No video

DR.SULLE: MJUE SWAHABA AMABAE YUPO HAI HADI LEO | MUUJIZA WA BWANA MTUME | THE ONLY LIVING SAHABA.

  Рет қаралды 101,296

ZVP ONLINE TV

ZVP ONLINE TV

Күн бұрын

#DrSulle #ZvpOnlineTv #MpandaKatavi

Пікірлер: 242
@suleimankagobe8812
@suleimankagobe8812 4 ай бұрын
Allah awajalie moyo wenye ujasiri kama walivyokuwa masawahaba wa mtume na awajalie vizazi bora ambavyo vitakuja kuwasaidia waumini wa kiislamu
@JumaJuma-l4t
@JumaJuma-l4t Күн бұрын
Dokter Sule mola akupe kheri nyingi ,achana na makafiri wajitao wakristo ,waliotiwa vatkani na maluuni Nyerere ,
@user-gz6zs4do3i
@user-gz6zs4do3i 4 ай бұрын
Maasha Allah, shukran Jazakallahu Khair 🙏 , Shekhe Sule waislam tunakukubali na kukupenda Sana,
@yusuphomary7410
@yusuphomary7410 4 ай бұрын
Sheikh Dr Sulle anaongea kweli yuko sawa amesoma ni msomi wa zama zetu hizi na ujue kuwa haongei mambo makubwa hayo kwa utashi wake. Usiingilie mambo usioyajua tafadhali huyu ni msomi amesoma vizuri tu. Kaa kimya kwenye haya mambo uwaachie wenyewe.
@galoleali780
@galoleali780 4 ай бұрын
Kua makini
@halimandune7317
@halimandune7317 5 ай бұрын
Asalam alykum warahmatulahi wabarakatuh.I. Nillikuota ww uniombee dua ili maisha yangu yafunguke innshAllah. Niko na maisha ya madeni shule,na kimaisha.
@user-bu4sj4tv6l
@user-bu4sj4tv6l 4 ай бұрын
Mashallah kweli kabisa hata Mimi nkakumbuka nilisoma hivyo kwa somo la sira ingawa Sina elmu kubwa
@tresorkinyeshe6965
@tresorkinyeshe6965 5 ай бұрын
Assalamaleukum kabisa dr sule namupenda sana uyu cheikh kwakweli Allah azidi kumupa pumzi na amzidishiye umri azidi kuendesha kazi yake mbele alahuma Amin
@rehemamohammed5534
@rehemamohammed5534 5 ай бұрын
Ustadh allah akueke Inshallah
@halimandune7317
@halimandune7317 5 ай бұрын
Unanikumbusha mayatima wangu,wanaokosa haki zao shangazi yao anakula pesa yao ambayo serekali inatoa .Hakuna hta mmoja anataka kujua shida zao.Inaniuma sana lakini namuachia Mungu ndo wakili wangu.
@user-yd8dz1vk4x
@user-yd8dz1vk4x 5 ай бұрын
Ùsijali daa Halima kilio chako Mola anakisikia ba ipo siku atakujibu yooote.Na hiyo ni jaza yao ya baadae.Sio kuwa wanawadhulumu ila wanajidhulumu hao kwa hao.Allah awafanyie wepesi na sahali kwa yoote.
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 5 ай бұрын
Dr. Sule njoo nyumbani ,tuifungue Dunia.
@MwanaishaMsangi-p5q
@MwanaishaMsangi-p5q 26 күн бұрын
Jazzakallah heir
@othmanmaulid4867
@othmanmaulid4867 6 ай бұрын
MashaAllah!! Nakupata Kutoka Toronto Canada
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 5 ай бұрын
Asalaam a.kum. Kuna langu Soud , nina habari za moja kwa moja kutokana na mbinguni, hii ni Kalama Mwenyezi Mungu amenipatia. Nazungumza habari sahihi kuanzia za tangu na tangu za mitume wote na vitabu na hadithi zote katika haki. Na hili ni haki imekuja kuitetea haki.
@miskyabdillah7451
@miskyabdillah7451 4 ай бұрын
Bismillh mashaalh Allah azidi kukulinda sheikh Sule🙏🙏🙏
@kurthummohamed6290
@kurthummohamed6290 5 ай бұрын
Manshaallh dr sule nakupenda sana ❤❤❤
@user-zb8xl9zg2v
@user-zb8xl9zg2v 5 ай бұрын
Kusoma hamtaki ila watu wakiwasomea mnabisha watazania mbona mechelewa sana ndiyo mnaambiwa yesu mzungu mnasema amen someni mbumbavu
@shwaibumrutu6612
@shwaibumrutu6612 4 ай бұрын
Èfe receive
@Abdulhamid-pw3qy
@Abdulhamid-pw3qy 4 ай бұрын
Yesu sio mzungu Acha upumbavu na umbumbu wewe
@KassimSuleiman-od2uw
@KassimSuleiman-od2uw 3 ай бұрын
Mashallah Allah ukupee maisha marefu inshallah
@FatnaAlly-go7yt
@FatnaAlly-go7yt 25 күн бұрын
Allahu akbar mwenyezimungu ni mkubwa na ni mmoja
@AffectionateAirboat-mz7zt
@AffectionateAirboat-mz7zt 4 ай бұрын
Allah akuzidishie baraka do sule
@nasrihussein4293
@nasrihussein4293 3 ай бұрын
Jazskhahul kheiran
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 6 ай бұрын
Masha Allah ❤️❤️❤️
@FatnaAlly-go7yt
@FatnaAlly-go7yt 4 ай бұрын
Allahu akbar ama kweli mwenyezimungu ni mwingi wa rehema na hakika hakuna yeyote anae fanana nae
@labunaabouna6122
@labunaabouna6122 5 ай бұрын
Mashallah Allah Akubarik kwa sote na nyote
@bintmbarouk1004
@bintmbarouk1004 4 ай бұрын
ALLAH AKUBARIK NA KULINDE NA MAADUI AMIIIN
@ANITHAPATRICK-jk9yq
@ANITHAPATRICK-jk9yq 4 ай бұрын
Maaashaallah bibfatm nakutakia kher
@matanohassan9667
@matanohassan9667 5 ай бұрын
DOCTER SULE SAFI
@user-fr5pv7dz7q
@user-fr5pv7dz7q 4 ай бұрын
Mzee MATANO iko mini
@FatnaAlly-go7yt
@FatnaAlly-go7yt 4 ай бұрын
Oooh allah jaalia Kauli zetu ziwe za upendo na sio kashfa kwa sa babu maneno machafu hubaki bila kupotea namaneno machafu hayasauliki hata baada ya kusameheana hivyo tujitahidi kuwa na Kaulitz thabiti tupate radhi za mola wetu mtukufu
@user-rn8us7oj2w
@user-rn8us7oj2w 5 ай бұрын
Allah akujaze helli
@FatnaAlly-go7yt
@FatnaAlly-go7yt 4 ай бұрын
Allahu akbar mashallah
@ramadhanimwambeni1259
@ramadhanimwambeni1259 4 ай бұрын
Mashallah
@SumaiyaKhamissimba-oj8dg
@SumaiyaKhamissimba-oj8dg 5 ай бұрын
Masha allah
@AlhajiIsmail
@AlhajiIsmail 4 ай бұрын
Inshallah
@DarinSalumu
@DarinSalumu 4 ай бұрын
ALLAH ndio mungu wa kweri
@user-rs1bo1ic7j
@user-rs1bo1ic7j 4 ай бұрын
Aww . Ukifika sehemu inaitwa MAJMAAH SAUDA RABIA ni mji unapeyana mpaka na JORDAN . ndomana sheria ambazo zipo jordan ndizo saudie ndizo zipo jordan . Na pesa zao zina samani sana kama sikusahawu . Nilibembelezwa nifike eko niliona uwoga sababu visa yangu ilikuwa niya saudi nikaokopa kusumbuliwa mpakani sababu niko mtu mwewusi
@mussaissa6796
@mussaissa6796 5 ай бұрын
HAKUNAGA SWAHABA WA MITI WEE MZEE SOMA DINI KWANZA AU ENDELEA NA KUBISHANA NA WALOKOLE TU. SWAHABA NI MTU ALIYEMUONA BWANA MTUME MUHAMMAD S. A. W NA AKAMWAMINI NA KUMFUATA. KWA HIYO MTI HAUHUSIANI NA HILO, SOMA KWANZA.
@h.alshidhani8971
@h.alshidhani8971 5 ай бұрын
Hakunaga ndio nini???? ++
@dullnach2310
@dullnach2310 5 ай бұрын
Kwani miti haiabudu
@Hussaindazaqia
@Hussaindazaqia 4 ай бұрын
Mungu akubariki na acujazie neema duniani mpaka ahrat,docta sule.
@haidarykufakunoga8869
@haidarykufakunoga8869 5 ай бұрын
Dr. Sule Sitaki kusema lolote . MOLA WETU MTUKUFU ALLAH S.W. ANAJUA UKWELI WA HILO USEMALO. WALLAHI, WABILLAHI, WATALLAHI kama USEMALO ni KISA CHA KWELI BASI NA IWE HIVYO. NA KAMA NI UONGO MOLA WETU MTUKUFU ALLAH S.W. ATAKUFANYIA WEPESI PIA IN SHAA ALLAH.
@ndayisengaamissi6102
@ndayisengaamissi6102 6 ай бұрын
MashaAllah
@user-lm3lt7xx6l
@user-lm3lt7xx6l 5 ай бұрын
Hapo kwenye vidole viwili doctor vp
@RASCOKALUME-no4dp
@RASCOKALUME-no4dp 5 ай бұрын
M.mungu akulinde n'a akupe wepesi wakila kitu tchini ya djuwa
@BranMayn
@BranMayn 3 ай бұрын
Ukitaja jina la Mtume muhammad pbh lazma uweke salalahu alei wasalaam sikusema tu mtume , tafadhali turekebishane
@BABALAOGENERALTRADERS
@BABALAOGENERALTRADERS 4 ай бұрын
❤❤❤
@AnthoniaMaji-zm9tf
@AnthoniaMaji-zm9tf Ай бұрын
Orthodox na sanamu ya Bikra Maria wapi na wapi Doctor?
@kiloziDunia-mj1vw
@kiloziDunia-mj1vw 4 ай бұрын
Hakika Elimu haina ukomo. Juhudi kujua asili ni Neema toka Muumba ambapo Dr Sulle unajitahidi. Tunafaidika Kupitia jitihada zako.
@MohamedMalepes
@MohamedMalepes 4 ай бұрын
ASALAM ALAYKUM wew unaepinga unaepinga Kwa maandiko iliwatu tujifunze au Kwa utashiwako TU kama una ushahidi utoe nasii kupingatu sisi tunajifunza hapa kama wew pia unahoja juu ya hili leta maandiko ,au dalili
@mhandomhina5503
@mhandomhina5503 4 ай бұрын
Hakika Ban Israel walipewa mitume yenye sheria baada yao kufa kitambo kisha wakaletewa mitume bila sheria kusadikisha mafundisho sahihi ya kitabu hicho kilichoingizwa pumba au chumvi au takataka na maulamaa wa kitabu hicho. Vivyo hivyo tunapoomba dua ya mtume kwa umma wake kama ilivyobarikiwa Ibrahim( as) . Ni neema kuu ya utume usadikishaji usio na sheria kwa mtume wetu mkubwa kuliko wote iweje kitabu chake kisipate mlinzi wa haya madudu yasiyoingia akililini na mantiki za kiasili au kanuni za kiungu? ALLAHU....SWAL... ALAA MUHAMMAD ...KAMAA SWAL..IBRAHIMA...KAMAA BARAKTA....IBRAHIM hii dua ya ukombozi wa Islam. HAKUNA MTU ALIYEZALIWA NA MWANAMKE AKAISHI MIAKA KADHAA KWA KUTOWEKA BILA KUFA HIZI NI DHANA ZA WAPAGANI AMBAO MIUNGU YAO ILIKUFA NA KUFUFUKA ILITOWEKA NA KUSUBIRIWA ITARUDI
@kassimabdilatif1802
@kassimabdilatif1802 5 ай бұрын
Ati Sahaba yuko hai Hadi leo. Wah! Hadithi za Abunuwasi hizi !
@Abdulhamid-pw3qy
@Abdulhamid-pw3qy 4 ай бұрын
Unajiita KASSIM wakati wewe ni CAMILIUS kafiri wa kianglicana. Tulia dawa ikuingie vizuri, nisalimie mtume mwamposa.
@kassimabdilatif1802
@kassimabdilatif1802 4 ай бұрын
@@Abdulhamid-pw3qy Yaani munaamini kama kuna Sahaba bado yuko hai mpaka leo ? Kwani wewehuezi kupima kwenye akili kama hii Ni ya kutungwa. Kama wale mashia wanaosmbiwa Imam wao amekwenda mafichoni tangu karne ya nane?
@SmilingAnacondaSnake-sp8ct
@SmilingAnacondaSnake-sp8ct 4 ай бұрын
Nimekata sharing huyo swahaba hakuwa binadam atakuwa ni jini majini wanaishi miaka mingi
@Abdulhamid-pw3qy
@Abdulhamid-pw3qy 4 ай бұрын
Bwege wewe tuliza huo mshono wako dawa ikuingie.
@abdallahamanzi8337
@abdallahamanzi8337 13 күн бұрын
Tulieni msiokuwa waislam mpewe madini
@raskidali2413
@raskidali2413 5 ай бұрын
Bi Amina alikufa Mtume akiwa 6years
@user-xx8dy9pu6v
@user-xx8dy9pu6v 5 ай бұрын
Nahapa sasa ndio nitie neno naomba razi mpaka kwamola wangu kwamba mashekhe zutu unafki utakuja kuwagalim leo mmnamsifia rahisi mwanamama wetu alivyo kubali chonjo mkamsifia halafu kumbe nikitu chenye ifecti kwetu kwanini mmnaogopa kukosoa viongozi mashekhe zetu mmnaogopaga nini
@dicksonpiuswande9489
@dicksonpiuswande9489 4 ай бұрын
Acha uongo, yaani ana miaka 12 na akafiwa na mke wake Hadija?
@RabiaOmar-ke8de
@RabiaOmar-ke8de 4 ай бұрын
Hapo miaka 12 bado hajaowa
@HussainWargama
@HussainWargama 4 ай бұрын
Fanya adabu sule si harika lako kumbafu wewe ndio mwongo
@abdulahmahamed3790
@abdulahmahamed3790 5 ай бұрын
Nataka hiyo hadithi ipo kwa kitabu gani
@sitiabas2686
@sitiabas2686 4 ай бұрын
Mmm
@MWALIMUCHAKATV
@MWALIMUCHAKATV 5 ай бұрын
Hawa massuffi siku hizi wana mafundisho ya ajabu. Hivi hata maana ya swahaba imebadilika?!!
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 5 ай бұрын
Yaani nikituko Cha abunuasi 😂😂😂
@NtirampebaIdi-nf4mp
@NtirampebaIdi-nf4mp 5 ай бұрын
Dini imekuja ikiwa ngeni,na itarudia la allah ikiwa ngeni tena sheh enderea usipingwi
@feruzyjuma
@feruzyjuma 6 күн бұрын
Wewe ni muongo na ni tapeli
@PeterObiri-wj1iz
@PeterObiri-wj1iz 5 ай бұрын
Mtumishi ako na bodyguards tangu lini kwa kusema ukweli??? SULE wewe motoni
@user-vc1hu8gy6g
@user-vc1hu8gy6g 5 ай бұрын
Ww unaesema shekh NI muongo tupe yakwako yaliokweli tuyachuje usipayuke TU kwa utashi
@user-yd8dz1vk4x
@user-yd8dz1vk4x 5 ай бұрын
Sasa huo mti upo nenda fb kuhusu Jordan utapata mapango,hilo dead Sea hata mti na mengi saana zaidi. Ukikosa pia wewe tunga tutasikiliza
@SmilingAnacondaSnake-sp8ct
@SmilingAnacondaSnake-sp8ct 4 ай бұрын
Uma wawaislam unadanganywa sana na watu kama hawa wanaojiita wamesoma dini kwa akili za kawaida tu haiwezekani swahaba wa kalne hizo awe hai hadi Leo kwa nini asibaki muhamad mtume nimegundua mawaidha mengi yakutunga na hii nayo ni hivyo
@Ruu974
@Ruu974 4 ай бұрын
Tunge ambiwa kwa sasa yupo mjigani tukamuone😂
@Abdulhamid-pw3qy
@Abdulhamid-pw3qy 4 ай бұрын
Nyie wote ni makafiri wapumbavu. Sikilizeni vzr nini kinachoongelewa hapo kabla ya kuleta ubishi wenu msiouelewa. Ndio maana na bila shaka ukristo ni ukafiri usiomithilika. Endeleeni kuserebuka na sebene makanisani
@osmandunga7431
@osmandunga7431 4 ай бұрын
@georgekimasa hiyo ni lugha ya lugha ya mfano huyo swahaba aliye hai siyo binaadam kabla ya kukurupuka jipe muda kidogo japo uulize upate elimu nini kilichokusudiwa hapa.
@user-zv8hb1zc3j
@user-zv8hb1zc3j 4 ай бұрын
Msikashif mzivovijua
@RamadhaniMwaja
@RamadhaniMwaja 4 ай бұрын
Mmefikia Hadi kudanganya kuhusu dini
@user-kr5vh9jl9q
@user-kr5vh9jl9q 5 ай бұрын
Shekh aslm alykm,niliona picha yako mbinguni ukiwa umevaa kanzu ya yellow,inamaanisha?
@user-nz5zg4lz7l
@user-nz5zg4lz7l 6 ай бұрын
Yule muhamadi siyo mutume hatakidogo acha wongo
@AbbasHussein-zq3yi
@AbbasHussein-zq3yi 5 ай бұрын
Wewe mgonjwa wa akili.
@partsonchundwa2287
@partsonchundwa2287 5 ай бұрын
@@AbbasHussein-zq3yi kwani unafkili kutukana ndo majibu
@ikramalmas7039
@ikramalmas7039 5 ай бұрын
Kumbe Mtume nani
@KojaMasudi
@KojaMasudi 4 ай бұрын
Usibishane na watu wanaotembea na vinyesi vyao kwenye makalio yao wakidai ni wasafi ndugu yangu utachoka bure​@@AbbasHussein-zq3yi
@kaoretosha6668
@kaoretosha6668 4 ай бұрын
Ni kweli mbora wa viumbe, Muhammad hakuwa mutume ila ni Mtume (SAW).
@densaramadhan6527
@densaramadhan6527 18 күн бұрын
doctar tupe madini wanajitoa akili hao walishindwa kuhifadhi vitabu kichwani wanakushangaa hao wataelewa tu
@user-bg5ig2gv2c
@user-bg5ig2gv2c 6 ай бұрын
Yarabi,who are you to dought Dr Sule anaeleza uwongo juu ya mtendo ya Nabiyullahi Muhammad! May Allah guide us to the truth,in shaa Allah
@victorterry227
@victorterry227 4 ай бұрын
Who are your?na kama wewe ulikuwa unajua kwani usinge tuambia wewe mpaka Dr sule aseme ndoo useme anatudanganya kwa hiyo wewe ulikuwa unasubilia Dr sule aseme ukosoe sio
@user-kr5vh9jl9q
@user-kr5vh9jl9q 5 ай бұрын
Nilikuona kwa ndoto,ukiwa mbinguniu umevaa kanzu
@richardnganya2311
@richardnganya2311 5 ай бұрын
The year of the Lord 2023.... 2024 AD. Reference belongs to Lird Jesus? Why AD?
@Ruu974
@Ruu974 4 ай бұрын
Eti lird 😂 checheto uo apa washirikina aiwahusu
@user-zv8hb1zc3j
@user-zv8hb1zc3j 4 ай бұрын
Wakiristo kaeni pembeni hayawahusu
@user-nz5zg4lz7l
@user-nz5zg4lz7l 6 ай бұрын
Dr. Sule mwongo
@partsonchundwa2287
@partsonchundwa2287 6 ай бұрын
Mwongo mwongo kweli
@AbbasHussein-zq3yi
@AbbasHussein-zq3yi 5 ай бұрын
​@@partsonchundwa2287you two are crazy.
@user-nk4oq4ek9y
@user-nk4oq4ek9y 5 ай бұрын
Hao ndo wale nyoyo zao ziko na stamp bro
@densaramadhan6527
@densaramadhan6527 18 күн бұрын
we mwehu doctar sule anatoa vitu vya kielmu kasome kungura wewe
@user-nz5zg4lz7l
@user-nz5zg4lz7l 6 ай бұрын
Mwongo sana
@AbbasHussein-zq3yi
@AbbasHussein-zq3yi 5 ай бұрын
Huelewi unalolisema.Mw Mungu akuzindue hapo gizani ulipo.Huwezi kuzinduka hapo kila kwa nusra ya Mw Mungu pekee.
@user-xx8dy9pu6v
@user-xx8dy9pu6v 5 ай бұрын
Sasa maalim inaja gani kumuita muongo kwenye Hilo mwenzako nawakati wewe akilini mwako huna Aya hata Moja utakayo iyongea ituvutie kukusikiliza tuusikie uwongo wako
@rizikinassoro419
@rizikinassoro419 4 ай бұрын
Kama shekh ni muongo tuelezeni hayo ya kweli lengo ni elimu kwa jamii
@user-nk4oq4ek9y
@user-nk4oq4ek9y 5 ай бұрын
Ndo uskie ukweli sasa sio udanganjwe bro
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 5 ай бұрын
Duh hii Dini imejaa uongo hatareeeee Dunia inatafuta kila siku mtu mwenye umri mrefu zaidi Duniani na wanapatina wa 100 na kitu sizaidi ya 120 Leo we unatwambia kuna swahaba yupo hai hadi Leo Toka kipindi Cha Muhammad 😂😂😂😂😂 Waislam bhana
@user-du6bd3no2b
@user-du6bd3no2b 5 ай бұрын
Wewe mjinga sana...
@h.alshidhani8971
@h.alshidhani8971 5 ай бұрын
Wewe usichokoze dini ya Mwenyezi Mungu. Hasbi allahu Wanamat wakeel.
@user-sk1hm7mf2t
@user-sk1hm7mf2t 5 ай бұрын
Kama hujikitu uliza usijifanye unajua kumbe hujui kama imejaa uwongo inazidi diniyako sijui upo dinigani ila akuna dini ya ukweli kama uwislam
@user-kf9yz6jp8r
@user-kf9yz6jp8r 5 ай бұрын
Kwani unaebisha kama akunaswahaba halie Hai kwani unajua mahana ya swahaba kwanza. Swahaba nikiumbe yoyote alie mwamini mtume na kufuata ama kumsaidia kazi zake atamiti ipo ilio kaa mtume kwaiyo nao pia nisahaba bwwge kama ujui.
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 5 ай бұрын
@@user-kf9yz6jp8r Elimu ya mashetani Huwa inawatoa kwenye reli Neno swahaba limetumika kama mfuasi wa mtume inakuwaje mti unaitwa swahaba. Eh 🤣🤣🤣 Neno swahaba linawakilisha mfuasi wa .
@sitiabas2686
@sitiabas2686 4 ай бұрын
Bbb
@SumaiyaKhamissimba-oj8dg
@SumaiyaKhamissimba-oj8dg 5 ай бұрын
Yan mimi.nipo na wewe kbs kwasababu ulichokua nacho mimi sina
@PeterObiri-wj1iz
@PeterObiri-wj1iz 5 ай бұрын
Dr. Haki bro wewe ni muongo na miongoni mwa wale wapinga kristu.
@AbdulMutta
@AbdulMutta 4 ай бұрын
If you are low educated tulia don't comment maybe Huna elimu
@bakarimwaguluwe-yh2dn
@bakarimwaguluwe-yh2dn 4 ай бұрын
Nonsense no where to be found
@HairuIsmaili
@HairuIsmaili 5 ай бұрын
3:04
@PeterObiri-wj1iz
@PeterObiri-wj1iz 5 ай бұрын
Dr. Sule xstian kama mm najua ukifa basi kwisha, Yesu ndio alifufuka. Pinga Yesu tu ukiendanga jikoni na madawa yako ya kienyeji. Duh🏃🏃🏃🏃
@mariyammariyam1454
@mariyammariyam1454 5 ай бұрын
Kweli kabisa mie niliishi na aliyekuwa mumewangu nikafanyiwa visa atimae nilitoka pale nikasafiri nasasa ninamaisha mengine nawashukuru JP wtt wangu wamekuwa kwashoda Sana ila Insha Allah
@kaoretosha6668
@kaoretosha6668 4 ай бұрын
Hujui usichokijua....ng'ang'ana tu...hadi mauti yako....
@LaizaYoung
@LaizaYoung 4 ай бұрын
Mwalim haujakosea kbc ichi kisa ni chakwel kbc
@salhkasmm558
@salhkasmm558 5 ай бұрын
Alikuwa mumeo kama mtume
@user-hp1im5ek4r
@user-hp1im5ek4r 5 ай бұрын
Uongo
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 5 ай бұрын
Sina elimu wacha niskilize tu.
@rehemamohammed5534
@rehemamohammed5534 5 ай бұрын
😂😂😂
@zuberinasibu1441
@zuberinasibu1441 5 ай бұрын
Hivi maana ya swahaba ni nini katika uislamu ???
@AbbasHussein-zq3yi
@AbbasHussein-zq3yi 5 ай бұрын
Waliokuwa marafiki wa karibu na Mtume.
@PeterObiri-wj1iz
@PeterObiri-wj1iz 5 ай бұрын
Maswahaba walikuwa walevi na walikufa juu ya ulevi but hicho hupati Kwa madrasa kabisa. Uzuri amesema majina yao
@JumahAShabani
@JumahAShabani 5 ай бұрын
Kama unavyo sikia wanafunzi wa Yesu ndiy maswahaba
@sitiabas2686
@sitiabas2686 4 ай бұрын
Mlevi mamaako kuma wewe
@user-lm3lt7xx6l
@user-lm3lt7xx6l 5 ай бұрын
Hapo ktk kufufuwa vp
@isihakajarika2668
@isihakajarika2668 5 ай бұрын
Kama ni mtu wa kupenda kujifunza Mambo ya kiimani huezi kusema dokta muongo kusema hivyo inamaana wew umesoma na unavijua vitabu vyote Muombe sheikh atupe refference ya vitabu alivyosoma
@user-ht8po7un8p
@user-ht8po7un8p 5 ай бұрын
Upo sahii elimu ni bahari
@PeterObiri-wj1iz
@PeterObiri-wj1iz 5 ай бұрын
Miujiza ya Muhammad ni ZERO hana lolote
@abdoumadiousseni4835
@abdoumadiousseni4835 5 ай бұрын
Ww ni mugonjwa wa akili
@shaibumlawa3666
@shaibumlawa3666 5 ай бұрын
Wewe kama nani sasa kwa mfano!watu hatuishi kwa miujiza!
@ummyomary6350
@ummyomary6350 5 ай бұрын
Makafiri huwa mmenyimwa akili na maalifa yaaan mpo tu Kama ndio maana mmeitwa kondooo
@user-po1cq9so9h
@user-po1cq9so9h 5 ай бұрын
Shekh huyu mawaidha yake hayafundishi watu yanapotosha watu kuna video moja anasema kuna mskiti comoro umejengwa na majini hakuna jini au shetwan muislam hata mmoja katika hii dunia viumbe hao wote wamelaanika wamejenga mskiti vipi Shekhe anatakiwa atoe mawaidha na ushahidi
@KhamisisamaBudzo
@KhamisisamaBudzo 5 ай бұрын
Kuna mäjini waislamu ....unapotoa comment yako akikisha kitu unachosema umefikiria mara mbili sio kuvuta bangi na kujiongelea ...heshimu mtu amesoma historia ........sio sawa na kwako uliko amini mchungaji ameanza kwa baiskeli baada ya miezi miwili ako na v8
@dullnach2310
@dullnach2310 5 ай бұрын
Labda ww ndo ulolaanika
@myaudimazarahu3532
@myaudimazarahu3532 6 ай бұрын
Uongo uongo uongo😂😂😂😂😂
@AbbasHussein-zq3yi
@AbbasHussein-zq3yi 5 ай бұрын
Wewe kichwani kuna tope unaye mwita Dr S mwongo. Kajifunze anayoyasema.
@rehemamohammed5534
@rehemamohammed5534 5 ай бұрын
Kweli 😢😢😢😢
@isaackmlayy6228
@isaackmlayy6228 4 ай бұрын
alafu Muhammad yuko kaburini hivi kwanini hamjitambui ndugu zangu
@rajabibrahim8616
@rajabibrahim8616 4 ай бұрын
We kafiri huna ujualo, pumzika
@AshaSalim-xd8xp
@AshaSalim-xd8xp 6 ай бұрын
Ninanihuyuanyesemadrsulenimuongompuuzihuyu
@mariyammariyam1454
@mariyammariyam1454 5 ай бұрын
Nawewe unayemkosoa sule nawe Aya kuandika uwezi km mwenzio kabarikiwa kutufungua wacha wivu we galatia
@partsonchundwa2287
@partsonchundwa2287 6 ай бұрын
Acha uongo wewe, yaani miujiza mikubwa hivyo hata Allah mwenyewe haijui wadanganye haohao wenzio
@ismailhassan5209
@ismailhassan5209 6 ай бұрын
Acha ujinga kuongea kwa usiloijua soma au sikiliza au nyamaza
@partsonchundwa2287
@partsonchundwa2287 6 ай бұрын
@@ismailhassan5209 Ujinga wangu ni upi?niambie
@MakonkhalidiRadjabu
@MakonkhalidiRadjabu 6 ай бұрын
Sasa wew unapinga nin kuhusiana na hiyi Dawa ya Dr Sule. Baba wey kama hurya Muamini Muhammad s.ww baba wey bado huna na fasi.. Here n after....!
@partsonchundwa2287
@partsonchundwa2287 6 ай бұрын
@@MakonkhalidiRadjabu ninachopinga ni hiyo miujiza mikubwa kiasi hicho Cha ajabu hata Allah haijui
@user-lp8pr2sv7c
@user-lp8pr2sv7c 6 ай бұрын
Mashaallah
@AbbasHussein-zq3yi
@AbbasHussein-zq3yi 5 ай бұрын
@partsonchundwa2287 kuna ajenda nyuma ya pazia.comment hazichapishwi ila zako zitokeza chini ya maelezo ya Dr Sule. Je!! Kuna nn?
@UmayaHaji
@UmayaHaji 4 ай бұрын
Mashallah
@jumaibrahim7781
@jumaibrahim7781 5 ай бұрын
Inshallah
@HairuIsmaili
@HairuIsmaili 5 ай бұрын
❤❤❤
@BABALAOGENERALTRADERS
@BABALAOGENERALTRADERS 4 ай бұрын
Mashallah
لااا! هذه البرتقالة مزعجة جدًا #قصير
00:15
One More Arabic
Рет қаралды 51 МЛН
Prank vs Prank #shorts
00:28
Mr DegrEE
Рет қаралды 7 МЛН
WHO CAN RUN FASTER?
00:23
Zhong
Рет қаралды 42 МЛН
UTAPENDA MAWAIDHA YA DK SULE AKIWA MSIKITINI
49:17
Mbengo Tv
Рет қаралды 33 М.
DR SULE - MAAJABU YA NABII MUSSA KWA FIRAUN- MUENDELEZO HUU
28:39
HAJI ONLINE TV
Рет қаралды 19 М.
لااا! هذه البرتقالة مزعجة جدًا #قصير
00:15
One More Arabic
Рет қаралды 51 МЛН