JIHADI YA NAFSI NIMIONGONI MWA JIHADI BORA
1:01:36
MJUE SHADDAQA NA ULIMI WAKE MBAYA
2:13
Пікірлер
@mariamomary1343
@mariamomary1343 7 сағат бұрын
Mashallah nmejifunza mengi sana Sheikh Mungu akuzidishie umri huzidi kutuelimisha
@MohamedyChikalango
@MohamedyChikalango 7 сағат бұрын
0:09 .
@NuruJuma-v4s
@NuruJuma-v4s 14 сағат бұрын
Sheikh mimi nimetokwa na machozi Allah akulipe
@ashamasudi1850
@ashamasudi1850 14 сағат бұрын
Mashaallah sheikh Allah akuhifadhi
@aminakassim831
@aminakassim831 15 сағат бұрын
Wallah nikikusikilizaga Imani inazidi wallahAllah swt akujaalie pepo ya firdausi ww na kizazi chako amin
@omarsultan4502
@omarsultan4502 18 сағат бұрын
Siri z dua kwl hasa hamzitaji ni km vile mfanya biashara ukimlz biashara unayofanya inalipa atakujibu hailipi kumbe hataka ufanye n ww
@Alya-np7gm
@Alya-np7gm 21 сағат бұрын
Thanks sheikh
@mahramarswad6041
@mahramarswad6041 Күн бұрын
Mashaa Allah shekh Othman sauti yake kama Othman Maalim wa zanzibar mpska kuongea kwao madhaa Allah tabaraka Allah nawapenda kwa ajili ya Allah .from uk
@user-hv7hx7un2b
@user-hv7hx7un2b Күн бұрын
Nashukuru mwingi wa utachi mkubwa sana Quran vizuri akisoma napenda Sana❤❤❤😂
@Noor-qq9ut
@Noor-qq9ut Күн бұрын
MASHAALLAH...kila niotacho kinanitokea kweli .shukrani
@NuruKijoka
@NuruKijoka Күн бұрын
Asalam Alaykum aliyeelewa dua vizuri,naomba aiandike kwa kiswahili tupate kuisoma InshaAllah Allah awalipe kwa Aliym
@AbdiNura-jk7nx
@AbdiNura-jk7nx Күн бұрын
Allah akulipe shekh wetu
@kavumohemedi871
@kavumohemedi871 Күн бұрын
Safiiii
@habibuChambale-mc3ts
@habibuChambale-mc3ts Күн бұрын
Mashaallaaaah 🤲🤲🤲
@user-un1uk3qy9n
@user-un1uk3qy9n Күн бұрын
Naitwa Mariam SEFU, sheikh mimi nimechelewa kuona message iyi ya Doua ntafanyadje sasa ? Nakuandikia hunijibu wathsap,napiga sim hupokei , nambie nifanyedje ?
@user-un1uk3qy9n
@user-un1uk3qy9n Күн бұрын
Assalam alaikum warahmatullahi wabarakatuh
@ShamimKali
@ShamimKali Күн бұрын
Ahsante sana mm nilikuwa naswali sana hii swala usiku ila naona knowledge yng ilikuwa ndgo sana
@Ukhty-firdaus
@Ukhty-firdaus 2 күн бұрын
Ya Allah nahitaji msamaha wako yarasulallah 😭nifanye niwe miongoni mwa waja wema na wake wema wenye kuifata dini na kuzipenda na kuziheshim ndoa zao inshaallah 🤲🤲Allahumma ameen
@DelightfulPenguin-wk4kv
@DelightfulPenguin-wk4kv 2 күн бұрын
MashaAllah tabaraka Allah sheikh Allah akuajalie kila la kheri katika mambo yako leo hapa duniani na kesho akhera na atuajalie sote waislam na mwisho mwema
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 2 күн бұрын
Shukrani my sheikh
@faridabikwa9998
@faridabikwa9998 2 күн бұрын
Mashaallah sheikh wetu shukran kwakutukumbusha Allah akuhifadhi
@MimahYaseen
@MimahYaseen 2 күн бұрын
Aminii yarabiii ata me nimeona dalili inshallah allah anifanyie wepec nna imani niko sawa sas vitu vimetoka inshallah
@user-gf9jw8el2e
@user-gf9jw8el2e 2 күн бұрын
Maa nshaa Allh
@hamidahamza8212
@hamidahamza8212 2 күн бұрын
Shekhe naomba unisaidie, nzii wakiwa wanakuzunguka hatakama hunuki tena umetoka kuoga lakini nzii wanakuzonga tu hiyo inamaana gani shekhe naomba unisaidie nijue,
@aishahasan7722
@aishahasan7722 2 күн бұрын
Allah atustiri na ftna za masihddajal😢😢 Aamin 🤲🏻
@maryfredy3401
@maryfredy3401 2 күн бұрын
MARIAM FREDRICK
@mahramarswad6041
@mahramarswad6041 2 күн бұрын
Wallahi mie nikimskiliza shekh othman wallahi natamani asimalize natamani ningekuwa mwanamme nikiskia yupo wapi tu namfata kila pahala tunampenda kwa ajili ya Allah shekh othman kwangu nimeeka kama kipindi changu nikiona kaweka tu youtube naacha kila kitu kumskiliza unajiskia raha unatamani asimalize plz ijumaa ijayo tuendelezee tumefika kwenye kibanda in shaa allah nawapenda kwa ajili ya Allah niombee duwa shekh from uk 🇬🇧🇬🇧tunakupenda sana zaid ya sana
@user-oy5gj8fv4b
@user-oy5gj8fv4b 2 күн бұрын
Aslm alkm shekhe Othman mm napenda sanaaa kusikiliza mawaidha yko wallahi , Allah akuhifadhi
@user-pk3si6ku4f
@user-pk3si6ku4f 2 күн бұрын
Shukran Jazaakum Allahu kheir Shekh ❤❤
@nasrihussein4293
@nasrihussein4293 2 күн бұрын
Jaxakhallahul kheiran
@HemediMussa-gx4gx
@HemediMussa-gx4gx 2 күн бұрын
Mashallah tabarakallah haniallak shekh
@mamab2mam2mama11
@mamab2mam2mama11 2 күн бұрын
Mashaallah sheikh wetu❤❤❤
@RasulShaban-t1h
@RasulShaban-t1h 2 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@loozyshtarte5501
@loozyshtarte5501 2 күн бұрын
Mungu anijalie wepesi majini yatoke mwili
@joeloileoile4786
@joeloileoile4786 2 күн бұрын
Hizo dawa zote Shekhan inapatikana wapi hapa Kenya Nairobi au Busia
@denochage2407
@denochage2407 2 күн бұрын
Mashalllahu Taqabalahu
@user-mi9bz5gy2u
@user-mi9bz5gy2u 3 күн бұрын
Aki naskia nmeguzwa mahali,mungu akuongoze uzima uzidi kutuelemisha
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 3 күн бұрын
Asante sana sheikh wangu kwa mawaidha mazuri
@user-tf8iu7kc1f
@user-tf8iu7kc1f 3 күн бұрын
Baarakallah millions
@samsalma9122
@samsalma9122 3 күн бұрын
Allahu akbar mashaallah Allah akulipe kila kheri tunafaidika mengi n'a wewe
@Munatiyahilwa
@Munatiyahilwa 3 күн бұрын
Kabati😂😂😂
@MirrahMeccu
@MirrahMeccu 3 күн бұрын
Asante shehe kwa hutuba nzuri
@HemediMussa-gx4gx
@HemediMussa-gx4gx 3 күн бұрын
Kweli kbx maneno maneno mabay xana
@ramazaniradjabu1862
@ramazaniradjabu1862 3 күн бұрын
ماشاءالله تبارك حفظك الله يا شيخنا و أكرمك الله آمن أحبك في الله
@user-xr5lf6pe1n
@user-xr5lf6pe1n 3 күн бұрын
Shukran sana nakupenda kwa ajili ya Allah sw unamafundish mazur sana mashallah
@NassourJuma
@NassourJuma 3 күн бұрын
MashaAllah Allah akupe umri mrefu na akupe furaha hapa duniani na kesho akhera. Aaaamin
@AgahozoAsmah
@AgahozoAsmah Күн бұрын
Shukrani Allah Akuongezeye elimu
@saeedsaeed7381
@saeedsaeed7381 3 күн бұрын
🙏🙏🙏
@MaimunaSaleh-rx5pp
@MaimunaSaleh-rx5pp 3 күн бұрын
Kupitia Dua hii naomba iniondoree shida zangu zote zirizo mwirini mwangu
@MaimunaSaleh-rx5pp
@MaimunaSaleh-rx5pp 3 күн бұрын
Allah nakuomba uniendoree matatizo
@SaumJuma-ng4vj
@SaumJuma-ng4vj 3 күн бұрын
Alhamdulilah. Shukran sheikh kwa mawaidha yako Allah atujalie tuwe waja wema