DIDA SHAIBU NA DOTTO MAGARI WALIVYOMCHEKA DULLA MAKABILA ,MANENO YA SHOMBO KAMA YOTE.

  Рет қаралды 110,667

BONGO 24

BONGO 24

5 ай бұрын

#bongo24 #dottomagari #didaskalia

Пікірлер: 152
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 5 ай бұрын
Dida sio mzee saana ila mikorogo ndiyo iliponza
@palukukaskile420
@palukukaskile420 5 ай бұрын
Doto bwana unaweza kusimamisha Tanzania 🇹🇿kwa kila neno lako 😂😂😂😊
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 5 ай бұрын
Dida si ujiamini tuu uso kama tako la doto
@cdeleo9336
@cdeleo9336 5 ай бұрын
Dida kweli umri umeenda na anavyojifanyaga binti 🤣🤣🤣. Anaona aibu kuonesha sura yake
@user-vy2bc6xg3i
@user-vy2bc6xg3i 5 ай бұрын
Jamani kwani ajabu. Tuseme wee warudi nyuma au mbele
@tiffanyakramJr822
@tiffanyakramJr822 5 ай бұрын
Dida anaficha macho yake ya mjusi anajifanya camera nyingi 😎 Leo atoboi
@nunuuali5316
@nunuuali5316 5 ай бұрын
Hana lolote uzee umemjia ndo maana havuwi miwani
@RayyanRayyan-rt9cg
@RayyanRayyan-rt9cg 5 ай бұрын
Sas dida anajificha nin😅😅😅😅
@rajabmsinzia1715
@rajabmsinzia1715 5 ай бұрын
Muwangaza mkali na Makemikali ya mwilini ni vitu tofauti
@user-zj9ip8kl1n
@user-zj9ip8kl1n 5 ай бұрын
Doto nampenda sana😂😂😂
@TaarabChannel
@TaarabChannel 5 ай бұрын
Mpitie na kwangu wapenzi ❤❤❤
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 5 ай бұрын
dida anaogopa kamera bila miwani hatoboi
@NeysamElias-dp7nl
@NeysamElias-dp7nl 5 ай бұрын
Ndo Ana waringia waandishi sio vizur kwa maneno yake
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 5 ай бұрын
Haringi ana nogesha 😂😂
@NeysamElias-dp7nl
@NeysamElias-dp7nl 5 ай бұрын
@@ilynpayne7491 sawa jamn asante
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 5 ай бұрын
5:00 panki ka mcheza x wa Uturuki 😂😂
@nunuuali5316
@nunuuali5316 5 ай бұрын
Caméra nyingi gani unaogopa tusione uzee wa usoni unajifanya unaogopa mwanga
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 5 ай бұрын
😂😂😂😂jmn
@christainc.5217
@christainc.5217 5 ай бұрын
Acawivuu😂😂😂inama wey kutazeeka utabi ryisi urivyo😂😂
@nunuuali5316
@nunuuali5316 5 ай бұрын
@@christainc.5217 nilitaka kukujibu ila tu nilivyoona mwandiko wako nikasema eeh Mungu nisamee mimi!
@jamalisebarua9594
@jamalisebarua9594 5 ай бұрын
Duniani tz ndo nchi ambayo wandishi wahabari bado hawajitambui
@kingdomnyonyoma2814
@kingdomnyonyoma2814 5 ай бұрын
Kabisa
@albertmshiu6578
@albertmshiu6578 5 ай бұрын
Inasikitisha sana hata kama ni utani not to that level Doto akili chache yani waandishi wanaompa trend ndio anawatukana kuwaita wezi nao bado wapo wapo tu ....waandishi hapa nimeamini hawajielewi
@rosemarymunyi5035
@rosemarymunyi5035 5 ай бұрын
Wow 👌 👏
@damianwambura8314
@damianwambura8314 5 ай бұрын
Hili nalo umaarufu unalifanya linakua limbukeni. Kwani huwezi ongea vizur hadi uwashushue wenzio yaani kaa fara hv
@nareensaleh4957
@nareensaleh4957 5 ай бұрын
Hajiamini dida kilometa zishasoma
@davidsamwel11
@davidsamwel11 5 ай бұрын
😅
@mohammedalikhan5766
@mohammedalikhan5766 5 ай бұрын
Route ya Dar to Joburg for 15years😂😂
@queenmilan2024
@queenmilan2024 5 ай бұрын
Aisee dida kazeeka alafu eti anajifanyaga wa 30s😅😅😅😅😅😅
@shery-bf8xh
@shery-bf8xh 5 ай бұрын
Age goooo😂😂😂😂
@mamafaiza1720
@mamafaiza1720 5 ай бұрын
Mbona katoto
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 5 ай бұрын
😁😁uso anauficha na mkono jua lishakuchwa
@Shuu.A
@Shuu.A 5 ай бұрын
Dida anajificha macho hana miwani leo anaficha macho kama mchina😂😂😂
@lelaiddy6856
@lelaiddy6856 5 ай бұрын
Ndio maana hata anajificha sura
@salmamsangi9976
@salmamsangi9976 5 ай бұрын
Dida kwani apo Kuna jua sana duu miwani inakusitrigi sana duuuh sura nzito ka uji wa mapande et mbona kamera nyingi nyooooo
@amisamaurid1882
@amisamaurid1882 5 ай бұрын
Na hapa Tunduma ipo 😂😂Dotto magari wambie
@mwakiosalim2914
@mwakiosalim2914 5 ай бұрын
Dotto kimchezomchezo amekua star nakukubali sana broo
@user-dx4eb2ss6x
@user-dx4eb2ss6x 5 ай бұрын
dida mwenyewe bibi uyo hana maajabu akwende zake uko😅😅😅
@DianaMacha-jf8gw
@DianaMacha-jf8gw 5 ай бұрын
Jamn Kwan yeye kakataaa kama yeye siyo mzee
@annethgod6642
@annethgod6642 5 ай бұрын
Hata ww utazeeka
@katambihamisi4130
@katambihamisi4130 5 ай бұрын
Kweli na hii ndio maana ya gari used ilipotoka imetumika na ikifika mikononi kwa watu wa magari used na wao wanaitimba mpka ikufikie wiki moja tu una paki.
@user-jm9mz7yq6r
@user-jm9mz7yq6r 5 ай бұрын
Mmmmh dida pole dada
@user-ov7ge3ci6f
@user-ov7ge3ci6f 5 ай бұрын
Mtangaji makuuu kwel
@mwakiboy968
@mwakiboy968 5 ай бұрын
Dotooo😅😅😂
@user-ft3fr1nu3w
@user-ft3fr1nu3w 5 ай бұрын
Hizo nywele dotto unaosha kweli
@Hasnspop
@Hasnspop 5 ай бұрын
😂😂
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 5 ай бұрын
Jamani mtu ameumbwa na Mungu, Dida ni mzuri.
@faidhacute
@faidhacute 5 ай бұрын
😮😮
@jamesmanala3394
@jamesmanala3394 5 ай бұрын
Panki kama mcheza ex wa uturuki😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@stellajoseph6212
@stellajoseph6212 5 ай бұрын
😂😂😂😂kaka anamaneno huyu😂😂
@Zuu673
@Zuu673 5 ай бұрын
Age gooo😂
@NicoOwaga
@NicoOwaga 5 ай бұрын
Haya!! Yetu macho
@mdmohammed9411
@mdmohammed9411 5 ай бұрын
Dida bila miwani hatobowi 😂😂😂
@JohnChibanhila-ld6vv
@JohnChibanhila-ld6vv 5 ай бұрын
😂😂😂
@alexkalonga5323
@alexkalonga5323 5 ай бұрын
Dullah amebaki na mkorogo tu
@ashahassan2120
@ashahassan2120 5 ай бұрын
Na ww doto wna washushua wenzio
@aminaramadhan3815
@aminaramadhan3815 5 ай бұрын
Jamani anamimba wakati haji kasema ajazini yy muislam mpaka aowe
@vero57
@vero57 5 ай бұрын
Dida mbona unaficha nini???
@kassimukipingu7917
@kassimukipingu7917 5 ай бұрын
Waandishi wa habari mnaonekana kama wajinga Wengine mpaka wanaogopa kuuliza maswali duu hao wanaohojiwa kama wanalazimishwa kumbe ndio wanapenda.
@user-kg7of9fr5x
@user-kg7of9fr5x 5 ай бұрын
Huwezi kusema mbingu na ardhi vimesimama sababu ya kuvishana Pete wewe mwehu vikisimama Basi mwisho wa dunia
@faridanurdin9635
@faridanurdin9635 5 ай бұрын
Pumzi zinamhadaa huyu anaropokwa tu hajitambui,njaa kali
@jamilajamal1584
@jamilajamal1584 5 ай бұрын
Hajiamini maskini na sura yake😂😂😂
@vero57
@vero57 5 ай бұрын
Izo nywele afadhali ukate tuuu unaonekana kama vipi sijui 😂😂
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 5 ай бұрын
Ndo utambulisho wake
@angelalyimo2862
@angelalyimo2862 5 ай бұрын
Chokoraa
@shuudewizzygal8435
@shuudewizzygal8435 5 ай бұрын
Huyu dotto😂😂😂😂😂
@user-rf4vw1in5g
@user-rf4vw1in5g 5 ай бұрын
Huyu dida ni dd ake jei mo, nauliza jamani ‏‪3:10‬‏
@husnaally867
@husnaally867 5 ай бұрын
Mbona dida anajificha uso😅
@lihavileah3054
@lihavileah3054 5 ай бұрын
Hivi uso huwa na nini? Kama sio miwani ni kofia
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂ila jmn waja
@ashuramhandoashuramhando6798
@ashuramhandoashuramhando6798 5 ай бұрын
Dotto kama Dotto hakuna mwingine wale Ngedere wa Kigoma hamuwezi Dotto hata waroge 😂😂
@user-mi9bu2yf1z
@user-mi9bu2yf1z 5 ай бұрын
Kwani anaumwa macho jamani😊
@joselinejonathan8818
@joselinejonathan8818 5 ай бұрын
Anaogopa kuonesha sura yake ya uzee
@angelalyimo2862
@angelalyimo2862 5 ай бұрын
Da Dida miwani vp
@user-fy9pw2zr8l
@user-fy9pw2zr8l 5 ай бұрын
doto acha kuachamba watu😅😅😅
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 5 ай бұрын
Yupo kazini
@joewasike6875
@joewasike6875 5 ай бұрын
Dotto😂😂😂 noma
@magrethsanga942
@magrethsanga942 5 ай бұрын
😂😂😂
@chinolanez838
@chinolanez838 5 ай бұрын
Mcheza X wa uturuk 😂😂😂😂
@Naju645
@Naju645 5 ай бұрын
Dida anajificha nn
@nareensaleh4957
@nareensaleh4957 5 ай бұрын
Hajavaa miwani maana camera zikimnyaka hatoboi
@nareensaleh4957
@nareensaleh4957 5 ай бұрын
Uzee
@avitrugakingirajr1669
@avitrugakingirajr1669 5 ай бұрын
😂😂😂😂 doto umenishida tabia 😂😂
@user-cr7vi4qp9c
@user-cr7vi4qp9c 5 ай бұрын
Lah mtu mzima
@RacherBakari-qh2gx
@RacherBakari-qh2gx 5 ай бұрын
Ujue zamani tulikua atuuingizi pesa saizi ndio watu wanaingiza pesa
@nyamandecharles3795
@nyamandecharles3795 5 ай бұрын
Dida anasura nzito mbaya loooh😂😂
@rukkysayid6613
@rukkysayid6613 5 ай бұрын
Ulimuumba ww umba wako msitie kufuru kwa maumbaji ya M.Mungu chunga mdomo wako😏😏😏
@ElizabethWamcha
@ElizabethWamcha 5 ай бұрын
😂
@munyaoemmanuel9616
@munyaoemmanuel9616 5 ай бұрын
Hila Dotto Magari ni Kiboko, ha hapa ipo
@ummukulthummohd5403
@ummukulthummohd5403 5 ай бұрын
Dida anaona aibu sura yake mwenyewe
@user-oy8sb7jg3s
@user-oy8sb7jg3s 5 ай бұрын
Visimame kwan ndoa huo ni ujinga wenu mlio jipangia wenyewe eti mbingu isimame kwa lipi
@noraazan9124
@noraazan9124 5 ай бұрын
Wanaume wa siku hizi shikamooo
@augustinemainde2730
@augustinemainde2730 5 ай бұрын
Mi naenda Bayport kukopa nimpate Dida
@dianazambi2447
@dianazambi2447 5 ай бұрын
Dida kazeeka ataki ata picha😅😅😅
@RahmaFadhili
@RahmaFadhili 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@KarimOmar-fp5kq
@KarimOmar-fp5kq 5 ай бұрын
Dotto magari nakkubali snaa nikija dar nitakuja tambuu motors nikuone
@ForodhaniZanzibar
@ForodhaniZanzibar 5 ай бұрын
Leo nimeamini kama ili doto lilikua teja
@bernardjohn8788
@bernardjohn8788 5 ай бұрын
Du huyo dada kama angekuwa mwanakwaya anaimba sauti ya ngapi?
@YasiniMahomba-mx6ux
@YasiniMahomba-mx6ux 5 ай бұрын
Msimalize maneno muweke na akiba uyo mwanamke kafuata pesa tu
@user-ov7ge3ci6f
@user-ov7ge3ci6f 5 ай бұрын
Mtngazaji wa uwongo huyu
@user-vb7tu5zs9d
@user-vb7tu5zs9d 5 ай бұрын
Minywele kama kichaa
@eenockmaroo36
@eenockmaroo36 5 ай бұрын
jamaa ana maneno MACHAFU sana kwanini mnampa airtime???
@MejaYaro
@MejaYaro 5 ай бұрын
😅😅😅😅
@reganclarence4657
@reganclarence4657 5 ай бұрын
Uyu doto ni zaidi ya mkojani
@lilybarongo8119
@lilybarongo8119 5 ай бұрын
Simpendi huyu mbwa anavyowadhalilisha waandishi wa habari,na Hawa wanaomfata huyu mjinga akili zao sio
@raymondclaud6026
@raymondclaud6026 5 ай бұрын
Ni ujinga halafu anajifananisha na wakina mwijaku wakati hawapi heshima waandishi
@JacklineNamundengozi
@JacklineNamundengozi 5 ай бұрын
You sound stupid and jealous.😂​@@raymondclaud6026
@JacklineNamundengozi
@JacklineNamundengozi 5 ай бұрын
You sound stupid 😂 jealous 😏
@ameirameir4930
@ameirameir4930 5 ай бұрын
Wacheni hzo wandishi gn hawajui kuhoji wala kuuliza wananaswali hvyo hvyo hvyo kabisa sidhani km wanaisomea hii fani
@stellasheba842
@stellasheba842 5 ай бұрын
Hafanyi vyema. Bila Hao waandishi huwez kuonekana popote.heshimu taaluma za watu
@sadajackson3209
@sadajackson3209 5 ай бұрын
Dida siyo mzee sema sula yake nizito
@ashaahmad720
@ashaahmad720 5 ай бұрын
shida waandishi wa habari pia wanakuwaga na maswali ya kiwaki yan hayana maana kabisa😂
@zafarmohamedy3013
@zafarmohamedy3013 5 ай бұрын
Hahahhah
@lainamohamed-px6el
@lainamohamed-px6el 5 ай бұрын
Sio ugonjwa wa macho umemfikia
@user-sq2zk9lu4z
@user-sq2zk9lu4z 5 ай бұрын
Anamaneno machafu simpendi dotto 😏
@salumuseif3324
@salumuseif3324 5 ай бұрын
ex wangu mbwa yule alivyokonda 😂😂😂😂
@user-li6hy1rr5c
@user-li6hy1rr5c 5 ай бұрын
Diba anficha uso kwann jmn😂
@rukiamziwanda7458
@rukiamziwanda7458 5 ай бұрын
Dotto acha sifa
@elishajailosy4916
@elishajailosy4916 5 ай бұрын
Umaharufu ukishanuka🕵️
@halimaamani4095
@halimaamani4095 5 ай бұрын
Kijuso kibovu
@JacklineNamundengozi
@JacklineNamundengozi 5 ай бұрын
Dotto 😂❤
@nassjenas2714
@nassjenas2714 5 ай бұрын
dotto 🤣🤣
@abednego3876
@abednego3876 5 ай бұрын
Doto mpumbv
@mengifrank8070
@mengifrank8070 5 ай бұрын
Doto bwana eti mafulana yenu yanavufungo 😂😂
@ShadyaSeifu
@ShadyaSeifu 5 ай бұрын
Hiyo minywele ukakate upo kama ndondocha
@songombingo108
@songombingo108 5 ай бұрын
Huwa najiuliza watu wa aina hii wanaoitwa Chawa huwa ni wanaume kweli? Yaani kukaa na kumsifu Mwanaume mwenzio Tena kwa kujitapa mbele yake ukijikombakomba kama unayempa kinyeo. Kwani watu wa aina hii huwa hawana kazi nyingine Kule Dsm zaidi ya KUJIPENDEKEZA kwa watu na KUJIFANYA kuwaongelea kwa mazuri tu utadhani ni Malaika. Upumbavu huu upo huko Tz tu. Mtu mzima kukaza mshipa wa shingo KUSIFU Mwanaume mwenzio.
@msafirifabian2143
@msafirifabian2143 5 ай бұрын
We ukilipwa pesa za kutosha kwa ajili ya kumsifu tu mtu hufanyi hiyo kazi??
@user-fi9gm2et5r
@user-fi9gm2et5r 5 ай бұрын
😂😂😂
@stanleymanya438
@stanleymanya438 5 ай бұрын
Hao wapo kwaajili ya wanaopenda kusifiwa, hata kwenye MAFANIKIO yako wapo😂😂😂😂
@rerisamba
@rerisamba 5 ай бұрын
Nenda ukafanye kazi za mijengo uumize na za kubeba magunia sokoni uumize mwiili wako in the name ya kuitwa mwanaume basi
@jescasanga2005
@jescasanga2005 5 ай бұрын
Doto😂
@henger_msafy_001
@henger_msafy_001 5 ай бұрын
Huyo manara kiboko yake konde boy 2😂😂😂😂😂😂😂😂😂 alililiwa rushayna huku anaonaaaa😂😂😂😂
@awadhally1052
@awadhally1052 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@fettymilly7664
@fettymilly7664 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂 ila dida
@hafidhyakoub8369
@hafidhyakoub8369 5 ай бұрын
Video musizifute hizo tusubiri
@IsmailRashid-sx4pf
@IsmailRashid-sx4pf 5 ай бұрын
Unprofessional waandishi
@zmclassictv
@zmclassictv 5 ай бұрын
kzfaq.info/get/bejne/Z-Cbn5qSxrzNY58.htmlsi=-eurPS-n2395rPPM Babalevo adandia kesi
@user-ks3gf7zn4y
@user-ks3gf7zn4y 5 ай бұрын
Jamani toka nimsikie dida. Nilikuwa shule
@giztony2009
@giztony2009 5 ай бұрын
Yani tokea nipo shule ya msingi anaitwa dina wa mchopanga
KIMEUMANA: DOTTO MAGARI NA MZAZI MWENZA NUSU WAZICHAPE STUDIO
27:31
Wasafi Media
Рет қаралды 205 М.
THEY WANTED TO TAKE ALL HIS GOODIES 🍫🥤🍟😂
00:17
OKUNJATA
Рет қаралды 21 МЛН
Heartwarming: Stranger Saves Puppy from Hot Car #shorts
00:22
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 21 МЛН
The child was abused by the clown#Short #Officer Rabbit #angel
00:55
兔子警官
Рет қаралды 25 МЛН
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 42 МЛН
WEMA SEPETU ,ALAMBA DILI LA KUCHEZA FILAMU NA MASTAR WA KOREA ,
11:28
DUDU BAYA:WANAWAKE NI WACHAFU KAMA MBWA MWENYE FANGASI
4:15
MAMBAZ 24 TV
Рет қаралды 2,6 М.
Ndaro na Leonardo Waoneshana Ubabe Jukwaani, Ona hapa nani mkali?
21:33
Why are all guys such show-offs?
0:20
F&T Team
Рет қаралды 19 МЛН
Heavy package 🤭🤣 #demariki
0:25
Demariki
Рет қаралды 7 МЛН
ТГК: ЛОГОВО FRIENDS #россия #чатрулетка
0:21
АлексДан
Рет қаралды 8 МЛН
Эксперимент вышел из под контроля😱😢
0:57
Следы времени
Рет қаралды 4,8 МЛН
Ужасное свидание🤯 #стальноймужик #жиза #еда
0:50
SteelMan XXL | Стальной мужик
Рет қаралды 3 МЛН