No video

DR Congo kuzika jino la Patrice Lumumba

  Рет қаралды 11,108

BBC News Swahili

BBC News Swahili

Күн бұрын

Sherehe rasmi za kuhifadhi jino la shujaa na waziri mkuu wa kwanza wa nchi ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo Patrice Lumumba aliyeuawa mwaka 1961 zinaendelea nchini humo baada ya jino hilo kupitishwa katika maneo mbalimbali ya nchi kuruhusu watu kutoa heshima zao.
Jino hilo ni sehemu pekee ya mwili wake ambayo ipo baada ya mabaki yake kuyeyushwa katika asidi.
Je wananchi nchini humo wanamkumbukaje shujaa huyu aliyeiongoza nchi hiyo kupata Uhuru?
#bbcswahili65 #bbcswahili #drc

Пікірлер: 17
@danielwillamsusuma5146
@danielwillamsusuma5146 2 жыл бұрын
Mwili wa mabutu ulizikwa na watu 6 malipo yake yalikuwa Duniani... JINO LA Lumumba Leo linazikwa kwa heshima zote.. Asante Lumumba kwa uzalendo
@njorogefred150
@njorogefred150 2 жыл бұрын
Ubelgiji na Amerika walipe hasara kwa Taifa la D.R Congo.
@zulfahussein6784
@zulfahussein6784 2 жыл бұрын
Watalipa fidia aje na msaliti alie msota kwa wazungu alikuwa ndugu yake Mobutu asidi mkumbwa yule
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 жыл бұрын
Walipe vipi na upumbavu ni wao wenyewe kwasabu ya tama zao
@placesandspaces3489
@placesandspaces3489 2 жыл бұрын
God bless your might memory Mr. Lumumba. I love you for the sacrifice you made for your people. Rest in powerful peace.🙏🏾
@Farajahelene23031
@Farajahelene23031 2 жыл бұрын
we super hero honorable patrice lumumba much much love you rest in power we hero congolese daby
@abdulhamis9825
@abdulhamis9825 2 жыл бұрын
Mateso Na Manyanyaso Hayawez Kuisha AFRIKA mpka Tuwe Huru Kwelkwel
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 жыл бұрын
Mateso yatakwisha vipi na viongozi wakiafriwa wanajibia wenyewe
@ishipalemypasco2567
@ishipalemypasco2567 2 жыл бұрын
Haya yote yalifanywa na wazungu leo maviongozi ya africa hayashtuki tu kazi kujipendekeza kwa hao watu.mizunguko miingi ulaya mala royar tour kumbe umavimavi tu. R.I.P anko magu mungu akulaze pazuli huko uliko 😭😭😭😭😭😭😭
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 2 жыл бұрын
Uko sahihi
@farajamichael7574
@farajamichael7574 2 жыл бұрын
MUNGU atutetee waafrika watu weupe wanatuchezea mpaka Leo. Jino alaf wanacheka TU wakiangalia tukio online
@Elizabeth-777-r3p
@Elizabeth-777-r3p 2 жыл бұрын
😭😭😭
@jambo3751
@jambo3751 2 жыл бұрын
Hivi ndivyo wazungu wanavyowafanya waafrika kuwa mazezeta.
@tekash6921
@tekash6921 2 жыл бұрын
Allah Akbar 📌
@gilbertkalanda9354
@gilbertkalanda9354 2 жыл бұрын
Kwa hiyo huo msanduku wote wanaututusa Kama mzito umebeba jino? Haya masihara sasa!
@silasponeka1773
@silasponeka1773 2 жыл бұрын
Wanazika jino tena la bandia Africa vipi tujitambue wazungu hawafai kabisa
@winterkasela9033
@winterkasela9033 2 жыл бұрын
Wakati huyo jamaa anakamatwa baadhi ya wakongo walishangilia sasa ona watoto wao sasa wanavyojutia makosa ya mababu zao
Matangazo ya Dira ya Dunia TV Alhamisi 15/08/2024
28:17
BBC News Swahili
Рет қаралды 21 М.
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 20 МЛН
Unveiling my winning secret to defeating Maxim!😎| Free Fire Official
00:14
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 8 МЛН
CHOCKY MILK.. 🤣 #shorts
00:20
Savage Vlogs
Рет қаралды 31 МЛН
Whoa
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 11 МЛН
Mwanamke anayeshiriki  mbio za baiskeli za BMX Nigeria.
1:39
BBC News Swahili
Рет қаралды 343
BABA WA TAIFA ALIILILIA TANZANIA KABLA YAKUKATA ROHO.
21:57
Wasafi Media
Рет қаралды 1,8 МЛН
"Nilianza kurekodi matangazo yote ya BBCSwahili mwaka  2014''
4:15
BBC News Swahili
Рет қаралды 645
Historia ya Kanisa la kwanza Tanganyika na kifo cha Dr Livingstone
8:13
Daily News Digital
Рет қаралды 7 М.
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 20 МЛН