Jangwa lageuka uwanja wa maua Chile
1:00
2 сағат бұрын
'Watu hawaamini kwamba mimi ninaimba'
50:41
Maandamano katika michoro
1:05
21 сағат бұрын
BBC News Swahili
37:46
14 күн бұрын
MATANGAZO YA DIRA YA DUNIA 25:06:24
27:59
Utumikishwaji wa watoto Afrika
3:11
28 күн бұрын
"Sijawahi kutoa wimbo mkubwa kama huu "
27:05
Пікірлер
@feruzyjuma
@feruzyjuma 3 сағат бұрын
Wewe sio mtanzania
@abdulhajiahmed8735
@abdulhajiahmed8735 4 сағат бұрын
Mimi sikubaliani kabisa na Professor kwa sababu Kenya tatizo ni la asili lazima uangalie shina.tatizo la Kenya ni ardhi issue kwa sababu mamilioni ya Kenya hawana ardhi katika nchi yao. Tatizo hili pia liko Africa kusini baada ya uchaguzi wa kwanza kwa kidemokrasia Nelson Mandela alishindwa kulikabili tatizo la ardhi mpaka kijana Malema akalizungumzia. Pia lilikuwapo Zimbabwe baada ya hayati Robert Mugabe kuchukua ardhi kwa wazungu walio wachache mpaka leo Zimbabwe bado iko katika vikwazo vya uchumi wa nchi za magharibi. Tanzania tunashukuru ardhi ni kubwa hakuna mwananchi asio na makao katika nchi yake nchi za magharibu mnapenda kuwasha moto kila mahali Africa wakati wa ukoloni umeisha angalieni yenu huko na vita ya Ukraine
@kharkanas6779
@kharkanas6779 2 сағат бұрын
Sio ardhi, haswa. Dunia ya sasa, vijana wengi wamehamia na wanazidi kuhamia miji mikubwa kutafuta nafasi za kimaisha. Kwa hivyo hata wale walio na ardhi pia wahamaa. Shidi Kwa hivyo sio ukosefu wa ardhi, lakini uongozi mbaya unao sababisha ukosefu wa kazi. Na pia kushusha viwango vya maisha. Hata walio na mashamba wamekua wakilalamikia ukosefu wa vitu kama fertilizer, soko na bei nzuri Kwa vyakula wanavyo lima.
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 5 сағат бұрын
Tujifunze nini Wakenya hawana lugha hata ya Taifa , tokea wapate uhuru hata Bunge Lao linatumia English , kampeni za Siasa kuomba kura Kwa Kiswahili lakini bungeni lugha ya wazungu, bado wana utumwa mwingi Saaana, wao hujiona wazungu wa East africa Sasa tunajifunza nini? Kupaka Nchi sio sababu, sisi tunapakana na zambia, Malawi, Burundi, Mozambique, Uganda na Congo ushaona Wa Tz tumeiga nini kutoka hizo Nchi? Tumepakana lakini hamuifaham vizuri Tz
@ndukumusyoki9835
@ndukumusyoki9835 2 сағат бұрын
Lugha la Taifa Kenya ni Kiswahili na ndio inatushikanisha sisi wananchi! Na hatujali Watanzania wajifunze lolote kutoka Kenya. Tunajivunia kuwa Wakenya na Wafrika pia! Fanyeni na inchi yenu vile mnataka! Elimu yetu iko juu zaidi ya Tanzania na sisi tutaendelea na kupigania haki zetu na kuondoa mabaya kwa taifa letu.
@decoloniz_afro
@decoloniz_afro Сағат бұрын
Huelewi kabisa.....kupigania masilahi za wananchi na kuwafuata wale wakora wanaowaibia wananchi nijukumu ya wewe kuelewa usipoangalia vizuri utadhurumiwa
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 5 сағат бұрын
Kwanini Tanzania? Majirani Mahasid hawa, yaani inawauma kuona Tanzania ikiwa imepoa, Sasa vijana wenu Zaid ya 20 wamekufa alafu mnataka tujifunze nini?
@lee81721
@lee81721 3 сағат бұрын
Nonsense
@sjsm8578
@sjsm8578 2 сағат бұрын
😂 imepoa hadi serikali ikipora mali ya umma hamuwezi sema lolote. Nonesense
@iMilitaryCompass
@iMilitaryCompass 7 сағат бұрын
Tanzanians are perceived as lacking agency, with Tanzania being governed authoritatively and the populace seen as passive and vulnerable. Many Tanzanians seem indifferent to their fundamental rights, often praising the government regardless of its actions. In contrast, a significant number of Kenyan youths actively engage in social, political, and economic matters in their country. They are knowledgeable, well-educated, and have a strong understanding of their rights and the political landscape in Kenya.
@SGOA32178
@SGOA32178 53 минут бұрын
wamelala hawa majirani zetu. One cant have an intelligent convo with even a masters holder in TZ. Weaklings unable to stand up for themselves.
@felixmakinda7689
@felixmakinda7689 9 сағат бұрын
Sidhani kuna mengi Watanzania watajifunza kutoka kwa vijana wa Kenya. Yanayoendelea Kenya ni matokeo ya maendelea ya miaka mingi kisiasa, kikatiba, kielimu. Vijana wanaoongonza mabadiliko Kenya (Gen Z) wengi ni wasomi. Mabadiliko yataanza na katiba mpya.
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 9 сағат бұрын
Sikieni nyie hatuwezi kujifunza kenya labda china na urusi.
@jastinmkama8548
@jastinmkama8548 12 сағат бұрын
Ni neema tu
@hellennjuguna5964
@hellennjuguna5964 12 сағат бұрын
Biden failed president ever
@stellabwiza8158
@stellabwiza8158 15 сағат бұрын
Ni interview ila nimecheka sana😂😂😂
@muthomimunyua9062
@muthomimunyua9062 15 сағат бұрын
🎉
@MikenelloMike
@MikenelloMike 20 сағат бұрын
Professor anasema kweli....waafrika wamezoea kuinamia viongozi watumishi..... we're not a lesser God
@mohamedally6992
@mohamedally6992 20 сағат бұрын
SASA WE MZEE BAADA YA KUTUBU WAJI C FIYA EBU KAA UFIKIRI AIPENDEZI
@cristaezekiel1036
@cristaezekiel1036 20 сағат бұрын
Kwakweli hatukani kabisa eliud akichekesha ,had raha 🎉🎉🎉unasikiliza vichekesho hadi na wazaz wako
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 21 сағат бұрын
Hatuna kitu cha kujifunza Kenya hata kimoja. Wao ndiyo wajifunze kwetu kuondokana na ukabila wawe wamoja kama Watanzania.
@asudarathman5453
@asudarathman5453 20 сағат бұрын
Elewa swali ndio ujibu acha kuropokwa
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 17 сағат бұрын
Umeshiba mbege wewe unachosema na kilichoulizwa havifanani
@almor44444
@almor44444 10 сағат бұрын
Nonsense ! Hii movement ya gen z ya Kenya umeskia ukabila mahali?
@ourearthmatters5206
@ourearthmatters5206 9 сағат бұрын
Wewe ni tahira
@Alpha24187
@Alpha24187 8 сағат бұрын
Gen Z Kenya slogan "Tribeless, fearless and partyless" do your research acha kuropokwa ovyo
@mjemamjema9695
@mjemamjema9695 22 сағат бұрын
KWA KWELI SIKUJUA HUYU NDIYE ALIYEKUWA NA BENDI ILIYOPIGA ASUU. NILIKUWA NI BENDI YA MISAMBANO. HONGERA MZEE MWENZANGU. ANA MAMBO YA BUSARA.
@saysophyfarm1780
@saysophyfarm1780 22 сағат бұрын
Ukimleta Da Farida hata mimi ntakuja kwenye hiyo show😂😂😂😂😂
@hanskessy9413
@hanskessy9413 23 сағат бұрын
Faith talk prosper where your planted
@DanielWabare
@DanielWabare 23 сағат бұрын
Naitwa Daniel Wabare naishi Dar es salaam nafikaje kujionea shughuri hiyo nzima?
@AbdulhaamidSoud
@AbdulhaamidSoud Күн бұрын
Kujiuzulu kwa iyo general ni sehem ya uwajinikajo,uwazi na democrasia ambayo Tanzania na mataifa mengine Africa mashariki haipo wajifunze kuwa wasikivu kwa raia wao
@kambamazig02024
@kambamazig02024 Күн бұрын
BBC na huyu bwana wanao lao kubwa lakini wamnasahau tamaduni na fikra za Wakenya na Watanzania zinatofautiana sana! Tamaduni zetu nazo ni tofauti, akileta mambo ya comparative analysis ya Kenya na Tanzania atakuja kuchekwa na dunia nzima kama hatazingatia tamaduni na itikadi za watu kwenye nchi hizi mbili.
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu Күн бұрын
Point sana ,kusifia tu nitatizo,na kukosoa tu nitatizo zaidi lakini pia tutofautishe kati ya kukosoa na kukashfu,kusifia na kupongeza 😂😂😂
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Күн бұрын
👊👍✌️.
@costantinemgalle1910
@costantinemgalle1910 Күн бұрын
Saa hii nasikia bado hao vijana wanania ya kuendelea na maandamano hadi Ruto atoke madarakani. Kama ni kweli basi agenda sio maamuzi specific waliyayapinga ila nia ni kumtoa madarakani. Sasa huu sio utaratibu na hili sio jambo la kujifunza kwa vijana wa Tanzania, kuna kiashiria cha uvunjifu wa katiba!
@hakimundabila7940
@hakimundabila7940 Күн бұрын
Hata mifano mibaya ni funzo kwani kupitia kwayo unajifunza ubaya wake na kuuepuka.
@kwisa4899
@kwisa4899 Күн бұрын
kwani kujifunza ni kutizama mazuri tu?
@hakimundabila7940
@hakimundabila7940 20 сағат бұрын
@@kwisa4899 ndo hapo sasa
@mariamhussain5667
@mariamhussain5667 17 сағат бұрын
Huyu anayehojiwa ni nani? Mbona hakuna maelezo kabisa ya huyo mgeni anayehojiwa. BBC swahili kiwango chenu mnakishusha..
@felixmakinda7689
@felixmakinda7689 9 сағат бұрын
Kuna mengi tunayotaka yabadilishwe. Lazima ashurutishwe. Katiba ya Kenya ipo mtandaoni. Unaweza isoma
@abdiaziztwahir5120
@abdiaziztwahir5120 Күн бұрын
Huyu amelipwa nnini
@rumesibarka5312
@rumesibarka5312 Күн бұрын
Mzee rudi kwa mola wako wakati haukuruhusu sasa
@shamilaalhabsi909
@shamilaalhabsi909 23 сағат бұрын
Kumbe tupo majiran
@PeterA.Meshack-mu5rw
@PeterA.Meshack-mu5rw Күн бұрын
Naitwa Peter Meshack Nipo Ohio ,usa Nawapenda saaana Ronclife, Peter, baaj ,salim ,Elizabeth (mwanangu? Zuhura ,na wengine wengi Tuko pamoja
@gosbertrwezahura3645
@gosbertrwezahura3645 Күн бұрын
Waafrika tuache upumbavu huu wa daima kuweka nguvu zetu zote kwenye kandanda ya Ulaya na kushindwa yetu. Tunajua kuchambua timu zao na kuzifurahia utadhani ni timu za Afrika. Ukiwauliza wazungu juu ya soka la Afrika hawana habari na wala hawana mpango wa kulifuatilia. Waafrika sijui nani alituroga? Tuko kama mazezeta. Tunaishi Afrika lakini daima macho yetu yako Ulaya na Marekani. Kazi ni kusifia vya wazungu. Nao wanatumia vyombo vyao vya BBC,DW, SAUTI YA AMERIKA kuhakikisha tunaendelea kuabudu ngozi yao na utamaduni wao. Sijui ni lini Waafrika tutazinduka usingizini?
@danwayne786
@danwayne786 Күн бұрын
Shukran BBC. Uchambuzi wa kusisimua wa soka. Hispania noma.
@user-xj8vt6ur3x
@user-xj8vt6ur3x Күн бұрын
Hujambo
@jimmyromani1339
@jimmyromani1339 Күн бұрын
Nawapata nikiwa Burundi hivi viongozi wetu wa African mtaacha lini kuwa watumwa Kwa wazungu
@EsauBanda-cw3cf
@EsauBanda-cw3cf Күн бұрын
😅😅😅😅😅😅😅 president Putin instead of zelenski
@ombeniyohaneaustin8415
@ombeniyohaneaustin8415 Күн бұрын
Tupo pamoja toka cape Town
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Күн бұрын
👊👍✌️.
@AllyNtimanyongo
@AllyNtimanyongo Күн бұрын
Kazinzuri Eliudi
@NoelyLaizer
@NoelyLaizer Күн бұрын
Nawapenda bure
@Marjeby
@Marjeby Күн бұрын
Huwa na wawaza sana watoto wa huyu mzee sijui huwa wanajisikiaje aisee
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 Күн бұрын
Watakuwa wana furaha sana
@spendjulius-qz9mt
@spendjulius-qz9mt Күн бұрын
Baridi barafu
@user-fh9nx9xq8u
@user-fh9nx9xq8u Күн бұрын
Bbc nawapata mubashara nikiwa dar es salaam tz
@hamuzaelias211
@hamuzaelias211 Күн бұрын
Nawapata vizulisana nikiwa kahama BBC kiboko😂
@user-xc5vf6tt9z
@user-xc5vf6tt9z Күн бұрын
Nawapata mubashara nikiwa luansha Zambia
@aminitu3766
@aminitu3766 Күн бұрын
Kweli viongozi wana kazj ngum xna yan wanawaza namna ya kuongeza mapato halaf watu wanafukuza pesa
@nathanpaschal907
@nathanpaschal907 Күн бұрын
Wanajidanganya tu
@timothykaiza327
@timothykaiza327 Күн бұрын
Mbona maswali yanapanda kabla mtu hajamaliza kuelezea vitu zaidi.
@monicapeter9065
@monicapeter9065 Күн бұрын
Kawaida yang huwa spendi interview ndefu ila hii tamu sanaaa yaan hata schoki jaman
@MatayoLekitonyi
@MatayoLekitonyi Күн бұрын
Pole sana dada yangu Mungu mwema 😂
@cocotz1892
@cocotz1892 Күн бұрын
Mzee yupo vizuri sana Jpili pale Sawa Sawa Mikocheni ni 🔥🔥🔥
@user-jc8vt7ct9t
@user-jc8vt7ct9t 2 күн бұрын
Mzee uko vizuri
@donaldmgunda4970
@donaldmgunda4970 2 күн бұрын
Na Badoo kidogoo ilikuwa na mchepukoo apangiwe na bajetiii😂😂😂
@SahimMasoud
@SahimMasoud 2 күн бұрын
Ruto Must Go 😌
@augustinembola1502
@augustinembola1502 2 күн бұрын
Pole ruto