Tatizo aishi ni msariti kwa klub kwahiyo analipwa kile alicho kifanya kwa usariti
@bellenoe41424 күн бұрын
Mchezaji wake ndo maana inamuuma😂😂😂
@edwardmbonika510224 күн бұрын
Aishi ulitochufanyia mechi ya prison mungu akubariki
@kassidpandu86624 күн бұрын
Mwache apate Adabu huyo jamaa aliuza Mechi na yanga clear kabisa
@clarencemeena162824 күн бұрын
Aishi alikuwa mchezaji muhimu sana ndani ya Timu lkn baadaye alijigeuza duka la utopolo
@shaameshaame283724 күн бұрын
Hilo ni somo kwa wachezaji mujue timu hazina fadhila punguzeni muhemko wa kusajili miaka mingi maana bongo mashabiki wakikuvisha kikoti cha usaliti na viongozi wanaburuzwa juu ya maamuz. Aishi fanya mazoez yako pumzka kama umebakia mwaka utaondoka na kibegi chako uende utakako lakn kama ulisain miaka 5 ukaiona simba ya maana ndo majibu yao hayo
@nkoydavid965824 күн бұрын
Tamaa za Aishi zimetuumiza sana wanaSimba mashabiki wengi hatuna imani nae tena.. viongozi wamwache aende tu au avunje mkataba yeye
@EzekiaMichael-jn5np23 күн бұрын
Kumbe Said ni mnyama kamili
@fatherjaytz24 күн бұрын
Duka la Mbangula magoli ya kise sana
@luindabablui721324 күн бұрын
Leo mnaisema Simba vibaya msimu ukianza mtaanza kuisifia tena
@ramadhanimsangi951523 күн бұрын
Aishi alikua duka,.kasahau heshima aliyopewa, akataka hela ya haraka, sasa aombe uwakala wa magodoro GSM
@erasmusleonidas672924 күн бұрын
Azam avunje mkataba wa Manula wampeleke tupate ela mambo yaishe
@abdallaselemani24 күн бұрын
Kama anataka kuondoka avunje mkataba
@user-ok8wc7io9r24 күн бұрын
Shida wametukatalia fei toto 😅😅😅😅😅😅😅
@jumannekimpundu478924 күн бұрын
Ni sawa mbona wao wamemzuia Feitoto?
@user-wl4yo4zp9t24 күн бұрын
Aende tu hata bila ya thank your mbona chama kaenda bila thank your?
@filbertkisauke564723 күн бұрын
Watu wanaponda usajili wa simba Kwa sbb si Azam watoe pesa Sasa inakuwaje .
@samwelsilas62924 күн бұрын
Azm watowe hela
@tatalyzer38222 күн бұрын
1:49 mbona issues za Fei Toto na Yanga hukuacha watu au jamii iseme,uliongea mpaka povu lilikukauka mdomoni
@chriskudilla535524 күн бұрын
DUKA ILO alituuza vs Yanga
@bavonichristopha169324 күн бұрын
Ushaidi unao my brother mimi binafsi ni simba lakini ile mechi yetu na yanga viongozi wenyewe ndio waliofanya makosa ya kushinikiza kocha amchezesha manula na uku wakitambua fika manula katoka kwenye majeraha
We unaongea ila inaonekana hujui kiundani kunasababu huyo jamaaaa bhna ni mbongo tu😅😅
@user-hu4el2rx2u24 күн бұрын
Manula msaliti ka chama na inonga sisi tunajua
@user-wn9bp5cl1j24 күн бұрын
Tunasafisha wasaliti wotee😅😅
@chriskudilla535524 күн бұрын
Alituuza
@gilbertmaganga937024 күн бұрын
Analeta usaliti
@godfreymanyilizu578924 күн бұрын
Sasa hii Ng'ombe inasema yenyewe sio Simba sasa hapo inaropoka nini sasa.
@nellykira781224 күн бұрын
Kibaraka huyu
@user-bx1qo9fe3q24 күн бұрын
Simba wanashida na Hawa wachezaji waliotokeanao mbali wanawazalau itawatafuna msim ujao kumiiiiiiiiiiiiiii tilipuhii
@abdallahally84224 күн бұрын
Anaemtaka manula amnunue sio mkopo
@GeorgeSikazwe-mm7nn24 күн бұрын
Jamii iamue nini ww achana na simba..ww sio msemaji wa wachezaji
@YOSHUAMWAMPETA24 күн бұрын
Halufu maneno ya kihuni ya ukikubali kuolewa YANASEMWA NA WENYE AKILI FINYU VIJIWENI NA WENYE ELIMU DUNI VIJIWENI WAVUTA BANGI.Kwa mtu Mwenye WELEDI na MTU MZIMA hawezi kutamka hayo kwenye VYOMBO VYA HABARI.JIHESHIMUNI ILI MUHESHIMIWE
@user-hu4el2rx2u24 күн бұрын
Chama huyo achezi kama kasaliti Simba tutamsomea albadir kama alivyo saliti simba hata cheza yanga mtakuja kuona sisi atumfichi mbaya sana chama Bora angeenda Azam au kmc kuliko yanga hatumuachi si ameona kwa Morrison na mayele na yeye pia
@BenjaminiMathayo24 күн бұрын
Unatolea maelezo habari za Simba wewe ni nani au unatafuta kiki
@suleimanmakameissa607123 күн бұрын
Kwani apo anazungumzia Simba au Manula ambae yeye ni mchezaji anaemsimamia?
@ernestkamata255524 күн бұрын
Huyu siyo mchambuzi ni msemaji wa upande mwingine
@subiraaddo86424 күн бұрын
Kwani si useme tu chama keshazeeka unavunga vunga nn??
@jaffjeff691223 күн бұрын
Kasema tukutane kwa Mkapa aongei sana by Chama
@user-wl4yo4zp9t24 күн бұрын
Kusajili wachezaji wengi haikuhusu achana na simba yetu.
@YOSHUAMWAMPETA24 күн бұрын
Umejuaje kuwa nilitaka kuzema hivyo?
@user-hu4el2rx2u24 күн бұрын
Chama tutamshushu busha la nyuma alafu tutamuona kama tarehe 8 DABI hatacheza na akicheza hapo hapo tunampa
@jaffjeff691223 күн бұрын
Mzee mpili kasema atakae mgusa Chama anaruka nae kama kipanga msijaribu muacheni acheze mpira
@bavonichristopha169324 күн бұрын
Viongozi wetu wa Simba hacheni mambo ya hovyo hovyo kama hutuna mpango nae Aisha manula basi mwacheni aenda hata kwa mkopo azam
@yusuphmdadike875824 күн бұрын
Atoe pesa anunue mkataba fullstop
@subiraaddo86424 күн бұрын
Kwani huyu ndo msemaji wa simba au??
@jaffjeff691223 күн бұрын
Tukutane Lupas😊
@user-ox4fv4cf5l24 күн бұрын
TATIZO LAWI BADO ANA MKATABA NA COASTAL NA MBONA HILO HAMLIHOJI?
@soniimedia244024 күн бұрын
Huu ni wakati wa simba kubeba makombe tusisikilize propaganda ukweli simba anasajili vizuri na watakaoachwa hawapo kwenye mipango yetu.
@FIDELISMfugale24 күн бұрын
Hatumtak kabisaaaaaaaaaa Huyo group Moja na Chama,inonga, Tunafanya USAF wajinga wote waondoke
@user-fi6hb3lp5y24 күн бұрын
Hivi wewe yupo mchezaji aliesajiliwa Simba ukasema wamepatia? Mbona too much know wewe
@bellenoe41424 күн бұрын
Meneja wa manula 😂😂
@patrickdaffa120722 күн бұрын
Heshima ya nini kama mtu anauza game heshima ya nn? Simba sio wajinga na simba ndo timu ambayo inaachana na wachezaji vzr sana.ukiona wanafanya hivyo ujue Kuna kosa kubwa kafanya.
@AbisinaRashidi-c8d23 күн бұрын
Msaliti Hana lolote mbwa aende zake na mwenzie chama wahujumu wakubwa Aishi muujumu