You are the only Prophet that you preach clearly the word of God, Whenever i listen to you i really feel blessings
@mbingukwetu8172 жыл бұрын
Tftttttf5
@yonachaula35302 жыл бұрын
P Lq
@athumanzahir8316 Жыл бұрын
Ubarikiwe Sana nimekuelewa🙏🏼🙏🏼
@magohomichael96635 жыл бұрын
Hongera Nabii kwa fundisho zuri hii ni moja ya injili inayofaa kwa kizazi hiki God bless you.
@prophetbillionairemkeu95445 жыл бұрын
Asante na Mungu akubariki
@douglasmbasila94053 жыл бұрын
Napenda
@mahalawanamahalawana40196 ай бұрын
Ubalikiwe sana mtumishi
@byekafelixwaso80623 жыл бұрын
Nimependezwa na mafundisho haa niko Turkna West katika kambi za wakimbizi. nimfanya kazi wa REF FM community Radio. naomba nicheze mahubiri haa on Sunday
@prophetbillionairemkeu95443 жыл бұрын
Ruksa Mtumishi wa Mungu
@insideggm2 жыл бұрын
If you're reading this God Saw what they did to you. He felt you dealing with it in silence & hurt. He saw how they tried to destroy you. God know it all. But He kept you & watched over you. God has prepared a table in the presence of your enemies. This is your season for blessings and breakthroughs
@ifandmikeelize9403 Жыл бұрын
Bwana yesu Kristo asifiwe milele
@victoriasezi2469 Жыл бұрын
Hapo Ni Sawa 👍 mchugaji Mungu akutie nguvu Amen 🙏🙏
@majed8488 Жыл бұрын
Amen amen nimebarikiwa asubuhi ya leo nitayashika maandiko kwa roho mtakatifu awe ndani yang amen
@majed8488 Жыл бұрын
Mungu nifunguwe masikio ya ndani nikawe na roho mtakatifu bali nisiwe na tamaa za mwili mungu nifungulie ufahamu kupitia kwa mahubiri haya ni the name of Jesus Christ nikiamini uko pamoja nami
@silvanusmbawala3225 Жыл бұрын
Amina ubarikiwe sana,
@agnessrobert46262 жыл бұрын
Ameen nimebarikiwa sana na neno hili acha nichukue hatua ili nikaishi ktk maisha ya kiungu
@maryamayitsa61812 жыл бұрын
Amina nime barikiwa sana kwa mafundisho mazuri natokea Kenya 🇰🇪.
@user-ef5kc5jy4rАй бұрын
MUNGU azidi kupanua mipaka ya Imani ili ss tule na kinywa kwako
@marthamshana69423 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana 🙏🙏🙏mungu akutunze
@joycejohnbahurugo36535 жыл бұрын
Vizuri sana , wewe ni wajuu
@prophetbillionairemkeu95445 жыл бұрын
Mungu akubariki
@josephatmpangala65943 жыл бұрын
Naombana
@furahinikisapi99874 жыл бұрын
Nimepata faraja sana,,,,,mtumishi mungu aendelee kukutumia zaidi! Ubarikiwe mnooooo
@gracebasondole53163 жыл бұрын
Amen mtu wa Mungu
@godlistendiah35632 жыл бұрын
Hongera prophet barikiwa
@jazzeminecute84223 жыл бұрын
Unenibariki na neno la Mungu asubuhi ya leo,asante 🙏 ubarikiwe
@caesarmilumbu18522 жыл бұрын
Je vous remercie pour votre prédication sans doute, je suis né de nouveau. Amen amen.
@patrickadidas18902 жыл бұрын
Mungu akubaliki sana mtumishi
@mwinjilistisinwaobadia27364 жыл бұрын
Barikiwa Sana mtumishi wa Mungu
@ricmligo29884 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na mahubiri yako ya injili kila nikisikiliza mahubiri yako najiona nahama kutoka kiwango kimoja cha imani kwenda kingine! Nguvu na mkono wa mungu uwe juu yako siku zote uendele kumtangaza Kristo yesu. Amen