu mbele tutasikiza music wa kondeboy
@batman9206
@batman9206 2 жыл бұрын
Mbn ww haukuwa aty mulikuwa
@wengeboymsaniii1209
@wengeboymsaniii1209 2 жыл бұрын
Hahaaa acheniii ushabik tuangalie mziki mzulii na pia Mambo yasiyo tuhusu tuwaachie wenyeweee ili mzik wa Tz ufike mbali.
@chuzikonk9241
@chuzikonk9241 2 жыл бұрын
Nyooooo upuuzi mtupu
@frankkibona8183
@frankkibona8183 2 жыл бұрын
Washamba wameshindwa kuimba wanalete majungu,,, Fanyeni kazi acha majungu
@eppiemodest
@eppiemodest 2 жыл бұрын
Angejua asingekusaidia.
@amurisamajeste6836
@amurisamajeste6836 2 жыл бұрын
Akuna mwisho bila mwanzo harmonize ni mutoto wa diamond ibrah ni mujuguu wa diamond ukipanda usisaabu mwanzo mwanzo wa harmonize ni diamond
@batman9206
@batman9206 2 жыл бұрын
Hapo ni kweli so huyu anajiita Tenpo afunge domo
@blendembesimba
@blendembesimba 2 жыл бұрын
Katumbua jipu dogo tembo💪😂
@malakimoses6115
@malakimoses6115 2 жыл бұрын
Kweli diamond mshilikina aise
@vannillahabdallahmarandaab1253
@vannillahabdallahmarandaab1253 2 жыл бұрын
Simba atabaki kuwa simba
@siabaamade4567
@siabaamade4567 2 жыл бұрын
Diamond ni mnafiki sanaaa
@tshibusaidi7467
@tshibusaidi7467 2 жыл бұрын
DRC tu na kubali platnumz tu
@giftpendaely3509
@giftpendaely3509 2 жыл бұрын
Tuwapende ote ni WaTanzania tupige maneno chini
@zubedasaidy1906
@zubedasaidy1906 2 жыл бұрын
Konde kiboko sanaaaa
@evarkowero4196
@evarkowero4196 2 жыл бұрын
Toa makelele apo we mshamba wivu unakondesha
@hakeemlyon326
@hakeemlyon326 2 жыл бұрын
Huyo unae mhoji mwenyewe ukimnyoa kidevu waeza mpiga mate hadi ngware maana afanana na huyo Mondi sijui Omondi 😎
@wefri1581
@wefri1581 2 жыл бұрын
Jamaa unasitahili tuzo mondi juuuuuu
@wayboy5048
@wayboy5048 2 жыл бұрын
Hamonize tulia ww mondi ndiye baba lao ndiye aliye kusaidia mpaka ukafika hapo ulipo acha ubwege hamonize mond number one🦁🦁🦁🦁🦁
@abdulmilingita2114
@abdulmilingita2114 2 жыл бұрын
Diamond ni mnafiki sana na malengo yake ni kufuga vijana kwa masharti makubwa ili wazidi kukaa nyuma kimziki hadi kifedha. Haka ka Diamond kanamuogopa sana huyu kijana Mmakonde na malengo yake ni kutaka kumpoteza kabisa na hata kuungowa uhai wake.
@hiyou9413
@hiyou9413 2 жыл бұрын
99998888899998988988899998999989988889898999889988888899888988999889999998999999999999999999989999999999999889899899999999999999999999998899999999999998999999989999999999888998999999998999998899888999999899999999999899999999888999999999998888999998999999988889999998999999888899999999999999999999989988989989899999999999999999999899999999889999999988899999999999998999999999999999999999999999999999998889988999999988999999999999999989989999999999899999998899899999898998888999999998988899998999999888899999899999999998999999999989999998999999899999999999999999999998899999999898988999989999999989889999899889999988889998888998888889889
@shabanihamisi115
@shabanihamisi115 2 жыл бұрын
Wivu na ulofa vitakumaliza.
@rahmarajab3688
@rahmarajab3688 2 жыл бұрын
@@hiyou9413 Huo Ni mwaka alozaliwa sadala,89,,,,,,,au.
@mponejawillson1453
@mponejawillson1453 2 жыл бұрын
Hiyo roho mbaya ulimpa wewee? Acha kubwabwaja vitu usivyo vijua
@mwajabsabiti5687
@mwajabsabiti5687 2 жыл бұрын
Mbona baba ako akumtoa kimuziki huyo harmonize
@thomasdominick1954
@thomasdominick1954 2 жыл бұрын
Only Tanzania but kelele msingi so why?look Bob Marley as a prophet lakin hawakuw na maneno ya ajabu araf walifundisha jamii na dunia nzima, za Leo hazfundishi zinaburudisha t kupotosha jamii so acheni huku,look marijan rajabu ,tx Moshi wiliam, ngurumo na wengine
@bornmulenga902
@bornmulenga902 2 жыл бұрын
the truth is konde boy no mkali mkali, hapigi kelele Ila anaimba
@francesbedon5424
@francesbedon5424 2 жыл бұрын
Harmonize game bado xana Tena bado
@naftalynaff7811
@naftalynaff7811 2 жыл бұрын
Hawa Watañzania kizungu íñawatesa
@omarypetro2419
@omarypetro2419 2 жыл бұрын
Harmonize huwezi kumshindanisha na Diamond / Simba mond yupo juu huwezi mshindanisha na huyo dogo.
@batman9206
@batman9206 2 жыл бұрын
Hapo ni kweli diamond ako level ingne
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796 2 жыл бұрын
MWAMBIE HUYO DIAMONDS AMSAIDIE BABAKE AWE MLEZI AU WA KUMZAA AME LAANIWA
@selemanmohamedi8838
@selemanmohamedi8838 2 жыл бұрын
harmonize mbona alikataaa kupokea tuzo ya reivany
@marthashenenga8282
@marthashenenga8282 2 жыл бұрын
Yani kawaida Sana ukiachana na mtu maneno yapo Sana. Uyo Ni tembo Ni mtoto tu atabaki kuwa mtoto
@batman9206
@batman9206 2 жыл бұрын
Kabisa
@ewhite2806
@ewhite2806 2 жыл бұрын
Hahahah uzuri wa Harmonize hajakataa kwamba yeye Ni mdogo lakin kwann Diamond anamuandama wakati jamaa ni mtoto...?
@allybiniga6761
@allybiniga6761 2 жыл бұрын
Harmonize mwenyewe kasema mzazi ni mzazi
@sallygrace1495
@sallygrace1495 2 жыл бұрын
Harmoniz Jeshi 💪 Diamond kimekauka kwa roho mbaya yake
@mwajabsabiti5687
@mwajabsabiti5687 2 жыл бұрын
Angalia kuna msanii gani yupo kama tufe
@eliyaserushago6051
@eliyaserushago6051 2 жыл бұрын
Diamond alijirudishia kidogo kutoka Harmonize, lakini Hormonizi asiseme Diamond alimnyanyasa never.
@batman9206
@batman9206 2 жыл бұрын
Yes iyo ni ukweli hakuna vile mtu atakusaidia alafu ukifanikiwa ww utoke to uwende lkz ajirudishi kidogo
@batman9206
@batman9206 2 жыл бұрын
Lazima
@donicemosha3811
@donicemosha3811 2 жыл бұрын
Yaani huyu mtu mzima aelewi ata somo
@vincentlion7487
@vincentlion7487 2 жыл бұрын
Konde ndio king tunamukubali tepo
@kauthaliissa1107
@kauthaliissa1107 2 жыл бұрын
Simba baba raooo
@mpalakeleaminedaude7921
@mpalakeleaminedaude7921 2 жыл бұрын
Jeshii
@allexandraklegger1404
@allexandraklegger1404 2 жыл бұрын
Huyo mxhabiki wa mond mie sijamuelewa kanipigia kelele na kula mbzangu tu huyo kenge
@evamakoi668
@evamakoi668 2 жыл бұрын
Mondi anaroho mbaya na anapelekwa na mamaake
@eppiemodest
@eppiemodest 2 жыл бұрын
Mwandishi huyu hajaenda shule hata wa mtaani wanakuzidi.
@kisslight9246
@kisslight9246 2 жыл бұрын
Simba ni simba babalao
@randx1158
@randx1158 2 жыл бұрын
Kweli bro
@merinakassembe118
@merinakassembe118 Жыл бұрын
Hazutaki msMaa konde familly
@Jmumba-001
@Jmumba-001 2 жыл бұрын
Mko na ujinga mashabiki wa Simba na tembo yanini maneno mbona msichukue mfano wa alikiba vp nyie
@hassanisalumu4883
@hassanisalumu4883 2 жыл бұрын
Mwambie asije kupasuka kolomeo
@emmanuellkfightforjusticea2474
@emmanuellkfightforjusticea2474 2 жыл бұрын
You , he payed every time 60% .
@mariamubonifac3775
@mariamubonifac3775 2 жыл бұрын
Konde mnafiki tu mtu kakusaidia hafu saivi unamama juani mikoti yako utafikiri kibaka nyoo😏😏😏😏
@David-oi2fd
@David-oi2fd 2 жыл бұрын
Diamond alishagashindanishwa na wengi ila hawakumuweza,hapa tz bado haupo wakushindanishwa naye
@munarjafu9886
@munarjafu9886 2 жыл бұрын
Watanzania sisi niwatu wabayaa sana unawezaje kumchukia mtu,pasipo kumjuwa kiundani yaanitu kwasababu umesikia nasiyoo kuwona kwamacho yako
@swaumumohammedi7587
@swaumumohammedi7587 2 жыл бұрын
Akika kila mtu hafanye yake
@shaibuhamisi1672
@shaibuhamisi1672 2 жыл бұрын
Hawa wote n ng'ombe wate.kumbe hawajui mstuni.ata mnyama mkubwa eti tembo na simba eti simba ndio anaogopeka hawa wote ni mifuko malibora iliyokatazwa na jp Hayat magufuli konde boy n msanii mtt anampa chalench daimond
@laissalon7868
@laissalon7868 2 жыл бұрын
Wewe wacha kutapika we broo Kama unaomba chuvi kwa daimondi wacha ukose leo
@qan_tallah4054
@qan_tallah4054 2 жыл бұрын
Acha ushamba kaka acha ushamba ivi yeye ni nani anataka awe yeye kila siku harmo ndo kila kitu na temu hii akimalizana na wasafi anaingilia kwenye swala umeme na maji nao wameanza kusumbua
@zahoromuhamed3317
@zahoromuhamed3317 2 жыл бұрын
Atamwanamke mukiachana atasem maneno mhhh
@eppiemodest
@eppiemodest 2 жыл бұрын
Nguo kali wapi huna chochote umesaidiwa tu.
@nominetjacob386
@nominetjacob386 2 жыл бұрын
Hamo mjanja siyo mjinga anatengeneza maneno hapa bongo bira kumusema daimondi kimziki hutoboi
@willyk1427
@willyk1427 2 жыл бұрын
Tempo jipe moyo utapiga hatua
@jindamjukuu8440
@jindamjukuu8440 2 жыл бұрын
Tembo tembo Mara Simba hahahahaha Tanzania nchi ya kiumbea kweli
@reonardrucas2633
@reonardrucas2633 2 жыл бұрын
reonard rucas
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 2 жыл бұрын
Mhmh njaaa mpaka unatetemeka loh
@agnesjohn2571
@agnesjohn2571 2 жыл бұрын
We mwandishi msenge kwanini uhoji machawa wa wasaf tu wakonde gang je kumamae
@maliamuduma3594
@maliamuduma3594 2 жыл бұрын
ww kaka ata kama unamsaidia mtu ndio msimange acha uchawa ww
@musapeter3648
@musapeter3648 2 жыл бұрын
Mbona title ya hii taarifa haiendani na kilichomo , mwache uongo! Ameomba wapi msamaha , kama hamtaki kutoa tarifaa sahihi tutawashtaki nakwambia nkt
@judywambui3409
@judywambui3409 2 жыл бұрын
Bado tunampenda mondi kabisar hatubanduki team Zari tupo naye
@jenifferkakuvi2600
@jenifferkakuvi2600 2 жыл бұрын
Just go and watch Rick rose
@ibrahimmwaiswelo2612
@ibrahimmwaiswelo2612 2 жыл бұрын
Jeshihiii
@alexprotas40
@alexprotas40 2 жыл бұрын
Tembo alitema nyongo wenyepua wakatulia
@pastorypancras4114
@pastorypancras4114 2 жыл бұрын
Uwo ndio ukweli
@cashmoneytz2759
@cashmoneytz2759 2 жыл бұрын
Simba
@halimasulaiman3229
@halimasulaiman3229 2 жыл бұрын
Sasa anasaidia ikisha hapiga watu picha
@issachipeta4527
@issachipeta4527 2 жыл бұрын
Muwe.mna.tafuta.watu.wenye.Akili.timamu..wakuwaoji.sio.mataila
@thisboyisgreat
@thisboyisgreat 2 жыл бұрын
Eti bwana huyujama hajuwi anaxhiki ongea analopokatu
@missmwayway4704
@missmwayway4704 2 жыл бұрын
Mvuta unga huyo hana lolote
@chembayaburudani4448
@chembayaburudani4448 2 жыл бұрын
UKWELI NI KWAMBA WANAFIKI HUWA WANAUJUA UKWELI KUWA UNAPOTEA ILA WANACHOFANYA NI KUKUSUPORT NA KUENDELEA KUKUJAZA UJINGA. Harmonize tangu umetoka WCB hauna nyimbo iliyofikisha Vews 1milion hapo ndo ujue umeshika kiwango kwa mashabiki
@yusrambarouk313
@yusrambarouk313 2 жыл бұрын
Awa wote ni vukuko vituko
@emmanuelmaita6801
@emmanuelmaita6801 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@catherineamos7087
@catherineamos7087 2 жыл бұрын
Jaman Mmenisababisha nicheke
@salimmwapesa578
@salimmwapesa578 2 жыл бұрын
Acha ushoga Rick Ross n mchezaj wa NBA?
@nyusi6682
@nyusi6682 2 жыл бұрын
wavutaji bangi hawa
@kevinouma7864
@kevinouma7864 2 жыл бұрын
Harmonize tosha
@zinilaally2248
@zinilaally2248 2 жыл бұрын
Kaka achawivu naunafiki hamokaongea umkweli
@beatricelichoti5028
@beatricelichoti5028 2 жыл бұрын
Wacheni kumuonea wivu tembo
@beneboybeneboy4386
@beneboybeneboy4386 2 жыл бұрын
Kweli lazima ukimuacha mwanamke lazima akusimange
@ladsonmshana9920
@ladsonmshana9920 2 жыл бұрын
Jamaa wanabonga ukweli kabisa
@belgieboys9867
@belgieboys9867 2 жыл бұрын
Huyu mmakonde aliyofanyiwa na Diamond na yeye mmakonde aliyomfanyia SARA MMAKONDE NI MBAYA SANA ALIFADHILIWA NA SARA NA ALIVYOMFANYIA SARA. KAMWIIBIA SARA MAKONDE MWIZI MNAFIKI WENYE AKILI WANAJUA . HAPO WANAMLILIA MMAKONDE NI NJAA NA CHOYO TU. HATA HAO WASANII WENGINE NI NJAA TU NA CHOYO
@johnyagat973
@johnyagat973 2 жыл бұрын
Oioioioi
@chachamugaya1965
@chachamugaya1965 2 жыл бұрын
Like
EXCLUSIVU : IMEVUJA SAUTI YA AHMED ALLY AKIDEKA KIMAHABA KWA MREMBO
6:14
Fortunately, Ultraman protects me  #shorts #ultraman #ultramantiga #liveaction
00:10
طردت النملة من المنزل😡 ماذا فعل؟🥲
00:25
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 21 МЛН
Get 10 Mega Boxes OR 60 Starr Drops!!
01:39
Brawl Stars
Рет қаралды 19 МЛН
Uwezi Amini DIAMOND Alinionesha Irizi Nakuniambia Nipe Mkono Tushindane
11:00
BABA YANGU KIPOFU Full episode /31/ #love
40:19
BabaJoan
Рет қаралды 150 М.
Harmonize - Sherehe (Official Music Video)
3:19
Harmonize
Рет қаралды 763 М.
Fortunately, Ultraman protects me  #shorts #ultraman #ultramantiga #liveaction
00:10