DR. SULLE IBILISI NDIO MKRISTO WA KWANZA|NDACHA AKUBALI UKIRISTO UNATOKANA NA WAPAGANI MUSIJIPE PEPO

  Рет қаралды 92,170

Adil TV

Adil TV

7 ай бұрын

#AdilTV

Пікірлер: 207
@NASIBUMAWAZO-we4uj
@NASIBUMAWAZO-we4uj 4 ай бұрын
Allah Akbar,, Allah awazidishien Elimu Waislaam wote inshallah 🙏🎉
@AlliKibe
@AlliKibe 4 ай бұрын
Mashaallah dr sule allah akuzidishie inshaallah ❤️ ❤❤❤
@saudaumar3354
@saudaumar3354 7 ай бұрын
Mashallah Allah akuweke Dr sule na group yote Inshallah ushindi wetu Inshallah.ndata hana lake jambo maskiin
@Purity-l2v
@Purity-l2v 2 күн бұрын
Nasemaje wakristo msidanganyike, i love Jesus ❤❤
@mwanarusiali4430
@mwanarusiali4430 5 ай бұрын
Allah azidi kukupa elimu Dr wetu sule
@josephlusava
@josephlusava 3 ай бұрын
Itakuaje siku Ile Ile sule na ndacha kuingia jehanam na mwajua dini je mwajua mpenzi ya mungu kwa mwanadamu jihadharini Sana msije mkajipata pa Baya aminini mungu c dini
@twahirshali8014
@twahirshali8014 7 ай бұрын
Hongera dkt sule
@AshirafuShabani-gn4cr
@AshirafuShabani-gn4cr 6 ай бұрын
Allah awalipe kwaupambanaji nyinyipia nimiongoni mwa maswaba wa mtume Muhammad takibiiilii
@FatmaMohammed-by9cg
@FatmaMohammed-by9cg 3 ай бұрын
Maswahaba niwale waislam tu walionana naMtume uso kwamacho halafu Maswahaba waliobeba vitu vingi sana,wamefanya makubwa mno nandio maana akitajwa swahaba watu humalizia kusema Radhia Allahu Anhu.
@user-xv1bg3jo7l
@user-xv1bg3jo7l 4 ай бұрын
Tayar allah ashamruzuku Dr sule anapepo yake namaua yake❤❤❤❤
@ibrahimmzungu3849
@ibrahimmzungu3849 2 ай бұрын
Tu seme inshallah
@yusuphj7705
@yusuphj7705 4 ай бұрын
uislamu ndio njia ya kweli
@KassimOmar-rn3yh
@KassimOmar-rn3yh Ай бұрын
MashaAllah allah awalinde naxhar za makafir
@youthmechanics6167
@youthmechanics6167 3 ай бұрын
Hakuna dini inayomzidi Yesu.Yesu ni Mungu.hakuna mtu anaweza fika mbinguni isipokuwa Kwa njia ya Yesu.nje ya Yesu ni motoni tu
@SangetNgoirien
@SangetNgoirien 3 ай бұрын
Kubishana hivyo ni vizuri ili kuweka mambo bayana
@youthmechanics6167
@youthmechanics6167 3 ай бұрын
@@SangetNgoirien *Ukristo ndiyo chanzo Cha Kila kitu humu duniani,wapi Wakristo walipo nyuma,Dini ya pili ilianziswa katika karine ya 7.haiikaribii Wala robo Imani ya Kikristo,kalenda ya dunia imetengenezwa na moja ya Ma-Popes wa Wakristo wakatoliki.siku za juma zimewekwa na wkatoliki,Ukristo unaongozwa na mtu alitoka mbinguni na ambae yupo mbinguni aridhi ilishindwa kumkamata,Ukristo Hauna mengi,Wala haupendi magigambo na Wala hawapigi makelele kuzikosoa Dini nyingine Kwa sababu Yesu ni mpole na mnyenyekevu,ninabahati sana kuzaliwa katika Ukristo
@yasini5794
@yasini5794 3 ай бұрын
Umerogwa wew 🤣🤣🤣
@SwahibuAthuman-yv2mn
@SwahibuAthuman-yv2mn 3 ай бұрын
Mungu gani anakufa zinduka
@afandehassan1
@afandehassan1 2 ай бұрын
Na Neno Linasema Yeyote Aliyesulubiwa Huwa .... Malizia Wewe Jahili
@FatmaMohammed-by9cg
@FatmaMohammed-by9cg 3 ай бұрын
Alhamdulillah kwa neema ya Uislam❤❤
@user-di8me2wb7p
@user-di8me2wb7p 7 ай бұрын
MashaLLAH dr sule mwenyewe huyoo❤
@SmilingAcorn-yy4bv
@SmilingAcorn-yy4bv 4 ай бұрын
@user-yf7yg6ow7s
@user-yf7yg6ow7s 4 ай бұрын
Uwislamu juuuuuu
@allyhamida2233
@allyhamida2233 4 ай бұрын
Mashallah dk sule Allah akuweke
@user-ly8sz7qv6i
@user-ly8sz7qv6i 5 ай бұрын
MashaAllah Dr sulle
@sakinahassani1455
@sakinahassani1455 6 ай бұрын
MashaAllah Dr sule
@OthumansaidDimwaya
@OthumansaidDimwaya 3 ай бұрын
Maashallah doctor sure wafundishe ili waijue njia sahihi ni ipi
@user-py4wc7cy7d
@user-py4wc7cy7d 6 ай бұрын
Mashallha
@Thabit-ix1yr
@Thabit-ix1yr 6 ай бұрын
Maashaalhawh mungu akuhid
@NurdinismailKisika
@NurdinismailKisika 3 ай бұрын
Mashaallh
@AleMohamed-wg1fj
@AleMohamed-wg1fj 3 ай бұрын
Manshallah doctor sure❤❤❤
@HassanMadura
@HassanMadura 4 ай бұрын
Masha anlla
@StevenMgassa
@StevenMgassa 3 ай бұрын
Dr sule humuwez Ndacha ww alafu mbona Pstor Ndacha mnakatisha hoja yake inakuwa fupi, waislamu mnafitina sana asa wewe uliye upload hii video uache roho mbaya
@Prime-ur6cz
@Prime-ur6cz 6 ай бұрын
Mashallah😀
@user-ks9fm1pp8d
@user-ks9fm1pp8d 5 ай бұрын
Asalaam aleikum warahmatullah wabarakatuh
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 7 ай бұрын
Dr Sulle uyooo ❤❤❤
@FauswalHamadi
@FauswalHamadi 3 ай бұрын
Uyu dokta sule ni Hatari sana dini ya kweli ni wiislam
@user-iy8pc6pz4k
@user-iy8pc6pz4k 4 ай бұрын
Al Islam Dini
@Omosh2024-e5e
@Omosh2024-e5e 4 ай бұрын
We worship the same God
@PurtyEramson-vw1fo
@PurtyEramson-vw1fo 4 ай бұрын
In jesus name❤❤❤❤❤❤
@user-yf7yg6ow7s
@user-yf7yg6ow7s 4 ай бұрын
Mashallah Dr sule mtape ndacha atapike ajue dini ninini Hana lolote jacho linamtoka hajui afanye nini
@hamisimuhammad3656
@hamisimuhammad3656 3 ай бұрын
Mbona makafiri siwaoni ktk comment 😅😅😅
@user-wm9hr7fx9l
@user-wm9hr7fx9l 3 ай бұрын
Kafiri ni nani? Au unaongea tu
@omarytobaomary7148
@omarytobaomary7148 6 ай бұрын
Ndacha anaungaunga mandiko kutengeneza ukweli kitu ambacho akipo ndiomana anaingia kwenyemtego
@user-vb4ek9jd7x
@user-vb4ek9jd7x 4 ай бұрын
Kiristo ni dini ya kweli ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@SaidiMussa-zk8tp
@SaidiMussa-zk8tp 4 ай бұрын
Umwpotea ww
@RamaNinga-jv2xw
@RamaNinga-jv2xw 3 ай бұрын
Kristo ni jina la mtu iweje dini iwe na jina la mtu.
@user-zk8cd3ge8t
@user-zk8cd3ge8t 3 ай бұрын
Mashallah dr sule ,mazinge na mr mweipop mung amjaalie huko aliko
@mohamedmwabeha
@mohamedmwabeha 3 ай бұрын
Waislam takbir❤
@NdumeKabue
@NdumeKabue 2 ай бұрын
Dr sule unayoyaongeya siivo
@edithnimubona-uq1es
@edithnimubona-uq1es 6 ай бұрын
P ndacha atajuwa hajuwi hana lolote Dr sule Allah akujalie umri mrefu uendeley kuutetey uisilam manshallah
@bahatigwivaha2201
@bahatigwivaha2201 6 ай бұрын
Uislam ulianzishwa na Muhammad huoni kama Dr anatafuta maokoto tu kwa kuwafurahisha
@maandikotv5953
@maandikotv5953 6 ай бұрын
Unaona upuuzi ulio mwingi? Kwa Nini mmeweka kipande chenu tu?, mnaogopa maana mnajua hapo Kuna msumali ndo maana, kiukweli hapa ilitakiwa uweke mdahalo wote kama unajiamini.
@johnsonhunterofficial8046
@johnsonhunterofficial8046 3 ай бұрын
Wa afika tuna ji sumbuwa bure, ivyo vitu havi tu husu.
@salimkisoja5030
@salimkisoja5030 5 ай бұрын
Dr sule ukienda kwamungu utakuta mauwa yako waache wakrist maana wanajifanya hawaelewi
@ASIFONLINETV-gb4no
@ASIFONLINETV-gb4no 4 ай бұрын
Ndacha unauwezo wa kushindana😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
@NASIBUMAWAZO-we4uj
@NASIBUMAWAZO-we4uj 4 ай бұрын
😂😂😂Leo mbona sioni comments za Makafiri humu ndani, wako wapi 😅😅😅 Mungu akuzdishie Elimu Dr. Sulley
@desirengenerwasobanuka9015
@desirengenerwasobanuka9015 4 ай бұрын
Kwani hujui kwamba waislamu ndo makafiri pekee? Aachane kuwa munajifariji. Chunga siku inakuja mutaisoma namba. Porojo tu nyingi lakini hamna maneno ya uzima.
@hackazteach
@hackazteach 4 ай бұрын
😂😂😂😂
@jovinmancomedytz
@jovinmancomedytz 3 ай бұрын
Kafiri mamaako
@user-yi9ib5qz1u
@user-yi9ib5qz1u 3 ай бұрын
Kafiri wa Kwanzaa ww
@mutiithidaniel6846
@mutiithidaniel6846 3 ай бұрын
Unajua maana ya jina kafiri kweli katika kiswahili?
@kyalomasai4553
@kyalomasai4553 6 ай бұрын
mwongo sana daktari , waliungana na kanisa meaning there already was a chucrch less the name
@user-ei3iy5fu1i
@user-ei3iy5fu1i 4 ай бұрын
Kubukeni yesu akuzariwa musikitni warakanisani arizariwa kwamwanamuke abae akujua kutawaza
@johnsonhunterofficial8046
@johnsonhunterofficial8046 3 ай бұрын
Wa afika tuna ji sumbuwa bure, ivyo vitu havi tu husu.
@samuelondieki9164
@samuelondieki9164 4 ай бұрын
Ibilisi alikuako kabra ya kristo inakuaje Sasa ndio mkiristo wakwanza
@josephcharo1356
@josephcharo1356 3 ай бұрын
Uislamu ndio njia ya kweli maana ukifika upigania Allah utarithi mabikira 72 mbinguni
@user-ys8hi7iy5j
@user-ys8hi7iy5j 3 ай бұрын
Nyie waisilam sijui mlilogwa nanani mna penda Vita Sana nakama nyie ndio mnadin yakweli kwann waislam wengi mnamajin Imani zenu zinajenga watu hofu
@benedictmatheka9775
@benedictmatheka9775 3 ай бұрын
Waislamu mtafute mdahalo wote ndo mjue sule kaoshwa si vipande tu
@danielchamoto9376
@danielchamoto9376 4 ай бұрын
Kubishania dini ni ujinga tu na hii sijui kwanin hasa kwa waislamu mnapenda sana mabishano ya dini
@omarratibu9709
@omarratibu9709 4 ай бұрын
Kuelimishana sio kubishana
@mussajuma-ow7ry
@mussajuma-ow7ry 4 ай бұрын
Kama Wakrosto wangekua hawapendi kubshana wasingeenda kwenye midaharo sa
@johnsonhunterofficial8046
@johnsonhunterofficial8046 3 ай бұрын
Wa afika tuna ji sumbuwa bure, ivyo vitu havi tu husu.
@hamoudayoub2049
@hamoudayoub2049 3 ай бұрын
Acha ushamba wewe kaaaa pembeni mwanamke we
@YuzoIssa
@YuzoIssa 3 ай бұрын
Tunwapenda mdiende motoni jamni misijemkasema atukuwambia
@user-ys8hi7iy5j
@user-ys8hi7iy5j 3 ай бұрын
Alafu hawajiuliz hiodin yenyewe niluga ya warabu
@RamadhaniRajabu-zk7wi
@RamadhaniRajabu-zk7wi 5 ай бұрын
Hii tv yenu akisimama ndacha mnakuwa mmefunga episode kwann, au unaficha majibu sahihi anayotoa Past Ndacha
@user-oh6pc7zd4s
@user-oh6pc7zd4s 5 ай бұрын
PANNA MAJIBU SAHIHI GANI HAPO TENA ,AU UNAJIZIMA DATA.,KUZALIWA KWAKE NI TAREHE YA UONGO,PASAKA UONGO,EASTER NI UONGO,HATA SALAMU YA BWANA YESU ASIFIWE NI SALAMU YA UONGO YASU HAKUTOA SALAM HIYO.UTATU MTAKATIFU NI UONGO MTUPU,YESU NI MUNGU YEYE MWENYEWE HAKUWAHI KUSEMA HIVYO,ANASEMEWA NA PAULO,HUTSKI TU KUTUMIA AKILI YAKO NA KUTAFAKARI OOHH POOR ON U POOR MIND POOR THOUGHT.
@MatongoPontien
@MatongoPontien 3 ай бұрын
Dini ya kweli ni islam
@peteremanuel8022
@peteremanuel8022 6 ай бұрын
Ibirisi siyo mkiristo. Ibirisi ni mwislam
@saidahmed5214
@saidahmed5214 4 ай бұрын
Ushahid hoja kama unayo sio maneno tu
@johnsonhunterofficial8046
@johnsonhunterofficial8046 3 ай бұрын
Wa afika tuna ji sumbuwa bure, ivyo vitu havi tu husu.
@johnsonhunterofficial8046
@johnsonhunterofficial8046 3 ай бұрын
Wa afika tuna ji sumbuwa bure, ivyo vitu havi tu husu.. Tuna gombaniya bure
@jacksonmusyoka8837
@jacksonmusyoka8837 3 ай бұрын
Uislam ni ushetani.ibada ya majini na kuosha matako bila sabuni
@user-jf2gp7wb9i
@user-jf2gp7wb9i 6 ай бұрын
Sasa kitabu cha mchungaji ndio mnafurahia ujinga aliyo andika mchungaji korofi kweli uislam sio dini wala sio njia ya kwenda peponi ni motoni
@user-ct7zd6he2j
@user-ct7zd6he2j 6 ай бұрын
😂😂sasa inatakiwa ww na wachungaji wenzako inafaa muandamane myafute maandiko ya pasta mkorofi sasa unatuambia sisi tukusaidie na nini❓
@whitetigerprincy5882
@whitetigerprincy5882 3 ай бұрын
Kwani tangu lini daudi Kawa nabii 😀🤣😂🤣😅😂
@Jilani-jr
@Jilani-jr 3 ай бұрын
😅😅Sule acha upunguani... Una kifua tu na hauna elimu
@johnsonhunterofficial8046
@johnsonhunterofficial8046 3 ай бұрын
Wa afika tuna ji sumbuwa bure, ivyo vitu havi tu husu.
@peterleadilesela9878
@peterleadilesela9878 4 ай бұрын
Muhammad Pekee ndo anakiri uislamu ni dini ya kweli,lakini yesu alituambia njia yeye ndiye njia y kweli na haki!
@FauswalHamadi
@FauswalHamadi 3 ай бұрын
Ukrsto ni Dini ya Mashetani
@user-hx8gn5yx8c
@user-hx8gn5yx8c 4 ай бұрын
Kwani unafikiri mijadala ni dhambi? Si ndo watu wanapata kujua unwell?
@LawrenceLucas-ue9gp
@LawrenceLucas-ue9gp 3 ай бұрын
😂😂😂😂 ukiwagusa wao kesho utawakuta barabaran yani wakristo wangekuwa na mioyo midogo inchi isinge tawarika arafu chajabu maneno yao mengi watu ata awangaiki nao ndipo utapo gungua vichwan mwao😂😂😂😂😂 kwan nani kawauriza mbonq mishipa inawatoka
@juliusandason
@juliusandason 2 ай бұрын
Shida hapo tofauti ni kwamba hamwelewi maana ya ukristo, alafu kitabu hicho Yehova matatani sio biblia
@HABAKUKVUSAKA
@HABAKUKVUSAKA 3 ай бұрын
Mbona yesu ndio Ali fungal kula na kunywa si Muhammed io ni upuzi
@desirengenerwasobanuka9015
@desirengenerwasobanuka9015 4 ай бұрын
Kwa kweli naona waislamu munazidi kupotea na kupotosha watu wa Mungu. Nyinyi Mungu atawaadhibu kwa kupotosha watu wake. Quran 3:55 Mwenyezi Mungu aliposema: Ewe Isa, nitakukumbusha na nitakunyanyua kwangu na kukutakasa na wale waliokufuru na nitawaweka wale waliokufuata juu ya wale waliokufuru mpaka Siku ya Kiyama. Akhera ndio marejeo yako. kwangu, kisha nitahukumu baina yenu katika yale mliyokuwa mkikhitalifiana.
@nourdinpro
@nourdinpro 4 ай бұрын
Yani unaipinga biblia
@johnsonhunterofficial8046
@johnsonhunterofficial8046 3 ай бұрын
Wa afika tuna ji sumbuwa bure, ivyo vitu havi tu husu.
@desirengenerwasobanuka9015
@desirengenerwasobanuka9015 3 ай бұрын
Vitu vyetu ni vipi? Nyinyi waafrika mumejiumba wenyewe?
@user-rf7ep1gg6g
@user-rf7ep1gg6g 6 ай бұрын
Ndacha lopolopo kumbe hamjui
@user-jf2gp7wb9i
@user-jf2gp7wb9i 6 ай бұрын
Sasa kumbe Ibrahim Musa Nuhu ni wa kristo
@ChejoBuchejo-mm8bb
@ChejoBuchejo-mm8bb 3 ай бұрын
Badala ya kuangaika na asili yenu ,,,,mnaangaika na mambo ya waarabu na wazungu .....YAANI NGOZI NYEUSI NI LAAANA TUPU vicwa ni maji kabisa ......apo unakuta ata utamaduni wa kabila lake haujui
@user-pl8pn7qb9e
@user-pl8pn7qb9e 6 ай бұрын
Kubali kushindwa pasta ndacha huna hoja huna lolote
@victorlaurent3293
@victorlaurent3293 6 ай бұрын
Hiyo ni dini ya mtu ww
@binnassorabdallah37
@binnassorabdallah37 4 ай бұрын
Ibilisi ndie kafiri wa kwanza nae ndio mkiristo wa kwanza na yesu ni muislam Allah akupen kher maulamaa wetu wa kiislam wafundishen wasojua haki hao mpk waelewe.
@johnsonhunterofficial8046
@johnsonhunterofficial8046 3 ай бұрын
Wa afika tuna ji sumbuwa bure, ivyo vitu havi tu husu.
@kennedykisasatibarasa8664
@kennedykisasatibarasa8664 5 ай бұрын
Mbona nyinyi msiweke ndacha akijibu huyu dakitari wenu wa dawa wanafiki nyinyi
@apollokidakule-vg3lz
@apollokidakule-vg3lz 3 ай бұрын
Ila waislamu ni wabishi mnajua kweli lakini mmepotea kabisa
@nicksonwekesa1725
@nicksonwekesa1725 6 ай бұрын
Ndacha nakukubali sana Ukweli mchungu lakini waambie wasije wakasema Hawakuambiw😅😅
@shabamuhidin634
@shabamuhidin634 6 ай бұрын
Sisi Wakenya tunamjua Ndacha vizuri sana,kuna Wakristo wenzake wanampinga jinsi anavyoharibu maandiko,ivi tunavyoongea amefukuzwa Sda church😄Wenzake wamemktaa ako na uongo mwngi sana na kuchomeka maneno yeye na msomaji wake,ila ww inaonkana uko hapa kiushabiki huezi liona hilo
@user-kf6tz1px6f
@user-kf6tz1px6f 4 ай бұрын
Inapendeza uzungumze jambo unalolifahamu kulikokuzungumza jambo usilolijua,dini zote zimetoka magaribi na mashariki hivyo sisi tulikuwa na dini zetu za asili hivyo kama wewe sio mkristo Acha kabisa kuzungumza maneno na kama wewe sio mwislamu usizungumze uislamu maana hapo kila mtu na njia yake.
@kimanzitheguitarist7924
@kimanzitheguitarist7924 4 ай бұрын
Uislamu ni ushetani mtupu
@johnsonhunterofficial8046
@johnsonhunterofficial8046 3 ай бұрын
Wa afika tuna ji sumbuwa bure, ivyo vitu havi tu husu.
@twahirshali8014
@twahirshali8014 7 ай бұрын
Mpashe askie ndacha
@henrymatebe
@henrymatebe 6 ай бұрын
Huyu mzee chizi kweli
@RamadhaniKaholi-os3tn
@RamadhaniKaholi-os3tn 7 ай бұрын
Mwanakulitafuta mwanakulipata Ndacha umelipata !!!
@henelckneatunga2720
@henelckneatunga2720 4 ай бұрын
WEWE MWENYE KUSHIKA NJIA ILIYONYOOKA,MBONA HUNA NGUVU ZA KUKEMEA PEPO?JICHANGANYE KWANGU WAKATI MAJINI MNAYAFUGA HADI NDANI UTAPIGA MWELEKA HADI KANZU IVULIKE.
@athumaniwaziri6676
@athumaniwaziri6676 3 ай бұрын
Uislam ni njia ya kuzimu 😅😅😅😅
@henelckneatunga2720
@henelckneatunga2720 4 ай бұрын
TENA NINYI MASHEHE MNAJUA UKWELI WOTE ILA MNAWAPOTOSHA WASIOJUA NA HAMTAKI KUWAAMBIA WASOME ILI WAJUE UKWELI,UTAMFUATAJE MTUME HASIYEJUA AENDAKO?
@shabbymakapane
@shabbymakapane 4 ай бұрын
Waislamu tunasona VITABU , nyinyi ndio Hamsomi Mnabeba BIBILIA Kama Mapambo ,🤣🤣🤣
@charleskuyeko4400
@charleskuyeko4400 4 ай бұрын
Ibilisi ndiye aliyemletea Mohamed qurani na kumsilimisha.
@Emmanuel-nx1hi
@Emmanuel-nx1hi 7 ай бұрын
Weka full video 😂😂 tuona ulivo potezwa na ndacha
@smadon5638
@smadon5638 6 ай бұрын
Ndacha aliyezaliwa nje ya ndoa😂
@deogratiusmrosso7400
@deogratiusmrosso7400 4 ай бұрын
Wewe na msufuria wako kichwani Ni kuzimu inayo tembea hapa duniani,pole ndugu kabla hata hujaoncha umauti upo kwa baba yako shetwani
@user-up3mk6zj7p
@user-up3mk6zj7p 6 ай бұрын
Huyondacha hanaki2
@johnsonhunterofficial8046
@johnsonhunterofficial8046 3 ай бұрын
Wa afika tuna ji sumbuwa bure, ivyo vitu havi tu husu.
@hawamoshi5139
@hawamoshi5139 4 ай бұрын
wambie ukweli kabis😅😅😅
@user-oe2ty7ds4g
@user-oe2ty7ds4g 6 ай бұрын
Waambie ukweli,maana wakristu ni dini ya ushabiki hata wakiambiw ukweli,uislamu dini ya Haki.papa anataka wawe mashoga,hiyo ni dini?
@Nolithajack12
@Nolithajack12 4 ай бұрын
Hamuna elimu kabisa wisamu niwujuga
@johnsonhunterofficial8046
@johnsonhunterofficial8046 3 ай бұрын
Wa afika tuna ji sumbuwa bure, ivyo vitu havi tu husu.
@benedictmatheka9775
@benedictmatheka9775 3 ай бұрын
😂😂😂msomaji though.. umesema mawhat those... English is not englishing 😂😂😂
@SMKF4
@SMKF4 4 ай бұрын
Muongo huyu eti ibrisi ndy mkristo wa kwanza muongo sana , mtumikia majini,
@ahangfaith1180
@ahangfaith1180 4 ай бұрын
Nimkweli sn
@abdulazizitwalib5859
@abdulazizitwalib5859 4 ай бұрын
Wewe mkweli twambie mkristo wa kwanza ni nani ???
@Nailafussy-kg7qz
@Nailafussy-kg7qz 2 ай бұрын
Hahahaa inaumaa😅
@muniraally4091
@muniraally4091 4 ай бұрын
Dr sule bendera chuma mlingoti chuma anaekataa hana hoja hata moja
@augustinomhanje9225
@augustinomhanje9225 3 ай бұрын
Hivi ni nani mwenye uhakika kwamba ni dini yake ndiyo ya kweli?. Halafu dini zote zimeletwa na waarabu pamoja na wazungu huku afrika sasa wewe mwafrika mwenzangu unachoongea kwa waafrika wenzako unajiona upo sahihi kweli.
@beatusraphael-gq2lu
@beatusraphael-gq2lu 4 ай бұрын
waislam wenzako uku wanakuit mganga kwanz wewe ni mgang unafug majin
@user-cf4jr4qc7e
@user-cf4jr4qc7e 4 ай бұрын
Umekosa yakutanya ww umekalia dini unajua nn ww
@binnassorabdallah37
@binnassorabdallah37 4 ай бұрын
ndacha hana elimu ni njaa tu inamsumbua
@Aisha-qx7kz
@Aisha-qx7kz 4 ай бұрын
Ndacha nakujua ww ni bwana wa kueka viraka maandiko...tumekuzowea hata hutusumbui namuomba ALLAH amjalie dr sule umri mrefu azidi kutu fundisha njia ya haki
@igurusitv6553
@igurusitv6553 4 ай бұрын
Hivi Mungu alishirikiana na nani kuileta Quruan?
@chuseboy
@chuseboy 4 ай бұрын
@@igurusitv6553na baba ako na mama ako😂
@omyboy0027
@omyboy0027 4 ай бұрын
Ndacha wafundishe ukwel
@user-rh5yn3bc1o
@user-rh5yn3bc1o 4 ай бұрын
Kwenye Quran mmesilimisha Ibilisi na majini yake....umefeli.
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 6 ай бұрын
Kujnsifu ,.ajigambo ndio sule a na,ju a
@gelardbalalu9119
@gelardbalalu9119 4 ай бұрын
Uislam ni dini ya majini
@GeraldMswazi-bp2kw
@GeraldMswazi-bp2kw 6 ай бұрын
Hiyo video Ni nusu wacheni unafiki kiislam,sulle mwenyewe hajui kusoma biblia dear Islam friends you lost from the bogging.
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 20 МЛН
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 14 МЛН
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 207 МЛН
World’s Largest Jello Pool
01:00
Mark Rober
Рет қаралды 91 МЛН
SAIDI JUMA Kinyogoli vs Ndacha
6:23
HOJA2
Рет қаралды 37 М.
MAZINGE NA MCHUNGAJI
18:15
Madrasatulfurqani Tv
Рет қаралды 64 М.
JUSSA AFICHUA SIRI NZITO YA MUUNGANO
34:06
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 56 М.
QORAN SI KITABU CHA MUNGU: BUKAVU CONGO (NDACHA VS UPANGA WA RADI)
57:19
WARNING OF LAST DAYS
Рет қаралды 13 М.
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 20 МЛН