DOTTO MAGARI AMUWASHIA MOTO BABA LEVO ,HATA MJE WCB WOTE HAMNIWEZI

  Рет қаралды 74,755

BONGO 24

BONGO 24

9 ай бұрын

#bongo24 #diamondplutnumz #dottomagari

Пікірлер: 184
@user-hk8wp4ee5v
@user-hk8wp4ee5v 9 ай бұрын
Tuliozaliwa bongo tunajiamini sanaaaa. Big up dotto magari mwenye kinondoni yako
@user-vl2ux2wl2l
@user-vl2ux2wl2l 9 ай бұрын
Doto uko vizuri mwanangu, unajua kuwachana wajingawajinga, wasiojitambua.
@gasperswai6963
@gasperswai6963 9 ай бұрын
Dotto nimekukubali upo vzr kwenye issues za KYC-Know Your Customer ni muhimu saana kuficha Siri za mteja siyo makele kila saana! Upo vzr kijana
@gasperswai6963
@gasperswai6963 9 ай бұрын
Lazima ujue mteja wako katoka mbali kufika ulipomkuta siyo anakuingiza sebuleni tu makeleeeeeeee, siyo ethical kabisa
@salumally-ms9sq
@salumally-ms9sq 9 ай бұрын
duuu dotoo achaa kugombana na machawaa piga kazi watakuaribia brand
@godfreykiwango2514
@godfreykiwango2514 9 ай бұрын
Kaka dotto Mimi na kukubali unaongea manedo ambayo ni ya ukwer uokotezi maneno wala utafutizi maneno na sikuzote ukiwa unaongea ukwer lazima watu tukuelewe❤my broo
@emmanuelmashauri9209
@emmanuelmashauri9209 9 ай бұрын
Influencer.....mweny kinondonii yakeee salute san Doto magariiiiiiii.........unatishaaaa brazaa very bright
@emmanueljiwoo580
@emmanueljiwoo580 9 ай бұрын
🙏umeongea ukwer dotto mungu akupe maisha mlfu bhna
@JacklineNamundengozi
@JacklineNamundengozi 9 ай бұрын
Dotto ❤ from Zambia 🇿🇲 you are the best 🙌
@beatbyrich2891
@beatbyrich2891 9 ай бұрын
Asilimia 90 ya watu wa New York ni waitaliano, Ireland na Puerto Rico pamoja na visiwa vingine vya Caribbean. It’s not where you from it’s where you gat. Hii alisema marehemu Big Pun mzaliwa New York mwenye asili ya Puerto Rico. Dar haina Mwenyewe
@madinakitemo8902
@madinakitemo8902 9 ай бұрын
Doto magari nakupenda bureeee
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 9 ай бұрын
Baba levo FALA tu..hamfikii DOTTO
@user-xh3id9il6k
@user-xh3id9il6k 8 ай бұрын
Wazaramo hatukubali kushindwa ila dotto upo vizur mm mzaramo mwenzio nakukubali upo vizur sana.
@limbomambo9728
@limbomambo9728 9 ай бұрын
Mama levo ana kinazi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 9 ай бұрын
Dotto hii imeendaaah
@user-hb7dz4iq2m
@user-hb7dz4iq2m 9 ай бұрын
Braza dotto wewe ni kilele nakuelewaaa,awoo ni wakunyaaa
@user-zq6nt1pm9k
@user-zq6nt1pm9k 9 ай бұрын
Brother Doto nakukubali sana kwa ukweli wako diamond hana hela na ndege hawezi kununua,,,, baba levo elimu hana ila yuko wasafi kutukana watu tu,,, wasafi redio ya machawa tupu kazi yao kusifia watu na sio shughuli za Habari
@otmarmkali8883
@otmarmkali8883 8 ай бұрын
Jamaa cjui alianzaje kumchokoza huyu mwamba😂😂😂 yani kama muvi za kihindi YAISHE - HAKUNA KWISHA😅😅😅
@user-nl6wu6cq1i
@user-nl6wu6cq1i 9 ай бұрын
Doto Awakuwezi...watu tumekupitishaa Upepo wako ni shida mjini na awakupati ngo labda mungu alete kadarii zake sema usiache ibada shekh...na mwanao tambu ishiii nae kwa wema maana wanafiki ni marafiki ndo watu wakualibu ugari wako
@sultanmaxmed366
@sultanmaxmed366 9 ай бұрын
🙌😂😂😂🙌 Doto Umeuwaa ..🤸
@hizamawa6046
@hizamawa6046 9 ай бұрын
Ila daaah kinazi cha uzaramoni😊😊
@bonabonala5559
@bonabonala5559 9 ай бұрын
mama levoashasemaga anatamani kua mwanamke amzariee mondi mtoto
@1wernerweck
@1wernerweck 9 ай бұрын
Pls tulete DOTTO MAGARI WE WATCH HIM I MISS HIM ...TULETENI HUYU JAMAA EVERY WEEK
@bonabonala5559
@bonabonala5559 9 ай бұрын
Dotto mwamba wa machawa wote doto magari sio chawa
@martinerichard5827
@martinerichard5827 9 ай бұрын
Sawa brother dotto infolensa
@HABARIJAMIIDIGITAL
@HABARIJAMIIDIGITAL 9 ай бұрын
Dahh 😂😂😂 @babalevo aje hapa
@user-ty8hu5gh4h
@user-ty8hu5gh4h 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 dotto jeuri
@tahirnephessalum3678
@tahirnephessalum3678 9 ай бұрын
babalevo mjanja sana anataka amuinue Dotoo amshushe mwijaku... anataka atengeneze combination ya blevo na dotto.
@user-ww9gd8pb7o
@user-ww9gd8pb7o 8 ай бұрын
Liziki mwanzo wa chiuki 😅😅😅😊
@Alexthadey-lm3ju
@Alexthadey-lm3ju 9 ай бұрын
Nchi ngumu sana hiii dah!! Kila siku nchi inazalisha machawa tu itafika kipindi nchi nzima itakua chawa tupu
@mrsinia3064
@mrsinia3064 9 ай бұрын
🤣🤣
@binaljabirmshihirzanzibar8369
@binaljabirmshihirzanzibar8369 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂✌🏻
@lumulyimage4826
@lumulyimage4826 9 ай бұрын
Et chawa tupu🤣🤣🤣
@cudoplatnumz8773
@cudoplatnumz8773 8 ай бұрын
Sahihi kbc dotto
@ramadhanisalum3898
@ramadhanisalum3898 9 ай бұрын
Kwn doto baba yake ni mzee magari au
@MohammedMohammed-uo5sk
@MohammedMohammed-uo5sk 9 ай бұрын
Baba Levo ameyakanyaga😂😂😂
@limbomambo9728
@limbomambo9728 9 ай бұрын
Mama levo mburundi mpua huo 😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉
@fridaphilemon8898
@fridaphilemon8898 9 ай бұрын
😂😂😂😂pens Kama mzee ojwang,,,mbichwa huooo😂😂😂
@monadinadi5295
@monadinadi5295 9 ай бұрын
😂😂😂😂
@shabamuhidin634
@shabamuhidin634 9 ай бұрын
😄😄ati kazi ya kuelekeza watu kwa waganga
@ommy4k
@ommy4k 9 ай бұрын
hahahahahahaahaahhah chiechitiiiiii haijuiiiiiiii
@ambakisyemwakinunu2002
@ambakisyemwakinunu2002 9 ай бұрын
Eti anaacho cha heshima ya kizaramo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@j...876
@j...876 9 ай бұрын
Baba levo ni brand kubwa, sasa wewe tuta kuhingiza mjini tulikuwa atukujuwi!!!
@selemanmaganga-le4zg
@selemanmaganga-le4zg 9 ай бұрын
Unaweza kumuingiza mjini mtu aliezaliwa mjini?.
@abdallahdataguy
@abdallahdataguy 9 ай бұрын
KuHIngiza 😂
@user-oz6vi8xi7s
@user-oz6vi8xi7s 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😅😅😅😅jamaa noma sana
@husseinally6245
@husseinally6245 9 ай бұрын
huna utajili wowote osha nywere kwanza achaa kulopoka
@DeusAmos-lt9bx
@DeusAmos-lt9bx 9 ай бұрын
Kulwa magari yuk wap😂😂
@user-rf4uu3my6s
@user-rf4uu3my6s 7 ай бұрын
Vuvuzela ipi😂
@mwarabumbarak4342
@mwarabumbarak4342 7 ай бұрын
😂😂😂😂 hamniuii
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 9 ай бұрын
Jamaa anaongea km recorder😂😂😂
@husseinfemmy5035
@husseinfemmy5035 9 ай бұрын
Anakishipa😂😂😂
@jumamaisara7557
@jumamaisara7557 9 ай бұрын
Hawakuwezi dotto
@mtangacomedy
@mtangacomedy 9 ай бұрын
Mmmh
@ntakirutimanavicent-lj2tn
@ntakirutimanavicent-lj2tn 9 ай бұрын
From 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 wanangu wa Tz watuwaburundi tunaumia navowaita wakigoma Eti nima foreigners iyo Sio powa wakati Tanzania ukichua kigoma by force Kama Israel ivyo chukua Gaza hiokauli sionzuli
@MohammedMohammed-uo5sk
@MohammedMohammed-uo5sk 9 ай бұрын
Hahaha 😂😂😂😂Baba Levo kweli mshambaa
@warrapgtimamuskillz6872
@warrapgtimamuskillz6872 9 ай бұрын
Eti Pua kama gogo la mnazi😂😂😂
@salhajuma3333
@salhajuma3333 8 ай бұрын
Big up Tujuane Tuliozaliwa mjini😂
@user-jw2gf2gk4i
@user-jw2gf2gk4i 8 ай бұрын
Duuuh aisee Kaka unatisha kabisa aiseee
@user-ht8ck2fc3v
@user-ht8ck2fc3v 9 ай бұрын
Awakuwezi baba uko vizuri hahahaaa wamekuwekea pilipili kwel
@fredynywage9211
@fredynywage9211 9 ай бұрын
baba levo utawauwa machawa mjini kipaji chako ni kikubwa sana lakini hakuna namna endelea kuwanyoosha kaka🙌🙌🙌
@tatotato506
@tatotato506 8 ай бұрын
WENAE HUNA ATA AKILI ANAAKILIGAN UYO BABA LEVO MCHEZA KAMALI AKILI HANA KUBWA ZIMA AKILI KISODA
@sophsoph4740
@sophsoph4740 9 ай бұрын
😂😂😂😂nimecheka😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂dotto magari jmn hanachekesha😂😂
@Mwamba-hc1jy
@Mwamba-hc1jy 9 ай бұрын
Ameyatimbaaa😅
@dannywillson5874
@dannywillson5874 9 ай бұрын
Mwanzo alisema apend uchawa now umekuwa chawa pili ukisema unamzid baba levo Ila hata nusu uwez kumfikia iwe pesa au nn 😂😂😂
@Baron_Kigume
@Baron_Kigume 9 ай бұрын
Dotto ni Mnyama. Mtoto wa Mjini
@IdarousPossy
@IdarousPossy 9 ай бұрын
Hvi we uko sawa kwel au unaropoka unasema hamuezi baba levo we ushawai kuangalia account zao za pesa za wote wawili,haya sWa lbd baba levo unaweza kujua lbd mke wake je dotto unajua account yk
@bonabonala5559
@bonabonala5559 9 ай бұрын
mama levo keshafungwa jela mbwa yure bado wa kujaa
@MohammedMohammed-uo5sk
@MohammedMohammed-uo5sk 9 ай бұрын
Kweli Dotto Magari Baba levo mcheza Dubwe
@ShaniBihoiki-lx9jl
@ShaniBihoiki-lx9jl 9 ай бұрын
💯💯
@barickprogrammer
@barickprogrammer 9 ай бұрын
haaaa haaaa baba levo aombe radhiiiiii wallah kayakanyaga
@abdultandala6576
@abdultandala6576 9 ай бұрын
Baba Levo ni habari nyingine we kuma😀😀😀😀
@simbajumanne9718
@simbajumanne9718 9 ай бұрын
Doto magari
@mohdmbarouk8116
@mohdmbarouk8116 9 ай бұрын
Baba levo kayakanyaga huku hhhhhhhh
@limbomambo9728
@limbomambo9728 9 ай бұрын
Pua kama gogo la mnazi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@sonnyr1899
@sonnyr1899 9 ай бұрын
Kuna watu wanakipaji cha kutembeya na gramma za kiswahili noma sana 😂😂😂😂 Nitampeleka india akafanyiwe operesheni imekwenda hiyooooooo
@hellenjohn7306
@hellenjohn7306 9 ай бұрын
Acha ukiazi we mzaramo
@mussabukarasha5775
@mussabukarasha5775 9 ай бұрын
baba levo ana KINAZI
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 9 ай бұрын
😅😅😅😅😅 ngoja tumsubiri Baba picha liendelea
@MohammedMohammed-uo5sk
@MohammedMohammed-uo5sk 9 ай бұрын
Doh Baba levo kapangiwa na WA.,..
@mahmoudaziz4717
@mahmoudaziz4717 9 ай бұрын
Awa ndo wale wandishi wanao mwogopa arsenal wenger😅😅😅😅wambea no education 😅😅😅😅.
@user-sm5rw9qn3c
@user-sm5rw9qn3c 9 ай бұрын
Duuh nyamipua kayakologa kumbe anakishipa
@mathiassamwel992
@mathiassamwel992 9 ай бұрын
Tajiri hatafuni bigji😂😅
@lulurubby2235
@lulurubby2235 9 ай бұрын
Wabongo wana roho mbaya,
@khamismasms6095
@khamismasms6095 9 ай бұрын
Kachonga pua kwa dik
@user-xb2pc1co9x
@user-xb2pc1co9x 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂 Ety kaenda kuchonga pia yake
@beatbyrich2891
@beatbyrich2891 9 ай бұрын
Doto namkubali
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 9 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣iladoto duu nimepata dubweeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@monadinadi5295
@monadinadi5295 9 ай бұрын
😂😂😂Dotto
@user-rh7ty7bt4d
@user-rh7ty7bt4d 9 ай бұрын
Baba levo kaingia 18 za mzaramo
@captenndunga6745
@captenndunga6745 9 ай бұрын
Misemo ya kizamani hiyo eti mi nimezaliwa hapa sasa kuzaliwa ndio nini wazawa ndio wanaongoza kwa ushoga uvivu kukaa kwao kugombea nyumba za urithi mateja uwezo mdogo wa kufikiri mnakomalia uzawa huku wageni ndio wanaoujenga mji.
@tracycheptoo305
@tracycheptoo305 9 ай бұрын
Wakuja Nini🤣🤣
@captenndunga6745
@captenndunga6745 9 ай бұрын
@@tracycheptoo305 ndio we mzawa unajivunia nini zaidi ya ushoga na kugombea nyumba za urithi? Huyo issa tambuu anaemfuga huyo mbuzi nae sio mzawa sasa unamuona ana akili huyo uzawa wako unakusaidia nini kama unatumwa na waha?
@feisalricardofais3597
@feisalricardofais3597 9 ай бұрын
kaaa mshenzi anapondaaa huyu babalevo kayatimbaa😂😂😂
@sophsoph4740
@sophsoph4740 9 ай бұрын
Noma huyu😂😂😂
@deeruta9894
@deeruta9894 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 kimewaka
@adinanhashim3630
@adinanhashim3630 9 ай бұрын
Safi sana umemuweza simpendi yule mbwaaa
@edwardtrigga5701
@edwardtrigga5701 9 ай бұрын
Umpendi mtu usiemjua huo sindiyo ujinga wenyewe tunza hiyo chuki yako upambane na maisha
@abbygilli2272
@abbygilli2272 8 ай бұрын
doto 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@ShabaniJohn-vr4gt
@ShabaniJohn-vr4gt 9 ай бұрын
Apa ipo😁
@sidikassim6759
@sidikassim6759 9 ай бұрын
Mshkji mtangzaji huna shati lengne bos wngu ndio hlo hlo au mach yngu
@ahmadnuh7974
@ahmadnuh7974 9 ай бұрын
Tutofautishe kat ya mzaliwa na mtt wa mjin
@zahormohd
@zahormohd 9 ай бұрын
Ukikuta mwanaume anavaa dhahabu basi lazima atakua lege lege tepe tepe
@zulekhasaud483
@zulekhasaud483 9 ай бұрын
Wazaram tujuane 😂😂😂😂
@johaali9959
@johaali9959 9 ай бұрын
Unapenda Kiki mtumzim ovyo fany kaz Acha
@saidahmed3534
@saidahmed3534 9 ай бұрын
NOO!! Doto yuwaongea points z muhimu xai watu n kuoneana wivu
@rashidkwengwegu6876
@rashidkwengwegu6876 9 ай бұрын
Mtu anaongea ukweli ww unaleta mambo yako ya utimu
@hamzamigunda
@hamzamigunda 9 ай бұрын
Lakini THE BIG BOSS DOTO MAGARI kwanini unaumiza kichwa na mtu ambae yupo kwa mtu kama chawa wakati wewe ni boss kubwa mfanyabiashara wa magari tena unaenda uk na marekani kama vile unaenda kariakoo ukitoka kinondoni yanini uhumize kichwa fanya biashara maisha yaendelee
@alexsuleiman3795
@alexsuleiman3795 9 ай бұрын
Baba levo ni mbwa tu simpendi
@user-zb2mj5nd5g
@user-zb2mj5nd5g 9 ай бұрын
Mzaramo harisi kupigana ngumi hawezi ila kwamdomo, anaweza kukuzimisha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣baba levo hapa umeyatimba mdogo wangu mzaramo kwamdomo ndo ofisi yake
@sophsoph4740
@sophsoph4740 9 ай бұрын
😂😂kbs😂😂
@ummykitira5371
@ummykitira5371 9 ай бұрын
Nimeipenda fidenge
@geewara2846
@geewara2846 9 ай бұрын
Na hapa ipo😅
@RogerMakame-in5ew
@RogerMakame-in5ew 9 ай бұрын
Mjomba nimekukubali sana wcb wote ni warundi muhulize diamond bibi yake katokea wapi?
@samwelkavwanga4491
@samwelkavwanga4491 9 ай бұрын
😅😅😅😅doto magari
@eladiuspeter586
@eladiuspeter586 9 ай бұрын
Kwani kuzaliwa dar tayari unamzidi mtu?
@sidikassim6759
@sidikassim6759 9 ай бұрын
Kunywa maji kidgo bos wngu
@abdillahchikota4303
@abdillahchikota4303 9 ай бұрын
100%
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 7 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #memes
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 4,7 МЛН
MAKAMPUNI 7 KUJENGA NYUMBA YA BABA LEVO KIGOMA
2:30
SEVEN MEDIA
Рет қаралды 2 М.
哈莉奎因以为小丑不爱她了#joker #cosplay #Harriet Quinn
0:22
佐助与鸣人
Рет қаралды 8 МЛН
MAGIC FINGER TRICK TUTORIAL 😱😳
0:11
Milaad K
Рет қаралды 10 МЛН
il caldo fa brutti scherzi #dog #fight #punch
0:18
Cronache della Campania
Рет қаралды 25 МЛН
M&M IN MY THROAT
0:35
dednahype
Рет қаралды 3,7 МЛН