Epuka Haya Unapoanza Kazi - Joel Nanauka

  Рет қаралды 12,333

Joel Nanauka

Joel Nanauka

3 жыл бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

Пікірлер: 58
@michaelkubela4186
@michaelkubela4186 3 жыл бұрын
Asante. Kutaka kuprove kwamba yeye ni best kuliko wengine,
@patrickkalahuka6340
@patrickkalahuka6340 Жыл бұрын
Endelesha MUNGU akubariki
@lwisekweka8321
@lwisekweka8321 3 жыл бұрын
Ninavyokupenda ni Mungu tuu ajuaye. Mungu akuinue zaidi na zaidi
@seraphinmaliyamacho8239
@seraphinmaliyamacho8239 3 жыл бұрын
Danger bro umeisha nisaidia sana my brother
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 Жыл бұрын
Ipo Bomba sana
@akshots_tz
@akshots_tz 3 жыл бұрын
kosa la kuchelewa
@josephtaretamasina2900
@josephtaretamasina2900 3 жыл бұрын
Kwa kweli mambo yote ni muhimu mno. Ingawa kujieleza maisha yako ni kuweka madhaifu yako ambayo ni fimbo ya kukumaliza.
@chigofapeka8187
@chigofapeka8187 3 жыл бұрын
Shule nzuri
@adriancalyx1116
@adriancalyx1116 Жыл бұрын
Kujifanya much know
@michaelkagoro9785
@michaelkagoro9785 3 жыл бұрын
Umachinoo ndo unaharibu wengi
@rajabuphinias7302
@rajabuphinias7302 3 жыл бұрын
Kuchelewa ilinicost
@coollema4148
@coollema4148 2 жыл бұрын
Sawa Sawa kaka
@festoantony4673
@festoantony4673 2 жыл бұрын
Sawa, asante
@stephenmathias6475
@stephenmathias6475 3 жыл бұрын
Bro elimu yako imenisaidia sana
@kelvinemmanuel8616
@kelvinemmanuel8616 3 жыл бұрын
Daaah! Kk Joel Hiyo point ya kwanza ilinigharimu sana katika ofisi niliyotoka. Naamin sitalirudia tena, Thanks alot bro.
@jsmastory5770
@jsmastory5770 3 жыл бұрын
Upo kama mimi
@geofreymchwemba9251
@geofreymchwemba9251 3 жыл бұрын
Kuchelewa
@letionnews310
@letionnews310 3 жыл бұрын
Kaka asantee
@akshots_tz
@akshots_tz 3 жыл бұрын
asante kaka
@sanirukimweri9275
@sanirukimweri9275 3 жыл бұрын
So helpful brother Joel
@princemduzu8530
@princemduzu8530 3 жыл бұрын
Fact points
@fedharmmark6398
@fedharmmark6398 3 жыл бұрын
Kuchelewa kazini na kusema mambo yao ya ndani, ahsante Brother kwa kunifunguwa kitu maana leo tu kingine kimetokea 💞🙌🙏
@immajuzo2440
@immajuzo2440 3 жыл бұрын
Asant sana na tusipojifunza kwenye makosa yetu yatakua mapigo kwetu baadae naamin hatutoruhusu mapigo .
@lwt472
@lwt472 3 жыл бұрын
siku ya kwanza muhimu sana kuwa na muonekano kwamba unahitajika kwenye kazi hio. asante sana
@Mkaambali
@Mkaambali 3 жыл бұрын
Asante
@jeremiamathias2747
@jeremiamathias2747 3 жыл бұрын
Kujifanya unajua kila kitu
@aidanmbilinyi8184
@aidanmbilinyi8184 3 жыл бұрын
Nshukr ssn maan mwz ujao naingia job sehm
@japhetjohn5697
@japhetjohn5697 3 жыл бұрын
Asante, sana Brather Joel,nimekupata nikweli kabisa nikama Joseph(Yusuph) alivyokuwa anasema kila kilochomtokea kwenye Ndoto bila kujua Kaka zake hawakupendezwa kabisa na alicjokuwa anasema sema,asante Sana kwa Maarifa hayo.
@abdulmalick6911
@abdulmalick6911 3 жыл бұрын
Im so happy to be the first to watch this content
@AliMohamed-wp1op
@AliMohamed-wp1op 3 жыл бұрын
Kweli kabisa Bro, nilitrust watu ambao sikuwajua vizuri na kuwapa mambo yangu ya ndani and they used that against me baadae👍👍👍👍👍
@shodristvtv6121
@shodristvtv6121 3 жыл бұрын
Point no 1 Sharing personal information
@farajhassan1775
@farajhassan1775 3 жыл бұрын
Ahsante sana kaka Mungu akubariki katika kazi yako 🙏
@joanmachibya5840
@joanmachibya5840 3 жыл бұрын
Mungu Akutunze sir Brother joel
@nursechunga4470
@nursechunga4470 3 жыл бұрын
Asante Sana Kaka Joel, najifunza mengi Sana kwako
@sadikiselemani1580
@sadikiselemani1580 3 жыл бұрын
Umeongea ukweli kabisa mwalimu na hayo ndio makosa makubwa hufanyika
@dabematv3616
@dabematv3616 3 жыл бұрын
""nimekupata kaka shukuran sana
@saidbanga
@saidbanga 3 жыл бұрын
Ahsante Huwa Natumia Hizi Kanuni Sana Tu Kwani Nilishwahi Kufanya Makosa Mahali Fulani Hasa Ya Kutoa Personal Information Japo Haijaniathiri Sana Ila Kuna Kitu Kilinikera Pale Nilipokuta Info Zangu Kwa Mtu Mwingine Ambaye Sijamwambia..! Kuanzia Hapo Ikawa Funzo Kwangu..! AHSANTE KWA KUNIONGEZEA VITU KICHWANI
@eliaskainkwa7791
@eliaskainkwa7791 3 жыл бұрын
much know
@musilangalugera2567
@musilangalugera2567 3 жыл бұрын
Kuwa bize siku ya kwanza( to be hard first day)
@melishanutrition3423
@melishanutrition3423 3 жыл бұрын
Kaka nime kuelewa Sana asante
@newlifeforever5894
@newlifeforever5894 3 жыл бұрын
Kaka JOEL UBARIKIWE
@shd12m55
@shd12m55 3 жыл бұрын
Mii nakubali100%
@luckmanhussein4428
@luckmanhussein4428 3 жыл бұрын
Fact, thanks for share
@robertgordon2745
@robertgordon2745 3 жыл бұрын
nimejifunza kitu kaka
@Mlevimedia
@Mlevimedia 3 жыл бұрын
Nipo pmoja nawe
@greatestdaniel7865
@greatestdaniel7865 3 жыл бұрын
Shukran
@Broken_Beats__23
@Broken_Beats__23 3 жыл бұрын
Point ya tano hiyo ndio gumzo kaka J. Watu weng tumepotea kupitia hyo
@falconn5575
@falconn5575 3 жыл бұрын
Kabisa
@ufahamuzaidi2343
@ufahamuzaidi2343 3 жыл бұрын
Great
@hillarymustapha5252
@hillarymustapha5252 3 жыл бұрын
Nimekupata vilivyo Kaka
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 3 жыл бұрын
🙏❤️
@az888vietnam
@az888vietnam 3 жыл бұрын
Thanks bro
@happypatrick9466
@happypatrick9466 3 жыл бұрын
Kaka joel mimi huwa nafatilia sanq post zako lkn mm ninatatizo moja nikienda sehem yeyote ile ambayo sijawahi fika napata hofu sana had mikono inatetemeka yaani nashindwa kufanya chochote kabisa hata kushika pen mikono inatetemeka nakuomba nisaidie katika hili nataman kufanya kazi na wenzangu lkn nashindwa kutokana na hii hali
@greatideas6302
@greatideas6302 3 жыл бұрын
Una professional gani?
@lydiaedwin3998
@lydiaedwin3998 3 жыл бұрын
Kaka yote ni muhimu kwangu coz nimekuwa natabia ya kumwamini mtu mapema Sana na nakuja juta baadae
@happypatrick9466
@happypatrick9466 3 жыл бұрын
ICT but nimebase sana kwenye graphic desgner , database , and network
@greatideas6302
@greatideas6302 3 жыл бұрын
@@happypatrick9466 Nitafute 0620723265
@happypatrick9466
@happypatrick9466 3 жыл бұрын
@@greatideas6302 ok
EPUKA MAMBO HAYA - JOEL NANAUKA
9:19
Joel Nanauka
Рет қаралды 99 М.
EPUKA  HAYA KWENYE  ENEO LA KAZI - JOEL NANAUKA
10:44
Joel Nanauka
Рет қаралды 51 М.
Хотите поиграть в такую?😄
00:16
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 3,4 МЛН
- А что в креме? - Это кАкАооо! #КондитерДети
00:24
Телеканал ПЯТНИЦА
Рет қаралды 7 МЛН
路飞被小孩吓到了#海贼王#路飞
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 75 МЛН
Mambo ya kuzingatia kabla ya kuanzisha biashara | Mbinu za kulinda mtaji
12:21
Bimwe mubyo ugomba kwitaho niba ushaka KWIZIGAMIRA Amafaranga bitakugoye - RNIT ITERAMBERE FUND
15:58
RWANDA NATIONAL INVESTMENT TRUST Ltd - RNIT
Рет қаралды 945
6 Things I Wish I'd Learned At 20 | Robin Sharma
23:46
Robin Sharma
Рет қаралды 2,7 МЛН
Jinsi Ya Kupanga Bajeti Yako Ili Kuepuka Madeni Na Stress
5:41
Hamasika Tv
Рет қаралды 3,9 М.
Forty Rules of Love - Shams of Tabriz | Ellif Shafaq (Complete)
20:23
Shams of Tabrez
Рет қаралды 161 М.
Ufanye nini unapokutana na mtu muhimu?
6:16
Joel Nanauka
Рет қаралды 28 М.
ZINGATIA HAYA UNAPOKATALIWA - JOEL NANAUKA
6:16
Joel Nanauka
Рет қаралды 21 М.
One of the Greatest Speeches Ever | Steve Jobs
10:31
Motivation Ark
Рет қаралды 34 МЛН