Пікірлер
@jeanmusamba8448
@jeanmusamba8448 18 сағат бұрын
mzee Moses Nauye ndiye alikuwa mwamba zaidi
@J.Anyauba
@J.Anyauba Күн бұрын
wabunge waige kwa mpina ili bunge lirejeshe nguvu yake kwenye serikali
@kwelimohamedtrueman1282
@kwelimohamedtrueman1282 Күн бұрын
Anamiliki sheli, sheli ndio Nini? Mbona hata kwenye kamusi yetu ya kiswahili hakuna?.. Usituharibie lugha, naona hata matumaizi ya R na L hayako sawa unatamka Rindi badala ya Lindi. Sahihisha makala yako kabla hujatoa jamii
@Santzmedia
@Santzmedia Күн бұрын
Shukrani 🤝
@mugyabusolwehabura
@mugyabusolwehabura Күн бұрын
Mbona mama yake hatajwi?
@gloryleonard1563
@gloryleonard1563 Күн бұрын
Mungu amlinde kwenye kazi yake anajitahidi sana
@user-ky1br7qq9e
@user-ky1br7qq9e Күн бұрын
Jembe hilo wewe
@ahmedbaga26
@ahmedbaga26 Күн бұрын
Amiin
@iddiyrashid1682
@iddiyrashid1682 Күн бұрын
Maoni yangu kuhusu hivyo visiwa ni Unguja na Pemba wala sio Zanzibar na Pemba
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu Күн бұрын
Simba wa vita kivipi???
@AlhajiSuleyman
@AlhajiSuleyman Күн бұрын
We noma
@gadielshedaffa3333
@gadielshedaffa3333 2 күн бұрын
Nchini london?? Au nimesikia vibaya?
@Wastara001
@Wastara001 2 күн бұрын
Very poor narrator. Don't take sides. Eleza history kama easter tv wanavyoeleza.
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 2 күн бұрын
Anazeeka Akiwa Anachapa Kazi Kama Ni Bata Atakula Mbele Za Mungu Mali Alizonazo Sio Bata Kwake
@nasrikhoja9664
@nasrikhoja9664 2 күн бұрын
Mtu na Nusu
@nasrikhoja9664
@nasrikhoja9664 2 күн бұрын
1970 ahhh Acha uongo
@EdiltrudesMbonde
@EdiltrudesMbonde 3 күн бұрын
Hiyo sio adui yako Mama,anakuambia ukweli. Usifuatishe waliyofanya wengine. Fanya kitu kuikomboa TANZANIA. Mikopo ni too much kwa hii Nchi. MUNGU tusaidie Sana 🙏🙏
@selestinislaa3960
@selestinislaa3960 3 күн бұрын
Wasira ni mtu wa haki na Bado kamati kuu ya CCM endapo itamteua kuwa mm ,mwenyewekiti CCM Taifa CCM itakuwa imempata mtu imara haswa kwa mda huu asanteni sana ❤
@Santzmedia
@Santzmedia 3 күн бұрын
🇹🇿
@petermasanilo732
@petermasanilo732 3 күн бұрын
Wewe mtangazaji unadanganya sengerema Iko geita?
@Santzmedia
@Santzmedia 3 күн бұрын
😢😢
@RanickKivamba
@RanickKivamba 3 күн бұрын
Hongera sana mheshimiwa lukuvi jembe hilo
@Santzmedia
@Santzmedia 3 күн бұрын
🤝 karibu sana
@RanickKivamba
@RanickKivamba 3 күн бұрын
Ranick kivamba nipo mbagala dar salam
@Santzmedia
@Santzmedia 3 күн бұрын
Karibu Sana Katika familia yetu ya simulizi @RanickKivamba
@user-yi8pe8zz1t
@user-yi8pe8zz1t 4 күн бұрын
Similiar Na tundu lisu
@pauloipanga7881
@pauloipanga7881 4 күн бұрын
Huyu ni aina ya viongozi kama sokoine na nyerere mungu ampe maisha marefu huyu mwamba
@RevocatusSebastian-c8o
@RevocatusSebastian-c8o 4 күн бұрын
Kazi kuwawekea wanzao sumu kwenye maik ili watawale wao na ufisadi
@user-tg7vq3ty8p
@user-tg7vq3ty8p 4 күн бұрын
Mfalme wa Simulizi ilitakiwa uwaunganishe Kikwete na Lipumba ambao ni watani mkwere na mnyamwezi ukionyesha mahusiano yao kama wanasiasa. Ingenoga zaidi.
@Santzmedia
@Santzmedia 4 күн бұрын
Shukrani sana,Tutafanyia kazi Maoni yako🤝
@KAY254
@KAY254 4 күн бұрын
Picha ya Kenyatta na Mwanawe Uhuru inani kwenye historia ya Waziri Nape?
@FredymaswiMwita-oj6gv
@FredymaswiMwita-oj6gv 5 күн бұрын
sativa duh unajiteka na kujipiga risasi mwenyewe? duh ama kweli
@AlphaLehao
@AlphaLehao 5 күн бұрын
Anaweza aka gombea uraisi
@georgelupembe8672
@georgelupembe8672 5 күн бұрын
Mhhhh ! .... kweli 1+2=12
@Jaferudo
@Jaferudo 5 күн бұрын
Vp
@theophilusmtowe3849
@theophilusmtowe3849 5 күн бұрын
Mwongo mkubwa wewe!
@Santzmedia
@Santzmedia 5 күн бұрын
Uwongo wangu nini sasa Hapo!!!
@mussamsilangamunubimussa2009
@mussamsilangamunubimussa2009 5 күн бұрын
Lukuvi ajapata elimu hiyo ila wanapachikwa
@Santzmedia
@Santzmedia 5 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣
@Jal210
@Jal210 5 күн бұрын
Mwinyi oyeeeee
@johnmwicha850
@johnmwicha850 6 күн бұрын
Kwa wale tunaomfahamu Mzee Wasira kwa kweli amefanya mambo mengi na makubwa ktk nchi hii. Mimi binafsi nimemfahamu Mzee huyu bado nikiwa shule ya msingi yeye akiwa naibu Waziri wa Kilimo. Ni mchapa kazi mwenye busara na Hekima. Ndiyo maana ni mtu pekee ambaye amehudumu ktk serikali nne kama Waziri yaani kuanzia ya Nyerere, Hassan Mwinyi, Benjamin Mkapa na kumalizia kwa Kikwete. Lazima tukabali kuwa mzee huyu ni TUNU ya Taifa bado yungali na nguvu na akili timamu tuendelee kumtumia kuchota hekima na busara zake kuliongoza taifa letu. Hongera mzee Wasira kwa yote uliyomfanyia Mama yetu Tanganyika na baadaye Tanzania.
@user-fw8ut5se1k
@user-fw8ut5se1k 6 күн бұрын
BILA MSISITIZO WA MAOMBI MAZITO YA DIRECT KWA MUNGU TENA KWA WATU MAALUM TENA KWA KUDUMU , SIO RAHISI KUTIMIZA MALENGO SHIDA MAADUWI WA ZANZIBAR NI WENGI HAWANA KIPIMO
@msoveicgaspernoic2986
@msoveicgaspernoic2986 6 күн бұрын
Aloooh amepitia mengi mzee
@adilhabib8988
@adilhabib8988 6 күн бұрын
Ni Masoud Othman masoud sio osman ni othman
@user-dy5fn6qj1q
@user-dy5fn6qj1q 6 күн бұрын
Acheni uhuni kutuma picha za mzee amelala. Aliyoyanyia. hili taifa aheshimiwe .rudini kwenye vtaabu vya dini aliona utupu wa baba yake akiwa amelewa akamcheka alilaniwa yule. Mwingine. Alichukua. Nguo na kwenda kinyumenyume na kufunika utupu wa baba yake alibarikiwa
@user-yw3qh6qj8g
@user-yw3qh6qj8g 6 күн бұрын
Amefanana kwa%97na 😢😮😅😅😅😅😅😅😅😅🎉😢
@alfeshhassan4181
@alfeshhassan4181 6 күн бұрын
Fidel kasro sio Fidel kikasto
@FidelisRaphael-b5k
@FidelisRaphael-b5k 6 күн бұрын
Mzee wetu nimchapakazi sana
@rahmazahor4333
@rahmazahor4333 7 күн бұрын
Kwani kafa?
@ChiefHeke
@ChiefHeke 7 күн бұрын
Nchi hii ukiwa mzalendo tu umekwisha
@emmanuelelisha173
@emmanuelelisha173 7 күн бұрын
Kwanini hujasema kama aliwahi kuihama ccm?Na alipogombea ubunge jimbo la Bunda alishinda uvhaguzi kupitia ticket ya Nccr mageuzi akimshinda Warioba.Kama kawaida alipokonywa na kesi ikaenda mahakamani baada ya hapo uliitishwa uchsguzi mwingine na alichaguliwa Mbunge Canal Msataafu Thomas Laban Makunenge.Wakati huu mtu aliyegombea upinzani alikuwa Makongoro Nyerere.
@TadeySamwwli
@TadeySamwwli 7 күн бұрын
Kaka tumekumis
@SAHILSHAABAN
@SAHILSHAABAN 7 күн бұрын
Mtalamu wakulala bungeni😂😂😂