DR.SULLE HATAKI MASIHARA TENA//ELIMU YANGU ITADUMU NITAKUMBUKWA NA........

  Рет қаралды 15,207

ISLAAH ISLAMIC  TV

ISLAAH ISLAMIC TV

2 ай бұрын

#live #drsulle #tanzania #trending

Пікірлер: 206
@user-cb4ns5wp3o
@user-cb4ns5wp3o Ай бұрын
Umeuliza vizuli sheikh wetu kuto kongo ubalikiwe Dr sule naye namukubali Allah akujaliye 🙏
@AishaOmar-s9g
@AishaOmar-s9g 24 күн бұрын
Allah akulipe mi binamsi nakuelewa sana namada zako zote unazotuwa zinaeleweka isipokuwa chuki zawanada nnaelimu piy hawan inshaallah
@samuelmweipongwe140
@samuelmweipongwe140 Ай бұрын
Mwenyezi Mungu shahidi tumetoka kuongea swala hilo leo saa tano.asubhi kuhusu mfano huo.wa majini wema kutumika katika wema, na.wale waovu katika uovu. Mimi.si muislam ila katika hili namuelewa sana Sule, huwezi kukataa undugu wa Imani kisha mukatae matumizi ya umma katika dinni.
@user-lq6kr2gl7n
@user-lq6kr2gl7n Ай бұрын
Kifup mm nakuunga mkono pia Dr sulle namuelewa mno elimu ya hawa viumbe ni pana na si kila shekhe amesoma hiyo elimu majin wapo kweli na wamepewa uwezo mkubwa sana wapo waovu na wapo wema ki fup sulle anayo elimu ya kuhus hawa viumbe
@NiyoBuja
@NiyoBuja Ай бұрын
Dr Allah Akupe umuli mulefu Wanayo kuchukia wata nyonga acha neema za Allah ziku ziendeleye kukufikia Vinginevyo wanakufanyia fitina tu yawatu
@lilmojr7
@lilmojr7 Ай бұрын
Dr sule acha kulazimisha watu kutumia majini kupata mafanikio badala ya kumtegemea Allah ndiye anaetoa rizki acha kupotosha watu
@nuhukenny7183
@nuhukenny7183 Ай бұрын
Hajalazimish, sikiliza tena vizuli. Yeye iko anajibu maswali
@user-kg9fn1ph9d
@user-kg9fn1ph9d Ай бұрын
swala la majini lipo kwenye Quran na kuna sura kamili ikiliongelea hilo , nakwamba wapo majini wema na wazuri nakwamba nabi Suleiman aliwatumia maafriti ( wakuu wa majini waliomba kumletea kiti cha balqis nk) watu wanaopinga pinga ima kwasababu ya ujinga wao au kwasababu ya kukosa kufatilia hicho wanachobisha.
@therealhajjkhan_
@therealhajjkhan_ Ай бұрын
SOMA ELIMU
@HadinanKimimbi
@HadinanKimimbi Ай бұрын
Sikiliza maana yeye Anamuamini Allah ww pata elimu
@ibrahimismail8239
@ibrahimismail8239 Ай бұрын
Sasa..wewe..kwanini..wamtegemea..boss..kupata..pesa..kwann..usimtegee..mungu..ukaakaa..ndani..usubilie..mungu..akupe..pesa
@hassanWanjiku
@hassanWanjiku Ай бұрын
Utakumbukwa kwa kuharibu dini ya Allah kwa kuihushisha na majini mchawi wa kileo hadi mitandaoni elimu ulienayo ni batil kwa kauli ya mtume salallahu alayhi wasalam,,,,ataejihushisha na elimu ya nyota mchawi huyoo
@MdasirHamisi
@MdasirHamisi Ай бұрын
Sheikh uk sawa sana wanaokupinga hawana elimu yakutosha. hakuna kazi ambayo haina upinzani wape elimu hao lakini naimani ipo siku watakuelewa tu maana wanapinga alafu bila hoja ya msingi nakukubali sana sheikh wangu sure kwaelim yako ya dini. nawashangaa sana masheikh. wakubwa ambao wana sema wewe nimshilikina alafu mbele jamii bila kufanya utafiti Mungu awasameh tu kwasababu hawajui
@tyivbra
@tyivbra Ай бұрын
Ckuzote mtiweny matunda hupigwa mawe
@abdullzahor3019
@abdullzahor3019 Ай бұрын
Dr sule majini achana nao pumzi zisikudanganye umri mdogo sana dunia isikutie kwenye shirki
@user-zm8nq6xv8o
@user-zm8nq6xv8o Ай бұрын
DR SULLE NASHAURI SOMA KWANZA VITABU VIZURI. ALAFU HOJA ZOTE NILIZO ZISIKIA NAONA KAMA UNATAFUTA NAMNA YAKUJITOWA KWENYE MANENO YAKO YAMWANZO UNABADILIKA. REJEA TENA KWA ALLAH NA UACHE KUPANDIKIZA KITU KWA UMMAH AMBACHO KINAWEZA KUKULETEA MADHARA MAKUBWA MBELE YA ALLAH 😢
@PaulJospin-et7nu
@PaulJospin-et7nu Ай бұрын
Shalom, mwalimu Dr sulley aje RD Congo (Bukavu) akifika Congo na amini atrudi amesha batizwa.
@isarichard
@isarichard Ай бұрын
I support you Dr. Sule those are tarnishing your name and who are becoming difficult at the knowledge they do not possess, yan tatizo lao mmojatu lack of understanding what,how,and who the unseen creatures are especially the Jinn kind Don’t be panicked with those people just tell them to back to class perchance they will have the opportunity to acquire such a piece of knowledge A big hand to you sheikh and continue doling out such lectures to people so that they stop living in the kiz and know the truth about the Jinn kind…
@al-miskrychannel478
@al-miskrychannel478 13 күн бұрын
Huyu mwamba km kuna uwezekano akatazwe kulingania watu kuhusu shirki, huyu ameshauva ujini sio binaadamu tena. Na kwa jamii yawaliowengi hawajasoma dini atapotosha sana huyu. Hili si la kupuuzwa - baada ya kulingania ucha mungu analingania watu wafanye shirki. Allah amtoe nguvu aache kupotosha watu kwa ajili ya maslahi yake binafsi.😢
@abdullzahor3019
@abdullzahor3019 Ай бұрын
Maneno yako sule ni ushirikina mtupu allah akuongoze urudi njia ya sawasawa
@islaahislamictv9085
@islaahislamictv9085 Ай бұрын
Toa ya kwako mazuri tujifunze
@ismailally3219
@ismailally3219 Ай бұрын
yeah! tupe ya kwak ambayo s ushikirikn tukapaja lesson today we are lesten for this time
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu Ай бұрын
​@@islaahislamictv9085 huo ni ushirikina hauko kwenye Aya Wala hadithi
@KhalidAlly-je8ky
@KhalidAlly-je8ky Ай бұрын
Wewe sio DR ni professional
@xenioribra3765
@xenioribra3765 Ай бұрын
jamaa ana akili sana..... Mungu ampe maisha maref
@hassanWanjiku
@hassanWanjiku Ай бұрын
Atapewa ila ajue akifa kama saii hayupo salama
@PaulJospin-et7nu
@PaulJospin-et7nu Ай бұрын
Nawatoleya salamu, namuomba Dr sulley aje RD Congo, akifika Congo na amini atrudi amesha batizwa.
@abdallahhamisi45
@abdallahhamisi45 Ай бұрын
Sheikh nimekuelewa vyema sana na vyote ulivo visema haswa ile ya kusafiri ipo na wamefanya hadi viongozi sio tu mashehe. Tatizo letu sisi elimu hatuna na tunabisha kimasilahi. Wengine wanabisha sababu hawajui tu
@zuberiimamumhina5164
@zuberiimamumhina5164 Ай бұрын
dr ifike wakati uache kubishana na watu ambao hawana elimu fullstop #HAWANA ELIMU jua hivyo profs heb ach kupotez muda na wao niki skiliz hoj zao hazina mashiko mmoj anasema majini hawaonekan dr sule kawaon vp na mungu kasem sis hatuwaon wao wana tuon nika pat jibu hawa jamaa hawana elimu kuwahus hao majin nabii suleiman ali waon vip
@ginazngo4317
@ginazngo4317 Ай бұрын
Masha alla ninajicubia kuwa muislam
@GitanoGitano-dx7bb
@GitanoGitano-dx7bb Ай бұрын
Kusoma sana ni shida kwa upande mwingine ,majini wanaotii sheria za Mungu ni kwa kuabudu MUNGU tu,Na wale majini wanaofanya mabaya ndio wale wanafanya shirk kama kuwapatia watu kuua,katika mijaraba,katika albadiri wala si kazi nyingine,Ndio maana hukumu siku ya kiama itawahusu binadamu na majini tu, tuache mixing katika dini,
@SalmaSalum-p5o
@SalmaSalum-p5o 19 күн бұрын
Ikumbukwe kua chanzo cha watu kufanya shiriki ni kwasababu watu wamemiliki majini leo unamtumia jini kwa wema kesho imani inabadilika unamtumia jini kwa ubaya . Watu wapo tayari kumlipa mganga ma bilioni ya pesa kwa ajili yakumua mtu je leo kıla mtu awe na jini lake ivi kuna atakae baki si tutauwana tu .mm siwafichi nina roho nzr lkn mtu akinikera nakua na hasira je leo nina jini si nitamtuma aje anilipie kisasi . Mtume alikua hawaombi majini bali majini wenyewe ndio walikua wakimfata mtume na hıı ni kwasababu yeye ni mja mwema lkn licht ya kua majini wanamfata mtume lkn mtume hakuwahi kuwaomba mali . Je Dr sule ukiacha Mtume kuna ata swahaba wa mmoja wa mtume aliekua akiwaomba majini watafutiwe mali au chochote kile .??
@Abdulrahmanhassan18
@Abdulrahmanhassan18 Ай бұрын
Mashaallaa Allah bariq mwenyenzi mungu akulinde shekh wetu mtaalam DR Sule. Wanaokutukana tatizo lao ni uchache wa maarifa tu
@zainabusagalo3031
@zainabusagalo3031 Ай бұрын
Kweli kabisa hawajaruhusu tu akili zao kuelewa mambo beyond the body maana viumbe vyote vilivyoumbwa na Mungu ni energy na viumbe vyote vipo kwaajl ya manufaa na vinamtumikia mwanaadam kwa sababu mwanaadam yeye ndo khalifa.
@AbdillahAlly-fl4vh
@AbdillahAlly-fl4vh Ай бұрын
@@zainabusagalo3031 good
@alkashaaiy9722
@alkashaaiy9722 Ай бұрын
hii dini sio mawazo ya kila mtu , Huyo sule ni mwalimu kwa wajinga wenziwe , Hakuna mtu anayejua tawhiid na shirki akazungumza upumbavu mfano huo .... halafu wengine wanaleta theory za energy hapa , watu sijui ni wagonjwa kiasi gani
@zainabusagalo3031
@zainabusagalo3031 Ай бұрын
@@alkashaaiy9722 Kama tawhid ni kumpwekesha Mungu basi hata Sule hajamfanyia Mungu mshirika. Acha kukaza kichwa ruhusu akili yako kuelewa point. Kwa taarifa yako nikisema energy namaanisha spirit,hii miili ni vazi la spirit tumefumbwa kuona vitu kutokana na hii miili tuliyovishwa unahabari hata jiwe ni spirit ila unaliona Kama ni jiwe kutokana na hilo jicho la nyama.
@alkashaaiy9722
@alkashaaiy9722 Ай бұрын
Huo ni uchache wa elimu na kubobea sana kwenye sekula na kuchukua theory za sekula kuziweka katika khabari za ghaibu, Kwanza Tukisema ,Kila aliyesoma tawhiid ajua wasaail wa shirki ni kufungamana na majini hilo hata mtoto mdogo ajua , Sasa weww kama muda wako uliutumia kusoma theory za energy ukasahau kusoma tawhiid na shirki lazima mitego ya kufungamana na majini itakupata Allah anasema nini kuhusu habari za Roho ( Spirit?) { وَیَسۡـَٔلُونَكَ عَنِ ٱلرُّوحِۖ قُلِ ٱلرُّوحُ مِنۡ أَمۡرِ رَبِّی وَمَاۤ أُوتِیتُم مِّنَ ٱلۡعِلۡمِ إِلَّا قَلِیلࣰا } [Surah Al-Isrāʾ: 85] Na wanakuuliza khabari za Roho. Sema: Roho ni katika mambo ya Mola wangu Mlezi. Nanyi hamkupewa katika ilimu ila kidogo tu. SHIRKI HAIKUANZA ILA BAADA YA KUANZA KUFUNGAMANA MAJINI NA WANADAMU na Allah akasema { وَأَنَّهُۥ كَانَ رِجَالࣱ مِّنَ ٱلۡإِنسِ یَعُوذُونَ بِرِجَالࣲ مِّنَ ٱلۡجِنِّ فَزَادُوهُمۡ رَهَقࣰا } [Surah Al-Jinn: 6] Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume wa kijini; kwa hivyo wakawazidisha madhambi. HIZO AYA TU ZILIKUTOSHA WEWE KUACHANA NA KHABARI ZA MAJINI MAANA HAKUNA MWISHO MZURI HATA SIKU MOJA ILA MAASI AU KUTUMBUKIA KATIKA SHIRKI
@kerosenealimasi8019
@kerosenealimasi8019 Ай бұрын
Mungu akulinde sheikh
@ramadhanmwandambotuntufye5972
@ramadhanmwandambotuntufye5972 Ай бұрын
Nakuelewa sana Dr. Sule
@saadasaleh3177
@saadasaleh3177 Ай бұрын
Dr suleee Allah hajaahidi kumlinda mtu kwa kutumia Jinni jmn ukisoma ayatul Kursiyyu wakat unatok ndan kwako Allah anakupa kikosi cha malaika cio majini pia ukitaka kulala ukisoma zile sura alizosema Mtume SAW bc Allah anakupa ulinzi wa malaika cio jinni jmn tumche Allah kuna majini maulamaa kweli inaez ukapatwa na shida akakusaidia lkn c tena aanze kukupa masharti au akupe pesa tenaaa heeee huenda anakusaidia km anataka tu ujira kwa Allah akusaidie kisha habar imeisha lkn akwambie uchome ubani au akupige mikwaju ukaswali au ukupe ulemavu mpaka ukubali uganga ili utibu watu huyo anataka kukutia ktk shirk Allah atuhifadhi
@ginazngo4317
@ginazngo4317 Ай бұрын
Shehe tupe elimu tumekuelewa sana alla akubariki na mgeni wetuu 😂😂😂
@lightworkerplan1543
@lightworkerplan1543 Ай бұрын
Kwel bn unajua Watu wengi wamekaririshwa wala hawana ufahamu mpana katika elimu nahawajui nini maana ya shirki
@cavanindimbe1670
@cavanindimbe1670 Ай бұрын
Dk Sule hii nchi inakuhitaji sana kulko wew kuhitaji hii nchi mi nakukubali uko sawa sana wanaokupinga hawakupendi tu
@musalumbi8490
@musalumbi8490 Ай бұрын
Wacheni kuuharibu Uislamu
@k4cmmhcn297
@k4cmmhcn297 Ай бұрын
Dr kaeni chini kama waislamu ALLAH amewapa jukumu zito la kuhakikisha gurudumu hili linasonga mbele ila mkiwa mnapingana wenyewe kwa wenyewe hamuoni kama mnatugawa makundi kwa makundi Allah atawauliza kuhusu ili mkumbuke jamani sisi wengine elimu yetu ni ndogo sasa mkihitilafiana wenyewe kwa wenyewe sisi wanafunzi wenu mnatuweka kwenye fungu gani??
@khadijaomar7529
@khadijaomar7529 Ай бұрын
Dr sule hongera yako hao majini yako yame juwa kukupa umarufu kama kawaida yao wanavyo fanya mana umevuma sio mchezo ela haya tutaona mwisho wako wewe na hawo majini yako si letu jicho tu
@husseinshehuna68
@husseinshehuna68 Ай бұрын
Soma tawhiid... Na uisome dini akhy...
@saadasaleh3177
@saadasaleh3177 Ай бұрын
Unajua Dr Sule ww unaitwa mshirikina kwa jambo la kumtii uyo unomuita jini uchome uban mashtaka au uvae pete au usome jina fulani la Allah hayo ni mashart unayatekeleza tena mengine kwa cku maalum au kwa wkat maalum uo ndo ushirikinaaaa hupaswi kutii amri kutoka kwa jini Allah atuhifadhi
@datswewagoldi
@datswewagoldi Ай бұрын
Yuko sahihi dr sule
@user-td8bp9kz8d
@user-td8bp9kz8d Ай бұрын
Kweli sheikh Suley umetoa Siri za watu
@ARSHADOTHMAN-hs3mf
@ARSHADOTHMAN-hs3mf Ай бұрын
Ukweli haupingiki dk sule ukosefi wa elimu tu ndomaan wanapinga
@user-bc5hf6zq4o
@user-bc5hf6zq4o Ай бұрын
Unaweza kuwa hujuwi na hujinjuwi kwamba huyuwi tusitetee mambo yetu tukaharibu wengine ukiwa na Imani za kishirikina mwisho Yako unakuwa mmbaya tujitathmini sana...
@AbbMotors-pc4rx
@AbbMotors-pc4rx Ай бұрын
Endelea kutupa elimu achama na kelele za watoto
@saidinsenda954
@saidinsenda954 Ай бұрын
Amsaidiyi bali anamshawish ama kumuamrisha mema kiswahili kieleweke
@RahmaKassim-vf6tv
@RahmaKassim-vf6tv Ай бұрын
Sule ni wacace wata kudos elewa ila uko sahihi kbs wata kuelewa wamecelewa usikate Tama kama uko kwemye haki
@kugotwa004
@kugotwa004 Ай бұрын
MI NAKUELEWA KUWA HUSEMI TUTEGMEE MAJINI KAMA WANAVOELEWA WASIO NA UELEWA
@user-wg2lb8dp8i
@user-wg2lb8dp8i Ай бұрын
Acha ushirikina baba
@KomoraMohamed
@KomoraMohamed Ай бұрын
Dr Sule nmekuelewa vizur sna kwli masheikh google kma kina bachu
@user-zm8nq6xv8o
@user-zm8nq6xv8o Ай бұрын
Shehe acha kutumia sana Mifano kwenye dini ya Allah Tumia saaaana Qur an na Sunnah
@IdrissaMoussa-tx7jy
@IdrissaMoussa-tx7jy Ай бұрын
Innalillah wa innalillah rajiuna sule acha tama yamaisha. Majini ni majini na sisi watu ni watu,tumikana na watu majini nao atatumika namajini acha wunafiki,maisha nimapito tu.
@dicksonmbuvi2756
@dicksonmbuvi2756 Ай бұрын
Mi mkristo ila nakupata iddrisa atapotosha na kutokomeza wengi zaidi
@Mohamedbomeza
@Mohamedbomeza Ай бұрын
tatizo la watu wengi hawa elimu ya hayo mambo kwahiyo wao wanakalili majini wote ni mashetani ..uko sawa binafsi nakuelewa sana
@SaidiBakari-kl1gu
@SaidiBakari-kl1gu Ай бұрын
HUYU SULE NI MSHIRIKINA MKUBWA . FALISAFA YAKE HAIKO MBALI KUFFARI SELEMANI RUSHDI. HUYU SULE KINACHOMSUMBUA NJAA, TAMAA NA SIFA
@fundimagari5825
@fundimagari5825 Ай бұрын
Iyo iyo sulat nahl aya ya 2...inasema mwenyezi Mungu uwashusha maraika na roho kwa mja wake ampendae...huyo roho ni kiumbe gani ...
@aishaalizubeir7964
@aishaalizubeir7964 Ай бұрын
Roho hpa ni jibril alyhsalam...ukiona kwny quraan limekuj neno roho...ujue ni jibril alhysalam
@aishaalizubeir7964
@aishaalizubeir7964 Ай бұрын
Jibril ni kiongozi wa malaika
@muznazahra455
@muznazahra455 Ай бұрын
MTUME WAKE ALLAH HAWEZI KUSAIDIWA NA MAJINI KWANI MTUME WAKE ALLAH ASILI YA UOVU ILI HATA ASAIDIWE KWANI YEYE NI MAASUMU HANA HATA KITU ANACHOWEZA KUKOSEA KATIKA MAISHA YAKE YOTE NA HATEGEMEI MWINGI ASIYEKUA ALLAH S.W...,MFANO WA NABII YUSUFU ALIOMBA MSAADA KWA ASIYEKUWA ALLAH S.W NATUNAONA NABII YUSUFU NATIJA YA KUBAKIA KATIKA JELA KWA MDA WA MIAKA SITA ,KWA KUTAMKA TU NIKUMBUKEKWA BWANA WAKO,BADALA YA MOLA WAKE,SASA ITAKUWA MTUME SAW,AHIFADHIE NA MAOVU NA ILI HALI MTUME HAFANYI DHAMBI HADI AJE KUTUMIA JIIIIIINI ,KWA KUMUINGIZA MTUME KATIKA KATIKA HAYO MAZUNGUMZO HAYAENDANI NA MTUME SAW...SI DHAMBI ANAFANYA WALA HAGHAFILIKI , WALA KUSAHAU...HIZO NI KWA UMATI ILI WAJIKINGE NA VIUMBE VIBAYA ,LAKINI MTUME SAW ASILAN DARAJA YAKE HAINAUHUSIANO WA KUZUIWA MAOVU KWANI HANA SIFA ZA UOVU WALA KUFANYA DHAMBI HADI JINI AJE KUMZUIA,HAYENDANI NA MISINGI YA DINI YA KIISLAM,KAMA ULIVYOMUINGIZA MTUME SAW KATIKA WANAOSAIDIWA NA MAJINI...HAPO MIMI SIKUBALIANI NA MAZUNGUMZO YAKO...NA ELIMU YA MAJINI SIYO WATU WOTE WANAISTIIDAD YA KUELEWA KWA HIVYO ELIMU ZINGINE NI MAHDUUD KWA BAADHI YA WATU ,KWANI WASOELEW UTASABABISHA WENGI WAUKASHIF UISLAM...KWA KUTOJUA KWAO..NA WEWE NDIYE UTAKUA MASUUL KWA HAYO INSHAALLAH WABILLAH TAUFIIQ.
@majutojuma7654
@majutojuma7654 29 күн бұрын
Tukubali jini hawezi kumsaidia mtume kufanya wema. Je binadamu anaweza kumsaidia mtume kufanya wema? Kama jibu sio, maswahaba walioshirikiana na mtume katika vita mbalimbali walikua wakimsaidia mtume kufanya uovu au wema? Je? Kama Sule hana dalili ya kutumia majini katika kufanya baadhi ya kazi wewe una dalili kwamba kutumia majini ni kosa?? Naomba unisaidie.🙏 Sina dalili ya swali langu lakini nimejaribu kutafakari naomba unielimishe.
@arrisalastriker9813
@arrisalastriker9813 Ай бұрын
Njaa yakusumbua sule dunia mapito tu Mzee.
@michaeljoseph3118
@michaeljoseph3118 Ай бұрын
Acha Kupotosha Watu
@islaahislamictv9085
@islaahislamictv9085 Ай бұрын
Sawa
@musalumbi8490
@musalumbi8490 Ай бұрын
Watu hawana shida kuwa majini wapo wabaya na wema; hoja ni wewe utamjuaje kwamba huyu ni jini mwema na huyu ni mwovu wakati waovu wote- binadamu na majini hujisawirisha kwa umbo la wema? Maovu yote duniani yamepambwa kwa uzuri na mvuto. Sule ujue kwamba hakuna jini anayetaka kukukufurisha atakayekuja kwa kwa sura ya uovu. Mungu peke yake ndiye wa kuombwa msaada wala sio kiumbe kingine
@user-wg2lb8dp8i
@user-wg2lb8dp8i Ай бұрын
Wewe Sule ruhusa ya kutumia majini umetoa wapi wacha ushirikina
@user-ef6mp6yd7p
@user-ef6mp6yd7p Ай бұрын
Selemani unakoelekea si kuzuli yaani hata maongezi yako si ya ki shekhe tena kaa ujitafaka pengine unaelekea kuchanganyikiwa
@user-go4qe2xq7g
@user-go4qe2xq7g Ай бұрын
Uko sawa kaka
@mchakhamis-fr5nc
@mchakhamis-fr5nc Ай бұрын
Dr sule Bora mukutane na stdh shafi uso kwa uso mujadili kuhusu iyo ishu ya majini na mapete sio kutupiana maneno au maandiko
@islaahislamictv9085
@islaahislamictv9085 Ай бұрын
Acha dharau ndg
@tyivbra
@tyivbra Ай бұрын
Kinacho nishangaza ni waislam kuyakataa maneno ya shehe wao
@shuitv9229
@shuitv9229 Ай бұрын
Allah amhifadh Dr sulle
@zahorokasentisenti6761
@zahorokasentisenti6761 Ай бұрын
Tatizo la sisi waislam Kila kitu ni ushirikina ndo maana tuko nyuma sana na weng wanabak kuwa ombaomba Dr sule upo sahihiiiiiii sanaaaaaaa
@allyswedi7420
@allyswedi7420 Ай бұрын
Upo sahihi kabisa sijui kwanini hao mashekhe wengine hawataki kuongea ukweli jini na mwanadamu wameambatana wakati wote wa maisha yao
@AbdillahSaleh-og1gu
@AbdillahSaleh-og1gu Ай бұрын
Al hajj Dr Sule. Allah akuzidishie ilmu. Akuhifadhi. Na mashekhe wanajua ilmu hii. Hakuna shekhe wakisawa sawa amvao hii ilmu hawajui. Watakukashif kwa majina tofauti. Wewe songa mbele utupe ilmu. Kama ni matusi na majina ya ajabu , yasikutie dhiki. Allah akuhifadhi.
@oscarngowi4750
@oscarngowi4750 Ай бұрын
Kweli hii sio dini najivunia kuwa mkristo kwenye biblia majini yote ni mabaya hayafai viumbe vya Mungu ni malaika
@fatumatandika6220
@fatumatandika6220 Ай бұрын
Nakuelewa sana na naelimika pia na nina mtoto nimegundua ana jini nilikuwa nadhani ni kifafa kwa miaka mingi hivyo napokea elimu hii nilikuwa siijui na ninakuelewa kabisa kwa vile ysmenisibu
@saidymbagalla6622
@saidymbagalla6622 Ай бұрын
Binafsi mi Dr sule namuelewa sana fact zake anachosema kinaingia akilini
@MdasirHamisi
@MdasirHamisi Ай бұрын
Lakini shekh jitahidi kuboresha huduma zako za tiba maana yangu unakuta kuna wangine 1wapo mbali alafu wanaumwa alafu ukiangalia hali ya kipato ipo chini mtu huyo unamsaidiaje ili apate huduma yako kwaiyo sisi kama wadau wako tunaomba lifanyie kazi hilo maana unapo sema mtu mpaka aje ofisini kidogo inakua ni ngumu unakuta labda kuna wengine wanaishi kigoma alafu wanaumwa sana jitahidi kuboresha huduma ili usaidie jamii yote
@anynarmdan312
@anynarmdan312 Ай бұрын
❤❤❤
@user-ef6mp6yd7p
@user-ef6mp6yd7p Ай бұрын
Tatizo wewe unajifansnisha moja kwa moja na manabii
@abdallahkiliaki3744
@abdallahkiliaki3744 Ай бұрын
Iweje watu tunaunganisha majini na Uislamu wkt ufanunuzi umeshatolewa kuwa majini ni viumbe tu km viumbe wengine? Hakuna viumbe wa Kiislamu wala wa Kikristo wala wa Ki-Confucius.
@user-gm8xx9vn1g
@user-gm8xx9vn1g Ай бұрын
Dokta isikupoteze miluzi nakuomba kwamungu
@BofuMlanzi
@BofuMlanzi Ай бұрын
Shekh Sule ungetukumbusha amri moja tu ambayo Mtume saw aliamrishwa na jini au jambo gani Mtume Saw alisaidiwa na jini lete dalili ya vitabu.
@islaahislamictv9085
@islaahislamictv9085 Ай бұрын
Endelea kusalia hapa yaja
@alimsaid1494
@alimsaid1494 Ай бұрын
Mtume nafasi yake ni kupata msaada au maelekezo ya Allah kupitia malaika kwa sababu yy ni MTUME.
@beyondsavanna6028
@beyondsavanna6028 Ай бұрын
Uyu doctor yuko vizuri sana
@thabitimkufi7388
@thabitimkufi7388 Ай бұрын
Shekh kiduku A k A mganga wa jadi, wasio ijua dini washaanza kumuelewa hahaaa
@nuhukenny7183
@nuhukenny7183 Ай бұрын
Dr Sule, mimi nakubaliyana na wewe 100% wenye kupinga ni ilimu ndogo.
@user-ru3vn9lc5b
@user-ru3vn9lc5b Ай бұрын
Watakuelewa tu. Tatizo watu vichwa vigumu na elimu hawana. Yani shekh wewe uko sawa sana, na wanaopinga hawataki watu waelimike juu ya hili. Hii aitaki tochi. Imeenda hiyo !!.
@user-oe2ty7ds4g
@user-oe2ty7ds4g Ай бұрын
Nyingi husda,hayo yote nayakubali ingawa elimi yangu sio kubwa
@nabiljumaothman5912
@nabiljumaothman5912 Ай бұрын
Huyu Sule anatuharibia uislam Yaani kajiharibia mm ntamkumbuka kama Mshirikina
@amina2044amin-zv2gh
@amina2044amin-zv2gh Ай бұрын
💙💙💙💙
@saidjuma4547
@saidjuma4547 Ай бұрын
sule unamsingizia mtume mm sikusamehe
@muhsinkimaro4283
@muhsinkimaro4283 Ай бұрын
Kitenda cha kusoma quran, halaf mkaona hakuna dalili kisha mkahamia kwa jin kutaka msaada huo ndo ushirikina, kwamba Allah ushamweka pemben na unamtegemea jini
@issaabdallah1205
@issaabdallah1205 Ай бұрын
Sule umuongo na visa vyako vya uwongo haviko ktk vitabu vya hadithi
@abdallahhamoudalmughayri4583
@abdallahhamoudalmughayri4583 Ай бұрын
Kuna tofauti Kati ya KUNIAMRISHA na KUNISAIDIA, acha kupotosha
@user-zs6qg7ql1i
@user-zs6qg7ql1i Ай бұрын
Kesi za Majin babu yng shekh sleman nin Alawiy alikuw htr ww km Kuna jini kashinda niletee mim spotez muda wa kukesh na mgonjwa usiku mm Sina mda huo dakika 5 nishamalizan nae
@richardmshiu5118
@richardmshiu5118 Ай бұрын
Washirikina tu nyie,badala mumtumie Allah mnatumia majini kutoa majini,,
@HamidaMohamed-be5kg
@HamidaMohamed-be5kg Ай бұрын
Sio kweli Mtu akiubwa bro hana jini lolote ila upande wakulia kwake ana malaika upande wakushoto yupo malaika haya we wasema mtu akizaliwa hua ana majini wawili huo sio ukweli
@richardmshiu5118
@richardmshiu5118 Ай бұрын
Hivi niulize nyingi waislam,1.kitabu chenu wapi kimeandika umtegemee jini akusaidie?,2.je mungu wenu kwa nini msimtegeme na mnahusisha jini?.
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 Ай бұрын
M'mungu anataka tumuabudu, tumtegemee yy peke yake si vinginevyo.
@richardmshiu5118
@richardmshiu5118 Ай бұрын
@@mwawekomiuda9779 Kiukweli fanya utafiti wako hakuna mganga wa kienyeji mkristo,, utasikia sharifuu majini, Sheikkk Abdul, sheikh omary nakadhalika.hutasikia majina ya kikisto kwa sababu hatuna ushirikinaaaaaaaa
@user-zr2pn5uv8b
@user-zr2pn5uv8b Ай бұрын
ielewe dini kama walivyoielewa Maswahaba shida yako unaitumia akili yako na bado sifa na misingi ya kutumia akili hunijui na Tawhiid pia inaonekana bado haijakaa vizuri
@user-zm8nq6xv8o
@user-zm8nq6xv8o Ай бұрын
SUB HAANALLAH
@BURUNDIB
@BURUNDIB Ай бұрын
Hakuna mungu apo ni shetani tu na Muhammad 😂😂😂
@user-bo1ew3xq6w
@user-bo1ew3xq6w Ай бұрын
Wamaakhalaqtul jinni wal insi illa liabudoon.hiyo ni ayyah kuhakikisha kuwa majini pia allah anamalengo pia ya kuwatia peponi kama vile wanadamu.
@taurehassan7399
@taurehassan7399 Ай бұрын
Alouliza swali kwamba Allah kwann hakuwatuma majini amewatuma malaika,hpa tpo kt ya mwanadam na jini,kw mungu haulizwi maamuz yke,c lazima atumie jini,uwezo wake ni mkubwa,swali uliza kw jini na mwanadamu tu,c kw Allah na viumbe vyake
@richardmshiu5118
@richardmshiu5118 Ай бұрын
Washirikina nyie,Hamna lolote.waganga wote wa kienyeji majina ni sheikh omary,,sharifuu majini,, Yani ulishasikia mkristo mganga?
@esirmviha583
@esirmviha583 Ай бұрын
Kwan mdahalo hakuna leo
@saidiathuman-og6bc
@saidiathuman-og6bc Ай бұрын
Sule umeisha Imani huna
@kheirahmad4064
@kheirahmad4064 Ай бұрын
Hakuna Al haj hapo.
@mussakisope7207
@mussakisope7207 Ай бұрын
Sheikh kiduku endelea na ujanja wako
@user-tc9mf9om2b
@user-tc9mf9om2b Ай бұрын
Jeee ww umemsalimishaa
@oscarngowi4750
@oscarngowi4750 Ай бұрын
Wewe na mchawi hakuna tofauti kabisa
@saidjuma4547
@saidjuma4547 Ай бұрын
sule anataka kuwa kama nabii suleiman huwezi usiwadanganye watu
@user-nq4pb8jh1s
@user-nq4pb8jh1s Ай бұрын
Sasa hii si ni uchawi
@mosesmutharimi5837
@mosesmutharimi5837 Ай бұрын
Kitabu cha majini ni Quran,dawa ya kufukuza jini ni ni jina ya yesu
@dicksondkaganga1290
@dicksondkaganga1290 Ай бұрын
Nilikuwa nasikia kuwa UISLAM ni dini ya MAJINI. Kumbe ni KWELI. Uislam ni dini ya UISLAM!
@MbaroukSilima
@MbaroukSilima Ай бұрын
Si kweli
@HatibuHatibu-cd7hs
@HatibuHatibu-cd7hs Ай бұрын
Sheikh kusoma sio kuelewa...
@abduwahabi7019
@abduwahabi7019 Ай бұрын
Leo ndio nimekuelewa vzr suke kwamba wewe nimshirikina mkubwa
아이스크림으로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 63 МЛН
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 12 МЛН
Я обещал подарить ему самокат!
01:00
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 3,9 МЛН
DR.SULLE WATU WENGI WANAJUA WAISLAM TUNAFUGA MAJINI#nondozadrsulle
28:41
ISLAAH ISLAMIC TV
Рет қаралды 43 М.