DOTTO MAGARI,AMVAA WEMA SEPETU ,UMEKOSEA WIVU ANANYUMBA YAKE

  Рет қаралды 26,174

BONGO 24

BONGO 24

10 ай бұрын

#bongo24 #wema #whozu

Пікірлер: 106
@ggvv9970
@ggvv9970 10 ай бұрын
Eti msiwalike wazazi wacheni nimeipenda hiyo😂😂😂😂😂❤❤❤❤
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂hatari
@charlesmwambinga4355
@charlesmwambinga4355 10 ай бұрын
Vunja bei na Frank Nozzzzzy imetajwa mara nyingii...
@mshefabiro3299
@mshefabiro3299 10 ай бұрын
hehehe huyu amelenga mbali
@iddirajabu-vk7ej
@iddirajabu-vk7ej 10 ай бұрын
Doto magaribunapotolea mfano Mtume Mohammad S.A.W angalia kwa umakini ikiwezekana acha mtume alioa ,nakuuliza je wozu kaoa?
@Anuaryomary-su9cd
@Anuaryomary-su9cd 10 ай бұрын
Crazy uyu Dotto utafikili sio mtoto wa kiislamu
@user-qu1dz2ed1b
@user-qu1dz2ed1b 4 ай бұрын
Dotto iyo imeenda 😮😮😮😮
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 10 ай бұрын
Mama hana makosa usimtukane mama wawatu anamtakiya mtoto wake mazuri kakaa kwenye zinaa amuachiye acha porojjo brother
@user-zj1ep6hn4p
@user-zj1ep6hn4p 10 ай бұрын
Alikuwa wap mama kumkanya mpaka kwenye sherehe mama hajtambui
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony 10 ай бұрын
Angemsemea nyumbn kama kwl anampenda kwel
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 10 ай бұрын
Mama uzee unakaribia sijui anatafuta dogodogo😂😂😂nimenukuu toka kwa doto
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 10 ай бұрын
Polee mungu akusaidiee
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 10 ай бұрын
Liwema zinifu ata likiambiwa halisikii
@user-hi9xd9ok1e
@user-hi9xd9ok1e 10 ай бұрын
Doto magari
@saidizuber8831
@saidizuber8831 8 ай бұрын
dah kaka nakukubali sana ila hapo kwa mtume umekosea m tume alioa hakuwa anazini
@Mpakauseme
@Mpakauseme 10 ай бұрын
Duh kumbe hauna akili aisee
@daudminzi-pb3je
@daudminzi-pb3je 10 ай бұрын
Nakubali sana doto magali
@rashidomar1558
@rashidomar1558 10 ай бұрын
Mwamba leo umechemka sana
@user-nl6wu6cq1i
@user-nl6wu6cq1i 10 ай бұрын
Mama ajamuelewa whozu 😂😂 kabisa iyo siku alikuaa anaisubiliaa kwahamu
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony 10 ай бұрын
S ndyoo
@bennamush4616
@bennamush4616 10 ай бұрын
Ni kweli kabisa yule mam hajamwelewa wozu
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 10 ай бұрын
Usimtaje mtume lahaula walakuwat ilabilah 😢😢😢😢
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 10 ай бұрын
Linajfanya halina akili eti chizi mjinga uyuu
@kelvindagine9571
@kelvindagine9571 8 ай бұрын
Kwan kaongopa au mtume anatajwa wp .. achen mihemko ya Iman
@estonsaimon6671
@estonsaimon6671 10 ай бұрын
Hili jamaa linaabudu watu lakn sio kufuata maadili na sio busara kama lenyewe linavosema kwahyo wakiwepo anaowataja ata kama wanakosea awe anasifu tu
@PriscaPhedrick-bl7kh
@PriscaPhedrick-bl7kh 10 ай бұрын
Wewe huna mamlaka juu ya mama wema tulia acha kuingilia watatengenezana wenyewe
@alipizaro1835
@alipizaro1835 10 ай бұрын
Sasa mwaeka interview ambayo haina sauti mwamchoresha influencer
@user-uj8yv6vx3i
@user-uj8yv6vx3i 4 ай бұрын
😂😂 uhakika doto waelekeze
@fatumakiwera7145
@fatumakiwera7145 10 ай бұрын
😂😂 Frenk Nouce Vunjabei
@ngowibeatrice1701
@ngowibeatrice1701 10 ай бұрын
Kaongea sana
@rashidiadamu4674
@rashidiadamu4674 8 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅huyu jamaaa noma sana aisee oy sio poa mama umekosea mama umefeli
@AishaAly-nl5ud
@AishaAly-nl5ud 10 ай бұрын
Mama hana makosa alicho kikosea mama nisehemu ya kutapika dukuduku lake siku ya sherehe yale maongezi yale yalikuwa ni yakifamilia
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 9 ай бұрын
Upo Sawa bro
@user-wn4jl7bi3c
@user-wn4jl7bi3c 10 ай бұрын
Kubari sanaa
@rahimchardluck
@rahimchardluck 10 ай бұрын
KAMA NI MZAZI NA UNAWATOTO AMBAO UMEWALEA NA UNAMPANGO WAFIKE MBALI UTAFEEL UCHUNGU WA MAMA ALIVYOONGEA.KWELI DUNIA INAPOELEKEA TUTACHOKA SANA.KIJANA MDOGO ANAONGEA IVI MTANDAONI!
@halimakassim7065
@halimakassim7065 8 ай бұрын
Soto.unafirahisha
@hassanchuji8965
@hassanchuji8965 10 ай бұрын
Mdogo wangu doto humeongea vitu hambavyo nilivyo kuwa Nina viwaza mimi sema nina kuku bali sana😂😂
@MxVisualsTz
@MxVisualsTz 10 ай бұрын
Kama lana kila mtu ana lana 😂😂
@edithnduwayo2207
@edithnduwayo2207 10 ай бұрын
❤😂😂😂😂DOTTO WEWE CHIZZY KWELIII ATI MAMA KAONDOKA NA UBBER😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@eggysulle7988
@eggysulle7988 10 ай бұрын
Uyu vip mama kawaambia sana hawaskii ndo maana kawachana live,,na hajakataa waish wote hayo n makbliano ila wajlkane nymbn kama ndo ww ungefrai umeecha bdy y mwanao ukute wanarambanarambana utajiskieje?acha kittea ujinga
@mshefabiro3299
@mshefabiro3299 10 ай бұрын
hehehehe vunja bei na frank noise msenge umewataja sana..
@user-eq7tz2lv6i
@user-eq7tz2lv6i 10 ай бұрын
Kweli 👌
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 10 ай бұрын
Wewe achana namtume koma kumtaja mtume shenzi we
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 10 ай бұрын
Hahahaaa ati mama karudi na huba😂😂😂
@godymastermind9534
@godymastermind9534 10 ай бұрын
Yule ni mama na yale maneno kamweleza mwanae, huwezi jua ameongea nae mara ngap ila hawakujali na ndio sababu kaona aongee pale. Ukiona moshi ujue ulianza moto. Cha msingi Wema na Whozu wafanye kama mama alivyo agiza coz anaonekana hakubali mahusiano hao
@mwananganzi
@mwananganzi 9 ай бұрын
Haaaaa michanooo
@teminajeuri347
@teminajeuri347 10 ай бұрын
Very true sio mahala pake amekosesa sana
@ghulamhaji7856
@ghulamhaji7856 2 ай бұрын
Mtume hakukaa kwa hawara wala mwanamke Mtume amekaa kwa mke kaoa sio mwanamke tu mama yupo sawa tu hajakosea Dotto
@yusuphrashidi-dr1kb
@yusuphrashidi-dr1kb 10 ай бұрын
Dotto mambo ya mtume wetu tunakuomba tafadhali tutakupiga hanisi
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 10 ай бұрын
Nikiwa Nairobi gikomba . Kutoka Rombo
@frankngoloka5416
@frankngoloka5416 10 ай бұрын
Kweli mama ameongea maneno makali,furaha ya siku ya kuzaliwa Ika ppoa,mama kakosea
@naimarishedy1523
@naimarishedy1523 10 ай бұрын
Dotto umeongea kweli. Ila ukimchunguza mama Kuna kawivu flani. Maana si lhiyo tu. Wazazi mnachosha. Mtume S. W. Bi Aisha naye aliishi na mtume wetu.
@barakatabdul3212
@barakatabdul3212 10 ай бұрын
Mama karudi na Uba sijui karudi na gari ganii😂😂😂😂
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 10 ай бұрын
Wewe unamfata mtume muhammad (saw)? Mtume hakuvaa cheni zakike mbona ww umevaa? Wewe usimfananishe mtume muhammad (saw) na chizi mwenzio whozu, koma wewe! Na ingekua unamfata mtume muhammad usingepinga maneno ya mama sepetu kumkana binti yake, coz mtume alkua anajua kama mzazi hakosei maana alkua anajua na alkua anafundisha kuheshimu wazazi, ukome kujifananisha na mtume wakati hamumuwezi kumuiga na hakuna mwanamme yeyote wa kiislam kujifananisha na mtume mukomee!! Hamumuwezi.
@rehmakondo
@rehmakondo 10 ай бұрын
We fala kwel kama anafatwa mtume kwann wasiowane??? Cjui kwann ww na mwijaku mkiongea mnajifanya kama mmesoma dini kumbe mnachukua vpnde vya mashekhe wanavyoongea,acheni mambo yenu ya kiki eti hata wakikaa utupu waache weeee huna wtto??yule mama anajitambua yule hana shida ya maokoto yakampekeka motoni kwa kuhamasisha uzinifu
@luhengosluhengo6926
@luhengosluhengo6926 10 ай бұрын
Mama hajakosea liwe fundisho Kwa wazinifu wote yaaani anamuokoa mwanawe na moto acha kulaumu mzazi ndio mwenye jukumu lá kukataza hizo sifa unazosema wasifiwe hazina nafasi hapo kajitoa na Allah kashudia maneno ya mama bani Israel waliangamizwa Kwa kutokukatazana mabaya kwahiyo mama Hana kosa naam
@DM_15
@DM_15 10 ай бұрын
Mama kazingua tuu kiukweli kama anauchungu na mwanae angesha mnyoosha.tangu enziza yule mwana mziki wa dance kabla ya diamond. Aliwaihojiwa nakuhusu kesiile yakanumba alizingua tuu
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony 10 ай бұрын
Kakosa busara kropoka vt vya kifamilia kwenye media
@nauwarykabuma3793
@nauwarykabuma3793 10 ай бұрын
Mama aliongea point sana kwa mwanawe ww unaongea pumba tu
@rahmaabubakarisaanatu1961
@rahmaabubakarisaanatu1961 10 ай бұрын
Jmn Doto umeniua kwa kucheka Eti kina nulu diva .
@ShaniBihoiki-lx9jl
@ShaniBihoiki-lx9jl 9 ай бұрын
😂😂
@LukeloKibumo-uu2oh
@LukeloKibumo-uu2oh 10 ай бұрын
Kumbehatawewedoto mwehu
@allahakujazekheriwowww5694
@allahakujazekheriwowww5694 10 ай бұрын
Acauongo mtume mu hammad s w w yeye aliowa siyo awo wanafanya zina waowane siovibaya mwanaume kuishi kwamwanaume kama hana uwezo ila sio zina
@nasrahamisi479
@nasrahamisi479 9 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@mustafaalli4698
@mustafaalli4698 10 ай бұрын
Duh...😂
@Chemba67
@Chemba67 10 ай бұрын
ETI MAVYUMA HAYO YANAUZWA BUGURUNI😂😂😂😂
@reginamanyangu7258
@reginamanyangu7258 10 ай бұрын
Dotto kaongea kwer
@MunahSadiq-bh7ol
@MunahSadiq-bh7ol 10 ай бұрын
Doto magari ameongea vizuri sana🎉🎉
@christinamabula416
@christinamabula416 10 ай бұрын
😂😂😂karudi na huba
@sidikassim6759
@sidikassim6759 10 ай бұрын
Watoto wananyonya wle kwn hyo wema mwanmme w ngapi yle ni mtu mzma htak aibu mtto mwny mmja anchzew na wangpi
@abubakarymaulidy5681
@abubakarymaulidy5681 10 ай бұрын
Mtume anatangazwa nyie mnapaniki mbn me sjaona baya apo amesema tusione ajabu kukaa kwa mwanamke si mtume alikabidhiwa mali ya khadija au??!
@mshefabiro3299
@mshefabiro3299 10 ай бұрын
kwly haja mtaja kwa ubaya watu wanaelewa vibaya
@stanleynyale2755
@stanleynyale2755 10 ай бұрын
Kifaranga cha kuku wamejaa mjini
@azaniayoub6971
@azaniayoub6971 10 ай бұрын
Bwana mkubwa usilete ujinga kwenye dini za watu unamjua mtume muhammad wewe ata umfananishe na Whozu mfananishe Whoz na baba ako si mtume koma mjinga wewe.😡
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 10 ай бұрын
Umeon ee chizi mkubwa uyuu
@DijaMriri-wc4qd
@DijaMriri-wc4qd 10 ай бұрын
Umaarufu unamlevya
@eggysulle7988
@eggysulle7988 10 ай бұрын
😂😂😂
@mwinyiabdallah4383
@mwinyiabdallah4383 10 ай бұрын
Mshamba huyu limbukeni
@Rizikialiamechannel763
@Rizikialiamechannel763 10 ай бұрын
Kipenzi chetu cha mwenyezi mungu hajawa mzininifu mpuuzi huyu
@saeedmassoud256
@saeedmassoud256 10 ай бұрын
Mtume alikaa kw mwanamke sawa lkn alikua ndani ya ndoa sio nje ya ndoa mpuuzi mkubwa ww na ukome kumtaja Mtume wetu kwny vitu vyenu vya kipumbavu ghabi
@kelvindagine9571
@kelvindagine9571 8 ай бұрын
swala alikaa kwa mwanamke. . kwa hiyo akiwa kwenye ndoa anaruhisiaa . . unamkinga mtume halafu unatukana mtume wetu aliishi kwa mwanamke na baadae aliondoka ndo alichosema doto
@sidikassim6759
@sidikassim6759 10 ай бұрын
wandashi wa hbar wa mchongo kizungu cha kajamba nani kwn hmuez kuongea lugha ynu y kiswahili mkapndzesha lugha ynu
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 10 ай бұрын
Mbwa we kakosea nini
@JacklineNamundengozi
@JacklineNamundengozi 10 ай бұрын
Mbwa niwewe🤣
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 10 ай бұрын
@@JacklineNamundengozi nimeona nikujibu kabla sijafa sasa nikuulize yeye kataja mtume mtume aliishi nakimada
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 10 ай бұрын
Kuwa naabadu ukitaja mtu mbwa wewe namamaako
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 10 ай бұрын
Hujielewi eti ndio maana unaona sw
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 10 ай бұрын
Mshenzi.we
@davidrulobhavako8551
@davidrulobhavako8551 10 ай бұрын
Mzee wa fact
@sidikassim6759
@sidikassim6759 10 ай бұрын
we we we acha ujinga we unjuwa maish y mtume wwe unzengua naon saiv maish y mtume unayjua wwe kwhio mtume alkuwa mzinzi unavykusdia kusema au kuw na adbu na dini za wenzio mtume wtu mohmad alioa wke zaidi y 10 kw amri y mngu we ulimuon kaish na mwanmke bla ndoa alfu hyo ni storia ya karne sio wwe kulet ujinga
@JacklineNamundengozi
@JacklineNamundengozi 10 ай бұрын
Very true Dotto she said the right things at a wrong time she's such a bad woman.
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 10 ай бұрын
We mshenzi nyamaza usitaje mtume mbwa we
@user-pt4ft7ow1s
@user-pt4ft7ow1s 10 ай бұрын
Rip English 😂😂😂😂😂
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 10 ай бұрын
Nguruwe nyamaza
@JacklineNamundengozi
@JacklineNamundengozi 10 ай бұрын
😡
@zainabibrahim9734
@zainabibrahim9734 10 ай бұрын
Huna adabu wewe
@DeBeasts66
@DeBeasts66 10 ай бұрын
3:46 😂 3:51 😂 6:11 😂 6:17 😂 6:22 😂 7:26 😂 10:55 😂 11:09 😂 11:15 😂 11:30 😂 11:36 #vunjabei #vunjabei #franknouz #frenknoz 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅
@fatumakiwera7145
@fatumakiwera7145 10 ай бұрын
😂😂 Frenk Nouce Vunjabei
@hassanbuji1721
@hassanbuji1721 10 ай бұрын
nyamaza wewe mafiga matatu
@hassanbuji1721
@hassanbuji1721 10 ай бұрын
huyu jamaa ni pimbi unamfananisha mtume na wazinifu mbwa huyu
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 36 МЛН
Son ❤️ #shorts by Leisi Show
00:41
Leisi Show
Рет қаралды 7 МЛН
Каха заблудился в горах
00:57
К-Media
Рет қаралды 10 МЛН
Anxiety panic attack (Inside Out Animation)
0:11
FASH
Рет қаралды 14 МЛН
Ах как прекрасно
0:17
Флюр Хафизов
Рет қаралды 29 МЛН
Папа гений
0:23
Вельзевул
Рет қаралды 2,4 МЛН
Ах как прекрасно
0:17
Флюр Хафизов
Рет қаралды 29 МЛН