Doto Biteko: Tuwe Watulivu Madini Yetu Hayaibiwi I Tumebaini Yapo Mengi I Tutatoa Vithibitisho

  Рет қаралды 3,576

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

2 жыл бұрын

Siku ya Alhamis Tarehe 21.4.2022 (Bungeni) Mbunge wa Mkinga aliuliza swali lake kuhusu Jiwe la Rubi la kilo 2.8 lililopo katika maonysho katika mji wa Dudai na linakusudiwa kupigwa mnada kama Tanzania inanufaikaje na mnda huo..? Naibu Waziri Mhe. Dkt. Steven Kiruswa alitolea ufafanuzi.
Lakini leo kwenye semina ya Wabunge iliyoandaliwa na Shirika la Madini Tanzania Madini (STAMICO), Mbunge wa Geita Mjini Mhe. Constantine Kanyasu na Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Salome Makamba, waliuliza tena swali hilo na kuomba ufafanuzi wa kina, Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko, amelitolea ufafanuzi jiwe hilo katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma.
#KutokaBungeni
#CloudsDigitalUpdates

Пікірлер: 2
@andrew29468
@andrew29468 4 ай бұрын
HUYU MTU NI MAKINI SANAA ENDELEA HIVYO BROO.
@ntegrity277
@ntegrity277 11 ай бұрын
Tanzania shamba la bibi Magufuli alisema mkampuuza
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 55 МЛН
Ouch.. 🤕
00:30
Celine & Michiel
Рет қаралды 26 МЛН
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 7 МЛН
JPM: Biteko alikuwa anaichachafya serikali
1:47
Azam TV
Рет қаралды 6 М.
Joseph Kusaga Atoa Kanuni Muhimu Za Mafanikio Kwa Vijana
7:36
"Polisi punguzeni Vitambi" Rais SAMIA akemea Vitambi kwa Askari Polisi
11:33
MFAHAMU DK. DOTO BITEKO NAIBU WAZIRI MKUU MTEULE
6:02
Daily News Digital
Рет қаралды 91 М.
#starman #superman #viral #shorts
0:28
Starmaan
Рет қаралды 30 МЛН
MAGIC FINGER TRICK TUTORIAL 😱😳
0:11
Milaad K
Рет қаралды 11 МЛН