No video

EXCLUSIVE: MAISHA YA ZITTO KABWE/ELIMU/NDOA/VITA ya SIASA/KUFUNGWA/KUMNG'OA WAZIRI/UGOMVI na MAKONDA

  Рет қаралды 39,546

SAN TZ MEDIA

SAN TZ MEDIA

Күн бұрын

#history #alhamdulillah #cloudsmedia #efm #exclusive #simulizinasauti #wasafimedia #dullysantz #millardayo #santzmedia #zittokabwe#ACTWAZALENDO
MASWALI YAKO YOTE TEYALI TUMESHAYAJIBU KWENYE MAKALA HII HAPA UTAFAHAMU MAMBO YOTE YANAYOMUHUSU ZITTO KABWE

Пікірлер: 57
@WALIDIWALIDI-cb7vz
@WALIDIWALIDI-cb7vz 10 күн бұрын
Hapo kwenye Ubunge alianzia Kigoma Vijini na CHADEMA na kisha ACT Kigoma Mjini
@badymedia9648
@badymedia9648 3 ай бұрын
Someni kiswahili kabla yabkutangaza kwenye hadhira
@maryamadam5622
@maryamadam5622 3 ай бұрын
Waandishi wa habari, mjitahidi kutumia Kiswahili safi. Standard Swahili na kutamka vizuri.. Na pia kutafuta kujiongeza ki elmu. Katika general knowldege ya duniya ki jumla.
@Santzmedia
@Santzmedia 3 ай бұрын
Uko sahihi @maryamadam5622
@PetrolBhulugu
@PetrolBhulugu 24 күн бұрын
Kumbe zito ana PhD dhuu
@Silay1034
@Silay1034 Ай бұрын
Huyu mwamba ni noma aliifungua kigoma na Tanzania kwa ujumla kwa hoja murua na data zilizokwenda shule
@Santzmedia
@Santzmedia Ай бұрын
👊
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 4 ай бұрын
In politics is the confidence lmotion
@Santzmedia
@Santzmedia 4 ай бұрын
🤝🤝
@Jaferudo
@Jaferudo 5 күн бұрын
Vp
@Silay1034
@Silay1034 Ай бұрын
Huyu anatakiwa awe hata waziri kama si kuwa rais kabisa mzalendo muwazi msomi mweny democrasia ya kweli mwamba kwelikwei huyu jamaa
@Santzmedia
@Santzmedia Ай бұрын
Sahihi 💪
@annasolomon9855
@annasolomon9855 6 күн бұрын
Mmh hafai hata kidogo
@user-pf2cf4hp6w
@user-pf2cf4hp6w 2 ай бұрын
Apo umekosea alianza ubunge kigoma kaskazini then akaja kigoma mjini apo umetupiga
@Santzmedia
@Santzmedia 2 ай бұрын
😥
@Silay1034
@Silay1034 Ай бұрын
Amesahau jamn
@nikkimbishiunju2402
@nikkimbishiunju2402 4 ай бұрын
Jifunze kutamka R na L sehemu sahihi,makara au MAKALA,amezariwa au amezaliwa?
@Santzmedia
@Santzmedia 4 ай бұрын
Ahsante kk Naahidi kubadirika makosa hayatojirudia tena🤝
@Mwami-r9s
@Mwami-r9s Ай бұрын
Zipo alianza kuwa mbuge kigoma kazikazin na sio kigoma mjini
@Santzmedia
@Santzmedia Ай бұрын
Shukrani kwa Maoni yako
@KhalidAlly-je8ky
@KhalidAlly-je8ky 2 ай бұрын
Halima bulembo mbona huja muweka
@mussaharun7257
@mussaharun7257 28 күн бұрын
Waislam huwasemi kwa dini Yao kenge kabisa
@r14kgroup68
@r14kgroup68 3 ай бұрын
Reo mmm leo acha.kuharibu lugha
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b Ай бұрын
Nyota yake imezima ni uchawa tu tulikua naimani na vyama vya upinzani hajafukuzwa ni uchawa
@user-pl1mp5sl4k
@user-pl1mp5sl4k 4 ай бұрын
Safi thanaaa
@Santzmedia
@Santzmedia 4 ай бұрын
Thenks 🤝
@elisantenyange8751
@elisantenyange8751 3 ай бұрын
Hakuanzia Kigoma mjini, alianzia Kigoma kaskazini
@Santzmedia
@Santzmedia 3 ай бұрын
Thenks ila ninakuomba uendelee kumfuatillia zaidi Zitto kabwe
@dr.lincolng7835
@dr.lincolng7835 3 ай бұрын
Uyu mtangazaji wa mchongo😂
@dijohbanks4312
@dijohbanks4312 3 ай бұрын
muwe mnafanya research za kutosha kabla ya kutangaza
@Santzmedia
@Santzmedia 3 ай бұрын
Nini kilichokosekana @dijohbanks4312 tukuweke Sawa kwenye hilo
@ChristineElias-bn4dw
@ChristineElias-bn4dw Ай бұрын
Pumbavu mwandishi kasome kwanza ovyoo
@Santzmedia
@Santzmedia Ай бұрын
Ok. Ahsante Kwa maoni yako
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 Ай бұрын
Waislamu hawabatizwi acha ujinga wewe😅😅😅
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 3 ай бұрын
Zitto kabwe huy jamaa anafaa awe Rais kabisa
@Santzmedia
@Santzmedia 3 ай бұрын
Rais wa Nchi gani??😀
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 3 ай бұрын
@@Santzmedia Tanzania
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 Ай бұрын
​@@aminatanzanya7475umemjibu vyema😅😅😅
@ibrahimally8073
@ibrahimally8073 4 ай бұрын
Eti alibatizwa?? mtangazaji waislamu huwa hatubatizwi..
@Santzmedia
@Santzmedia 4 ай бұрын
Ohh thanks mr@ibrahimally8073 Tumekusoma
@ibrahimally8073
@ibrahimally8073 4 ай бұрын
@@Santzmedia kheir
@SoudShuraim
@SoudShuraim Ай бұрын
Twende kazi matamshi ni lazima tutafautiane..ndo maumbile kwsbb ndimi zetu zimeumbwa kutafautiana..suratul room quran imeweka wazi juu ya hilo
@kichebacossam8524
@kichebacossam8524 4 ай бұрын
Zitto kabwe
@Santzmedia
@Santzmedia 4 ай бұрын
Mwanasiasa mashuhuri Sana Huyu🫡
@uwezomayonko5101
@uwezomayonko5101 4 ай бұрын
@GilbertjaphetKengwa
@GilbertjaphetKengwa Ай бұрын
Uwe unafanya research ya kutoshaa kabla ya makala Yako 2005 alikuwa mbunge wa kigoma kasikazin!! Shame to you
@Santzmedia
@Santzmedia Ай бұрын
Shukrani kwa Maoni yako mkuu
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 4 ай бұрын
Waislamu hawabatizwi😅😅😅
@Santzmedia
@Santzmedia 4 ай бұрын
😂😂😂😂 kubatizwa uliyomaanishwa Hapo ni "KUPEWA au KUSIMIKWA"
@eastafricaqualitychickenfa9916
@eastafricaqualitychickenfa9916 4 ай бұрын
Waisillam piya hawasinikwi mwandishi soma Nini maana ya neno
@LovelyBrain-wz7si
@LovelyBrain-wz7si Ай бұрын
PhD ipi mbona hujaielezea vizuri
@user-cp1pu4ev8h
@user-cp1pu4ev8h 3 ай бұрын
Mnafiki huyo angekuwa malaya
@Santzmedia
@Santzmedia 3 ай бұрын
😂😂😂 tumefika huko jamani!!?
@nikkimbishiunju2402
@nikkimbishiunju2402 4 ай бұрын
Program sio PLOGLAM
@Santzmedia
@Santzmedia 4 ай бұрын
Thenks my brother 🙏🙏
@rogerioathumani9084
@rogerioathumani9084 4 ай бұрын
Kileno😂ni zito
@Santzmedia
@Santzmedia 4 ай бұрын
Yess ilo jina ni lakireno ila Sisi tunalitamka kwakiswahili🤓
Othman Masoud Anatoa Tamko Leo Zanzibar
The Chanzo
Рет қаралды 31
Can This Bubble Save My Life? 😱
00:55
Topper Guild
Рет қаралды 67 МЛН
الذرة أنقذت حياتي🌽😱
00:27
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 11 МЛН