Nyeeeenda huko na wewe umetuchomesha mahindi jumatano tumekesha ujue ulipe faini
@JoaCastor3 күн бұрын
Linah ni muuaji mkubwa😢😢😢
@ChausikuJoseph-bd9fx3 күн бұрын
Anafaa kipigo
@Taito-brand3 күн бұрын
Amezngua sana yan kinouma acha kutufany ss watt wadg bloof
@mohdmassoud30523 күн бұрын
Waliokesha jana jumatano kusubiria hii movie bila mafanikio tujuane hapa tupeanw pole kwa usumbufu 😢
@judithkadhengi72303 күн бұрын
Kumbe tupo wengi
@bennamush46163 күн бұрын
Walitukosea kwakwel
@rizikisam64813 күн бұрын
😢😢
@user-jy7yh3fh8g3 күн бұрын
Tupo apa 😂
@Arafa-dt9sh3 күн бұрын
Tumekesha voo kila nikichungulia ebooo
@Phoebenafula3 күн бұрын
Linah kinakuramba pole pole, like za kevin hata kama tatu
@Cuteeeee4773 күн бұрын
Tuliochungulia jana mpaka tukachoka tujuane hapa 😅😅
@user-rg8fq8fc3k3 күн бұрын
😅😅😅mpaka niliboeka
@colooboy3 күн бұрын
Wakwanza like zangu kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@karimmarcelo71643 күн бұрын
Haujaenda kuandamana????😂😂😂
@ashakimaya65273 күн бұрын
Nampenda boss maya hanaga konakona yani ni anakuchana Live ,ww tu kama unazika au unasafirisha ❤😂 maua yako maya ❤❤❤❤
@user-er3cb9mb9m3 күн бұрын
Much love from Kenya guys like back niwangapi wanamkubali mze sponser tujuane kwa like Apo chini 👇 gonga like❤😂
@allymwashambwa59203 күн бұрын
mko vizuri sana kelvin na wenzako ,tatizo ni moja tu kuchelewesha kazi
@user-wk5yv4um4m3 күн бұрын
😂😂😂😂 wangapi Jana atujalala vzr tikiwa tunaisubiri siku Moja kabla ya ndoa
@judithpendo99853 күн бұрын
Olaaaaa ulikua unategea siku moja kabla ya ndoa mko wapi jmn naona Lina n Rashid kikiwaramba apa 😂😂😂 nawapenda nikiwa Riyadh 🇰🇪🇸🇦 team strong hoyeeeeeeeeee nawapenda nyote pamoja n team Kelvin 🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦
@user-eu4pk3eh5d3 күн бұрын
Uko saudi kupoje timu galf mama stori zake ni shida 2kiziskia
@MaryPendo-gy4yr3 күн бұрын
Kiwarambe kabisa
@HidayaMbodze3 күн бұрын
😂😂😂
@judithpendo99853 күн бұрын
@@user-eu4pk3eh5d usiskie njoo uone 😜😆
@mkubwakhatibu3 күн бұрын
hapa tu team kelvin ndio mnatubowa mashabiki zenu mnakawia sana kutoa episode nyengine tunakupendeni sana mungu awabariki sana ktk kutafuta riziki zenu za halali
@HamisiRajabuMihayo3 күн бұрын
When you looking this movie you get the lesson on how women are, and this is reflect in our communities. Thanks dont family.
@Husna-uu9oc3 күн бұрын
Kaka plz sio wanawake wote , na hata wanaume pia wako na hizo tabia
@Husna-uu9oc3 күн бұрын
Movie inafunza jinsia mbili kaka acha nikujibu ona moses anaenda kudanganya mama mngonjwa kisa apate pesa kwa ajili ya mwanamke , halafu rashid naye pia anatembea na mke wa kakake what is that hapa tunapata funzo mke na mme
@kichecheBurund3 күн бұрын
Nimependa Ila munakwiya kutosha part ❤❤❤❤nyingine
@sikudhanimohammad76923 күн бұрын
Mbona hii ndo wamekawia? Acha kulalamika bhana
@JumaGendeye-sv6yl3 күн бұрын
Wakwanza reo jamn naomben like
@NiyonkuruAlan3 күн бұрын
Mjitaidi basi kutupeya movie yetu mapema tunawakubali sana kwa kazi yenu
Mimi wakwanza Leo please ❤❤ naombeni like senu please ❤❤
@sofiakinyia27343 күн бұрын
Gunia la pesa lishaenda Bado kelvn nae ywachunguza🎉🎉🎉🎉❤❤
@FatimaFatima-bx8ez3 күн бұрын
We dada muogope mungu basi Gari zote hizo zilikuwa zinapita njia moja aaa we noma 😂😂sikuwezi Lina kusema ukweli ❤❤haya utafanyaje siri sai imeshaanza kuvuja😢😢masikini klvn 😮😮😮mashaallah nawapenda nyote washiriki wa hii movie 🎉🎉nice 👌 👍
@PuritySalama-yv6toКүн бұрын
Mimi ananikera malya mkubwa
@user-kx8fp4xx2g3 күн бұрын
Kelvin ,mmelalia kazi hapa. Mmechukua muda mrefu sana kutoa hii episode
@5googleuuu7273 күн бұрын
Film Ina mafunzo sana kwa jamii hongera sana brother Calvin ❤️❤️
@SamuelIbrahim-u7p3 күн бұрын
RASHIDI MORE LOVE MY BROTHER
@user-pn1ob4sb6v3 күн бұрын
Nikiwa Lubumbashi rdc kelvin na mzee mnamchangania vick kweli
@ellybalo51633 күн бұрын
Team kelvin from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 nipeni likes basi
@OmegaNelson-ho1no3 күн бұрын
Hii movie inafundisha sana na haya ni mambo yanayotokea ktk jamii..Mungu akutunze kelvin na team yako
@LoiceKatana-ci1tx3 күн бұрын
Kazi nzuri naona Linah kitakuramba tuu boss lady nae ametoboa siri uko kelvin sasa anajua kila kitu, mimi nawapenda nyote kwa mafunzo mazuri munayotufunza🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@ZainabuAbdul-fv6wm3 күн бұрын
Hahaaaaaaa Mzee nae noma kataka picha na kuongea nae pia
@user-nq5fi5mz4y3 күн бұрын
Wa 1 leo
@user-nq5fi5mz4y3 күн бұрын
Wa1 leo kwakweli
@HappyJumwa-h9e2 күн бұрын
Kimenukaaa 😅😅rinaaa chuna chako kimotoni kna tawi la kelvin ndilo limebaki bas jua lnitingisika mda were litaangkaaa😂😂😂 team kelvin naomba like hta kumi tuu ntashkuruu....🥰🥰🥰
@FrancisIsia3 күн бұрын
Nawashukuru kwa wito wengu🎉🎉🎉yani nilikua nimewamiss sana.❤❤❤
@user-ql7to3rm3p3 күн бұрын
Nipeni like na mimi leo❤❤❤❤
@fabiolaniciteretse3 күн бұрын
Kevin tunakupenda from Burundi🇧🇮🇧🇮 Aise munajuwa kuyigiza vizuli sna .
@user-is4xu8nd8l3 күн бұрын
Wa kwanza leo naombeni like zangu from zanzibar❤❤
@user-ro1fg5ur9l3 күн бұрын
Nimewahi naomben like ❤❤❤❤
@daudic.mpinga46063 күн бұрын
Daah mbona hiii mmeichelewesha sana
@BenedictoMlela3 күн бұрын
Dah washaweka comment 😂😂 one day Yes yangu itakuwa no 1 😅
@alhajiFashions75633 күн бұрын
Kelvin Qmaanyoko Secondary school 😂😂😂 mnatuchelewesha sana bhna
@user-ev4hv9hx4c3 күн бұрын
Matusi Tena jaman
@user-gr2iy1ed3o3 күн бұрын
Wakwanza 😂😂😂
@thauriayetu61593 күн бұрын
Kutoka Pemba tunawapateni vyema na like kwa wingi zimiminwe hapa.❤❤❤
@Farida-uz3vr3 күн бұрын
❤
@user-hm6hy6rr1h2 күн бұрын
Oooo kumbe nip na mpemba mwenzang jaman oooo tujuan wapemba wot ❤❤❤❤❤❤
@thauriayetu6159Күн бұрын
@@user-hm6hy6rr1h tupo
@RizikiZiki3 күн бұрын
😂😂😂 Kelvin Boss wako ni mme mwenziyo munacangiya combo anakucora Kelvin utajuwa naiyo bonge la saplaizipole sana Kelvin 😢iyo ndoa iyo itakua ndowano
@CharmingAngel-wx2sk2 күн бұрын
Funga zip😂😂😂😂😂😂😂,funga bakuli😅😅😅😅😅 aki woye, kevin unyamavu huu unapanga nini,hope unajipanga kulipua,😂😂😂😂😂
@user-pn1ob4sb6v3 күн бұрын
Napenda sana mzee huyo Mukicheza na kelvin
@JullianaEmmanuel-tm5xg3 күн бұрын
Dakk jaman Jaman
@JaduduSaidy3 күн бұрын
Wakwanza tena🎉😮😮
@LukasNgombaniza-oq3lc3 күн бұрын
Kaka kelvin hongera umekuwa mtulivu sana kwakila move, naumekuwa Bora Sana kiukweli binafsi nimeipenda sana kazi yako namungu azidi kukubariki nakukuongezea maarifa yakutuelimisha zaidi wanajamii.
@mwimagamba-ry7ts2 күн бұрын
Aamin aamin aaamin
@user-qr9gn7xg8m3 күн бұрын
Du! Wanaume angalien najinsi mnavyopenda visivyo pendeka mpaka unasngizia mama mgonjwa
@OfficialJarden3 күн бұрын
Kazi nzuri ila hmn at sound track ya mishtuko ipo kmnya san
@user-qd7ey5cp5s3 күн бұрын
Kevin usiniambie bado uko na plan za kuoa lina😢yaani kwa hii filamu lina ametembea na kila mwanaume amebakisha kuruka kwa hii screen tu apite na nyinyi wenye mnasoma hii comment💔😢😢😢
@user-xo7ns7bc8c3 күн бұрын
😂😂😂😂🎉
@WinifridaKisinga3 күн бұрын
Kweli kabisa linah ameuwa kwakweli 😅😅😅😅😅
@AnnaDaudi-ol9gd3 күн бұрын
😂😂😂
@shilathedon730522 сағат бұрын
Mtubanilishie na mazngla jaman Kalbia movies 5 had 6 mazngla hayo hayo kwel
@JoyceJackson-sk7lu3 күн бұрын
Namimi like japo 5 tyu nimewah wah
@user-xm5lr1zg4r3 күн бұрын
mnapenda like huwa mnazipeleka wapi au inawapa faida gani badala msapoti kazi na kutowa ushauri
@OmariIddy-hg4fl3 күн бұрын
Sasa Kelvin mbona amukutuonesha gisi mama linah ali amka. Alafu nyingine amukutuonesha gisi mulifanya wakati uli wafatiliya linah na mdogo yako
@zomasamweli3 күн бұрын
Kweli wanachanganya mambo
@esterkimalio88463 күн бұрын
Duuuh linah kimekulamba😊
@user-so8jh9yv6k3 күн бұрын
Waoooh 🎉 sijuwi ni Lina mupenda tuwili kamoja......
@ArRahman-ih1pi3 күн бұрын
Lina so MTU mzuri Kwa kweli
@SalomeSumbizi-ll9wc3 күн бұрын
Nzuri mno🎉🎉🎉
@everlynematafari2483 күн бұрын
Hapo patamu jamani hongera 🎉🎉 lakini mnachelewa sana.
@user-fn7zn1bj6n3 күн бұрын
Leo hakuna mambo na kucheza kama peleee😂😂😂 kidagaaa kimeozaaa😂😂😂
@SuleimanNgao-p7x3 күн бұрын
Uyo mwanamke ni hatari sana😮😮
@JeanNiyompano3 күн бұрын
Ongeleni sana nawapenda kabisa
@JoelKaitira3 күн бұрын
First one to view and coment
@edimaralupenza9173 күн бұрын
Mmeichelewesha Sana daah kazi nzur
@AbweThomas2 күн бұрын
Tunasubiri vipande vingine kwaamu sana kelvin kila siku nalala nyuma kwa kusubiri vipande vingine
@HassanHezron3 күн бұрын
Mmetisha kaka nyie hatarii sana
@SamweliFuredelick-p9t3 күн бұрын
Nimefurahi sana kuona imetoka
@user-gr2iy1ed3o3 күн бұрын
Kaka kelvin kazi nzuri sana wakimbizeni MUCH LOVE ❤❤❤
@agnessntiburella88163 күн бұрын
Jamani ni nzuri sana, ila mnachelewa kutoka mwendelezo
@theodorachaki51743 күн бұрын
Hongereni kwa kweli timu kevin mujitahidi kutuwahishia mana nilikuwa nakesha humu kuitafuta lina hiyo mojamama gunia limeenda na maji umeishiwapesa za kumuhonga james hadi anakwenda kukopa kumpatia tina naye akamuhonge rashid
@arikibok47353 күн бұрын
Courage Kelvin Nawapenda san ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@HappinessJohn-vw8hk3 күн бұрын
Ujaulizwa Rashid wanaseme funga zip maelezo ya nini
@JudithGeorge-mw7fe3 күн бұрын
Mnachelewa sana had tunasahau
@JoyceJunior-xb5ib2 күн бұрын
Umetisha xana Kaka Kelvin ww Nina nakukubal sana
@DishaniDisha-zm2gm3 күн бұрын
Kazinzuri sana kabisa 🙏 🙏 🙏
@YolandaJoachim-bp1ze3 күн бұрын
Ama kweli watu tupo macho
@official_sophy3 күн бұрын
Much love from Kenya🇰🇪 good job guys ,ila Linah hapana hakufai Kelvin,and please naomba like zenu.
@aishaabeid81063 күн бұрын
Yule baba sposa😂😂😂mama Linah jmn et sposa
@KingsleySiteti3 күн бұрын
Siku hizi mnachelewa sana kuposti😅
@MayengDulu3 күн бұрын
Kazi poa sana
@Fatma99-ve7ys3 күн бұрын
Mwachelewasha kaz tatizo lenu
@glorymlawa7078Күн бұрын
❤😂Rashid kala kasahau kunawa mikonoo!!aliye ni elewa gonga like
@user-xu6pk3cv4v3 күн бұрын
Mbele bila kusita🎉.🔥🔥🔥
@mkubwakhatibu3 күн бұрын
ila hongera pia mze sponsa unajuwa kuigiza faza hongera sana Allah awabariki
@basimisemusafiri48563 күн бұрын
Kwanini mimi amujawayi kuniadikiya nikibaadikiya munanijibutu👍kwanini lakini 😂😂
@sikudhanimohammad76923 күн бұрын
Hatukuelewi ndo maana
@kemmy_shanty91013 күн бұрын
😂😂@@sikudhanimohammad7692
@user-vj1mo2uo8e3 күн бұрын
Ani hili limama linajua kuigiza hamna mfano hivyo inahitajika muwe nae kwene kuigiza at ametisha mno anajua kuigiza 🔥🔥🔥🔥
@UmiMazari3 күн бұрын
Mama lina yuafurahisha sana hajui km wote kita waramba
@sfiaalanazi547922 сағат бұрын
Hongera baba lina anamdhalilisha kelvin
@RebecaGahise-lb9rr3 күн бұрын
Msiiguse comment yang jomonii..😂😂😂
@MohammedyJuma-wf3jc3 күн бұрын
Na imeguswa 😂😂😂
@user-uw5dr7yy6d3 күн бұрын
I'm let bt i appreciate you guys
@AbweThomas2 күн бұрын
hii movie naipenda sana ndugu
@CarolyneNyanchama-yk1gf3 күн бұрын
😂😂😂poor linah umempoteza sponsor already kwa kelvin hali sio nzuri😂😂huna bahati mama alf kelvin wewe unavyomtazama Rashid wuee naisubiria hiyo siku anyway team donta I love you ❤❤ from 🇰🇪🇰🇪
@user-op7yu8nq6k3 күн бұрын
Daaa yaani linah bora tu aachike anamtesa sana kelvin
@Husna-uu9oc3 күн бұрын
Timu donta hongera mnatuelimisha na watch nikiwa qatar yaniisei hongera kwa kazi nzuri
@IgnaseTalaboe3 күн бұрын
Daaaaahhhh familia malaya nayo ni changamoto kuichumbia