No video

EXCLUSIVE: ALIYEONGOZA MATOKEO KIDATO CHA NNE AFUNGUKA MAZITO / SIRI/ 'MGEDHANI NIMEKUWA KICHAA'

  Рет қаралды 14,961

Dar24 Media

Dar24 Media

3 жыл бұрын

Dar24 Media imemtembelea nyumbani kwao mwanafunzi wa shule aliyeongoza katika matokeo ya kidato cha nne nchini Tanzania, Paul Luziga. Mwanafunzi huyo ameweka wazi siri ya maisha yaliyomfanya awe kinara katika matokeo hayo pamoja na ndoto zake. Mahojiano haya yatakupa picha halisi wanafunzi wanaofanya vizuri zaidi wanavyoandaliwa. TAFADHALI 'COMMENT' na 'SHARE'
#tanzaniaone2020#paulluziga#pandahillsecondary

Пікірлер: 26
@ambakisyemwanjemba5787
@ambakisyemwanjemba5787 3 жыл бұрын
Katika kitu ambacho nimekuwa nikijiuliza siku zote ni kwanini pandahill ilikuwa haitoi wanafunzi wanao fanya vizuri kitaifa au shule yenyewe kwanini haiingii hata top 10 kitaifa jamani Mimi nipo mbeya binafsi ukiniuliza ni shule gani Bora secondary kitaifa nitakuambia pandahill tu Sina nyingine ,mwanangu amesoma pandahill Ile shule no zaidi ya hatari kwani moja ya sifa ya hii shule ni kuchukua idadi kubwa ya wanafunzi na wote wanahitimu kwa ufauru wa juu Sana mfano mwaka aliohitimu kijana wangu form four walihitimu 185 Division 1 zilikuwa 135 two 45 Three 5 Sasa hata Kama hujui maana ya ufaulu utagundua kwamba shule hii wanafundisha sana.zipo shule zinazofanya maigizo ya kufaulisha wanafunzi ili wazazi wachanganyikiwe na ufauru wapeleke watoto lakini sio pandahill na kwa wale wasio jua pandahill na St Francis mbeya shule hizi zote ni shule zinazo milikiwa na kanisa katoliki Jimbo la mbeya St.Fransis ni wasichan pekee na ipo eneo la stereo mwanjelwa mbeya Wakati pandahill sec ipo Songwe kiwanda Cha cement karibu na uwanja wa ndege wa kimataifa wa Songwe .kwa mzazi mwenye Nia ya kumuandalia elimu Bora mwanae afike kwenye hizi shule ata enjoy Sana elimu inavyotolewa na shule hiz
@evelynkilawe5379
@evelynkilawe5379 Жыл бұрын
sana tena sana wana pandahill wenzangu tupo njema shule ni konki hii kusoma soma juu hakuna kuremba kule ata mtoto wang lazma asome hiyoo shule niliyosoma mama mtu
@jaffarhassan6613
@jaffarhassan6613 2 жыл бұрын
Hongera, nami naomba nije kuwa Kama wewe. Amin.
@abasilwimbo7252
@abasilwimbo7252 3 жыл бұрын
Hongera sana kwako
@happypetro6201
@happypetro6201 Жыл бұрын
Congratulation I wish to be Tanzania one like you congratulations to you brother may you be blessed a lot amin
@ramadhaniamiri105
@ramadhaniamiri105 3 жыл бұрын
Hongera sana paul...
@adeybilal3503
@adeybilal3503 3 жыл бұрын
Congratulation chief the journey is like going to start to A level so be strong
@happypetro6201
@happypetro6201 Жыл бұрын
I wish to be Tanzania one like you congratulations to you
@pendokisanga4527
@pendokisanga4527 3 жыл бұрын
hongeraaaa
@tztanzania2262
@tztanzania2262 3 жыл бұрын
Competance based!!!safi sana dogo umeongea vzur...na unajua malengo yako vzur
@benjaminmsheleja3094
@benjaminmsheleja3094 3 жыл бұрын
Nyehunge sec
@benjaminmsheleja3094
@benjaminmsheleja3094 3 жыл бұрын
Matokeo ya kidato, channel.Nyehunge 2020 2021
@severinebagenyi4745
@severinebagenyi4745 3 жыл бұрын
Mr Paul get my complements wherever you are@@@ and keep it up
@dayanakyando1544
@dayanakyando1544 3 жыл бұрын
Congratulations..👍
@user-hu6kc7yi3p
@user-hu6kc7yi3p 18 күн бұрын
Bro umenitia moyo NAMI mwaka huu lazima nifanye kama ww Amin
@cosmasdaud9088
@cosmasdaud9088 3 жыл бұрын
Safi
@petrochahe9571
@petrochahe9571 3 жыл бұрын
Tisha sana
@ryanpaul1948
@ryanpaul1948 3 жыл бұрын
Congrats bro, i wish we could speak!
@agnesskullaya2899
@agnesskullaya2899 2 жыл бұрын
keep it up Paul lunziga umetu inspire can kjn by kullayas snr
@ditramlupogo9227
@ditramlupogo9227 2 жыл бұрын
Hongera sana mungu akutangulie
@aliasaa995
@aliasaa995 3 жыл бұрын
Nice kaka
@albertsimplist323
@albertsimplist323 3 жыл бұрын
congratulation
@miltonmachage2462
@miltonmachage2462 3 жыл бұрын
Paul luziga plz tunaomba namba zako utusaidiee kimawazo na ss tufate nyao zako
@safiajamaa131
@safiajamaa131 2 жыл бұрын
Yeh na ss tujuze
@annaa.kijanjali7968
@annaa.kijanjali7968 3 жыл бұрын
Nice
@henrypaschal3948
@henrypaschal3948 3 жыл бұрын
Dogo katulia sana
ROLLING DOWN
00:20
Natan por Aí
Рет қаралды 9 МЛН
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 182 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 37 МЛН
👨‍🔧📐
00:43
Kan Andrey
Рет қаралды 10 МЛН
BABA YANGU KIPOFU Full episode /28/ #love
45:53
BabaJoan
Рет қаралды 216 М.
TANZANIA 1 FORM 4 2020 AFICHUA SIRI YA MAFANIKIO
26:11
INFORMATIVE TV
Рет қаралды 8 М.
MWANAFUNZI ALIYEJIZOLEA TUZO (5) ZA KITAIFA 🙌🥇
2:08
INFORMATIVE TV
Рет қаралды 7 М.
Nilikuwa Mwanafunzi Bora Kitaifa TO (Tanzania One) |Joel Nanauka
1:38
Focus Digito TV
Рет қаралды 1,9 М.
ROLLING DOWN
00:20
Natan por Aí
Рет қаралды 9 МЛН