Kweli chama mbona mchezaji wa kawaida chama chama why chama?
@user-bt6ep3yb2h24 күн бұрын
Huyo ndiyo maana amefungiwa kujihusisha na mambo ya simba, huwa nafikiri hajitambui kwenye football.
@user-wb9pj7do6i24 күн бұрын
Chama sio wetu tena siz tumuombee Charles na ujio wa Elie mpanzu
@kassimkingu551224 күн бұрын
Wanasimba hembu tuachane kumkumbuka chama tumsahau huyo chama
@lawlencekalenga421224 күн бұрын
Ifike mahala watz tuvikubal vyakwetu hata kama havijitoshelez kwa mahitaj 100% ,,kila ck tunawasemea vizur wageni tu jaman tubadlke
@MgeniSaid-fp3wg24 күн бұрын
Msubiri dawa iingie mwilini
@kassimkingu551224 күн бұрын
Were vipo MO kila kitu unafananisha na chama kwa nini
@ZachariaMwita-bu7rw24 күн бұрын
Huu uchambuz ni kupotez tu muda uwezo utaonekana uwanjan
@user-bt6ep3yb2h24 күн бұрын
Kama chama ni mchezaji wa kawaida ya nini mda wote kumlinganisha na wachezaji wengine? Huo ni udhaifu wa wivu kwa vile kaenda upande wa pili, muwe mnajitambua kwenye football. Mchezaji yeyote akihama timu ni bora kuachana naye kuliko kila siku mnalialia kwa nini amewaacha. Mlikuwa mnamtaka azi K mkashindwa, kwa nini msiwe mnamlinganisha na wachezaji wenu?.
@AdoniasManyama24 күн бұрын
Ni bonge la mchezaj
@osiahlupa160524 күн бұрын
Huu sasa ni ujinga kila mchezaji anaesajiliwa simba mnasema ni zaidi ya chama. Why?
@Sanjey-vp1fm24 күн бұрын
Hata yanga walivyokuwa wakisajili kila mchezaji miaka ya nyuma walikuwa wanasema zaidi ya chama, mbona ulikaa kimya?
@ZAMZUNZAMIRU24 күн бұрын
Kweli chama mbona mchezaji wa kawaida chama chama why chama?