DIAMOND Atoa ya moyoni, Sipendi ugomvi na HARMONIZE/VITA itatusaidia nini/INASIKITISHA'

  Рет қаралды 173,445

Rick Media

Rick Media

2 жыл бұрын

...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram rickmediatz...
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / rickmediatz
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.rickmediatz.com
-----------------------------------------------------------------------------------
#Diamondplatnumz

Пікірлер: 225
@athmanabaas6598
@athmanabaas6598 2 жыл бұрын
Daah katika kuongea point huyu brother Leo ameongea saana naamin akiwa hivyo tz 🇹🇿 kwa wasanii watakua na mshikamano mzur sana
@welcomekafindo
@welcomekafindo Жыл бұрын
Na mimi nina furah sababu mond ka sarenda
@001number
@001number 2 жыл бұрын
Simbaaaaa Ni simbaaaaa
@festoandrea6648
@festoandrea6648 2 жыл бұрын
Nimependa sana kauli yako ugomv wa nini kama kwenye wimbo wako ushamba wa kugombania mashabiki
@khamismachemba4020
@khamismachemba4020 2 жыл бұрын
Namna anavyoongea kwenye media tofaut na uhalisia😋😋😋Ana akili mwingi sana
@forcienelokoiluku
@forcienelokoiluku 11 ай бұрын
Ni mnafiki
@thedoctor8301
@thedoctor8301 2 жыл бұрын
This man is Genius... whatever people will say bt this man is doing the best
@hamadmamba1466
@hamadmamba1466 2 жыл бұрын
💯💯💯
@mukesicatrine2744
@mukesicatrine2744 2 жыл бұрын
Hypocrite man
@nellymatalanga5033
@nellymatalanga5033 2 жыл бұрын
Masomo alikataa so ina bidi street smart
@RebekaAdson-uk9tg
@RebekaAdson-uk9tg Жыл бұрын
Wacha kuwalipa mashoga pesa wa mkashifu mtu Fanya mzik mzur watu watakuelewa
@HowardGondwe
@HowardGondwe Жыл бұрын
@blackblue9729
@blackblue9729 2 жыл бұрын
Hayo ndio maisha ya mtanzania kila siku kokote pale duniani anajua ili yeye apate lazima amshushe mwenzie tupo tayali kumsamini mtu tusie mjua na tuka mkataa tunae mjua
@barakamastory2891
@barakamastory2891 2 жыл бұрын
Harmonize 4life
@festoandrea6648
@festoandrea6648 2 жыл бұрын
Umeongea vizuri zaidi sana diamond
@caphussinkolongo4040
@caphussinkolongo4040 2 жыл бұрын
KoNDE KoNDE KoNDE KoNDE KoNDE KoNDE nakupeda Sana you king
@festoandrea6648
@festoandrea6648 2 жыл бұрын
Me binafsi nampenda diamond na hamonize kiujumla nawapenda wasanii wote watanzania msaidiane kuikuza tanzania diamond ukiwa kama kaka endelea kuwaongoza wadogo zako tuiwakilishe tanzani
@fredrickmatiku7783
@fredrickmatiku7783 2 жыл бұрын
Harmonize is Burnaboy wa bongo flavour now number 1 artist in Tanzania
@josephkai3716
@josephkai3716 2 жыл бұрын
Jeshiiii💪💪💪🇰🇪
@paulntalima6998
@paulntalima6998 Жыл бұрын
😅😅😅 unachekesha sana unajua unachoongea au unavuta shuka asubuhi
@pacomezouzoua9175
@pacomezouzoua9175 2 жыл бұрын
harmonize🔥🔥🔥
@geofreykalo6599
@geofreykalo6599 2 жыл бұрын
Leo nimekuelewe Kama ninavomwelewa konde boy
@khadijakimana8809
@khadijakimana8809 2 жыл бұрын
Mwenyenzi Mungu azidi kukuinua zaidi katika kazi zako!
@hamishamza1961
@hamishamza1961 2 жыл бұрын
Safi Sana platnumz
@jacintaitumo5571
@jacintaitumo5571 2 жыл бұрын
Hapo umesema ukweli. Ila naomba uwakanie kina Juma lokole na wengine wanao penda kumponda konde Boy. Kwa sababu wengi tunaamini ni kwa niaba ya wcb. Changa brand yako chibu. Changua watuwakukuwakilisha kwa class yako. Sio kwa ubaya lakini.
@masaimediagroup3146
@masaimediagroup3146 2 жыл бұрын
Jeshi yupo vizuri sana. msioneane wive
@qatr3475
@qatr3475 2 жыл бұрын
Mond hamzungumzii konde anasema yake
@ELISSKGTV
@ELISSKGTV 2 жыл бұрын
I love peace, let's be positive,wacha kulipa machawa wawachafue wengine
@ntungifrancisco3323
@ntungifrancisco3323 2 жыл бұрын
Ww nimbaya sana
@stunner5007
@stunner5007 2 жыл бұрын
Diamond kasema ukweli kabisaa💯💯💯hekima yake binafsi ya usanii iko juu ndo maana hapingiki east africa hes the best
@shwaibukhatibu2838
@shwaibukhatibu2838 2 жыл бұрын
Acha uongo
@qatr3475
@qatr3475 2 жыл бұрын
Kuna baadhi humpinga mond lakini sio wote kama wewe
@aliabdallah5347
@aliabdallah5347 2 жыл бұрын
Kasem ukwel gn wakt amemlipisha harmoniz
@KUTOKA-ep2fk
@KUTOKA-ep2fk Жыл бұрын
Mwanakondoo mpole anaongea diamond ni malaika hajawahi kumshambulia mtu yeyote 😂😂😂😂 Hongera baba chuo cha unafiki ulikisomea vyema na umefahalu vyema! Sikulaumu ndio dunia ilivyo unaongea hili kwenye social media ila moyo wako halisi sio sawa na unachoongea hivyo ndivyo dunia ilivyo.
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 2 жыл бұрын
Kweri usemavyooo. Mungu akuzidishie
@silaskalanda
@silaskalanda 2 жыл бұрын
Si huyu ni yule wa "Leta mkono tushindane! Hunishindi kihela,hunishindi kiuchawi na hunishindi kiserikali?" You really frustrated that young man~Harmonize.
@joelteti1464
@joelteti1464 2 жыл бұрын
Fala sana wewe, mbwaaaw kabisa, kenge wew Silas.. Ulikuwepo diamond akisema ivyooo? Matako wewe
@nellymatalanga5033
@nellymatalanga5033 2 жыл бұрын
were you there or you're just following wht is said Alitusi kina master J,madam Rita, Mara Tale ,salaam lol ako na talent bt ujinga na pride ina msumbua tu without ths people i mentioned na flatform zao asingelikuwa alipo
@sephania8085
@sephania8085 2 жыл бұрын
Aliongea wap hivyo
@kassimussimachanoh6971
@kassimussimachanoh6971 Жыл бұрын
Yes, simba hapa uko sawa kwa kauli hii. Kama baba wa wana muziki wslotoka wcb, au wasafi... Big love and thanks for the truest
@user-qn5sf5hb9e
@user-qn5sf5hb9e 5 ай бұрын
Thats great 👍🏾 ❤❤❤
@careenpatrick2759
@careenpatrick2759 2 жыл бұрын
Ukiwa konde geng lazima uwe mnafki, uwe na roho mbaya ya wivu wa maendeleo , uwe mchawi,, anaependa maendeleo lazima awakubali WASAFI,, punguzen wivu wabongo
@BARBERJAY001
@BARBERJAY001 2 жыл бұрын
Wewe fala hujui kitu
@bishikhaji
@bishikhaji Жыл бұрын
God bless you brother
@montewheezy
@montewheezy 2 жыл бұрын
Interview Bomba sana 😂😂
@vostiii111
@vostiii111 2 жыл бұрын
Kumbe anamjua ibraah ❤️💯
@fakiimustafa4137
@fakiimustafa4137 2 жыл бұрын
Nimeshangaaa🤣
@elithadam2791
@elithadam2791 2 жыл бұрын
Ni mjukuu wake lzm amjue
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 Жыл бұрын
Kaka yangu diomond matatuu na mapete Mungu hapendi dunia inapita wanadamu tunaexpay tusiwe.huru sana dunian.tutarudi kwa.Mungu tupende.tusipende
@user-wr3pt6uo7k
@user-wr3pt6uo7k Жыл бұрын
All da best
@jacobmgaya7729
@jacobmgaya7729 Жыл бұрын
Pamoja sana bloo umeongea point
@bazengacheedy4497
@bazengacheedy4497 Жыл бұрын
Diamond umenifurahishaaa wasaniiii kmaaa akinaa ibraaah anjelaaa ni wajukuuuuu zakooo aiseeee Una misemooo broooh
@danielyyusuph8793
@danielyyusuph8793 2 жыл бұрын
Broo nimependa sana
@atijampatha5375
@atijampatha5375 2 жыл бұрын
Ivyo ndo vizuri
@user-gl5vx9xp4u
@user-gl5vx9xp4u 5 ай бұрын
Mond nakukubaliiii sana
@nambitv3708
@nambitv3708 2 жыл бұрын
Chibu hana baya mamae zenu😫
@manizzobonge
@manizzobonge Жыл бұрын
Nakubali babu sisi wote wajukuu wako
@deffanyhoughton8964
@deffanyhoughton8964 2 жыл бұрын
Jamaa kalemewa kaanza kuongea kizungu na chenyewe hakijui😂😂😂
@majutosanaelias4307
@majutosanaelias4307 2 жыл бұрын
Shimoo mama harmony
@laurentnestory4019
@laurentnestory4019 2 жыл бұрын
Kwel ni facts kaka.. Tambulisha nchi huko mbele ki muziki 🌍🗺
@user-mz5sd1fj7w
@user-mz5sd1fj7w 7 ай бұрын
Tatizo mambo mnayoyaongeya siyo mnayo moyoni!!!!
@zurabacar921
@zurabacar921 2 жыл бұрын
Good
@dingboyke6054
@dingboyke6054 2 жыл бұрын
Safi
@user-hn3km9ex5r
@user-hn3km9ex5r 2 жыл бұрын
Mwambino mnafiki tu anang'ata na kupuliza chefuuuuu
@festoandrea6648
@festoandrea6648 2 жыл бұрын
Hiyo diamondi umeonge kauli nzuli sana kama mtu mzima kusema hutaki kuendesha kipaji chako endeleza kipaji cha tanzania
@pacomezouzoua9175
@pacomezouzoua9175 2 жыл бұрын
Sisi tuko bize na song la harmonize # you
@hanspope1083
@hanspope1083 2 жыл бұрын
Mtt wakiume unasikiliza miziki ya kimama
@pacomezouzoua9175
@pacomezouzoua9175 2 жыл бұрын
@@hanspope1083 umejuaje kama ni wa kimama kama na ww ujausikiliza😁😁 harmonize ni kama maji usipo yanywa utayaoga usipo yaoga utayanawa tu@# bakhresa to de world🔥🔥🔥
@hanspope1083
@hanspope1083 2 жыл бұрын
@@pacomezouzoua9175 cjaskiliza hyo nyimbo nimeangalia tu title yake nkaona ni nyimbo ya kiduanzi chaajabu nakuta mtoto wa kiume unaisifia mm sina u team bro lkn acha umama
@buthaynaamani792
@buthaynaamani792 2 жыл бұрын
Wajukuu kweli mond
@mudyjames790
@mudyjames790 2 жыл бұрын
sanaa
@sharcksharckhassan5786
@sharcksharckhassan5786 2 жыл бұрын
Huyu mtu mnafqi kweli huyu c ndiye alio kuwa anamtukana harmonize juzi kisa kukohoa kwenye nyimbo zake leo anacheza media kisa apate vwz wengi kwenye exclsv yake duh
@willytezz3522
@willytezz3522 2 жыл бұрын
Anajifanya anarohombaya sna
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 2 жыл бұрын
Uongo anampenda sanaugomvimnafiki huyo
@MohammedIbrahim-xi3zm
@MohammedIbrahim-xi3zm Жыл бұрын
Vipi
@barakajuma4149
@barakajuma4149 2 жыл бұрын
Kwenye media unaongeaga point Ila matendo Sasa unaakili sana
@mshikakimusic
@mshikakimusic 2 жыл бұрын
N kweli
@mussamachonjo4527
@mussamachonjo4527 2 жыл бұрын
Umetishaaaa simbaaaaaa
@47rewind68
@47rewind68 2 жыл бұрын
Mashambulizi ya Konde kwa mondi kama urusi kwa ukraine lazima aombe pooooo🤣🤣🤣🤣🤣
@sephania8085
@sephania8085 2 жыл бұрын
Shambuliz gan
@shigaprice-fc7ip
@shigaprice-fc7ip Жыл бұрын
Umesema kwer bro
@Jaymelodi
@Jaymelodi Жыл бұрын
iyo kweli
@renardchitalilo8208
@renardchitalilo8208 2 жыл бұрын
Nic
@amaniewaar513
@amaniewaar513 Жыл бұрын
Jeshiiiiiiiiiiiii
@directorrey8665
@directorrey8665 2 жыл бұрын
Kama unampenda Diamond hamna haja ya kumchukia Harmonize
@willytezz3522
@willytezz3522 2 жыл бұрын
Kaka umeongea ww ndio mtu mwenye akili pekee Tanzania nzima 😍 umeongea kitu ya maana one love🇰🇪
@feristerjames4522
@feristerjames4522 2 жыл бұрын
❤️🐘🔥
@datusreons7090
@datusreons7090 Жыл бұрын
Saf kaka
@naroflaver7987
@naroflaver7987 2 жыл бұрын
nimependa ufanuaji wk diamond
@barakakoi5976
@barakakoi5976 2 жыл бұрын
Penda sana ww bro 🙏
@happysanga6846
@happysanga6846 2 жыл бұрын
Umeongea vizur
@Victorjacoo
@Victorjacoo 2 жыл бұрын
Uyu jamaa n mwongo sijawaiona apa duniani anashika nafasi ya 1 kwa uwongo🙌🏾
@patrisami8405
@patrisami8405 2 жыл бұрын
Mbona wew hat kweny chakula shulen ujawah shika hiyo nafas😂
@patrickmukundichalamila3038
@patrickmukundichalamila3038 2 жыл бұрын
Ndo maana unautwa Mario
@sephania8085
@sephania8085 2 жыл бұрын
Nilipoo ona jina tu nikajua akil huna et mairo hhhh
@josephathanas5687
@josephathanas5687 2 жыл бұрын
Sawa mengine kasema point ila amwogope mungu kwa kukana eti ajawai kumtupia maneno kwenye mziki ivi nikweli jamani kwakumbukumbu zangu mie nakataa kabisa maana amekuwa akimsema 🐘 kwa ubaya kila wakati kwenye midia nashangaa leo anajiosha kanakwamba hajui lolote .kama kweli angekuwa anataka yaishe wangekaa kimya wakaitana kwa busara yakaisha kimya kimya wakasamehana maana hakuna binadamu mkamilifu wote walikuwa ni binadamu kibaya zaidi wote bado ni vijana na ujana una mambo mengi ivyo tu
@asazac7378
@asazac7378 Жыл бұрын
Kwann awe muongo bila diamond hakuna harmonize nausinge mujua katika duniahii
@aphroovevo681
@aphroovevo681 2 жыл бұрын
Domo anadanganya sana wale ndio yeye anawatuma machawa wake wamtukane konde boy lakini mungu anamsaidia
@timotweymalashi9285
@timotweymalashi9285 2 жыл бұрын
Acha umasikin wa akili wewe unauhakika gan kuwa anatuma watu je ko nawewe umetumwa uandike hvyo
@qatr3475
@qatr3475 2 жыл бұрын
Leo c mambo ya konde jamani kama wamchukia mond bado kuna baadhi twampenda
@kakaaignas3675
@kakaaignas3675 2 жыл бұрын
Simba
@plmiam920
@plmiam920 2 жыл бұрын
Hi kubwa sana Chibu Denga
@anordlweemamu729
@anordlweemamu729 2 жыл бұрын
Aaaah wap
@davidihaonga5277
@davidihaonga5277 2 жыл бұрын
Kwa nyimbo gani utashinda
@zashairbathandbody2009
@zashairbathandbody2009 2 жыл бұрын
Diamond needs his ego is too much. He may introduced harmonise but he needs to know that without harmonise' jitihada yake he wouldn't be where he is today.
@hamadmamba1466
@hamadmamba1466 2 жыл бұрын
💯💯💯💯
@nelsonnayova5701
@nelsonnayova5701 Жыл бұрын
Hhuuuuuuu
@douglasbideri6113
@douglasbideri6113 2 жыл бұрын
Acha kujifanya wew unaloho mbaa
@mirromsodoki2777
@mirromsodoki2777 2 жыл бұрын
Uyo ndosimba
@MOKOKALI254
@MOKOKALI254 Жыл бұрын
ionivizuri sana pongezi
@benjaminchitayi
@benjaminchitayi Жыл бұрын
King jeshi
@twahahizza218
@twahahizza218 2 жыл бұрын
Simbaaaaaa
@silamelodytz2423
@silamelodytz2423 2 жыл бұрын
sahii mondi umeongea sahii
@merinakassembe118
@merinakassembe118 Жыл бұрын
Kama sio unafiki. Mbona uwsambii machawa wanamtukana muongo huyo. Usimsikilize hata neno moja hakuna mnafiki kama yeye yexe mwenyese huyo afanyi mziki bils kiki mwizi wa cucopy.apendi msanii mwingine apati usimsikilize haza nenomoja. Uongo mtupu awakanye machawa wake wasimtukane hamo bonge la mnafiki😊😊😊😊ahaaaaaa
@welcomekafindo
@welcomekafindo Жыл бұрын
Tuwe na umoja 2 ndo tuta shinda
@richardgervas2310
@richardgervas2310 2 жыл бұрын
Anapenda kutumia kauli ya ''tatizo la watanzania '' inahitajika shule pia unaweza ukawa maarufu au tajiri lakini bila elimu kazi bure,,sijaona point ya maana kaongea diamond
@nellymatalanga5033
@nellymatalanga5033 2 жыл бұрын
Nyinyi ndio wale mnataka ataje jina la mtu thn mnaanza kutusi hehehe haya tuambie la maana basi tuskie lol
@mallvanapeter3042
@mallvanapeter3042 2 жыл бұрын
ndio watanzania tulivyo usibishe ndugu katikaa watanzania miaa mmoja au wawil ndo utakutaa hawana matatzo hyo anayo sema diamond lkn walio bakia wengine nitamaa na rohoo mbayaa yakutopenda maaendeleo.
@barasaslaa5114
@barasaslaa5114 2 жыл бұрын
Ata ww pia huna la maana ulilokoments
@adamsonsmith6049
@adamsonsmith6049 2 жыл бұрын
Kwan ulitaka aseme wakongo au kwan kakosea nikwel watanzania tunamidomoooooo tunapayuka
@nassorahmed5974
@nassorahmed5974 2 жыл бұрын
Uko sahihi diamond
@mohdhamad6984
@mohdhamad6984 2 жыл бұрын
Ww unajua mzki
@DukeOndieki-ms5ur
@DukeOndieki-ms5ur 11 ай бұрын
Huyu anapretend mbele ya vyombo vya habari lkn chini ya maji anatesa wasanii wake
@boscokalu685
@boscokalu685 2 жыл бұрын
Thts real simba....muache ugonvii
@LucianHaally
@LucianHaally 8 ай бұрын
Huyo Zuchu ni mpenzi
@nyabendasayumwe8514
@nyabendasayumwe8514 Жыл бұрын
Hamo aache bangi zinafanya kunuia kumtukana Mondi
@ganjaligwamatata7140
@ganjaligwamatata7140 Жыл бұрын
Sikia ya Nasibu kutokuelewana wewe na Harmonaiz inatokea kwatu mbalimbali hasa marafiki na ndugu wewe imalize nitapenda ikiwa itapita
@japhetjohnson8493
@japhetjohnson8493 2 жыл бұрын
myamaaaa🦁plutnums you kill it💪
@rudasingwawilson2526
@rudasingwawilson2526 2 жыл бұрын
kaka we mukalimu sana ukija rwanda nitakupa zawadi ndogo kutoka moyoni
@lm6373
@lm6373 2 жыл бұрын
Huyo ni muongo sana yeye ndo mbaya na ana
@judithadhiambo551
@judithadhiambo551 2 жыл бұрын
usijifanye malaika wewewivu kaaah
@patricknduwimana8206
@patricknduwimana8206 Жыл бұрын
Babu junior mbona ujamwambia kama kwajili yake ndomana uko apo acha uwongo 😱😱
@annajohn2488
@annajohn2488 2 жыл бұрын
Mnafkiiii uyu hapo kaona kunasehemu amezidiwa sasa anajifanya mwema🤣🤣🤣
@willytezz3522
@willytezz3522 2 жыл бұрын
Kbsa 😂
@SteveMrenga-jd6bk
@SteveMrenga-jd6bk Жыл бұрын
Diamond acha unafki unakandamiza wasanii kmy kmy ogopa sana m2 anaejikuta mzur
@amanafi1288
@amanafi1288 2 жыл бұрын
Shida yako Chibu... Unachokisema mdomoni mwako sicho unachokimaanishaa... Weee Mshkaji kaloo stoki kidogo unakoo kimtindo.
@ramsprostudionamangakenya4714
@ramsprostudionamangakenya4714 Жыл бұрын
Mimi producer abed ramspro studio napenda sana points za diamond yeye yupo kwa hajili ya kuopen ways kwa vijana napenda hilo sana
@CheetahBoy4G
@CheetahBoy4G 2 жыл бұрын
😹😹😹Mkuu oa acha hizo🙄🙄🙄
@gwidjiqshabani2082
@gwidjiqshabani2082 2 жыл бұрын
KONDE BOY ANAMKAZA SAANA UYO WAKUJICHUBUWAA😎
@kingsleykenya3445
@kingsleykenya3445 2 жыл бұрын
Wasafi Kwa kuwekeza wako sawa but kuimba matusi tuu mtakosa tuzo mseme watu wanawabanguzi Kwa tuzo
Мы никогда не были так напуганы!
00:15
Аришнев
Рет қаралды 6 МЛН
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 5 МЛН
Does size matter? BEACH EDITION
00:32
Mini Katana
Рет қаралды 18 МЛН
Этот Пёс Кое-Что Наделал 😳
00:31
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 4 МЛН
Nilijua HARMONIZE ni Mtoto Laini Laini Tu - Mrisho Mpoto
18:22
TimesFMTZ
Рет қаралды 336 М.
Harmonize - Jeshi (Official Music Video)
3:37
Harmonize
Рет қаралды 11 МЛН
Девочку преследует бандит😳
1:00
Kino_sh
Рет қаралды 3,3 МЛН
腹黑小天使把黑天使整惨了#short #angel #clown
0:20
Super Beauty team
Рет қаралды 42 МЛН