Рет қаралды 33,403
Waziri wa Madini, Dotto Biteko agoma kuufungua mgodi wa Nyarugusu Mine uliyopo Geita uliofungwa na serikali miezi saba iliyopita hadi pale mgodi huo utakapozirudisha dhahabu kilo 5.72 zilizokamatwa na serikali zikitoroshwa kinyume na taratibu.
#AzamTVApp #AzamTVUpdates #UTV