No video

#EXCLUSIVE

  Рет қаралды 44,551

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 113
@ummylahlove3418
@ummylahlove3418 2 жыл бұрын
That's why ukion mdada kaachan n mume wake don't ever judge her
@dadimagoma5779
@dadimagoma5779 2 жыл бұрын
H Baba umetisha mwanamke anapika Kuku kila siku mwaka mzima unakula na wala uulizi vimetoka wapi hii ni kali
@elenlazaro3192
@elenlazaro3192 2 жыл бұрын
Eb muachen atue zigo la moyon naon wanaume mnapondea sana.. Mbadilike tu jamani
@maxlattinokiki8105
@maxlattinokiki8105 2 жыл бұрын
Sio sehemu sahihi ya kuzungumzia maisha yenu wakati mlikuwa wana ndowa huyo mwenzako ana kuchota tu be careful watch your mouth 👄
@mariammachumu05mu26
@mariammachumu05mu26 2 жыл бұрын
Nikweri
@theluckfamily4711
@theluckfamily4711 2 жыл бұрын
Wacha aseme moyo uwe huru kaka Kuna vitu vinaumiza Sana kaka Ni vile inategemea na vile umepitia
@sheilaporomoka8079
@sheilaporomoka8079 2 жыл бұрын
Depression ni mbaya, muache mtu aongee
@binaljabirmshihirzanzibar8369
@binaljabirmshihirzanzibar8369 2 жыл бұрын
Yeah nkwel kabsa maneno yako sahihi 😂😂😂😂
@glorynguma3593
@glorynguma3593 2 жыл бұрын
Ñi maisha yake yy na yy ndo kamua kuongea ameakaa kimya Kwa mda mrefu alikuwa na uwezo kukaa kmya ila hujui kwan nn kamua kuongea sahiv hata mm mwamume amidharau hajal familia heshima haimstahil kabsa
@queenbibisha1961
@queenbibisha1961 2 жыл бұрын
Leo diva kawa na rangi yake personal 😂😂😂😂
@mariammariam1812
@mariammariam1812 2 жыл бұрын
Kawa mumbay
@gressjoseph5615
@gressjoseph5615 2 жыл бұрын
Haaaaaaaaaa kumbe hile haikuwa yake mbon anasem ni rang yake
@maryandason1815
@maryandason1815 2 жыл бұрын
Crem Mamaaaaa.inafnya Kaz
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j 2 жыл бұрын
🤣🤣😂😂
@OLDSCHOOL-if7mi
@OLDSCHOOL-if7mi 2 жыл бұрын
Ww dada unahekima sanaaa mungu atakulipa
@zeyanaalgheithy6561
@zeyanaalgheithy6561 2 жыл бұрын
Nampenda huyu dada
@hassanmussa3664
@hassanmussa3664 2 жыл бұрын
Hata ukiongea kwa kiswahili mbona interview km iko poa itapendwa na like zitajaa
@ruqayaruqaya4283
@ruqayaruqaya4283 2 жыл бұрын
Kabisa
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 2 жыл бұрын
Pole boo,ndo maisha..hayana formula
@pichunakichuna2111
@pichunakichuna2111 2 жыл бұрын
2002 Irene alikuwa anala na wanaume huku anaseme ako 32 years au alikuwa akisate akiwa na 11 years anyways poor poor 😅😅😅😀😀😀😃
@kellyngogo3319
@kellyngogo3319 2 жыл бұрын
Mwacheni aseme. H baba ameshamsema sana wacha naye amjibu
@benardkasonde7128
@benardkasonde7128 2 жыл бұрын
Mnawakurupukia wasanini sana h baba tunamjua sana toka akiwa mdogo
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 2 жыл бұрын
Kweli aibu haya Sasa Team fulani mchukueni hapo Asante Hamo kwakumpenda zuuu
@mustafaosman1838
@mustafaosman1838 2 жыл бұрын
Uwo ndio udhaifu wawanawake yani wamuongelea vibaya mzaz mwenzako kwann ukuyaacha kwenye family nakupenda ila kwahili noooooo
@newahomwashiuya8858
@newahomwashiuya8858 2 жыл бұрын
Hana Cha kummiss Irene,kaona ana pesa anajiendekeza Sasa maana Hana aibu
@binaljabirmshihirzanzibar8369
@binaljabirmshihirzanzibar8369 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 upo sahihi maneno yako
@franklinassey6600
@franklinassey6600 2 жыл бұрын
Kiingereza naona unajipa tabu tu mbona si usiongee kiswahili tu
@issazalala4907
@issazalala4907 2 жыл бұрын
Daah aibu kweri Yani eti hata akikuta kuku haulizi yeye anakula tuuu aisee kweri mki achana mnakia maadui mambo kama hayo usiwe mna ya ongea kwenye midia jamani
@lotilazaro8845
@lotilazaro8845 2 жыл бұрын
Flora mvungi umetoa ya moyoni, sio mbaya bcz you just let out ur chest
@mereyamhomesmariamhomes3464
@mereyamhomesmariamhomes3464 2 жыл бұрын
Diva mama kija
@gracemvungi2183
@gracemvungi2183 2 жыл бұрын
Oh dear don't... just be calm
@tidesmwakinyuke8633
@tidesmwakinyuke8633 2 жыл бұрын
Dada Mvungi ndoa ni kufichiana mashaifu ma je,unapoongea hayo baada ya kuachana na yko na mwingone hebu fikiria Huyo ulienae anajisikiaje/anakichukuliaje. Please kinywa chako kiwe na uchache.
@ivynzuki6708
@ivynzuki6708 2 жыл бұрын
2002 woiya was dating h baba kumbe huyo dada kakula chuvi hivo alafu anasema she is 30 years old 😂😂😂vitu Kwa ground.
@estertiffathomas5651
@estertiffathomas5651 2 жыл бұрын
Frola frola nakuita mdgo wng c vyema kuanika madhaif ya mwenza wako kumbuk na ww unayo madhaifu mengi mstiri mwenzio na ww ustiliwe na Allah
@Dantaata
@Dantaata 2 жыл бұрын
tumekumic mama😘😘
@iranangole7007
@iranangole7007 2 жыл бұрын
Wanawake wengne Kama awa wasenge Sana mwanaume ushaanzanae watoto wawil kwann umzungumzie vby na apa sio sehem yke suala la kipato Ni majaliwa ya mung
@swaumumustapha4926
@swaumumustapha4926 2 жыл бұрын
Nakumbuka ulimchamba uwoya 😂 kumbe mlikuwa unavumilia, dume lenyewe gume gume,,,kwa sasa linaboa limekuwa bonge la chawa mtandaoni 😂😂😂😂
@elizabethherman3284
@elizabethherman3284 2 жыл бұрын
Nimecheka eti bonge la chawa
@hadijamsati8813
@hadijamsati8813 2 жыл бұрын
Siwez sema na sijawah sema madhaifu ya x wangu hata iweje pita Kule nipite huku ikitokea tumeonana nakupa hi maisha yanaendelea. Demu hajitambui mfyuuuu
@luckyvenance4576
@luckyvenance4576 2 жыл бұрын
Wanaume wote Ndo walivyo kwa sasa hata akute umenunua gar hakuulizi haki 😂
@elizabethherman3284
@elizabethherman3284 2 жыл бұрын
Sio wote jmn
@baloziubalozini5074
@baloziubalozini5074 2 жыл бұрын
The enemy of my enemy is my Friend Hii Scene inayotengenezwa hp ni kutokana na issues za H baba kumchafua Diamond kipindi ypo Konde Gang hlf later on,akawa anatafuta Njia ya kuingia Wasafi kwa kuanza kuwachafua tena Konde Gang..you can tell, wasafi wanatumia fursa hii kumchafua pia H Baba ili kuubadili Upepo wa H baba,apate "A sense of false Hope" juu ya yy kutaka kuhurumiwa aingie wasafi.
@salmasururu9181
@salmasururu9181 2 жыл бұрын
Hongera unaakili sanaaa na mm nimeliona hilooo mapemaaa
@gracemvungi2183
@gracemvungi2183 2 жыл бұрын
Ohooo
@edwardmkombola2653
@edwardmkombola2653 2 жыл бұрын
DUUU NDOA IHESHIMIWEEEE
@asmhatanzania8697
@asmhatanzania8697 2 жыл бұрын
Sasa ww flora km h baba alikua hana pesa uliwezake kuzaa watoto 2 na h baba, ila wanawake tutafika mbinguni tunatambaa🏃
@happinesscharles1947
@happinesscharles1947 2 жыл бұрын
Inashangaza sana
@barakakusa7606
@barakakusa7606 2 жыл бұрын
Udharirishwaji huu ni kutokana na Mdomo wake H umemponza
@azizamvungi6409
@azizamvungi6409 2 жыл бұрын
Duh!!!ndugu yanngu upo???
@maryamsaid3297
@maryamsaid3297 2 жыл бұрын
Nyule namuonekano wa klish ni h baba nasio ndikumana
@Rashidmhedhery
@Rashidmhedhery 2 жыл бұрын
Via mewani ya jua ndani ya studio
@rehemaothman2200
@rehemaothman2200 2 жыл бұрын
Hahaaaa mdomo wote kumbe apenda bwerereeee
@ramlaomar7923
@ramlaomar7923 2 жыл бұрын
🤣😂
@eppiemodest
@eppiemodest 2 жыл бұрын
Diva acha wewe mbona hata wewe una maisha kama haya.
@angelkasese2121
@angelkasese2121 Жыл бұрын
Huyu dada ni mnafiki
@mariammariam1812
@mariammariam1812 2 жыл бұрын
Diva kawa mmbay
@eunicesephania2141
@eunicesephania2141 2 жыл бұрын
sauti ipo chini
@najuf8021
@najuf8021 2 жыл бұрын
Ukiona mwanamke kashindwa kwa mwanaume jua kabisa Kuna tatizo
@Rashidmhedhery
@Rashidmhedhery 2 жыл бұрын
Mtangazaji acha ushamba! Sun glasses studio? Aibu
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 2 жыл бұрын
Duuh atari🙆‍♂️
@neemaruben5427
@neemaruben5427 2 жыл бұрын
Hahahaha hayo mawigi yenu mm🤣🤣🤣🤣🤣but nawapenda
@salhamrisho8138
@salhamrisho8138 2 жыл бұрын
Nyie miye nauliza2 kwani iyo sherehe kubwa ya diva imeshapita ama ndiyo basi tenaaaa🤭😇😊
@olivervalentino9788
@olivervalentino9788 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 2 жыл бұрын
Imeishaaa iyo chezea mganga weee Na divaa kawa mama kijacho
@salhamrisho8138
@salhamrisho8138 2 жыл бұрын
Khaaa hatari na nusu
@salhamrisho8138
@salhamrisho8138 2 жыл бұрын
@@azzamahamdu7039 ahaaa mganga ameshafanya yake duuuh mapema saaana
@boyochu1308
@boyochu1308 2 жыл бұрын
Kwani tarehe 25 imepita?
@lenniefei6710
@lenniefei6710 2 жыл бұрын
MWIBA WA KUJIDUNGA.....KALALE NACHO !!!!
@eppiemodest
@eppiemodest 2 жыл бұрын
Flora acha kumwaga mchele hadharani. H. Baba kama hakuwa na pesa ni sahihi dada yako kukusaidia. Diva anakunanga tu. Yeye zaidi bora wewe una watoto.
@shazy889
@shazy889 2 жыл бұрын
Huyo ni Ngosha bhana... Sio lazma aulize, hahahahha
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 жыл бұрын
Dah usingetakiwa kuongea mambo yako mtandaoni
@nancyjohnson6620
@nancyjohnson6620 2 жыл бұрын
Mganga kashakufanya uwe mweusi
@thetrends472
@thetrends472 2 жыл бұрын
diva leo kawa kama chips dume
@magrethmbangama1199
@magrethmbangama1199 2 жыл бұрын
😂😂😂jmn nimechekaaaa haaa watu mna maneno
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@mariamibrahim6738
@mariamibrahim6738 2 жыл бұрын
Ndoo ni uvumilivu flora labda alikuw hana mnapo a hana msitoleane mazaifu
@fatmaalhabs6939
@fatmaalhabs6939 2 жыл бұрын
Linaume mdoma Kama Choo kumbe mwana mme suruali
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 2 жыл бұрын
Hata kitunguuuu hatoi mmeyaskia hayo ya kaka yenu hayo heeeee
@EngJosh
@EngJosh 2 жыл бұрын
Wee dada huna akili Mambo ya ndoa yako yanatuhusu nn
@Chimbo_la_paziakali
@Chimbo_la_paziakali 2 жыл бұрын
Diva na rangi yake ya mchongo 😂
@zawadimussa2514
@zawadimussa2514 2 жыл бұрын
Aaaaah umeona na mi nakaza macho kuangalia vzr naona chenga
@saudamakole601
@saudamakole601 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 mke wa shekh ana mdomo wa kiume
@munaahmed8499
@munaahmed8499 2 жыл бұрын
Kipindi mpo wote hujawahi ongea hivi na leo mumeachana unaongea ya mwenzio hivyo haipendezi kwa mm binafsi maan hapo anakusoma tu mzazi mwenzio ila sio vzr dada unakosea ninavyoona mm
@pikanaauntzuu1466
@pikanaauntzuu1466 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣diva mshenzi sana km ukiwa hujielewi bac anakuchota mpaka unaongea ya ndani
@maryamsaid3297
@maryamsaid3297 2 жыл бұрын
Namtoto wauoya nimtoto wa h baba
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 2 жыл бұрын
Haya Sasa msikiege Tania za kaka yenu hizo😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
@dottohamisi9844
@dottohamisi9844 2 жыл бұрын
Mlivo kua ndani ya ndoa mlikua hamyasemi mkiachana tu mnaanza kukandiana
@salha.d5060
@salha.d5060 2 жыл бұрын
Kama mna watoto na mshaachana hayo yote Yana faida Gani?! Tena watatu kama mlishaachana tujifunze kua kimya Kwa manufaa ya watoto wetu
@rastafare878
@rastafare878 2 жыл бұрын
Wasanii wa bongo munatisha Kwa kujichubua
@dottohamisi9844
@dottohamisi9844 2 жыл бұрын
Ww diva asivi husemi mapungufu ya mumeo mkiachana tu utaanga kusema alikua ahudumii
@agnesmwakyusa5767
@agnesmwakyusa5767 2 жыл бұрын
Duh Frola mpole dah
@drmussa1220
@drmussa1220 2 жыл бұрын
MAJAABU YA SIKU YA JUMANNE *# m.kzfaq.info/get/bejne/jp5zZ8x4t9DPhY0.html
@jescajulius8023
@jescajulius8023 2 жыл бұрын
Hata km mmeachana usiyaseme
@jacksongidion5170
@jacksongidion5170 2 жыл бұрын
7
@seifsungura6936
@seifsungura6936 2 жыл бұрын
Duh ..wewe siyo mke....
@hamiswambura2653
@hamiswambura2653 2 жыл бұрын
Hyo hata mm sibebi kabisa vitunguu wala nyanya
@tajilimtoto5009
@tajilimtoto5009 2 жыл бұрын
Sasa wewe kula kuku tu Mimi nimejenga ajui nimetowa wapi pesa
@ednambata9503
@ednambata9503 2 жыл бұрын
Ww mwanamke acha ujinga yule ni mzaz mwezio yawezekana na ww uko na mapungufu
@fahamnitwahir9249
@fahamnitwahir9249 2 жыл бұрын
Dah diva sio pisi kali
@pichunakichuna2111
@pichunakichuna2111 2 жыл бұрын
Sasa unamzugumzia baba ya mtoto wako upuuzi
@noviateffe551
@noviateffe551 2 жыл бұрын
T
@philiposamwel7024
@philiposamwel7024 2 жыл бұрын
Wanawake wa kileo mlio wengi ni zilo unayawekaje Mambo ya ndani hazalani ivi umefundwa kweli ww mbona Kama huna haibu hata kidogo
@rahmazahor4333
@rahmazahor4333 2 жыл бұрын
Kunywa soda Dada konde boy atalipa.....
@hafsamichael7445
@hafsamichael7445 2 жыл бұрын
Hamna cha ujinga wala nn hawa wanaume wenyew wanatabia za kusema wake zao
@veronicalufingo3513
@veronicalufingo3513 2 жыл бұрын
Nishawahi kuwa na mwanaume wa hyo ptuuuuu
@drmussa1220
@drmussa1220 2 жыл бұрын
MAJAABU YA SIKU YA JUMANNE *# m.kzfaq.info/get/bejne/jp5zZ8x4t9DPhY0.html
Son ❤️ #shorts by Leisi Show
00:41
Leisi Show
Рет қаралды 10 МЛН
SNURA: NIMEACHA USANII,FUTENI NYIMBO ZANGU NIKI.FA MSINIPOST
6:50
MASI MEDIA
Рет қаралды 4,6 М.
MAISHA YA NJE TUKIWA SAFARI ZA BIASHARA/TUCHEKE KIDOGO
9:42
Tiffany Store
Рет қаралды 17 М.