Aisee konde una moyo kwa mapito ulio pitia Ila usihofu Mungu asimame nawe 🙏🙏🙏
@alfabraxton2 жыл бұрын
*Waaah!! Kumbe Diamond Ako na roho mbaya hivo*
@wangash61442 жыл бұрын
nilijua time waligeuka mzee abdul, na kutoka hiyo time havumi sana
@eshyndibalema15292 жыл бұрын
Sana mjinga sana Diamond ana roho mbaya ndio maana alimdhalilisha mzee Abdul na alimllea
@janekavere2 жыл бұрын
Mzee Abdul alimlani kitambo huyo
@annastaziamichael63442 жыл бұрын
@@janekavere 😂😂😂
@NaomyNyanyuki2 жыл бұрын
This the same thing Diamond did to Rich Mavoko.....
@malakimoses61152 жыл бұрын
Diamond ni mswahili japo kuwa ametoboa
@saraha6182 жыл бұрын
Hapo umesema
@brendamercy45082 жыл бұрын
We gat you bro Kenya 🥰
@cheupestefano54242 жыл бұрын
Hiyo hirizi imeisha oza ndiyo maana jeshi kapata courage ya kutapika ukweli wote
@tonystonekimutai78992 жыл бұрын
Love you harmonize from the start
@naftalynaff78112 жыл бұрын
If whatever Harmonize has said is true then Diamond is not a human
@betsyakoko68102 жыл бұрын
His dybolic
@lucykiddo2252 жыл бұрын
Kabisa. I’m disappointed with Diamond sio mtu mzuri
@NaomyNyanyuki2 жыл бұрын
The same thing Diamond did to Rich Mavoko
@NduwimanaSammy2 жыл бұрын
Kumbe ndio maana unaitwa jeshiiiiiiiiii acha na Mimi nipambane umenifanya nilie
@MCKYEKALOU2542 жыл бұрын
I feel your pain brother 😥😥nishaawai fanya contract na studio moja apa kenya, now is 6 years since that contract was signed bt hio project bado haijawai kuarelease... Mateso tu na kunyimwa haki, bt now am doing my own thing ...... Ata kama ni kuende kwa choo na kichukua video nieke KZfaq I will do Bora sita kazi na studio anymore
@hadija8462 жыл бұрын
Pamoja sana Konde wangu kwa kweli unanitowa machozi Yaani unapata mitihani migumu pole sana lakini M/Mungu yupo nawe wakati wote. Aamiin🙏🏼😍
@joshuakusaga9407 Жыл бұрын
Noma Sana naitwa japhetizo toka njombe kusin nafanya mziki ingia youtube searchi japhetizo utapata ngoma Kali zote Asante
@mohammedathman58162 жыл бұрын
Oe Hamo...big up brother yaani mzee baba wee ni mjeshi kweli n wala sio longo longo i pray for you pambanaaaa don't worry Mungu yupo nasi🔥🔥🔥🔥🔥🔥👊
@hawagkalume9016 Жыл бұрын
Pole sana konde gang pambana sana brother
@uyangasaidi7852 жыл бұрын
Polesana nduguyangu usifatene namanenoyawatu muombe mungu utashindatui iyilonijaribu itapitatuuuu
@kadzopurity79442 жыл бұрын
So painful 😥😥, Don't give up #Harmonize May God protect you and may your wishes and dreams come true 🤲🤲🙏🙏Just believe in God Everything will ouky Because God's time is always the best
@kabuenakorodmusic54572 жыл бұрын
Your no # 1fun Harmonize keep it up.I feel your pain
@skydaddy68322 жыл бұрын
TULIHAMA wasafi kwa UJINGAH Wao, Wapuuzi sanah
@lyontheblessed82002 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/hp-frK-C25Osdac.html
@richardmweri79182 жыл бұрын
🏃♂️🏃♂️🏃♂️
@waitheranderitu42972 жыл бұрын
I love Tanzania bongo music I mean their music is on another lever but my favorite is harmonize
@fizzyblinkboy Жыл бұрын
I appreciate you harmonize
@mwajitajunior76332 жыл бұрын
Whatever harmonize is telling people it's very true and you can just tell from his face
@georgenjeri85477 ай бұрын
True Bro 4 Sure This Is Coming From His Heart
@malkoabdi2 жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤🙏🙏🙏 DIAMOND IS DEAD MAN WORKING BAD MAN
@nellyatsango13992 жыл бұрын
Mob love 😍😍😍 to Konde boy from 🇰🇪
@samiridicksoni90672 жыл бұрын
Harmonize pambana ii Dunia ni yamungu wote tunapita
@qatarmobaile21532 жыл бұрын
Pole sana konde
@elizaberthpius4511 Жыл бұрын
Harmonize is de Best 🔥🔥🔥
@stsg27692 жыл бұрын
Mungu akupe kila la heri Tembo muti uliyo pandwa na mungu hakuna mwana damu wa kuwongowaa
@natashaamanda62342 жыл бұрын
Harmonize uko sawa broo
@mariamzara54982 жыл бұрын
Harmonize kuja mombasaaaa kenya 🇰🇪🇰🇪 usha tengeneza jeshi huku kuja kamanda respect
@berthamakortha83872 жыл бұрын
Duuuu pole sana kijana daaaa. M m m. Kweri TULICHUKIA KUMBEEEE NDIO HIVIIII DAAAA POLEEE KIJANA
@sir.opondojunior99892 жыл бұрын
Much love and respect Bro i think it's always good and right to put things on light at least now we know. Much much love Brother respect
Siri ya mtungi aijuae ukata. Leo mtungi umevunjika Siri nje.🤭😁😁😁
@user-wv1qy6uk6c8 ай бұрын
Shetani alipokuwa anataka kuwa mungu mungu alimfukuza mbinguni kinachomuuma harmonize nihaelewi nafac ake na alipo
@thomasphilimonmolel88552 жыл бұрын
Harmonize jembe 💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💯☑️
@krifodysharifu2912 жыл бұрын
Uko juu sana mshit chib
@maximemaxime-rf1jb4 күн бұрын
All in all unapambana xana bro
@saidimwandoro74552 жыл бұрын
Diamond anawivu Sana mkundu wake pamoja na hiyo wasafi yake Kuma yeye
@christineonyango59032 жыл бұрын
Harmonize wachana na wenye uwivu. This message is from Kenya 🇰🇪
@dorcasshish53592 жыл бұрын
Diamond issa witch for real .Who does this??
@mercywagaki41542 жыл бұрын
Wagapi tutamsupport na kumfollow harmo ...
@winniemwesh55572 жыл бұрын
Mwaga yote baba hawatutishiiii kondegang for everybody jeshiiiiiii mwaga yote
@GkMbichwaАй бұрын
Jeshi inakufaa sana bro
@saraphinajoely70472 жыл бұрын
Pole piga kazi konde tupopamoja
@frdmedia62352 жыл бұрын
Wewe mambo yamechacha ndio unamwaga mabaya iyo kawaida katikamaisha utakuw unahadisia kilasiku ndio dunia iyo
@andrewodionyi45632 жыл бұрын
Very painful😭😭but continue working smart hermonise
@safirisalama69122 жыл бұрын
big up
@bonifacelutumo11962 жыл бұрын
Go on boy
@aminamsimbe40342 жыл бұрын
Kaza buti mwanangu mungu amekupa kipaji kitumie utaulizwa na mungu siku ya mwisho juu ya talanta ulizopewa achana na waswahili huyo ni Kama mo wa Simba
@issamasoud47562 жыл бұрын
Kumbe anaroho mbaya sana hivo huyo jamaa diamond
@mtsifabregascongo56542 жыл бұрын
Pole sana bro diamond ni ndoki
@robertmutasi75462 жыл бұрын
Utungu bana
@omarbachu10742 жыл бұрын
Diamond Nimchawi wa kawaida
@mariamzara54982 жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️🙌🏽💯
@caretakerwajela41942 жыл бұрын
We banae, makubwa, siri ulikuwa nayo kweli, wakuache bwana, umewazidi wote bro
@irenemsamba47632 жыл бұрын
Keke
@mafedhakhalfani32752 жыл бұрын
Wow wale watu wanyama🙄🙄 diamond clean your heart uende mbinguni huo sio uislam
@lucykiddo2252 жыл бұрын
Harmoniza anaujasiri sana
@asiakheir86842 жыл бұрын
Wakumtegemea Allah pekee
@lyontheblessed82002 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/hp-frK-C25Osdac.html
@mariamrio82362 жыл бұрын
Mambo ya umasini ama utajili kawaida sema uki tubu zambi uta kuwa ume fa nikiwa
Achana na mjinga km mashabiki tupo kwa Sana tambua yakua yeye sio mungu hawezi kukuzibia liziki liziki hutoka mungu na si binadam Ila pole na misuko suko ipo siku mungu atakulipia ,
@lyontheblessed82002 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/hp-frK-C25Osdac.html
@aminatanditse49872 жыл бұрын
Ni kweli tena pole jeshi huyo asikutishe
@patrickmfundiri86692 жыл бұрын
Dah? Noma
@lucykiddo2252 жыл бұрын
Harmonizeee atafika tuuuu
@donprinceabselhalims74212 жыл бұрын
Maneno ni Mengi Ila kuna haja ya hawa wasanii wetu kujiridhisha na Aina ya mikataba wanayoingia na lebo/makampuni vile wakifanikiwa ndio wanagundua kuwa walifanya Makosa kwenye mikataba Yao halafu wanategemea huruma ya wananchi kupitia media
@dianasospeter17082 жыл бұрын
Tuko pamoja usijal haya maisha tu!
@daudimwamwaja51282 жыл бұрын
Mwizi huyo diamond
@Kazozadesign_TV2 жыл бұрын
💔💔💔
@irenemsamba47632 жыл бұрын
Osg
@crescentvscross11322 жыл бұрын
Kimtoshacho binadamu ni mchanga (udogo) tu
@shabaniguma86962 жыл бұрын
Kila siku watu wakisema simba mchawi na kamkataa baba yake sio mtu mzuri ni mchawi sasa wata amini🙆🏿♂️🙆🏿♂️🙆🏿♂️
@habimanaseraphin81242 жыл бұрын
Mnafiki asira yakuto sapotiwa marekani
@aluwiakatana10202 жыл бұрын
Mm naswali bro natoka Kenya .kunaonyesha Kuna kitu mlishea sasa anaona akikubali anajua ww utazidi kuvuka. Sasa ww Eka mungu mbele. Alafu dawa za mwisho
@deusdeditswebe89302 жыл бұрын
Imetosha...
@chibamaroofrank99422 жыл бұрын
Kwa maneno hayo hamtopatana..
@hawagkalume9016 Жыл бұрын
Nami pia nitasajiliwa
@gugahmediaafrica94052 жыл бұрын
Roho za kiafrika ziko ivo bro mtu atakusaidia ili watu wamsifie ila sio wewe unufaike kumliko
@harrietmurugi43452 жыл бұрын
Waah I knew from the start that diamond was not a good person at all... Sitwahi Tena kuskiza muziki wako nguruwe ww
@sifamushi17472 жыл бұрын
Airport security wangemtoa apo akafanyie media zake uswahilin uko
@fintaniferx95352 жыл бұрын
Umenifulaisha kwa kujali ndugu zako nyuma wote ubalikiwe
@madaiincubationcenter49472 жыл бұрын
Inasikitisha sana sasa Watanzania wengi wamejua ukweli Diamond atakosa thamani yake itashuka sana
@rosemwaka29242 жыл бұрын
Duniani sote tunapita
@mcrago88052 жыл бұрын
Najua ni namna ya kubust album yako
@lucymacha18532 жыл бұрын
Huwezi chukiwa na kila mtu jeshiiii
@delisercheminest1182 жыл бұрын
Kumbe
@shirfadigubike79202 жыл бұрын
Maneno yapo hata kwenye familia .itakuwa hapo sio familia moja.
@janeshigami87692 жыл бұрын
Jamani acheni kumwaga mtama mbele ya kuku...🙅
@sharrifidris34222 жыл бұрын
Sasa umetuambia yote hayo,, unataka tufanyeje? Ama umemumiss bossi wako wa awali tukuombee msamaha..Wewe ni mzuri haukosei MashaAllah.. Lakini ungetutajia mapungufu yako japo kidogo..
@hgcbj6352 жыл бұрын
Kujiita jeshii kunasababu kweli kweli
@AfroMedic2 жыл бұрын
Harmonize ana ushoga sana , sasa unarekodi watu iweje. Mambo ya kinadada hayo. Apo Ndio umekosea.
@sifamushi17472 жыл бұрын
Uyu dogo tulimheshim sana. Lakin kwa UONGEAJI HUU kama bint wa uswahilini, imemshusha sana sana sana... Yani angekua tu cool afanye yake watu waone vitendo.. kwa mdomo huo daah Amejirudisha nyuma sana kwa watu wente class zao kumheshimu..
@happynessbenard13192 жыл бұрын
Hawezi kurudi nyuma cos kwenye label yalotoka wanamsema Sana vibaya wanamuundia mpka machawa ili wamshushe kimziki lkn mungu yupo na yeye ameshajishusha Sana kila siku wanamsema akitoa nyimbo machawa wanaanza nyimbo mbovu ndo nn hicho
@richardmweri79182 жыл бұрын
Wewe ndo unafeli
@andrewmethors58372 жыл бұрын
Pumbafu we ...hujui kupambana mtoto wa mama
@bonifacelutumo11962 жыл бұрын
Huyo mtu diamond haifai
@clementgabriel17082 жыл бұрын
Ukinizingua tunazinguana je ulifanya kosa gani mpaka akakwambia hvo without any problem akwambie tu hvo sema na mazuri aliyokufanyia sasa