DR.SULLE SAFARI YA MTUME MUHAMMAD S.A.W (SEHEMU YA 1)2024 ISRAA NA MIRAJI

  Рет қаралды 43,518

ISLAAH ISLAMIC  TV

ISLAAH ISLAMIC TV

Күн бұрын

#drsulle #tanzania #islaamic #health

Пікірлер: 107
@ismailhassan5209
@ismailhassan5209 5 ай бұрын
Maashaallah Allah akupe umri mrefu uzidi kuwepo kuipigania dini ya Allah Inshaallah Allah atakulipa
@user-rd6he3pu2o
@user-rd6he3pu2o 2 ай бұрын
Hakika Dr sule ni Nuru na zawadi kubwa katka uislam katk kuilingania dini mungu akupe maisha marefu inshallah.
@abuushomari7533
@abuushomari7533 5 ай бұрын
Mashaallah umeelezea vizur kwenye nyongo na digestion system 😊😊
@RamadanPaul
@RamadanPaul 5 ай бұрын
Wakristo hawawezi kuelewa hii,,,, Dr sulle u always great 👍👍
@user13375
@user13375 5 ай бұрын
Kumbe mlango upo India😢😢 sijuwi tunafanyeje huku si tuhamie karib na milango😂😂😂
@favoritebrayo
@favoritebrayo 5 ай бұрын
so nyinyi ndo mnaelewa kumuabudu mohammed😁
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 5 ай бұрын
​@@favoritebrayoMuongo mkubwa we, waislam toka lini waka mwamini binaadam.
@aminahassani-jh5rp
@aminahassani-jh5rp 2 ай бұрын
Mashallah Shekhe wetu mungu akuweke sana tu
@user-jb1qk1rk7o
@user-jb1qk1rk7o 5 ай бұрын
Sheikh mungu akujaalie maisha malefu tuweze kupata elimi iliyopanuka ila makosa aliyoyafanya Adam kwa kudanganywa na Hawa hujaiyaja au haifahamiki
@user-kl6vb4yv6i
@user-kl6vb4yv6i 5 ай бұрын
MashaAllah nakupenda sheikh Dr. Sule
@user-mi9ll7zr3x
@user-mi9ll7zr3x 5 ай бұрын
Unajua Sana Dr sule
@Yahyasalim-wg1fi
@Yahyasalim-wg1fi 5 ай бұрын
Mashaallah kazi nzuri
@fahadherrera8172
@fahadherrera8172 5 ай бұрын
MashaAllah shukran Maalim
@saudaumar3354
@saudaumar3354 5 ай бұрын
Mashallah Mashallah Mashallah
@naxirybeachboy
@naxirybeachboy 5 ай бұрын
Inshaallah Dr sule MUNGU azid 2wezexha
@user-uw7qr6wk9q
@user-uw7qr6wk9q 5 ай бұрын
Inshaallah mwenyezi Mungu atubariki
@mariamharoon1840
@mariamharoon1840 5 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ mashaaallaah
@Fardadihd
@Fardadihd 5 ай бұрын
Nakupata vizuri kutokea Dubai nakufatilia sana
@RamadanPaul
@RamadanPaul 5 ай бұрын
Mashaallah
@user-ed3ny9hi6t
@user-ed3ny9hi6t 4 ай бұрын
Safi sanaa Dr sule Allah akuzidishie❤
@jamesrichard3971
@jamesrichard3971 5 ай бұрын
Asante shekh,, nakuelewa Sana, Ila ndacha nikichwa maji Sana,, anaogopa kurudisha Gari ya kanisa na nyumba ya kanisa 😅
@tuliaalimasi6404
@tuliaalimasi6404 5 ай бұрын
Mungu akusamee.
@mohammedrajabumwamba1322
@mohammedrajabumwamba1322 5 ай бұрын
​@@tuliaalimasi6404 😂😂 mungu akusamehe ww
@miishhassn
@miishhassn 5 ай бұрын
Wee kumbe sikuwa najua hilo😂😂
@umdtv2749
@umdtv2749 5 ай бұрын
@@mohammedrajabumwamba1322 mna mezeshwa vitu vya ajabu sanaaaaa. Mwambie atoe ayo maneno anayo yaongea anatoa wapi. Atoe na maandiko kwenye iyo quaran. Aache uongo basi mungu sio mwanadamu shauri yenu
@ahmedmpimbi9684
@ahmedmpimbi9684 5 ай бұрын
Kwamba wewe umeisoma quran kuliko yeye na unaona anachokisema ni uongo au sio 😃​@@umdtv2749
@AbuuSiiriin
@AbuuSiiriin 5 ай бұрын
Sule mwenyewe mbovu Allah amuongoze
@Kizua417
@Kizua417 4 ай бұрын
Mashaallaah
@BashiriAllyibrahim-kr3fb
@BashiriAllyibrahim-kr3fb 5 ай бұрын
Nakufatilia Dr sule kutka marekani napenda historia kama hizo
@RamadanPaul
@RamadanPaul 5 ай бұрын
Mashaallah
@Nily-kz3db
@Nily-kz3db 5 ай бұрын
MashaAllah Dr Sule Allah Atuhfadh waislam wte
@user-pn8se5li5p
@user-pn8se5li5p 5 ай бұрын
Hizi hadithi ni nzuri na zinachekesha sana
@hamisimuhammad3656
@hamisimuhammad3656 5 ай бұрын
Nakufatilia dr sulle kutoka miwaga dimani kibiti
@fabimbilinyi2529
@fabimbilinyi2529 5 ай бұрын
Ishrra
@ibrahmsafiry1575
@ibrahmsafiry1575 5 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
@naxirybeachboy
@naxirybeachboy 5 ай бұрын
kutoka kenya Dr upo sawa kihistory
@MasizieRahim-gw1bf
@MasizieRahim-gw1bf 4 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@mariamharoon1840
@mariamharoon1840 5 ай бұрын
Naipataje hiyo kadi sasa mimi nipo oman
@user-jg4zc9fk8p
@user-jg4zc9fk8p 5 ай бұрын
Akuna binadamu mwenye kiswa bofu kama kumuona Dr sulle,anatoa MANENO ya kasfa lánatula nawashukia sana-sana
@kaoretosha6668
@kaoretosha6668 5 ай бұрын
Uelewi usuchojua
@hadjiemedy494
@hadjiemedy494 4 ай бұрын
😮b
@fatumaomari5978
@fatumaomari5978 5 ай бұрын
Mashallah ❣️❣️❣️🥰🥰
@user-kn2bg7ki6u
@user-kn2bg7ki6u 5 ай бұрын
Kuteremka kutoka mbingun kwan kuna ushahid kuwa adam kaumw mbingun allah anasema fil ardh nyny mnasema fi samai
@IbrahimMwinyi
@IbrahimMwinyi 5 ай бұрын
Kasem nan
@miambayankeba1084
@miambayankeba1084 5 ай бұрын
Hawa alivuka mitoni mapori vipi mpaka afike saudi Arabia?
@bellasi349
@bellasi349 3 ай бұрын
Yan ni vichekesho eti walipoteana miaka 40 😂😂😂 yani hawa jamaa kwa visa😂vya kijinga wana diplôme
@BadiMwanengo
@BadiMwanengo 5 ай бұрын
Sadakta
@user-hg5zj3it3j
@user-hg5zj3it3j 4 ай бұрын
Hadith gani au aya gani inasema ivoo?
@allysaidlyambange4500
@allysaidlyambange4500 5 ай бұрын
Shehe hivi wakina adamu wanashushwa duniani wafrika TULIKUWEPO AU HATUKUWEPO
@bellasi349
@bellasi349 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 eti kuna milango 37 za kwenda peponi ila hakuna iliyoko africa 😂😂😂😂😂
@BadiMwanengo
@BadiMwanengo 5 ай бұрын
Tatizo lako shekh video zako zaina hatupati next video
@miishhassn
@miishhassn 5 ай бұрын
Ipo ya pil rud utaiona
@Abdulrahmanhassan18
@Abdulrahmanhassan18 5 ай бұрын
Dr sule je kufanya mazoezi ya meditation mazoezi ya kukaa kimya peke Yako na kutafakari ukiwa umefunga macho je ni haram? Kwajina lingine wanaita yoga
@umdtv2749
@umdtv2749 5 ай бұрын
Lakini alkahaba ilikuwa sehemu ya kuabudia masanamu ilikuwaje ikawa nyumba takatifu. Leo ndo nimeamini mtume muhamadi alifanya mingu yote ya pale alkahaba kuwa mungu moja kubwa na kuabudiwa adi saiz.
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 5 ай бұрын
Aliye jenga alkaba Ibrahim kwa taarifa yako
@umdtv2749
@umdtv2749 5 ай бұрын
Iyo milango sio ya kuingilia mbinguni ila ni kuzimu
@ahmada2072
@ahmada2072 3 ай бұрын
27:44 P.O V
@user-kn2bg7ki6u
@user-kn2bg7ki6u 5 ай бұрын
Peponi sawa cio mbinguni pepo yao ilikuw hapa hapa dunian ...mnapotesema wameshushwa mbingun ndo unajichanganya
@ManenoPapalu-ku3vl
@ManenoPapalu-ku3vl 5 ай бұрын
Mbona nimesikia sauti ya mpira kwenye hii video
@RamadanPaul
@RamadanPaul 5 ай бұрын
Chumba cha jirani wanaangalia mpira...
@user-zs7eq8up5s
@user-zs7eq8up5s 5 ай бұрын
Sabb mpira sio haram
@user13375
@user13375 5 ай бұрын
😂😂😮😮
@obedkalinga9704
@obedkalinga9704 5 ай бұрын
waongopee waislamu, eti milango 36 ya kuingilia mbinguni
@MuuYascohy-oc7os
@MuuYascohy-oc7os 3 ай бұрын
Lione ili kafiri linavyoteseka kwan kakwambia ww uamini kenge ww??
@bellasi349
@bellasi349 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@umdtv2749
@umdtv2749 5 ай бұрын
Hahaha 😂🙂😂 adam alilipa mahali kwa nani wakati wao ndo walikua watu wa kwanza
@user-jf2gp7wb9i
@user-jf2gp7wb9i 5 ай бұрын
Enseleeni kudanganyana waislam mnaishi kwa hadithi
@mwarabumbarak4342
@mwarabumbarak4342 5 ай бұрын
Kumbe Biblia ni maneno ya kuhadithiwa Luka 1 .1 Kwa kuwa watu wengi wametia mikono kutunga kwa taratibu habari za mambo yale yaliyotimizwa katikati yetu, 2 kama walivyotuhadithia wale waliokuwa mashahidi wenye kuyaona, na watumishi wa lile neno tokea mwanzo, 3 nimeona vema mimi nami, kwa kuwa nimejitafutia usahihi wa mambo hayo yote tangu mwanzo, kukuandikia kwa taratibu, Theofilo mtukufu, 4 upate kujua hakika ya mambo yale uliyofundishwa.
@miishhassn
@miishhassn 5 ай бұрын
We mwenyewe unaish kwa hadith we ulimkuta yesu wew ama ulikuja kuhadithiwa na babu zako kuna yesu😏
@bellasi349
@bellasi349 3 ай бұрын
Yan ivi kuna mtu anaweza kuamini huo upumbavu eti muhamadi alienda mbinguni ?
@mosesmutharimi5837
@mosesmutharimi5837 5 ай бұрын
Swali ni je mtume alienda mbinguni kwa mwili au ni roho
@bellasi349
@bellasi349 3 ай бұрын
Hakuna😂cha kwenda mbinguni ni upumbavu tu mbinguni hakwéda Mussa ibrahim😂aende muhamadi yani kweli africa wajinga hawataisha
@nicholouskavindi8512
@nicholouskavindi8512 5 ай бұрын
Historia za waislamu n za kutunga sana kila shehe na stori yake kuhusu israa mnasoma kitabu gani?
@nicholouskavindi8512
@nicholouskavindi8512 5 ай бұрын
Adam Na Eva walikua Eden Sio peponi Eden n hapahapa Duniani
@nicholouskavindi8512
@nicholouskavindi8512 5 ай бұрын
Hiyo mahali ya Hawa alipewa nani
@miishhassn
@miishhassn 5 ай бұрын
​@@nicholouskavindi8512kwanz unajua mahali yake ilikuewa nn ama unauliza tu
@miishhassn
@miishhassn 5 ай бұрын
Shekh yupi kaelezea tofauti ama ni chuk zako tu
@nicholouskavindi8512
@nicholouskavindi8512 5 ай бұрын
Hakuna chuki ukisoma ktk Qur'an yenyewe huwezi Ona hiki wanachosimulia masheikh ndomana kila mtu Na chumvi zake shk Othman msikilize au shk Othman maiko nae
@princeacama401
@princeacama401 5 ай бұрын
Wapi imeandikwa milango yakuingia mbinguni ni 36?? Hii ni elmu ya mashetani yako cjui unatoa wapi hizi hekaya za abunwasi??
@favoritebrayo
@favoritebrayo 5 ай бұрын
mimi namshangaa kwanza mohammed alikufa yeye anasema alienda mbinguni
@josephchrizostom8437
@josephchrizostom8437 5 ай бұрын
na pia safari hiyo ilikuwa ndoto kwa mujibu wa quruani 17:60
@miishhassn
@miishhassn 5 ай бұрын
Jam huielew Quran ni vyema ujar kimya usiaibike aya unasema hatukuifanya ndoto inamaanisha haikuwa ndot ungesena tuliifanya ndot hapo sawa tungesema ilikuwa ndoto ama ulimkimbia teacher wa kiswahil saiv kibakulamba huelewi lugha😂
@nicholouskavindi8512
@nicholouskavindi8512 5 ай бұрын
N ilkua ndoto hakuna Alie mshuhudia Hata mmoja hivi kweli akiwa Hai alipaa kwenda mbinguni Ila alpofariki mkamzika kwanini asingepaa maana mbingu alishaonyeshwa?
@miishhassn
@miishhassn 5 ай бұрын
@@nicholouskavindi8512 kila nafsi itaonja mauti ndio maan wote hata walio wema waliobja maut hata yey lzm angepitia hapo
@hansiselemani8025
@hansiselemani8025 5 ай бұрын
Sm dini br
@shabanramadhan7632
@shabanramadhan7632 5 ай бұрын
Niwaambie TU Jamani mnakosea sana eti video ni ya mawaidha lakini ukiifungua inaanza na tangazo la mziki hivi kweli mko serious
@shubebunyesi542
@shubebunyesi542 5 ай бұрын
Kumbuka hii mitandao ni mitandao ya watu ayo matangazo hawaweki wao ni gugo wenyewe wanaweka na ndio unapoangalia tangazo ndio pesa inaingia lkn lengo la mashekhe ni kufikisha ujumbe
@abdulazizitwalib5859
@abdulazizitwalib5859 5 ай бұрын
​@@shubebunyesi542FACTY
@miishhassn
@miishhassn 5 ай бұрын
Acheb ushamba hayo ni matangazo ya weny media zao ama umenunua sim juz😂
@shabanramadhan7632
@shabanramadhan7632 5 ай бұрын
@@miishhassn kwahyo unasapot kwenye taarifa ya msiba watu wacheke kidogo.
@miishhassn
@miishhassn 5 ай бұрын
@@shabanramadhan7632 unaonrkan urlewa wako mdogo elewa sio wao wanaweka ni anaemiliki app ya KZfaq ndio maan inahesabu hapo pemben ukibonyeza hiyo skip baafa hizo sekunde inaonfoke we umrkaza fuvu unasema ni wao sio wao hata katikati wanaweza kata video eawek tangazo la kampun flun mgano glovo kwan dr sule anamilik glovo kuea muelewa bas hee
@umdtv2749
@umdtv2749 5 ай бұрын
Kwakua nyie mnao wake weng sema ndoa zako sio ndoa yako. Ila mtu unaoa wake 4 huko ni kudhini bwawa
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 5 ай бұрын
Watu wa bara wa ngapi na wa kristo wana wake zaidi ya mmoja?
@obedkalinga9704
@obedkalinga9704 5 ай бұрын
milango ni miwili tu wa kuzimu na peponi basi.mingine hiyo ni uongo kujifanya unajua bali upotoshaji
@bellasi349
@bellasi349 3 ай бұрын
Kwa kudanganya wapo vizuri
@obedkalinga9704
@obedkalinga9704 5 ай бұрын
waislamu eti unamwelewa sule. badala ya kuhoji, kwanini aende yerusalem na sio macca munaoamini ndio mji mtakatifu, ameenda mbinguni nani alimuona?, alikutana na allah?, aliona nini huko mbinguni?, alifikaje mbinguni?
@emilioadremaneadremane2706
@emilioadremaneadremane2706 5 ай бұрын
I kiboko
@SmilingAnacondaSnake-sp8ct
@SmilingAnacondaSnake-sp8ct 5 ай бұрын
Shehe iyo milango uliiona au ni hadidhi zenu zile za siku zote ? Kwa nini mlango usiwepo tanzania? Kwa hiyo tukifa hapa tanzania tunakwenda kuingilia india kha!
@amadimagadi7978
@amadimagadi7978 4 ай бұрын
Wewe mbona hukuumbwa paka umeumbwa binadamu...mlango kutokuwepo Tanzania ni mipango ya Mungu huezi mpangia Mungu cha kufanya bwege ww
@hashamyusuph2912
@hashamyusuph2912 4 ай бұрын
Sio wewe ni lohoyako wewe utabakia uliko zikwa roho itakwenda kwenye iyo milango
@bellasi349
@bellasi349 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@bellasi349
@bellasi349 3 ай бұрын
@@amadimagadi7978mjibu kwaiyo watu wa africain wataîgilia india na wataéda kwa ndege😂au nini upumbavu jamani africa hapana
@ShomiLongwa
@ShomiLongwa Ай бұрын
Asante kwa kwa kumuelewesha chizi
@josephchrizostom8437
@josephchrizostom8437 5 ай бұрын
soma vitabu cha wito kwa mflme cha ahmad mizra utajifunza pepo ni nin mbingu ni nini
DR.SULLE SAFARI YA MTUME MUHAMMAD S.A.W (SEHEMU YA 2)2024 ISRAA NA MIRAJI
55:19
DR.SULLE SAFARI YA MTUME MUHAMMAD S.A.W (SEHEMU YA 2)2024 ISRAA NA MIRAJI
54:06
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 167 МЛН
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 8 МЛН
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 74 МЛН
SHEIKH OTHMAN MAALIM | SAFARI YA ISRAA WAL MIIRAJ
37:58
Khidhry 29
Рет қаралды 18 М.
DR.SULLE SAFARI YA MTUME MUHAMMAD S.A.W (SEHEMU YA 4)2024 ISRAA NA MIRAJI
57:06
MAISHA NA HISTORIA YA SHEIKH OTHMAN MAALIM
45:49
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 82 М.
DR.SULLE MENEMENE TEKELI NA PERESI SEHEMU YA KWANZA #2023
47:49
ISLAAH ISLAMIC TV
Рет қаралды 19 М.
DR.SULLE JINSI YA KUSOMA SURAT FATHAH ILI IKUSAIDIE
35:01
ISLAAH ISLAMIC TV
Рет қаралды 17 М.
DR SULE - MAAJABU YA NABII MUSSA KWA FIRAUN- MUENDELEZO HUU
28:39
HAJI ONLINE TV
Рет қаралды 14 М.
HISTORIA YA NABII MUHAMMAD N0 1 SHEIKH OTHMAN MAALIM
58:31
arkas online tv
Рет қаралды 16 М.
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН