Elizabeth Michael - WAKATI MGUMU NAUMALIZA.

  Рет қаралды 118,857

Elizabeth Michael

Elizabeth Michael

5 жыл бұрын

Elizabeth Michael - WAKATI MGUMU NAUMALIZA.
© 2019 - EM
“Many problems in our lives comes as a lesson.” Elizabeth Michael
Subscribe to stay up to date on anything from your favorite actress Elizabeth Michael (LULU)
Facebook: / officiallizym
Twitter: / officiallizym
Instagram: / elizabethmi. .
Studio: Manifester Brand
Director: Stanford
Videographer & Editor: Mo Junior, Albert
Sound: Jadu
Graphics: Omnia, Enzo
#ElizabethMichaelLULU #emTopic

Пікірлер: 337
@frankiedebrilliant
@frankiedebrilliant 5 жыл бұрын
1.Kukubaliana na Tatizo (Accept Your Problem 2.Chukulia Tatizo ktk Mtazamo Chanya (Be Positive) 3.Chukulia Tatizo kama Funzo ktk Maisha 4.Jiweke Karibu na Mungu
@mariummwate6496
@mariummwate6496 5 жыл бұрын
Natamani ungekuwa rafik yangu maan ninayo yapitia nimengi sina wakunishauti nifanye nini?
@frankiedebrilliant
@frankiedebrilliant 5 жыл бұрын
@@mariummwate6496 Sawa Nicheki 0714057140
@angelherman5464
@angelherman5464 5 жыл бұрын
kabisaa
@mashmash2826
@mashmash2826 5 жыл бұрын
Yes by the way she is very very right
@waikapeter1556
@waikapeter1556 5 жыл бұрын
Hongera mama kila kitokeacho tyr kimepangwa.
@happinessmtitu4485
@happinessmtitu4485 5 жыл бұрын
Mimi kwakweli nikipitia wakati mgumu cha kwanza kabisa huwa namlilia Mungu sana huwa Nasali kuliko kipindi kingine chochote hicho ni kipindi cha mimi kujisogeza karibu sana Muumba wangu🙏🙏🙏🙏 Asante sana Lulu kwa ku share your experience.
@na0m1fes51
@na0m1fes51 5 жыл бұрын
in sumaary: 1.kubaliana na hali(accept the reality) 2.kuwa na mtazamo chanya (be positive ) 3.chakulia tatizo kama somo(make ur problem as a lesson ) 4sali(pray)
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796 5 жыл бұрын
MTIANI NIMEPATA JANA SIWEZI SAHAU ILA NIMESHUKURU MUNGU KWA MAOMBE NA NASHUJURU MUNGU HUOMBA HANANIKIWA SINA SHIDA JU SISI BINADAMU TUKIPATA SHIDA NDIO HUKUMBUKA MUNGU THANKS FOR UR ADVISE LULU MICHAEL GOD LOVE U HAKUNA KISICHO NA MWANZO MIKAKOSA MWISHO IN GOD WE TRUST GID IS GOOD ALL THE TIME ALL THE TIME GOD IS GOOD.
@lisamasisi8567
@lisamasisi8567 5 жыл бұрын
Napenda kusali na kukubaliana na matatizo kama langu na litapita. Stop will come and go but God is here to stay with me my biggest slogan
@janniebeth7517
@janniebeth7517 5 жыл бұрын
Asante Madame....mi nikipitia wakati mgum uwa nalia sana na kupiga goti kumwomba Mungu anifanyie wepesi....
@sabraissa6709
@sabraissa6709 5 жыл бұрын
Shukran sana mungu akubariki kwa hayo machache uliotuelezea... Mimi binafsi nimepitia magumu mengi ila siri kubwa ni kusali kama ulivyosema, nakubaliana na hali pia( na kulia mpaka nachoka wakat wa kusali au nikiwa chumbani pekeangu). But all in all hakuna kinachodumu milele na mungu zaidi ndo wa kumtegemea pamoja na jitihada zako binafsi... Shukran sana mungu akubariki
@rufinasamwel1457
@rufinasamwel1457 5 жыл бұрын
Huwaga najitahidi niondokane na hiyo hali nkiona sio rahisi basi na relax tu huku nikiamini ni kipindi tu kinapita,na kweli Mungu alivyomkubwa nasahau kabisa najikuta Nina amani na kile kipindi kinapita bila hata mm kujua kama kimeshapita.Mungu ni mwingi wa rehema
@zamdasalumu9740
@zamdasalumu9740 5 жыл бұрын
said well madam....ubarikiwe sana, Nina IMANI yakwamba matatizo umkuza MTU kiakili endapo atayafata hayo uloyasema..nimebarikiwa
@agrpynerernest9959
@agrpynerernest9959 5 жыл бұрын
Mungu azidi kukuweka tuzidi kujifunza kutoka kwako @Elizabeth
@daphrosakomba5535
@daphrosakomba5535 5 жыл бұрын
Thank you so much,niko katika matatizo,nmesikia haya nmepata nguvu kidogo
@tausilekei8155
@tausilekei8155 5 жыл бұрын
Yaan Lulu umenigusa mnooooo dear na nimejifunza meng sana kupitia hilo thanks alot my
@nazmaabdul949
@nazmaabdul949 5 жыл бұрын
Hua nikipitia wakat mgum nasal namkumlilia mungu ipasavyo nwisho wasiku nakua sielew tatizo limeishaje alhamdulilah
@fortunelionessvictory8161
@fortunelionessvictory8161 2 жыл бұрын
Siku zote nyakati ngumu azidumu mbele zake Mungu,bali watu wagumu hudumu
@hevilamkongo4596
@hevilamkongo4596 5 жыл бұрын
Mimi nikiwa kwenye wakati mgumu namliliaa mungu and na yaacha yaje koz naamini hapa sioo makazi yangu ya milile so nayaacha yabaki kuwa kama yalivyo kujaa maana ni ya dunia na nitayaacha wakati wangu uki fika kurudi kwenye makazi yangu ya milele.
@TRAVELANDTASTETANZANIA
@TRAVELANDTASTETANZANIA 5 жыл бұрын
Wengi huwa tunapanic tunapopata Matatizo na kulaumu wengine!! Badala ya kutafakari na kuchukua hatua. Somo zuri.
@hellenashely2167
@hellenashely2167 4 жыл бұрын
Nikweli kunawakat ukipitia iman ya uungu ndan yako inapotea japo kua mungu nikila kitu ktk maisha nikweli yy ndo aletae na ndo aondoae lkn hua inafika wakat iman inaondoka kabisa lkn God bless you love you
@emmymwakagugu1816
@emmymwakagugu1816 5 жыл бұрын
umeniguxa lulu mungu akubalik
@glorytweve7992
@glorytweve7992 5 жыл бұрын
Wow mimi pia huwa kama wew Elizabeth ila huwa namshukuru Mungu kwa nyakati ninazozitia na kuamini ni zampito tu....kwa Mungu hakuna kinachoshondikana🙏
@mwanaishambili241
@mwanaishambili241 5 жыл бұрын
Uyo ni ukweli kbs mashaallah lulu Allah azidi kutucmamia wote tunao kubwa you mitihani amen
@saumouramadan4588
@saumouramadan4588 5 жыл бұрын
Asante sana habity umenifunguwa macho hakika hicho cha mwisho ndio kimbilio la kila mwanadam
@ceciliagunda4150
@ceciliagunda4150 5 жыл бұрын
Asante kwa somo zuri Mwenyezi Mungu azidi kukuinunua Zaid ya hapo ulipo
@gloryndakidemi3243
@gloryndakidemi3243 5 жыл бұрын
hongera kwa hayo Mimi binafsi nikipata changamoto kubwa sana kitu cha kwanza naenda sehemu kama chumbani kwangu then narelax kwa kusikiliza gospel songs ambazo nazipenda mostly then ile pressure ya jambo fulani ikishashuka natafakari sasa na Mungu wangu natafakari nae kwa kina sana believe me huwa napata majibu though mengine hawezi kukupa hapo kwa hapo lkn suhulisho huwa linapatikana
@redleafmedia6680
@redleafmedia6680 5 жыл бұрын
Its true
@upendojoseph31
@upendojoseph31 5 жыл бұрын
Thank boss lady wa tanzania you diserve it
@suzanahamaro
@suzanahamaro 5 жыл бұрын
This is amaizing Lulu....nkkiwaga na matatizo hua na sali mno yaan hadi nikiwa natembea nasali...cant ge my head off praying na pia ni kipindi ambacho imani yangu inakua juu mno....Mungu anatenda kikubwa ni kuamini na kumpa nafasi si tu tukiwa na matatizo bali hata tukiwa na mazuri.....kitu kingine hua nasikiliza muziki mnoo....
@mapendobridgetv3441
@mapendobridgetv3441 5 жыл бұрын
Kweli Naona matatizo yalikujenga. Keep it up girl
@hamadharerimana8187
@hamadharerimana8187 5 жыл бұрын
she I's amazing... she has grown ....am so happy for her
@dianaexaudy9472
@dianaexaudy9472 5 жыл бұрын
Nakupenda sana dada lulu,, utaendelea kua role modo wangu
@alimarajab2721
@alimarajab2721 5 жыл бұрын
mimi nikiwa katika wakati mgumu huwa napenda sana kumuomba mungu aniondolee yale majaribu pia huwa napenda kumsikiliza mama kwa kile atakachonishauri kutokana na hali ya wakati huo
@saumukaisi3996
@saumukaisi3996 5 жыл бұрын
Asante sn mm nikipata stress yoyote ile huwa napenda kusikiliza mziki mzurii ambau upo pole pole sn Alf nitalia sn then na relax pia hongera kwa kukabiliana na hali uliopitia nakupenda sn Lulu Michael you smart girl
@thedarrens_hardware
@thedarrens_hardware 5 ай бұрын
Please continue with these sessions EM
@belindamboya5256
@belindamboya5256 5 жыл бұрын
My very own mentor🌹 Huwa nalia ili kupata amani Nakubaliana na tatizo I pray nikiwa nina amani Then napambana nalo kwa hekima ya Mungu
@hettielillie1268
@hettielillie1268 5 жыл бұрын
Problems are there to make us,shape us to the better and greater us. They make us who we are. They make us strong imagine a life with no challenges?how will thay be? It wont be a life well lived. Our challenges/problems arent there to pull us down they are there to shape us........its our choice to decide that. #iminspired
@lusekelorichard2787
@lusekelorichard2787 4 жыл бұрын
Good...
@mpatrickthomastvandradio6038
@mpatrickthomastvandradio6038 4 жыл бұрын
That's true with God challenge we are really great in this world better u learn and never forget, Lulu problems are there to teach us may our mighty lord countie to protect u ever day I love you
@annastaziaprudence7333
@annastaziaprudence7333 5 жыл бұрын
Kweli kabisa nimejifunza kitu dear, nakukunda mno ❤️🥰💕🙏🏽
@bettykaduma4937
@bettykaduma4937 5 жыл бұрын
Nimekusikiliza vizuri, nimekuelewa sana na kujifunza pia. Mi nikipitia vigumu kulia kwanza🤔 mwepesi kukasirika mwepesi kusahau..
@mamyrahima6913
@mamyrahima6913 5 жыл бұрын
Duh asanteee Sanaa kwaushaurii mzurii habbty.
@eileenremmy8576
@eileenremmy8576 5 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana shikana wangu mungu akutunze mama uishi miaka mingi.
@drelizakilili
@drelizakilili 5 жыл бұрын
Wewe ni mwalimu kabisa maana unafundisha taratibu mpaka mtu anakuelewa. Mimi nimejifunza kukabiliana na tatizo na sio kulikimbia tatizo kutokana na uzoefu wangu niliopitia na haswa changamoto nilizozipitia na ninazoendelea kuzipitia kiukweli huwa nazipotezea ili niweze kuendelea kusonga mbele.
@avitrujweka2113
@avitrujweka2113 5 жыл бұрын
Wooow! Wonderful thing LULU! Keep that good spirit alive! May God keep you for us! 💯🙏
@priscalyimo887
@priscalyimo887 5 жыл бұрын
Lulu you are my age mate but i can say that you are braver than i..you are my inspiration girl..i’ve learned alot of things through you..your entire life has taught many of us on how to believe in our selves,i love you girl
@immaculatalazaro1585
@immaculatalazaro1585 5 жыл бұрын
You are matured too.. I loved your confession
@pendosammy5984
@pendosammy5984 5 жыл бұрын
Nakupenda pia Lulu natamani nikuone isee uso kw uso mm mkenya nitakuja nxt yr Tz nitafurahi sana nikikuona Lulu pllz
@maryviverlucas9182
@maryviverlucas9182 5 жыл бұрын
Hongera Lulu kwa ujasir ulonaona kwel umestahil kuwa ulivyo kulingana na ulikopita...I love u mama
@fatmajafary6737
@fatmajafary6737 5 жыл бұрын
nikipata matatizo nafanya km wewe lkn ni ngumu mnooo ila unakubaliana nayo maana ndio Mungu ashakuchagua kuwa wewe. nakupenda sana na ninatamani kukuona jamaniii
@christinajacob8263
@christinajacob8263 5 жыл бұрын
Asante lulu kwa somo zuri nakupendaga bure we katoto Nikiwa Katika wakati mgumu nalia nawaza sana kiukweli umenikumbusha jambo mungu ndiyo kila kitu
@ceciliansemiwe8188
@ceciliansemiwe8188 5 жыл бұрын
This Great and Inspiring! Thank you so much Dear Elizabeth! Stay Blessed
@lovewau3536
@lovewau3536 5 жыл бұрын
asante mpenzi kwa kutukumbusha hilo mungu akubariki mno
@gracemfangavo4824
@gracemfangavo4824 5 жыл бұрын
Like it lov umenifanya nijihc kibonge ghafla😘
@teamchujio6590
@teamchujio6590 5 жыл бұрын
Dah! vizuri sana my queen, kiukweli ktk maisha kuna changamoto sana ktk maisha, lkn mimi hadi sasa uwa najikuta nalia tu mwenyewe kwani changamoto yangu kubwa ni kupata kazi, tangu mwaka umeanza nimekuwa na sumbuka sana ktk swala la kupata kazi na kinacho nifanya niumie nafsi zaidi nikiona hali ya umaskini iliyo tanda ktk familia yangu, licha ya yote haya sijawahi kukata tamaa kabisa ktk maisha yangu, na mtanguliza Mungu kwa kila jambo, cha muhimu nilicho jifunza zaidi ni kumshukuru mungu sana kwani naimani atafanya njia wakati ulio sahihi japo kuna wakati ambao watu uniambia kuwa nime fungiwa kishirikina lkn sitaki kuamini ktk hilo sababu najua kuwa ni pekee ndie mwamuzi sahihi wa maisha yangu, Amen
@rastamichael2734
@rastamichael2734 5 жыл бұрын
Namaste.African queen jah bless you
@joharinaz5007
@joharinaz5007 5 жыл бұрын
Thx lulu nakuitikaga sana weye dada😍
@samwelsirieli1624
@samwelsirieli1624 5 жыл бұрын
Yaani nilijifunza kupokea hayo kutokupokea jambo kwa mshtuko,,,,pale mama yangu alipopigiwa simu na kuelezwa habari Fulani,,,akapata mshtuko Mkubwa hadi kufariki,,,,ni somo nzuriiii Sana'a,, mi pia nawashaurigi Sana'a ndugu zangu kutokupokea jambo lolote lile kwa panikiii
@keagleeagle821
@keagleeagle821 5 жыл бұрын
Nikipata tatizo huwa najiuliza je katika hili tatizo je kitu gani kibaya sana cha mwisho ambacho kinaweza tokea kutokana na ilo Tatizo. Mfano kama tatizo ni kwamba sina kazi basi najiuliza kitu kibaya sana ni kwamba nitalala njaa na watoto .Basi naanza kujaribu kusolve hiyo outcome mbaya sana ambayo inaleta na tatizo. Naweza lina bustani,naweza okota kuni na kupitia kuni ,income kidogo iliyopo naweza weka stock ya mahindi ndani etc. Kwa hiyo mimi nikipata tatizo huwa na jump kwenye solution zaidi huwa sitako kutumia muda kulichambua tatizo bali natumoa muda mrefu kutafuta solution.Pia naamini ambacho akikuui kinakufanya jasiri. Kwa hiyo hii misemo miwili kwa kiingereza ndio inanipa nguvu. 1)What doesn't kill you,makes you stronger. 2)What is the worst possible outcome of the crisis ?Find solution of the worst possible. outcome
@halimaramadhani4040
@halimaramadhani4040 5 жыл бұрын
Lulu nakupenda bure mrembo wangu,,Asante kwa somo kwakweli nimejifunza...mungu akulipe katka hili...
@jessymalembeka6181
@jessymalembeka6181 5 жыл бұрын
Thanks kwa nice somo!
@estawakidunda1200
@estawakidunda1200 4 жыл бұрын
kiupande wangu nikipitia wakati mgumu waga nauzarau na nakua nahisi nakuona kuna wakati mzuri unakuja mbele yangu ivyo waga mwepesi kusahau nahisi mambo mazuri na makunbwa zaidi ya ayo mabaya
@farajafabian4218
@farajafabian4218 4 жыл бұрын
Thank u so much dear....God bless u....love u so much
@evanciaedward2352
@evanciaedward2352 5 жыл бұрын
Waooo, Well said sister. Mungu akubariki mnoo. Nimekuelewaaa sana. Pia mimi nikipata changamoto au tatzo lolote kiukwel Naingia chumban Natafakari why and how then naingia kwenye maombi Na kumuomba Mungu anisaidie.
@deborahjustinerwambogo8490
@deborahjustinerwambogo8490 5 жыл бұрын
Mungu akukumbuke siku zote za ujana wako na akakutendee siku zako zote za uzee wako mtoto mdogo uliyeniafanya nikue maradufu kupitia wewe GOD BLESS YOU Darling........ sijawahi kujuta kukufahamu
@jescapaul2917
@jescapaul2917 5 жыл бұрын
Mimi nakupenda sana lulu na umenipa somo
@mkg6006
@mkg6006 5 жыл бұрын
As for me I always try to talk about my situation,not with everyone but with my best friends or try to talk to God if I feel like that I don’t want to share with someone. Be blessed Michael
@mashmash2826
@mashmash2826 5 жыл бұрын
By the way you have teach me alots because to be honest i always here about your storys you have pass alot my dear but i always see you happy and strong .to day i have learnt something and i will be following you . it is true i have pass alot alot alot but sometime am even tired of telling GOD because na sema not ina bad way but kwani mungu aoni jamani .and funny enough those people who knows GOD ndio huwa wana pitia vitu vibaya vibaya sana but i thank God because i belive he is aleays on my side .one or the reason made me to say this its because ata kama ni mambo magumu vipi imagine nita pata tu njia ya kutokea na sita jua nime tokea vipi kabisaa but naji pata tu nime toka so GOD is great and he love as all. Actully thanks so much because i dont know kilicho kufanya paka uka fikiria hiki kipindi i can say ni mungu tu c
@mashmash2826
@mashmash2826 5 жыл бұрын
Pliz let me know your next talk pliz i will be following you
@blasidajulius2240
@blasidajulius2240 4 жыл бұрын
Mungu akubarik sana Lulu una akili sana nakupenda mdogo wngu
@vivianchao9421
@vivianchao9421 5 жыл бұрын
Such a brilliant young lady.l love your attitude keep the spirit high gal
@ednamgina187
@ednamgina187 5 жыл бұрын
Ni njia zinazo weza saidia wengi Asante kwa somo
@raymondkasongo4610
@raymondkasongo4610 5 жыл бұрын
I really like this message and you are a good inspiration for me and nazani hiyi ujumbe imeingiya vizuri kwenye sikiyo zetu na kila mtu ambaye apendi iyi ujumbe nazani aana na fasi katika hiyi duniya.
@samanthaali873
@samanthaali873 5 жыл бұрын
Congtras sis
@silianawilson7998
@silianawilson7998 5 жыл бұрын
Thank you nimejifunza kitu, i love you lizzy
@merrieromeo3855
@merrieromeo3855 5 жыл бұрын
Mimi binafsi nmegundua ukipata tatizo lolote usipanic ukiweza hilo umelishinda hilo tatizo... Thn natulia sehemu nafanya toba Alafu namwelezea Mungu kila kitu namwambia hili nalo litapita najua naomba nisaidie... Na huwa litapita mpaka namshangaa Mungu
@sarahwanzaa6272
@sarahwanzaa6272 5 жыл бұрын
Go Lyulyuuuuu Go Shikana wetu wewe ni zaid yamwanamke na nusu ❣❣
@rahmaally2014
@rahmaally2014 5 жыл бұрын
Nkupenda lulu wanguu😘😘😘
@mariamphilip3184
@mariamphilip3184 5 жыл бұрын
Your so spiritually awakened ❤️ be blessed
@Marzzzzzz20
@Marzzzzzz20 5 жыл бұрын
Kuna kitu kimoja nimejiaminisha ninapokua kwenye matatizo, kwanza nothing stays permanent (itapita tu) and second kila kinachotokea ni mipango ya Mungu,and above all naamini Mungu hakutuleta dunian tuteseke! So matatizo ni vipindi tu vya mpito. Nikiwaza tu ivo bas am good to go!
@husnauthman7609
@husnauthman7609 5 жыл бұрын
Asante lulu nimejifunza
@tatiya6883
@tatiya6883 5 жыл бұрын
Tutole fuju wenae Mungu ndie anatatuwa matatizo yakila mtu kwaiyo tunajuwa hayo upo
@estheruwezo
@estheruwezo 4 жыл бұрын
I Will like To meet you one days mungu atulinde 🙏🙏🙏
@byemerson5513
@byemerson5513 3 жыл бұрын
mu wakati mgumu na omba mungu ani sahulishe ivi ni eneleye ku kuwa salama
@marysylvery5826
@marysylvery5826 5 жыл бұрын
Asante sana kwa ujumbe.. Unajenga na nimejifunza kitu
@reginamassawe6701
@reginamassawe6701 5 жыл бұрын
Umenifundisha Kipenzi changu somo lako nimelipenda sana ndugu ....nakupenda sana lulu wangu weeee ...
@munam7104
@munam7104 5 жыл бұрын
Good job young lady love you
@DMENDTVmusicMovie1
@DMENDTVmusicMovie1 5 жыл бұрын
Great idea and good message
@annahjohn2193
@annahjohn2193 5 жыл бұрын
Mara zote na siku zote uwa nasema kuna kitu ndani yakooo ambacho Mungu kaweka sasa ni wakati wa Mungu kukidhihirisha wazi kupitia weww.....🙏🙏🙏🙏... Gooo gooo gooo my babe elizabethmichaelofficial...... Kuna vitu nazidi kujifunza.. Asante🙏🙏🙏❤
@siamlay7107
@siamlay7107 4 жыл бұрын
Ishalla lulu nakupenda sana lulu
@fatmasalima3847
@fatmasalima3847 5 жыл бұрын
Wooow Thanx dear lulu
@mapishibyzuh6631
@mapishibyzuh6631 5 жыл бұрын
You are Amazing and l am so Glad of the woman you a growing to become. I love you Liz. God above all 4rm 254
@maryannqueen7356
@maryannqueen7356 5 жыл бұрын
1 AND 2 ndio ngumu Sana!!!!!! Kukubaliana na hali na Pengine umesingiziwa!!duhh!! SIO RAHISI.. ILA KAMA Lulu aliweza tunaweza...asante....EML
@amenachappa5431
@amenachappa5431 5 жыл бұрын
I love you Big Siz.Tz n takuja kwa jili yako Siz.
@catherinemuindi8555
@catherinemuindi8555 5 жыл бұрын
Very mature girl ' love your real tolk and may God continue using you
@happinessngole9081
@happinessngole9081 5 жыл бұрын
Unaniispire sanaaa Lulu
@jordanjonas7098
@jordanjonas7098 5 жыл бұрын
Me nakupenda sana
@happyjose9445
@happyjose9445 5 жыл бұрын
Honestly umenigusa sana Lizzy nipo kwa wakati mgumu but sikupata mtu Wa kunishauri Wala kunitia Moyo asantee Lizzy kwa ushauri wako
@momorchum8994
@momorchum8994 5 жыл бұрын
Learning from the best asante mama G. Love you
@JeniphaFredrick-hz5ll
@JeniphaFredrick-hz5ll Жыл бұрын
Yaani umenifundisha kitu ubalikiwe
@cieremim7357
@cieremim7357 5 жыл бұрын
Asante kwa hii ubarikiwe sana
@angelbwija9547
@angelbwija9547 5 жыл бұрын
Mimi nikikuwa katika wakati mgumu nasikiya sana nyimbo za mungu na kusali sana
@auntysamweli9572
@auntysamweli9572 3 жыл бұрын
Akili kubwa kuriko umri. Thank you
@winfridthomas1689
@winfridthomas1689 5 жыл бұрын
Asanteeee kipenz nimekupata tupo pamoja sn Amin love my
@winfridthomas1689
@winfridthomas1689 5 жыл бұрын
Naomba nikulize kitu km auta jali
@sylviemutwale9527
@sylviemutwale9527 5 жыл бұрын
Uyu Mungu Amubariki sana yani yupo naakili nzuri sana
@hildahtemuh1041
@hildahtemuh1041 5 жыл бұрын
Nakupenda zaid zaid lulu miaka mia kwako
@lynalyna3968
@lynalyna3968 5 жыл бұрын
Utube is my best nikiwa ktk wkt mgumu
@nancykaona2054
@nancykaona2054 5 жыл бұрын
Kiukweli uliyoyasema ni kweli me as me kila napopitia magumu nakubali,na silaumu kw sbb nakuwa na imani kuwa mungu alipanga yanitokee.pia kusali ni njia ya kwanza kbsa sabb silaumu basi nasema mungu asante kwa kuniokoa na jambo baya ambalo lilitaka kuja...Thanks lulu our idea ni ze same
@dorislelo287
@dorislelo287 5 жыл бұрын
Thank u shikana for the words stay blessed we love you.
Je Unapitia Wakati Mgumu Katika Maisha Yako?
9:49
Joel Nanauka
Рет қаралды 51 М.
Inside Out Babies (Inside Out Animation)
00:21
FASH
Рет қаралды 23 МЛН
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 10 МЛН
哈莉奎因以为小丑不爱她了#joker #cosplay #Harriet Quinn
00:22
佐助与鸣人
Рет қаралды 7 МЛН
NI NOMA - Elizabeth Michael (Movie)
1:40:29
Elizabeth Michael
Рет қаралды 3,7 МЛН
Salama Na Shikana Ep 17 | DYNAMITE Part 1
29:48
YahStoneTown
Рет қаралды 338 М.
Elizabeth Michael - PISHI LA LULU CHAPATI
4:37
Elizabeth Michael
Рет қаралды 311 М.
BEHIND The gram (MOM & DAUGHTER) Epsod 2 Trailer
0:51
Feysal Daudi Films. 457k views.5hrs
Рет қаралды 24 М.
IN THE OFFICE 1-JENIFER KYAKA/BEN BRANCO/MASINDE/HALIMA YAHYA
1:14:17
ELIZABETH MICHAEL: SAVE MY VALENTINE 2019
2:59
Elizabeth Michael
Рет қаралды 184 М.
UHONDO WITH RAYVAN [WCB]
47:30
Dina Marios tv
Рет қаралды 49 М.
Inside Out Babies (Inside Out Animation)
00:21
FASH
Рет қаралды 23 МЛН