Amen Amen Amen, History yake Yesu Kristo aliyetukuta tumenyauka
@davidkisalimwala9458 Жыл бұрын
NAirobi tunabarikiwa sana na HUDUMA YAKO KAKA Ambwene Obadia
@petermlingwamunguawalazesa5466 Жыл бұрын
Ambwene nakupenda sna Mungu akuzidishie maarifa nahekima
@ObbyAlpha Жыл бұрын
Ubarikiwe sana big boss
@davidkisalimwala9458 Жыл бұрын
waaaah what a way of explaining the book Songs of Songs ,,,,
@mpendajrtz7460 Жыл бұрын
Nice 🙏🙏🙏
@gwantwasamson7147 Жыл бұрын
Ambwene ,Mungu amekupa kipaji cha ajabu na akili nyingi ....nyimbo zako mh!!Leo ndio nimeelewa...Mungu akutunze na kukubariki!!
@revocutus1579 Жыл бұрын
God bless you boss
@patrickwilondja7594 ай бұрын
Ushuhuda huu umenijenga mnoo
@msakamaboga5712 Жыл бұрын
Imebidi niende kukisoma 😴
@debdahchannel9159 Жыл бұрын
Aaaaaaah its amaizing wala sikuwah elewa namna na kuiunganisha hii habar kama habad ya kristo na kanisa its amaizing SIR
@igomaculturaltourismchanne6656 Жыл бұрын
Vizuri
@littleheroe541 Жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi was Mungu nimeelewa nini unafanya na nini unamaanisha ktk nyimbo zako
@shamirasongati3906 Жыл бұрын
Mungu akubariki saana sanaa nimejifunza kituu
@mishekimbuba8260 Жыл бұрын
🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@isayasevelini8607 Жыл бұрын
nyimbo zako zinatubariki sana mtumishi, ubarikiwe sana.
@barakadavid868 Жыл бұрын
Iko wapi part nyingine mbona umeniacha na utamu hivi Man of God
@maryjacob6709 Жыл бұрын
Nakuelewa vizuri gwa kukajaaa
@ibrahimudaudi1431 Жыл бұрын
Nimegundua kitu muhimu sana leo
@platnumztv2353 Жыл бұрын
My brother ambwenee
@liberiuslaurian1908 Жыл бұрын
Amen baba
@jobino9959 Жыл бұрын
Ewaaaaaaa
@BeatriceMapinda Жыл бұрын
Mafundisho mazuri sana
@givenmsomba9358 Жыл бұрын
Ubarikiwe
@obadiafredy4499 Жыл бұрын
🙌🙌🙌
@emmanuelisocelsongolo8539 Жыл бұрын
Ubarikiwe saana
@alexkowile291 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@kilionakombu9962 Жыл бұрын
Mungu aku inuhe Kaka 🇨🇩
@chikuomari6997 Жыл бұрын
Be blessed
@drmirambo1300 Жыл бұрын
Amen Amen mtumishi wa Mungu barikiwa sana.
@queenkingola3623 Жыл бұрын
Amen very powerful message, God bless you Ambwene
@trizafrances4304 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏 mungu akuinue zaidi na zaidi Niko mombasa kenya
@tulinavemgeni210 Жыл бұрын
Hii ni Raha jamn mbona nimeelewa vizuri amaizing
@jeannemariefrancoisebukuru5632 Жыл бұрын
Amena,Mfalme wangu atanijia gafla😊😊😊
@edwardkilangi9689 Жыл бұрын
Kaka haujawahi kukosea katika kuimba mungu akupe maisha marefu
@jaysonjeremaya8925 Жыл бұрын
Hongera Kaka ufafanuzi wa huko vyema
@anuciathangonyani8588 Жыл бұрын
Stay blessed throughout your life🙏
@pintymelodytz913 Жыл бұрын
Mungu Anakutumia Kwaviwango Vyajuu Sana Baba🙌🙌🙌🙌🙌 hv kwann usinisaini tu niwe mtoto wako uzungukage nam....!??😭😭😭
@maryjacob6709 Жыл бұрын
May God bless u broo
@rosemaryshio5493 Жыл бұрын
Dah akili yachap kaayangu yan.. ★★Your blessed★★★
@asiajuma5560 Жыл бұрын
Barikiwa Sana mtu wa Mungu
@kaburachristella1118 Жыл бұрын
Ambwene nakuona ukiyikombowa inchi ya Tanzania wewe ni future president wa Tanzania unahakiri ya kimungu Tanzania inahitaji mtu wa kama wewe. Mark my comment 😊.
@nelumwakasege5155 Жыл бұрын
Your blessed mwalimu Ambwene
@franzltd6256 Жыл бұрын
Ahsante sana! Sijawahi kujutia.
@samsonjumbe7286 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mwal Ambwene
@josephmalale7656 Жыл бұрын
Umefungua ufahamu wangu kwa kitabu hiki cha "WIMBO ULIO BORA"