MPENZI KADANGANYA ANA SAFIRI

  Рет қаралды 59,223

Mr Uky

Mr Uky

Ай бұрын

Пікірлер: 388
@KautharMartin-sc9cm
@KautharMartin-sc9cm Ай бұрын
Yan wameongea vizur hatar unaweza kusema mume si ndo huyu😂😂😂😂wanaume nyokooo
@binueltinda5366
@binueltinda5366 Ай бұрын
Ila mwisho wa video hii mbn kasema nipeni hela zangu wanatudanganya hawa
@JudyLee-hf9cy
@JudyLee-hf9cy 27 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 4 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂yn
@JaneChaula
@JaneChaula 3 күн бұрын
😂😂😂😂
@zahraabdul9652
@zahraabdul9652 Күн бұрын
😂😂😂😂
@muddywatown
@muddywatown 2 күн бұрын
Kama umeona mwisho anaomba nipeni ela zangu 😂😂😂
@acioulsayd3381
@acioulsayd3381 5 күн бұрын
Kumbe hawa wanatuchezea mchezo huwa sio kweli 😅😅eti nipeni hela zangu
@faustaemmanuel1390
@faustaemmanuel1390 9 сағат бұрын
Kwamba uyo mwanaume uajajua ni mchezo yaan we mr uk bora tubaki kwa kiredio😅😅maigizo tu
@AnnaNgashi
@AnnaNgashi 4 күн бұрын
Mbona hamuwanyii wanaume ni wanawake tu Mr uky
@MecktidisMswata
@MecktidisMswata 5 күн бұрын
😂😂😂 nacheka kama mazurii mayuda eskarioty yako kama yote duuuu mapenz shikamoo
@mosesmligo9614
@mosesmligo9614 Ай бұрын
Mwanamke mjinga atavunja ndoa yake kwamikono yake ye mwenyewe...Adam mwenyewe aliingia mkenge...sembuse waname Wenu awa wa sikuiz wenye MUNGU wakubahatisha.
@binueltinda5366
@binueltinda5366 Ай бұрын
Ila mwisho wa video hii mbn kasema nipeni hela zangu wanatudanganya hawa
@khadijaAthuman-qq7xg
@khadijaAthuman-qq7xg 9 күн бұрын
Mapenzi Yana wenyewe mm wacha ntafute hela mapenzi yamenishinda😂😂😂😂😂
@ismailkhamis6153
@ismailkhamis6153 3 сағат бұрын
.hhhhhhhjjjj
@getrudamsigwa2776
@getrudamsigwa2776 Ай бұрын
Alivyosikia mke wangu kacheka mwenyew
@mariasixmund7964
@mariasixmund7964 Ай бұрын
😂😂😂
@lovenesspatrick1577
@lovenesspatrick1577 Ай бұрын
Yaan ka jinga
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 Ай бұрын
Sipendi kuitwa mke najitu ambalo halijanioa maana huwa ni maongo
@binueltinda5366
@binueltinda5366 Ай бұрын
Ila mwisho wa video hii mbn kasema nipeni hela zangu wanatudanganya hawa
@hildamasonda6528
@hildamasonda6528 28 күн бұрын
​@@salmaalimusa6809😅😅😅😅😅😅
@memoryngambi7570
@memoryngambi7570 Ай бұрын
Mimi ndo hua nacheka yaani wenye akili wanajifunza,lamsingi wanawake tu focus kwenye mambo ya msingi ,alamfu mapenzi baadae.
@johasaeed391
@johasaeed391 Ай бұрын
Yaani wanawake sisi ukitwa mkee tu yaani unabonyea
@elizabethcharles8605
@elizabethcharles8605 Ай бұрын
😂😂😂
@maryamedi9141
@maryamedi9141 Ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@AraphaCheki
@AraphaCheki Ай бұрын
😂😂 au mama akili zina ama kabisa
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Ай бұрын
​​@@AraphaChekiJIFUNZE KISWAHILI AKIRI 😂😂 ZINA AMA😂😂
@theresiashirima554
@theresiashirima554 Ай бұрын
😂
@user-gl8ij6mn6e
@user-gl8ij6mn6e Ай бұрын
duuh wanaume jomoooniii kha mi staki kabisa sio kwa uwongo huo 🙌🙌🙌
@brownidris6477
@brownidris6477 4 күн бұрын
Kwambaali naona g wagon namba A
@MaveGladician
@MaveGladician Ай бұрын
Alafu mimi haya mazoeya yakumwita mpenzi wangu shem darling siyapendi
@SalomeSylvester-er3rq
@SalomeSylvester-er3rq Ай бұрын
Haha😂
@AfricanPrincessLabel
@AfricanPrincessLabel Ай бұрын
Hahahaha
@maryammsaraka5306
@maryammsaraka5306 Ай бұрын
Me too
@diva_20162
@diva_20162 Ай бұрын
😂😂😂😂
@binueltinda5366
@binueltinda5366 Ай бұрын
Ila mwisho wa video hii mbn kasema nipeni hela zangu wanatudanganya hawa
@roseallyWaney
@roseallyWaney Ай бұрын
Mbona tena nipeni hela zanguu😅😅😅😅😅😅😅😅😂
@salmakasim8390
@salmakasim8390 Ай бұрын
Kumbe na ww umeskia hahah
@roseallyWaney
@roseallyWaney Ай бұрын
@@salmakasim8390 Ndiyoo wanatudanganya hawa mbwa 😂😂😂
@doubledee10
@doubledee10 9 күн бұрын
𝐖𝐚𝐬𝐞𝐧𝐠𝐞 𝐤𝐰𝐞𝐥 𝐚𝐰𝐚.
@user-no7pz1bz4y
@user-no7pz1bz4y Ай бұрын
Yani hao wakupenda kuita mama angu ndio mafilauni wakubwa hao, yalisha wahi kunikuta mimi😢😢😢
@BeautyMeryJoseph
@BeautyMeryJoseph Ай бұрын
😢😢km mm
@diva_20162
@diva_20162 Ай бұрын
😂😂😂mbn mafilauni jaman
@binueltinda5366
@binueltinda5366 Ай бұрын
😢Ila mwisho wa video hii mbn kasema nipeni hela zangu wanatudanganya hawa
@JudyLee-hf9cy
@JudyLee-hf9cy 27 күн бұрын
Uwakika yaan😂😂😂😂😂
@gracetendwa5453
@gracetendwa5453 19 күн бұрын
😅😅😅😅yaan duh et mama
@user-pd4vf8wk7l
@user-pd4vf8wk7l 18 күн бұрын
Shikamoo mapenz sitak hii challenge jman maana sina mda wakukaa single mie akaaa😅😅😅 kwaninamvyomjua yule wangu
@mrwandamrwanda3751
@mrwandamrwanda3751 13 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@giddie_barnabas
@giddie_barnabas 13 күн бұрын
Ila shemeji mwenyewe pis hata ningekua mimi😅😅
@user-fc9cx8qg4d
@user-fc9cx8qg4d 9 күн бұрын
Umalaya tu kuoga aaaah 😂😂
@muddywatown
@muddywatown 2 күн бұрын
Kama huna D huwezi kuelewa kama huu ni mchezo umepangwa kuanzia kwa huyo mwanaume mpaka hao malaya
@sahraabdallah7242
@sahraabdallah7242 Ай бұрын
Mbona nipeni hela yangu haya ni maigizo😊
@MelaniaSanga-kc9xc
@MelaniaSanga-kc9xc Ай бұрын
😂
@user-qq8fe9vx3e
@user-qq8fe9vx3e Ай бұрын
Kumbe tumesikia wote😂😂
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 Ай бұрын
Haya ni maigizo nduguni zangu
@rutheliabu9515
@rutheliabu9515 29 күн бұрын
Nikajua nimesikia pekeangu😂😂😂😂😂
@chriskimuto1425
@chriskimuto1425 Ай бұрын
Ila sisi wanaume ni wadhaifu sana
@joanminde7905
@joanminde7905 3 күн бұрын
Halafu hawa waongo mbona yule anawaambia awape hela zake tena mwishoni?
@AishayoutubeMoosa-zn1co
@AishayoutubeMoosa-zn1co Ай бұрын
Huy mwanamme jinga hawezi kujiongeza mpenz kampigia Shem kampigia hapo hapo hawezi kufikiria kama mchezo 😊jmn
@modesterjulius7625
@modesterjulius7625 Ай бұрын
kwani wanaume wanaakili ya kujiongeza
@tumainlession411
@tumainlession411 Ай бұрын
Hawana kbs ni mazumbukuku​@@modesterjulius7625
@LoyceLoyce-fu9pc
@LoyceLoyce-fu9pc Ай бұрын
😂😂😂hawanagà akili hawa ni mbute😂​@@modesterjulius7625
@LatiffahHassan
@LatiffahHassan 18 күн бұрын
😂😂😂😂​@@modesterjulius7625
@yusuphmwanza4405
@yusuphmwanza4405 14 күн бұрын
😂 jinga sana uyo mwanaume
@maryamedi9141
@maryamedi9141 Ай бұрын
Duuh nikisikia mapenzi nahisi kichefu chefu😂😂😂😂atakaye nipenda nitamunyoosha wanaume duuh
@jafarysoahsoah8530
@jafarysoahsoah8530 Ай бұрын
😂😂😂 moyo wangu unagoma kumuamini mtoto wa watu kabisa
@maryamedi9141
@maryamedi9141 Ай бұрын
@@jafarysoahsoah8530 Yaan wew ndo kama mm wanaume sjui nawaonajee 😅😅😅
@jafarysoahsoah8530
@jafarysoahsoah8530 Ай бұрын
@@maryamedi9141 poleee utapona maana asilimia 98 ya wanaofanyiwa challenge wanafeli yaani unakuta mtu anacheet sa nimuamini nani 🤣
@FerdinandCharles-ko7de
@FerdinandCharles-ko7de Ай бұрын
​@@maryamedi9141 malizia tu cc ni mambwa
@maryamedi9141
@maryamedi9141 Ай бұрын
@@FerdinandCharles-ko7de 😂😂😂😂 nawqtaftia jina
@user-cj9pe5ts6c
@user-cj9pe5ts6c 14 күн бұрын
Ati Shem darling kweli wanaume
@user-wh5zz5dk2g
@user-wh5zz5dk2g Ай бұрын
Wanaumeee eeeeh wanaumeeeh eeeh wanaumeee ni wapumbavu
@mrymkubali4017
@mrymkubali4017 21 күн бұрын
Mmh mbna mwishoni leten ela zangu tena😂😂😂😂
@user-zs7vs3iv9h
@user-zs7vs3iv9h Ай бұрын
Tufike mda tuelewe kua hamna true love
@binueltinda5366
@binueltinda5366 Ай бұрын
Ila mwisho wa video hii mbn kasema nipeni hela zangu wanatudanganya hawa
@BarakaGorad
@BarakaGorad 8 күн бұрын
Kwakweli 😢😢
@user-wd2bc7bf5x
@user-wd2bc7bf5x Ай бұрын
mke wangu😅😅😅wanafki sana wa hivi
@divadivana368
@divadivana368 Ай бұрын
Mbonaaa unawadaiii Elaaa Hayaaa maigizoo bhnaaa , , 🤣🤣🤣🤣Japo sometimes yanatokeaaa kwenyee maishaa lakin tunataman utuleteeee vitu real
@najmahhassan7853
@najmahhassan7853 Ай бұрын
Mr uky bhana 🤣🤣 eti ila wanaume,Kwan we pia si mwanaume 😂
@ummyjux
@ummyjux 27 күн бұрын
biayisha😢❤😂 shika ela awa awiii😅😅
@KachaGrll
@KachaGrll 27 күн бұрын
Mwanangu Leo umeyumba sana kumbe huwa unawapanga 😅😅😅 nimesikia iyo kata wewe alafu leta ela zangu 😂😂😂😂😂
@user-ul8nf1nw1h
@user-ul8nf1nw1h Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 et wanaume kumamayo htr sana wanawake tumeshawachoka kwa kweli from oman
@racheljoseph9402
@racheljoseph9402 Ай бұрын
😂😂😂😂😂habity reshi ntii
@joycekambuga6286
@joycekambuga6286 Ай бұрын
Kumpa mtu namba ya mpenzi wako siyo poa wanadamu wamekuwa wanyama. Mpuuzi sana inaonyesha alikuwa anammendea siku nyingi mpuuzi huyu
@LindaSalumu-yw9hq
@LindaSalumu-yw9hq Ай бұрын
Dada acha tu
@user-wg7pu7uh2k
@user-wg7pu7uh2k 12 күн бұрын
Aaaaaaah hela zako tena😢😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂
@princessshannia4215
@princessshannia4215 25 күн бұрын
Leo ndo nmeamini huwa mnawapanga😂😂😂
@user-kr7zu4ux9w
@user-kr7zu4ux9w 12 күн бұрын
Hahahahahha mpira urund kwa kipa😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅ila mwanaume ni tamaa unadhan bas kampenda huyo Rafiki yake
@userlizkenya
@userlizkenya Ай бұрын
Nakupenda pia nyokooooooooooo
@NuruZebedayombise-ie5zb
@NuruZebedayombise-ie5zb Ай бұрын
Marafiki shikamoo
@AdamAmos-rr6fg
@AdamAmos-rr6fg Ай бұрын
Mapenzi nyoko kudadeki😅😅😅😅
@user-dc4ri8gw1o
@user-dc4ri8gw1o Ай бұрын
Wadada ukiwa na shoga ako afu Hana mpenzi ujue nimke mwenzio huyo sitawaambia Kila kitu Kama huyo eti Shem darling oyaa 😂😂😂😂
@HabibaAyubu-rt7eg
@HabibaAyubu-rt7eg Ай бұрын
Daaaangoja ninyamaze mtu anadeka ata afanani😅😅😅😅😅😅 😂😂😂😂😂
@user-fe9jc5di9f
@user-fe9jc5di9f Ай бұрын
Hahaha wanaume mungu anawaona
@reginaphilimon782
@reginaphilimon782 Ай бұрын
Shem darling ya nyokoooo
@Unique____938
@Unique____938 Ай бұрын
😂😂
@user-vs5wt6bc8n
@user-vs5wt6bc8n 6 күн бұрын
Nipeni Hela zangu😂😂😂😂😂😂😂😂
@ashapearubart2624
@ashapearubart2624 29 күн бұрын
😂😂 hawo dio wanaume wa leo. Nimesheka kama mzuri.
@bushbabytz
@bushbabytz Ай бұрын
hata ingekuwa mimi, aisha kama ndio babe wangu ningemcheat tu kwa huyo shem darling pee😂😂 nyie hamjui raha yakutembea na mtu na rafiki yake..wanaume tunapenda adventure
@CelineDavid-pj3eu
@CelineDavid-pj3eu 8 күн бұрын
Yani mimi sinatako sura ndo aswaaaa kisha niwe narafiki anae nizidi kila kitu kweli inaingia akilini iyo weeee ndomana sitaki marafi wanao ni zidi😢😂😂😂kula chuma icho😅😅😅😅
@joycemachibya4380
@joycemachibya4380 Ай бұрын
Hii habar ya kugawa namba ya mpenzi au mume kwa rfk sio nzuri kabisaa😂😂 mwanaume anaongea kiistarabu kwel kama kwel ndo mume masikini mm sitoi namba ya bae kwa rfk
@annasitaziagamba4186
@annasitaziagamba4186 Ай бұрын
😂😂😂mbola tudanganye tu wote lkn sio kunidanganya watu wazima bado mnauzwa et mke na hajakuoa ndo hapo huwa mnafnya makosa
@janemhangomhango5841
@janemhangomhango5841 15 күн бұрын
Mwanaume mjinga haswaa
@jimmypallangyo5771
@jimmypallangyo5771 Сағат бұрын
Et kata Nipeni ela zangu 😅😅😅😅
@user-js6cg6qb4o
@user-js6cg6qb4o Ай бұрын
Challenge hiyo staki kabisa kwa Baby wng...ntapata wazimu😂
@omanoman2044
@omanoman2044 Ай бұрын
Challenge hii nzuri san ndo ujue unapedwa am laa
@user-js6cg6qb4o
@user-js6cg6qb4o Ай бұрын
@@omanoman2044 ujue unaweza ukawa unapendwa lkn ndo mwanaume wako akawa ana tamaa..ndo kma ivoo tamaa yake itakufanya ww kuumia na kuzan hupendwiii
@winniefridamaiko2775
@winniefridamaiko2775 Ай бұрын
Wewe ndo Mimi
@winniefridamaiko2775
@winniefridamaiko2775 Ай бұрын
​@omanoman2044 no sitaki nitakuwa chizi
@user-cw7iy4mp2q
@user-cw7iy4mp2q 7 сағат бұрын
Ata kama ni mimi nisinge acha iyo mafuta😅
@nurdinallymassagamohammed3939
@nurdinallymassagamohammed3939 2 күн бұрын
KaAisha Kabaya
@user-zx7mv9bl4w
@user-zx7mv9bl4w Ай бұрын
Kumbe haya huwa ni maigizo bhaana mwishoni hapo nimesikia nipeni hela zangu😂😂😂
@AndasonMartine-vz2bq
@AndasonMartine-vz2bq Ай бұрын
😂😂😂 Twapigwa mchana kweupeee
@user-yj3gy4jc1t
@user-yj3gy4jc1t Ай бұрын
Wanaume mtafika mmechoka sana
@abubakaliyahaya2968
@abubakaliyahaya2968 Ай бұрын
Bado hujasema
@binueltinda5366
@binueltinda5366 Ай бұрын
😢Ila mwisho wa video hii mbn kasema nipeni hela zangu wanatudanganya hawa
@Fayzins
@Fayzins Ай бұрын
Mr uky amechukuaaa hela zakee watu hamuangalii video hadi mwishooo😂😂😂😂🙌🙌
@user-ox2uw9ds5o
@user-ox2uw9ds5o 17 күн бұрын
Shika hela dada💸
@aminamwashambwa6846
@aminamwashambwa6846 26 күн бұрын
Kujiamini ni we mwenyewe usimwamini mtoto mtu😂
@solomondanny-1507
@solomondanny-1507 Ай бұрын
Masouuuuuud ni mbwaaaaaaaaa mwenye mkia wa mbele!!!😅😅
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow Ай бұрын
😂😂😂nimecheka Kaa mwehuuu
@ChiliHelman-yv4re
@ChiliHelman-yv4re 16 күн бұрын
Hii nimeipenda
@solomondanny-1507
@solomondanny-1507 Ай бұрын
Lakini sisi wanaume ni wauaji kwa kweli.
@josephshayo5493
@josephshayo5493 Ай бұрын
How many kills u got?
@user-ms5rl9gw1r
@user-ms5rl9gw1r Ай бұрын
Jina lenyewe Masudi sijui we huogopi 😂😂😂😂
@MelaniaSanga-kc9xc
@MelaniaSanga-kc9xc Ай бұрын
😂😂
@binueltinda5366
@binueltinda5366 Ай бұрын
😢Ila mwisho wa video hii mbn kasema nipeni hela zangu wanatudanganya hawa
@DavidMkuu
@DavidMkuu Ай бұрын
Mbona nimeasikia mr uky nipe ni ela zangu 😂😂😂
@ElizabetHariaohay
@ElizabetHariaohay Ай бұрын
😂😂nikajua nimesikia pekeang😅😅
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 Ай бұрын
Nitabaki kuwa single hawa viumbe wanaoitwa wanaume aisee wanipishe.
@ChristopherChacha-fb4oc
@ChristopherChacha-fb4oc Ай бұрын
Wewe single nitumie no yako nami ni single
@FerdinandCharles-ko7de
@FerdinandCharles-ko7de Ай бұрын
​@@ChristopherChacha-fb4oc😅😅😅😅 mbavu sana
@nuruabraham3769
@nuruabraham3769 25 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣kwa hiyo huna hata mlupo.
@user-xy8kl9wd2i
@user-xy8kl9wd2i Ай бұрын
Single tujuane 😂😂😂
@kmoreboyofficial8283
@kmoreboyofficial8283 Ай бұрын
Mr uky 👍👍👍
@mariasixmund7964
@mariasixmund7964 Ай бұрын
Kata nipeni hela zangu😂😂😂
@michelinemiche442
@michelinemiche442 Ай бұрын
Narinje ndiruka,ngo mwayirekuye murankoreyeko😢
@LuccyMsanga
@LuccyMsanga Ай бұрын
Wanaume shikamo 🙏🙏
@UsuiliMilangitoni-gm.c
@UsuiliMilangitoni-gm.c Ай бұрын
Aliesema wanawake viumbe dhaifu sidhani kama aliwahi kuwafanyia challenge wanaume, maana hawaruki 😅😅
@Beyonceqme
@Beyonceqme Ай бұрын
Fanyia Wanaume hii challenge
@UsuiliMilangitoni-gm.c
@UsuiliMilangitoni-gm.c Ай бұрын
@@Beyonceqme Hawakatai, tena ndani ya dk 10 tu ameshapata majibu na kudanganya anasafari, lakini mwanamke hawezi kukubali ndani ya dk 10.
@Beyonceqme
@Beyonceqme Ай бұрын
@@UsuiliMilangitoni-gm.c kweli kabisa
@binueltinda5366
@binueltinda5366 Ай бұрын
Ila mwisho wa video hii mbn kasema nipeni hela zangu wanatudanganya hawa
@user-tk8ic6bx8f
@user-tk8ic6bx8f 2 күн бұрын
​@@binueltinda5366apana mwanzo aliwaaidi pesa
@Agath45
@Agath45 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 simuwe mnakataa hizi challenge
@user-jv8qx7xf2g
@user-jv8qx7xf2g Ай бұрын
Why 😂 n nzur kujua Kam una li mdori
@agriparose3942
@agriparose3942 Ай бұрын
Mwenzenu kila siku nawapaga code date na wazee au muwe single mta enjoy sana wanawake
@RachelJulius-h1p
@RachelJulius-h1p 16 күн бұрын
Kaitwa mkewangu kacheka uyo hatal😂😂😂😂😂
@hildamasonda6528
@hildamasonda6528 28 күн бұрын
Sasa kwan mm nachekaa nn jmn au ndio maneno ya mahaba yananichekeshaa😅😂
@user-qq8fe9vx3e
@user-qq8fe9vx3e Ай бұрын
Mnapenda kugombanisha watu mbwa nyinyi😅😅
@ElizaGervas
@ElizaGervas Ай бұрын
Mwishoni Mr UK baada ya kusema kata ukawaambia nipeni Hela zangu 😂
@MarthaMoris-zg2bj
@MarthaMoris-zg2bj Ай бұрын
Hata mimi nimesikia hivo
@xavieramandiocristovao8286
@xavieramandiocristovao8286 Ай бұрын
Ali test walitegemea nini,ugonvi wengine munataka dada zangu 😅
@LucyMdede
@LucyMdede 6 күн бұрын
Challenge zitaua watu😅😅😅😅
@StanNdosi
@StanNdosi 27 күн бұрын
Ama kweli sisi wanaume ni nyoko😂😂😂
@rosejonson3241
@rosejonson3241 Ай бұрын
Kwanza iyo shem darling vip
@richardmshindi2702
@richardmshindi2702 13 күн бұрын
😮😮 mbona umedai ela yoko tena kumbe maigizo 😅😅😅😅
@sweetbertsweetbert4219
@sweetbertsweetbert4219 Ай бұрын
mbona hapo mwisho jamaa kadai hela😂😂 kumbe hua ni maigizo
@user-ko8sd1vw2q
@user-ko8sd1vw2q Ай бұрын
😢😢😢 mmh duuuu kwakweli
@user-jx4rx6jy6y
@user-jx4rx6jy6y 16 күн бұрын
Sinaneno mie nawanaume nabaki tu kucheka duuu😂😂😂
@mgirigi
@mgirigi Ай бұрын
Kumbe mnaigiza, siku zote najua ni kweli, neno leteni hela zangu, halafu hao wakabadilika wanacheka wakati mmoja alikuwa kanuna
@fhugghi4109
@fhugghi4109 Ай бұрын
Mr Uky jaman unavunja mahusiano ya watu 😂😂😂😂
@lenniefei6710
@lenniefei6710 Ай бұрын
anavunja ama anasaidia kuwachomoa wapumbavu
@memoryngambi7570
@memoryngambi7570 Ай бұрын
Havunji ila ni fundisho wanawake hua hatujitambui,tatizo letu tunawaamini wanaume sana kuliko kutuliza akili na kuchukua mda ili kupata Alie Sahihi.
@user-og3sx6th9w
@user-og3sx6th9w 16 күн бұрын
Dada kaitwa mke kachekelea😂😂😂😂
@ShamimuhIddi
@ShamimuhIddi 6 күн бұрын
Mapenzi shikamoo😂😂😂😂
@estherjenesy
@estherjenesy 6 күн бұрын
Ila wanaume shikamooni😂
@elischarles1615
@elischarles1615 Ай бұрын
Basi hapo roho yako kwatu kuharibiana mood tuu😂😂
@binueltinda5366
@binueltinda5366 Ай бұрын
Ila mwisho wa video hii mbn kasema nipeni hela zangu wanatudanganya hawa
@ChainesBoufee
@ChainesBoufee Ай бұрын
Wew dada hujion kama umezeeka.
@LyonWalker_
@LyonWalker_ Ай бұрын
Etty nioeni hela zangu 😂😂😂
@ommimg2467
@ommimg2467 6 күн бұрын
Oya mwisho wa vidio tumesanuliwa jamaa anataka hela zake😂, oya mb zangu huzipati tena labda kiredio t😂
@user-ci2cc9kx8l
@user-ci2cc9kx8l Ай бұрын
Leta ela zangu😢 😅😅
@user-st7my5gk8i
@user-st7my5gk8i Ай бұрын
Ila @mruk hii umetuigizia bhn,,mwishon unadai hela zako tena🔥🔥🤣
@DonatilaMbalinga
@DonatilaMbalinga Ай бұрын
Kwanza ata jamaa mwenyewe yupo hapo hapo fuatilia vizury kuna mwangwi kabsaa jamaa anatufanyia maigizo viwango vimeshuka wanatengeneza content shezi awaa
@juliethmagembe2262
@juliethmagembe2262 Ай бұрын
Ndomaana Mimi sina imani😂😂
@LatiffahHassan
@LatiffahHassan 18 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@deniskaguo4698
@deniskaguo4698 Ай бұрын
Huu mtego hakuna mwanaume anayeweza kuuvuka hata mm ningedakwa tu 😂😂😂😂
@LindaSalumu-yw9hq
@LindaSalumu-yw9hq Ай бұрын
Na shemeji kanona
Pleased the disabled person! #shorts
00:43
Dimon Markov
Рет қаралды 27 МЛН
Little girl's dream of a giant teddy bear is about to come true #shorts
00:32
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 6 МЛН
SHEM NJOO KWANGU TU LALE
15:36
Mr Uky
Рет қаралды 86 М.
KACHUKUA MPENZI WA MWENZAKE Pt2
8:59
Mr Uky
Рет қаралды 169 М.
BABA AWA MKALI, HANA FAMILIA?? FANYA UCHUNGUZI KWANZA
4:07
ZAWADI YA PICHA YATUPONZA
9:58
Mr Uky
Рет қаралды 116 М.
😳😳KAMPENDA MWANAUME MWENZAKE.
1:55
Tit_4Tat
Рет қаралды 262
LEONARDO ALIVYOWAVUNJA MBAVU WAFANYAKAZI WA CRDB!
17:39
Visit Tanzania
Рет қаралды 278 М.
MUME,MKE NA MCHEPUKO MEZA MOJA
11:15
Mr Uky
Рет қаралды 97 М.
BIBI HARUSI MATATANI KUACHIKA KABLA YA HARUSI
11:32
KIREDIO
Рет қаралды 145 М.
Pleased the disabled person! #shorts
00:43
Dimon Markov
Рет қаралды 27 МЛН