Allah akulipe kheri shekh wetu kwa sadaka hii ya kheri kwetu hakika ni zawadi umetupatia basi in sha Allah tunaomba Allah atukubalie dua🤲🤲
@fatmaibrahim22524 күн бұрын
Fatma Ibrahim,yaa Allah takabbala duaa
@muhinanjowa722923 күн бұрын
Man Sha Allah Tabaraka Rahman 🙏 Allah akuhifadhi sheikh watu, naitwa( ZENA SALIM,)Niombee sheikh Allah anifanyie wepesi kwa kila zito,pesa zangu nilizodhulumiwa zirudi, uchumba wetu udumu tufunge ndoa Halali na anipe mafanikio kwa utafutaji wa rizki🙏
@zubedaramadhan860117 күн бұрын
MAHIJA SALEHE shekhe naombe mungu anifanyie wepesi Kwa Yale ninayokusudia ishaallah
@Abdulrahmani-kk2fz24 күн бұрын
Mim Jina langu Abdulrahman Salim Bakar naomb dua yako insha'allah ALLAH atakulipa kheri insha'allah
@aminahassan668224 күн бұрын
Assalam alaykum, Allah akulipe kher shekh wetu. Majina : Amina Hasan
@jamalsamma345722 күн бұрын
Allah akujaalie maisha marefu sheikh. Jina langu naitwa Jamal Abdulrahman Samma. Naomba uniombee
@hamidahnassoro-1223 күн бұрын
Zaimu nassoro .mariamu hasani .aisha abdallah abdallah yusufu .mikaeli shabani munira omari mariqmu selemani buruhani selema zaimu masilamba waweke kweny dua wazazi wangu mariamu na zaimu ni waginjwa sana allah awaponye na awape umri mrefu ishaallh
@zainabubakari715924 күн бұрын
Asalam alykum shekhe wetu Allah akulipe khery bi idhinllah inshallah zainab bakar
Mungu akulipe kheri me jina langu KHIDHRI ARUMIA KWEKA Mungu akupe mwisho mwema sheikh
@zainamkwizu294223 күн бұрын
ASalam aleikum! Namuomba allah akulipe kher sheikh wetu na akupe umri mrefu inshalah kwa jina naitwa zaina mkulya kutoka arusha naomba uniweke katika dua sheikh
@narutonaruto430324 күн бұрын
asalaam ghalyk sheikh allah akupe mwisho mwema nam naomb allah anifanyie wepes mambo yangu jina asia anifanyie kher kila jambo
@maryamswaleh99323 күн бұрын
Ya Allah jaaliya kheir na afya kwa wazazi wangu Asha kifizi na abubakar swaleh na wanangu samira ,swaleh,jumaane,rashid,batman,tumaini,mwajuma,faraja na mwajuma IshaAllah jazakalahu kheir
@MuthayraSeif23 күн бұрын
Allah akujaalie umri mrefu wenye khery na baraka sheikh wetu wewe pamoja na familia yako jina langu mm shekha shabani na mwangu muthayra seif
Asalam Aleykum sheikh Othman. In shaa Allah niongeze kwa Dua jina langu ni Zuleqa
@rahmamkingiye140324 күн бұрын
Shani sharifu, faidha mkingiye abubakari mkingiye, khailaty mkingiye, yahaya kailinda na rahma mkingiye tunaomba utueke kwenye dua inshaalah
@mohaaahmed602024 күн бұрын
Amiin ya rwabil ala amiin...mungu akupe afueni sheikh
@HassanRamadhan-f3x24 күн бұрын
Assalam alaikum warahmatulahi wabaraakatu,Mimi naitwa Ramadhan Hassan Silaha naomba Dua, Mungu anifungulie katika kutafuta,InshaAllah kheri
@rahimmussa729223 күн бұрын
Raheem mussa JAZZAKUMULLAH Allah atufanyie wepesi...❤❤
@wakoqalicha427323 күн бұрын
Asalam alaikum warahmetullah wabarakatuh Allah akuhifadhi dunian na kesho akhera kwa jina Mohammed Qalicha DUBA naomba uniombee Allah niko na hasad Allah aniponeshe inshallah
@AminaAme-vo7vu24 күн бұрын
Allah atujaalie Mwisho Mwema Inshaallah
@OmarAhmed-eq9rk23 күн бұрын
A.alkm shekh uthman...Naitwa Omar bwana shekh naombà dua yako kwa wingi na jazaa yako kwa ALLAH mungu akubariki na akutimizie malengo yako
@user-ve2nd6yw1s24 күн бұрын
Assalamualaikum sheikh kwa majina LATIFA ALI HASSAN
@rizikihassan159024 күн бұрын
Assalamualaikum sheikh Allah akuzidishie Kila la kheri inshaallah 🙏 mimi naitwa riziki Hassan naomba pia unikumbuke kwenye Dua na mamaangu ♥️ na ndungu zangu pia
@RukundoSilvin23 күн бұрын
Assalam alaikum warahmatullah wabarakatuh sheikh Allah akupe maisha marefu jina langu ni Hakizimana Aboubakar unitie katika duwa in shaa Allah
@JusminSaid-zi6id24 күн бұрын
Assalaam aleykum shekhe Mimi naitwa JUSMIN MOHAMMED SAID na mtoto wngu NAURINE PAUL ADIKA tunaomba yako shekhe Insha Allah Llah akulipe kheyr ktk dunia na Akhera yako In sha Allah
@YusuphOmary-u4q22 күн бұрын
Me naitwa selua msafiri saidi, namatatizo na mme wangu jina lake yusuph omary kulwa allah atapikea dua zetu
@isabellakomba173423 күн бұрын
Naitwa Aharam naomb kwa jina la Allah anifungue katika vifungo ambavyo nimefungwa na akujalie kheri nyingi shekhe wetu na akujalie mwisho mema pia
@user-ey9vf2xo6l24 күн бұрын
Allah akufanyie wepes kwa kila hatua sheikh wangu kwa kila unacho jitolea sheikh naomba unisaidie mm kila nikisoma quruan siishiki na napenda sana nikisoma nielewe ninacho kisoma kwa jina naitwa BIASHA MZAMILU BASAI
@mwanamisitenga345523 күн бұрын
Asalam aleykum sheikh wetu mpendwa nashukuru kwa dua zako jina ni mwanamisi mohamed na mwenetu asha mwanamisi
@Asmanzm-mt5zo24 күн бұрын
Assalam alaikum sheikh Othman nami naomba niwe miongoni mwa watakao kuwa katika Dua zako in shaallah jina aisha Mohammed mwapashua nawe Allah akufanyie wepesi katika daawa zako in shaallah
@AminaAme-vo7vu24 күн бұрын
A, alaykum takabal duaanaa yaa rabbanaa
@ashurarajabu182624 күн бұрын
assalaam alaykum warahmatullahi wabarakatuh mimi naitwa ASHURA RAJABU naomba kwa jina la Allah ktk dua hio allah anifungue vigungo anigungulie rizki zangu na anipe mali ameen
As salaam aleykum..naitwa Asma suphiani..naomba kwa jina la Allah naomba anifungulie milango ya rizki zilizo za halali na pia anifanyie wepesi kwa kila hatua katika maisha yangu
@ashalaurent246522 күн бұрын
Asalamwlykum warhamthu llah wabarakathu Asante kabala sijapata dua maana nimechelewa kuiona naitaw Aisha laurent naomba ya juma pili nisikose ustazi wangu na wenyezi mungu akuhifadhi kipenzi cha watu na akupe mwisho mwema
@ammaryammary355423 күн бұрын
OMARI SALMIN BAKARI .. shekh usinisahau 🙏🙏
@tausiabdallah640223 күн бұрын
Masha allah allah awalipe khery shaikhe naitwa tausi rashidi iddi
@HawaIrankunda24 күн бұрын
Mimi naitwa neema nahitaji Allah aniwekey wepesi katika ndoa yangu
@maryambweleo686024 күн бұрын
Allah akulipe kheir inshaallah sheikh
@MealiiMohamed-pb7ol24 күн бұрын
Asalam alykum shekh,naomba hiyo dua ya ijumapili in sha allah utuodhoreshe mimi n family yangu km tufwatavyo Said Hamisi, Mealii Mohamed, Hamisi Said, Suleiman said,Atif Said n Mohamed Said in sha allah Mungu atakupa
@HalimaAbdallah-lm8ns23 күн бұрын
Naitwa halima Abdallah naomba Allah anijalie yaloyaheri na aniepushe yaloyashari na ajaalie kizazi changu kiwe ni chenye kutimiza yote maamrisho ya Allah,awajalie wazazi wangu ,mume wangu na waislamu wote kwa jumla, mwisho shehe Allah akufanye ni miongoni mwa waja wake watakaofikia firdaus Inshallah
@deheroo-jm2co24 күн бұрын
Assalaam Aleykum Mie naitwaa Muhammad Abdulsalaam Othman
@HimnaMohamed24 күн бұрын
Asalam alaikum warahmatullah wabarakatuh, Allah akuhifadhi dunian na kesho akhera pepo iwe makazi yako.. Himna Omar Mohamed, naomba uniombee kwa Allah anitilie tawfik anitilie wepesi katika Kila zito kwangu
@AlimanuroAli-sv3os24 күн бұрын
A alaikum warahamatu llai wabarakatu Allah akuzidishiye kheri kwa jina naitwa Alima Nuro Ali.
@user-fc6uf6be5u23 күн бұрын
Asalam alaikum warahmatulul wabarakatu Jina Mwanaidy mwambezi nametia Nia kupitia hiyo dua nkalipwe madeni ninayodai nkafunguliwa Neema amiin inshaaAllah jazaka laheri sherk wetu
@mwajoma137324 күн бұрын
asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh mim naitwa mwajuma Issa naomba uniombee dua Allah atakulia kheiry
@asmahozza846824 күн бұрын
Allah akulipe kila lenye kheri na azidi kukupa afya njema Shekh
@fahimhajialadina74224 күн бұрын
Asalamalikum..jina langu fahim haji aladina
@HamisLkai23 күн бұрын
Mola akupe jazza njema Sheikh naitwa Hamisi Lkai
@fadhilasatu323924 күн бұрын
Fadhila sharif
@Zeana-r7x24 күн бұрын
Assalamualaikum alaykum shekhe mm naitw zeana kibuda khatib na mm naomb niwemo kwny Hy Dua shakhe maana bd Hali ni Tete Allah anibarik pmj na kizazi changu
@janetmutua427524 күн бұрын
Nashukuru sana nimepata utulipu wa mwili nimepata usizingizi,njina ni Janet mutua nashukuru sana
Assalam aleikum sheikh othman naomba dua yako mm na wanangu khadija juma Njenga salma Ali hamis Hamisi Ali hamisi, Habiba Ali Hamisi, Umikulthum Ali hamisi Amina Ali hamisi
@amraothman24 күн бұрын
mim amra kheir othman
@maryambweleo686024 күн бұрын
Assalam alaikum sheikh mimi naitwa maryam juma Ali
@dulasele-ud8cw24 күн бұрын
Ninaitwa Abdala Abdala chendela Nina mengi Allah ndo anajua
@rehemarashid982924 күн бұрын
Àsalam alaikum wrhmthullah wbrkthuh. ..Allah akuhifadhi na akulipe kwakila jambo unalolifanya ..Ameen..sheikh kwa kila dua unayoifanya nakuomba jinalangu usilisahau nnamatatizo mno...InshaaAllah Allah atufanyie wepesi katika dua hizi...Ameen...kwa majina ni Rehema Mohammed nipo dubai
@rehemasaid802523 күн бұрын
Asalam Alykum Sheikh Othman.. Naitwa REHEMA SAID ALLY.. Insha Allah Sheikh Wetu 🤲🤲
@user-kk2xh5vk8h24 күн бұрын
Asalam Alaykum Shekhe mim Naitwa Mwanahawa Muhaji Allah akulipe kher
Assalam alykm shaikh Hamad seif hamad Self hamad Asha sheha othman..... Namuomba Allah akulipe kheri na Baraqa
@umulkher213724 күн бұрын
Shukran saana
@Asiya-gz2ie24 күн бұрын
Assalaam alaykum warahmatullh wabarakatuh naitwa ASIA YAHYA ALI
@SleepyChrysanthemumFlowe-cw1xh24 күн бұрын
Asalam aleikum majina farida jamal rashid kutoka kenya shukran
@MwatumuHusseni24 күн бұрын
Allah akuongoze Kwa njia ya heri na haitikie kila kisomo hunacho kifanya...na Allah akujalie afya njema na uzima Insha n MWANATUMU HUSSEIN
@neemahamisi522024 күн бұрын
Asalamu aleikum sheikh Othman maikol ,mm naitwa neema hamisi omar .naomba dua yako inshaallah mwenyezi mungu anifungulie kila hitaji la moyo wangu.anijalie riziq ya halali anifanyie wepesi kwenye kutafuta riziki.
@tatukassim469924 күн бұрын
M/Mungu nijalie mengi yaliyo katika moyo wangu ,jalia wanangu Hawa,Rahma na Faizan pamoja nami Tatu Kassim
@cizaiddy783924 күн бұрын
Shukran sheikh Allah akujaze kila la heri na akupe afya bora na akulinde na mahasidi
@HassanRamadhan-f3x24 күн бұрын
Assalam alaikum warahmatulahi wabaraakatu,Mimi jina langu ni Ramadhan Hassan Silaha naomba Dua kutoka kwako
@user-dj7gr5gz5f22 күн бұрын
Assalam alaikum kupitia dua yako naomba mungu atufungulie milango ya mafanikio mimi nafamilia yangu orodha ya majina BIJE JUMA ,MWAMINI OMALI , HAMISi JUMA ,, SADA ULIMWENGU ,,SAUDA JUMA ,, OMARI JUMA MARIAMU JUMA. Shekh usisahau haya majina
@EddyKudo-x5f24 күн бұрын
Shukran sana Sheikh Othman Michael Allah akubarik. Mim Naitwa Mohamed Rashid Mohamed.
@ShamimHassan-qm1et24 күн бұрын
Shekh Allah akulipe Kila la kher ni matumain yetu Dua zitajibiwa inshaallah Amina shekh wetu tunakupe da San kwa ajili ya allah❤❤❤❤❤❤❤❤
@NuiyaAlly21 күн бұрын
Sheikh naitwa nuiya ally wanangu ni Asha Abedi ,hashimu Abedi,zainabu Abedi inshaallah nasiutukumbuke kwenye Dua hiyo maan yapo yanayo tusibu ilakwa Dua hiyo mundu atatufanyia wepes inshaaallah
Allah akuhifafh sn shaikh wetu Aamin 🤲🏻 Allah akuzdshie iman yakutusaidia Aamin. Mimi Ukhty wako hpa Asha Hassan. Allah akupe afya njema na umr mrefu wenye barka na manufaa Aamin
@shamsahemed93224 күн бұрын
Mi naitwa Shamsa Said Hemed Swedsn
@user-vh4yy7rt4h23 күн бұрын
Assalam aleikum sheikh othman naomba mm na wanangu jina langu khadija juma Njenga, salma Ali hamis, Hamisi Ali hamisi, Hamisi Ali hamisi Habiba Ali hamisi, Umikulthum Ali hamisi, Amina Ali hamisi shukran sheikh othman Allah akuwezeshe Amiin
@azizashiundu577824 күн бұрын
Shukurani sana sheikh wetu Allah akubarik more life more baraka inshallah
@maryamswaleh99323 күн бұрын
Asalam aleikum sheikh naitwa mariam swaleh ALLAH akuzidishie kheir sheikh
@shukranhema4724 күн бұрын
Ya Allah takabalia Dua yetu in-sha-allah SHUKRAN MATANO HEMA toka kenya
@AminaAme-vo7vu24 күн бұрын
Allah akutilieni nguvu za ujasir ktk kazi zenu Inshaallah muzid kutusaidia
@user-rz5no7us8e22 күн бұрын
Waaleikum salaam warahmatullah wabarakatuh
@AdrienHAMADI22 күн бұрын
Asalam aleykum warahmatu lillahi wabarakatu, sheikh nimefata meseji yako nyuma kidogo. Lakini nakuomba usinisahau kwenye Dua zijazo ni bwana JUMMA AHMAD Adrien toka Jamuhuri ya Kidemocratia ya Congo (DRC) uniombeye Allah anifunguliye kila la kheri.
Mimi naitwa Aisha Salim naomba uniombee ustadh pamoja na mwanangu alipatwa na dhara mpaka sasa mwaka wa kumi na mbili hatembei,haongei ilhali amezawa akiwa sawa😢.jina Lake ni Salim
@AHMEDNURU-wx9ny23 күн бұрын
Àhmed Nuru, Nuru Masoud, Jamida Abdallah
@rahmamkingiye140324 күн бұрын
asalam aleiqum naitwa RAHMA MKINGIYE
@RukiaShelukindo24 күн бұрын
ALLAAH SUBHANA WATAALLAAH ukumpe afya njema duniani na kesho akhera na pia akutakabarie pepo inshaallah kwa wema unao fanya kwa waja wake na ww pia akufanyie wema kwenye mambo yako Inshaallah Kwa Jina Naitwa RUKIA ATHUMANI SHELUKINDO.ALLAAH akulipe kwa kila unachofanya
@timekombo399122 күн бұрын
Assalamu alaykum. Allah akubarik shekh wetu Othman. Mimi naitwa Time Madam Kombo mzaliwa wa Mchanga. Ahsante
@AminaAme-vo7vu24 күн бұрын
Allah atuondoshee mitihani na matatizo ya Dunia na Akhera Pia Inshaallah