FAHAMU TAREHE HATARI ZA KUZALIWA NA TABIA ZAKE,SHEIKH MWAIPOPO AFICHUA..

  Рет қаралды 65,016

SHEIKH MWAIPOPO TV

SHEIKH MWAIPOPO TV

2 жыл бұрын

#SHEIKHMWAIPOPO #MUHUBIRIMWAIPOPO #SHEIKHMWAIPOPOTV
Tafadhali Usiache KuSubscribe katika Channel hii ya KZfaq ya SHEIKH MWAIPOPO TV..Like pamoja na kushare kwa wengine hili wapatwe na Kheri kutoka kwa Sheikh wetu Mhadhiri Said Mwaipopo.
MAWASILIANO ZAIDI TUPIGIE:+255 756 361 906
..................من فضلك لا تتوقف عن الاشتراك في قناة الشيخ موايبوبو التلفزيونية على يوتيوب..مثل مع المشاركةللآخرين ليتم استدعاؤهم من قبل خيري من الشيخ المحاضر سعيد موايبوبو.

Пікірлер: 141
@ALHAJIOMARI-e3b
@ALHAJIOMARI-e3b Ай бұрын
Allah akubariki, akuongoze na akutengenezee mambo yako inshaa Allah.
@bigmanfish6346
@bigmanfish6346 3 ай бұрын
Sheikh mwaipopo twakuhitaji kutoka siku arubaini khuruj fysabilillah tafadhali
@jumamaulid9462
@jumamaulid9462 Жыл бұрын
Assalaam alaykum warahmatul wabarakaatuhu Sheikh Mwaipopo unafanya kazi kubwa sana ya dini nami ni ktk wanaokukubali LKN ktk hili umekosea sana na HUNA elimi nalo. Hayo ya kusema hvyo ni sawa kabisa na ramli au kujifanya unajua elimu ya ghaibu ambayo mjuzi wa hayo ni Allaah tu. Rejea ktk msingi wa kutosema hadi upate dalili ya Qur'an au Hadith. Nimekunasihi kwa upendo wa Allaah.
@rozina2161
@rozina2161 2 жыл бұрын
Hiyo tarehe 23 nikweli mm nna hasira sana mwanangu tarehe 30 Alhamdullilah in shaa Allah iwe kheri na kweli
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 жыл бұрын
Inalillahi wainailahi rajuun Hu ni. Msiba mzito. ALLAH ATUSAMEE TULIO SIKILIZA LAMLIHI
@sabrinanobert
@sabrinanobert Жыл бұрын
Alhamdulillah terehe 22 ya Allah nakupenda Sana ...Yarabbi usigeuze moyo wangu kwende kwengine..
@rothpawol9363
@rothpawol9363 Жыл бұрын
Exactly yaani mm napeda sana mambo ya mungu sana pia kuobea mtu napeda sana
@mwanashahassan668
@mwanashahassan668 Жыл бұрын
SubhanaAllah🤭🤭Allah atuswamehe maan akuna anaejua zaidi isipokua Allah pekee yake subhanaAllah kwa helimu hii 😢😢Allah atuongote
@alimatambwe3402
@alimatambwe3402 2 жыл бұрын
Nina watoto 3 Wamezaliwa tarehe 18 ila myezi mbalimbali ila siyo wezi hawana iyo Tania Alkhamndulillah namshukur Mungu🙏🙏nina mwingine mwanamke amezaliwa tarehe 23 kweli anakasirikaga mbiyo ila hakawiyi kurejeya kuwa kawaida,mimi nimezaliwa 24 Alkhamndulillah ndivyo nilivyo,na mwanangu wa mwisho amezaliwa tarehe 30 Alkhamndulillah nakubali yupo makini sana Alkhamndulillah 🙏InshaAllah Sheikh takutafuta soon.
@jamalsamma3457
@jamalsamma3457 7 ай бұрын
Barakallahu fih
@TALLUBOY
@TALLUBOY 2 жыл бұрын
Amen amen amen
@hansmswagara2789
@hansmswagara2789 2 жыл бұрын
Insha Allah
@stephenchima6800
@stephenchima6800 Жыл бұрын
Wahooooo hongera zetu wa 24
@michaeldeo9621
@michaeldeo9621 2 жыл бұрын
Tarehe 18 ni kweli Mimi ni mwizi hatari namuibia mpaka mke wangu
@mudybeka6698
@mudybeka6698 2 жыл бұрын
M mwaipopo sasa unamchokonoa mungu...ayo mambo yanyota nishiriki ya waz kabisa.....kama anamkumbuka sheikh yahaya alikua mshirikina mzuri tu akapotosha watu sana na moja ya shiriki alikua namambo hayohayo yanyota....ebu toa aya au hadithi iliyotaja nyota kwa mwanadam au kiumbe chochote.....nyota nikiumbe kama viumbe vyengine....Acha haraka utaaungukia pabaya
@jabirkasunzu6841
@jabirkasunzu6841 3 ай бұрын
Na kwa tarehe gani, ya kiislamu au kizungu, hapa sheikh atakuwa ameteleza kama binadamu isipokuwa akitoa dalii (aya au sunna).
@WhosnerSemboko
@WhosnerSemboko 2 жыл бұрын
Duh Yaan ww Mungu anakuona
@ndaturumagile8164
@ndaturumagile8164 2 жыл бұрын
28 BIG YES
@hamadiimuyuzeree5512
@hamadiimuyuzeree5512 Жыл бұрын
Subuhana Allah we hawuna haya watu wakupigie simu kwa kutatua mashida zao we umesomeya dini wapi. Eti sheikh. We ingia ndani Coran utazikuta azikari mbari mbari zakutumia kutokana na shida zenyewe.
@alawisalim9139
@alawisalim9139 2 жыл бұрын
Masha Allah ❤
@rqiyaabdallah840
@rqiyaabdallah840 2 жыл бұрын
Mimi Wanangu mmoja tareh 12 Mwengine 22 Mwengine 30
@billykissnyanza199
@billykissnyanza199 2 жыл бұрын
Ni kweli
@zenassylvester125
@zenassylvester125 Жыл бұрын
Nimezaliwa tarehe kumi na tano na sio mtu wa ajali kama usemavyo Na mwanangu amezaliwa tarehe 20 na sio muongo hata kidogo tena ni mpenda haki sana
@eunicepeter5283
@eunicepeter5283 Жыл бұрын
Lies Lies 16 blessed ones,19very strong dependable n loyal people
@jucundanjau4064
@jucundanjau4064 Жыл бұрын
Good
@billykissnyanza199
@billykissnyanza199 2 жыл бұрын
Tarehe 10 ni kweli
@islander3191
@islander3191 2 жыл бұрын
Sheikh mwaipopo vipi pesa unaitafuta kwa kwa njia ya kuangalia nyota hebu soma dini vizuri uelewe mbona unataka kupotosha watu hiyo ni moja ya shirk nani kasema na kitabu gani cha kiislamu ahli sunna wal jamaa kinasema hivo mbona unaruka mipaka sasa usingee kuhusu dr sule wakati na wewe ni kama yeye, hizo tarehe mambo ya sheitani hayo Allah anampa misukosuko na utajiri na afya anaemtaka sio sababu ya tarehe yake. Huu ndio mwisho wenu wa ujuzi mmeishiwa sasa mnaingia ktk shirk, kwanza nambie umesema wapi uislamu mpaka sasa uwe muhadhiri dai maalim wa kufundisha watu, wacha hiyo ni shirk.
@ghanimaalabri5783
@ghanimaalabri5783 2 жыл бұрын
Salam alaykum shekhe mbona tarehw 17 hujasema
@hassanmkwepu6911
@hassanmkwepu6911 2 жыл бұрын
Wewe muongo sana kaa kitako usome dini huna ulijualo katika dini ya uislamu
@castormaganga1325
@castormaganga1325 Жыл бұрын
Namba 17 hujaisemea
@raqmaanu466
@raqmaanu466 2 жыл бұрын
Hayo maneno ukizaliwa tarehe tarehe Wewe mche allah Una dalili katika kitabu Quran au Hayo kafundisha mtume rehma na amani ziwe juu yake
@selemanimakau9026
@selemanimakau9026 Жыл бұрын
Kwani mwaipopo unafeli wapi wewe ni shekhe mkubwa na miaka mingi ulitoka kwenye shiriki ukaingia dini ya allah,na wengi uliwatoa huko sasa vpi tena angalia miaka yote ya daawa ulofanya ukaangukia pua,ukumbushotu
@jemimahchiro4013
@jemimahchiro4013 Жыл бұрын
28 hoyee big up
@jabirkasunzu6841
@jabirkasunzu6841 3 ай бұрын
Sheikh, kwa tarehe ya kiislamu au ya kizungu?❤❤❤
@paulinacherement2534
@paulinacherement2534 2 жыл бұрын
Mashallah ALLAH barik
@user-ed2vz5tv8g
@user-ed2vz5tv8g 5 ай бұрын
Kweli mi wanawake wote hunipenda tareheyangu ni27
@BolasieNgongo-rh9wm
@BolasieNgongo-rh9wm 6 ай бұрын
Asateee
@mishikilibaijara5768
@mishikilibaijara5768 Жыл бұрын
👍
@zainabmaulid9637
@zainabmaulid9637 Жыл бұрын
Mm jebby nimezaliwa tarehe 10 inabidi nisafir nkatafute maisha nende makka%
@hollocolletha6519
@hollocolletha6519 2 жыл бұрын
Mimi nimezaliwa tarehe 4 lakini huwa siugui ugui kma unavyosema hata kulazwa bd toka nizaliwe sasa sijui inakaaje hapo na Nina miaka 45 Sasa
@saidalsalmi9313
@saidalsalmi9313 2 жыл бұрын
Sheikh tarehe za kuzaliwa nazipingana na mwezi yaani nyota, Mnaweza kuzaliwa tarehe moja lakini mwezi tofouti, hapo mwezi unatawala yaani nyota.
@rahmaomaryomary2822
@rahmaomaryomary2822 Жыл бұрын
Mhhhh iyo tar 25 umenisingizia tena sna hahah
@kulthumbashiru864
@kulthumbashiru864 2 жыл бұрын
Shekhe mimi 18 cjawahi kua mdokozi wala cjawahi kutamani kitu cha mtu au kadi yangu imedanganya jamani
@upcominglecturer5874
@upcominglecturer5874 Жыл бұрын
Daah tarehe 12 ni kweli babu yangu alifariki akiwa na miaka 97
@duniawadunia4824
@duniawadunia4824 2 жыл бұрын
Sheikh wangu mpendwa mimi ni wa tarehe 11 /11 1995 Masha"Allah
@jenniferkalinga736
@jenniferkalinga736 2 жыл бұрын
Mdogo wang tumepishana miezi.11/5 mwaka huo huo
@nianaalphonce2309
@nianaalphonce2309 Жыл бұрын
Mwanangu mwezi huo tarehe hiyo kazaliwa
@brunomhume740
@brunomhume740 2 жыл бұрын
Nimekukubali mwaipopo
@Ilunga3053
@Ilunga3053 2 жыл бұрын
Kiukweli kabisa, mimi ni mezaliwa tarehe 13 na yote ninayoyapitiya ndotoni uwaga utimiya
@mariamuomary8373
@mariamuomary8373 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣maana apo nicheke kwanza Maana mi nimezaliwa talehe 30 Nina ziki adi kwenye ukucha na ata Sina ufumbuz wowot😅😅mdogo angu tarehe 25 ila hana hasira Wala loho mbaya mpole mwenyewe na mkalimu mno jmn shehe mbona sijaelewa
@husseinmaneno2570
@husseinmaneno2570 Жыл бұрын
hahahahahahah
@RehemaKabutu-de9tl
@RehemaKabutu-de9tl Жыл бұрын
Mm ishirina mbii li naomba kweri
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 2 жыл бұрын
Duhuu kwakweli hapo kwenye 19 umedanganya maana mm siyo dhaifu na Tena nimkorofi hatari🤣🤣🤣
@salimmrema8845
@salimmrema8845 2 жыл бұрын
Tarehe kwa kalenda ya kiislam au ya kizungu
@agathaandrew1374
@agathaandrew1374 Жыл бұрын
Apo kwenye trh 23 umenipatia kabisaa hujakosea
@raqmaanu466
@raqmaanu466 2 жыл бұрын
Dalili sio porojo Salafi watakueka sawa inshallah
@mwinshehenassib4853
@mwinshehenassib4853 2 жыл бұрын
Uzushi ndani ya dini huo.
@prriya507
@prriya507 2 жыл бұрын
Kwaiyo me wa taree 4 naugua ugua na Kufa Gafla au🙄🙄🙄 Aka 😢😢
@magidachimija5599
@magidachimija5599 2 жыл бұрын
Jamaa ni liongo
@ramgainmkubila1213
@ramgainmkubila1213 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@mrsliverpool4235
@mrsliverpool4235 Жыл бұрын
😆🤣😂
@jumanne605
@jumanne605 2 жыл бұрын
Mimi sijui Tarehe yangu nifanyeje
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 Жыл бұрын
Mshirikina wa kwanza ni msima nyota
@salomedamiandamian5872
@salomedamiandamian5872 2 жыл бұрын
Tarehe 3 wala ujakosea shekhe Ila binadamu walivyonifanyia😢
@mrengineer8901
@mrengineer8901 Жыл бұрын
Yani me napitia shida sana kazini unachukiwa kisa unapendwa na boss
@Luweenamandal2911
@Luweenamandal2911 2 жыл бұрын
31 jee
@juliethylukindo2132
@juliethylukindo2132 Жыл бұрын
My dear brother ukosawa kuhuau tarehe 21 niukweli kabisa Asante lakini tatizo mbona watu wananionea wivisana mie tarehe 21 mpaka naumia
@mutomubaya
@mutomubaya 2 жыл бұрын
Wewe unadai umesilimu? Mambo gani haya unajaribu kuyaleta? Ati kila mtu ana nyota yake..? Ya kufanya nini?
@abdiabdullah8564
@abdiabdullah8564 2 жыл бұрын
Acha kuchanganya watu huo ni utabiri.
@lukandegwadzombo6983
@lukandegwadzombo6983 Жыл бұрын
Wewe ushiriki sana tu
@jasminisharifu7446
@jasminisharifu7446 2 жыл бұрын
25😭😭
@fatmasoudkhalil5709
@fatmasoudkhalil5709 2 жыл бұрын
Mimi ni 26
@G.r.e.a.t.I.Q
@G.r.e.a.t.I.Q Жыл бұрын
Asa hapo kwenye tarehe 4 ndo umeharibu utaratibu mzimaaa wa ubongo wangu kufuatilia video hii leo.. hadi epitaiti pia imeenda, yaani!
@rahmasalum1317
@rahmasalum1317 Жыл бұрын
Tatizo maneno mingi inachosha
@emamkango-rk3yw
@emamkango-rk3yw Жыл бұрын
Kweli mm ni tar14 huwa naskilzwa sana
@abdulhakhashim764
@abdulhakhashim764 2 жыл бұрын
Mbona...utaji miezi na tarehe
@abuuazhar3738
@abuuazhar3738 Жыл бұрын
Kwa mwendo huu utakuja siku urudi kwenye ukristo alafu uanzs kuusena vibaya uislamu. Kuwa makini na Haya Mafundisho unayojifunza Mwaipopo. Hii comment naomba ukumbukwe.
@jabirkasunzu6841
@jabirkasunzu6841 3 ай бұрын
Usiseme hivyooo ndugu yangu, sheikh ni binadamu, anaweza kuteleza nyakati zingine kwa sababu kwa tarehe ya kiislamu au ya kizungu? Sheikh Mwaipopo, tunakuomba utengue kauli...?
@alimatambwe3402
@alimatambwe3402 2 жыл бұрын
Sheikh unampigia aje mwenyezimungu ni kwenye sim wala kumuomba?
@sofiafaraji7814
@sofiafaraji7814 Жыл бұрын
Tarehe yangu hakuna 17
@Luweenamandal2911
@Luweenamandal2911 2 жыл бұрын
31 bado hujaitajaa
@mariamkalinga2628
@mariamkalinga2628 2 жыл бұрын
Da nimekuelewa trh 26 ndio nilivo lkn nahangaika sitok
@taqtv5772
@taqtv5772 2 жыл бұрын
Mimi tarehe 20
@linahobote9038
@linahobote9038 Жыл бұрын
25 mi Sina iyo roho mbaya😏
@fatwimatzahrau2327
@fatwimatzahrau2327 2 жыл бұрын
Je mwalim hizo tareh ni zamiezi ya kizungu au mwezi wakuandama? Mana tareh yakizungu na yamwezi wakuandama zinapishana inakua umezaliwa tareh 1 yakizungu ya mwezi wakuandama ikawa ni tarreh 10
@user-mq6lu2po3y
@user-mq6lu2po3y 2 жыл бұрын
Me naona tarehe sabihi ni za muandamo hizi nyengine ni zinatokana na kitwaghuti
@oqmoqmn5492
@oqmoqmn5492 2 жыл бұрын
Point
@aminadume1561
@aminadume1561 2 жыл бұрын
Mbona nahangaika mno jamani ila najitahidi nilizaliwa tarehe 2
@smina8226
@smina8226 7 ай бұрын
23 ndo mm
@agnespeter8740
@agnespeter8740 Жыл бұрын
Ishirini na tatu ni kweli kabisa mimi
@abuuazhar3738
@abuuazhar3738 Жыл бұрын
Hayo mambo ya ghaibu ni mlango wa kwenda kwenye Ushirikina. Ghaibu anaijua Allah TU.
@michaeldeo9621
@michaeldeo9621 2 жыл бұрын
Tarehe 20 umepatia kabisa, Nina ndugu wa hivo Uuhuu ni mfitini sanaa jamani
@qudraabdul3284
@qudraabdul3284 Жыл бұрын
Tunapo itazama vidéo hii ina muda mrefu mtandaoni huwenda ndugu yetu huu kishaga tubia kwa hayo alio yasemaga kwa sababu tukirejea katika Maswala ya Tawhid Kaka maneno Yako sio sahihi kabisa tunauwezo wa kuikosowa nuqtwa kwa nuqta kupitia ahadith Na Ayat za Quran tunadhani tu khr huwenda ndugu yetu kishaga ona HAQI kwa hayo
@raqmaanu466
@raqmaanu466 2 жыл бұрын
Hiyo elimu toa dalili usipotoshe
@linahobote9038
@linahobote9038 Жыл бұрын
25 uongo tu
@teambrothers5654
@teambrothers5654 2 жыл бұрын
25
@teambrothers5654
@teambrothers5654 2 жыл бұрын
Si ukweli 25
@neemanyimbi2355
@neemanyimbi2355 2 жыл бұрын
Umeiga kuna mwafalsafa ameshayasema Hayo yote we umeiga
@greatest_of_africa
@greatest_of_africa Жыл бұрын
Anaongea sana
@esterpeter4641
@esterpeter4641 Жыл бұрын
Hahahahaaa huyu mwamba n muongo hatar,,, Mimi 18 lkn naogapa kuchukua cha mtu hatar
@issakavindi5183
@issakavindi5183 2 жыл бұрын
Mbona tarehe 17 hakuna
@peninamsuko4858
@peninamsuko4858 Жыл бұрын
Hakika umenena hapo 24 nakubali
@hellencharles2342
@hellencharles2342 Жыл бұрын
Uongo ndiyo unajua tu
@mbaroukkhalfani9244
@mbaroukkhalfani9244 2 жыл бұрын
Wachawi na wanganui wanazaliwa tarehe ngapi
@ivyrehema3246
@ivyrehema3246 2 жыл бұрын
Mbona hakuna kumi na Saba😔😔😔😳
@stevenabraham8696
@stevenabraham8696 Жыл бұрын
Tarehe 16 ni uhingo uwooo mtupu cjawai pata mkoc wowote😅😅😅😅😅😂
@saidjuma25
@saidjuma25 2 жыл бұрын
Tarehe 17 hatuja isikiaa
@gwamakakyeja6942
@gwamakakyeja6942 2 жыл бұрын
Kumi na Saba umeluka
@hizamwaimu3918
@hizamwaimu3918 2 жыл бұрын
Mimi ninahasila mpaka najichukia kwangu nlivunja tv sabufa .kisa nimechukizwa kidogo tu
@mariamunika6239
@mariamunika6239 2 жыл бұрын
Uwo Sasa ni ujinga hasira gani
@hellencharles4089
@hellencharles4089 Жыл бұрын
Uongo
@josphineomollo4333
@josphineomollo4333 Жыл бұрын
Je three kumi na saba??? Umeivuka
@florahsungura564
@florahsungura564 2 жыл бұрын
Mbona talehe...ukifanikiwa kutamka tarehe utaupiga mwingi,ati maisha malefu na siyo marefu??chokaaaa🤣🤣
@aniphaally4237
@aniphaally4237 Жыл бұрын
Tarehe 17 sijaisikia
@chanikaonetv6770
@chanikaonetv6770 4 ай бұрын
Haya siomafundisho ya kiisilamu, huyu ni mtu muongo saana,. Hizi ni katika imani na itikadi za kishirikia . Nawataharisha ndugu zangu huu ni uongo wa wazi ni ushirikina wa wazi
#15 ELIMU YA NYOTA - Nijuze
50:53
alistiqamatv 2
Рет қаралды 6 М.
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 10 МЛН
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,7 МЛН
1,000 Diamonds! (Funny Minecraft Animation) #shorts #cartoon
00:31
toonz CRAFT
Рет қаралды 38 МЛН
WASHIRIKINA WAJAA MAKANISANI NA MISIKITINI
34:26
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 481
Kisa Cha Firauni  Na Mtume Mussa /  Sheikh Walid  Alhad Omar
13:41
HII NDIYO DUA YA KUONDOSHA MARADHI YOTE SUGU MWILINI
14:36
Kishki Online TV
Рет қаралды 60 М.
MAAJABU USIYOYAJUA KUHUSU TAREHE YAKO YA KUZALIWA
9:49
FAFANUO MEDIA
Рет қаралды 9 М.
IJUE NYOTA YAKO (NYOTA YA MASHUKE)
1:17:56
ABALQAASIM ONLINE TV
Рет қаралды 14 М.
MAAJABU YA USIKU-SHEIKH RUSAGANYA
15:13
MASJID MTORO ONLINE TV
Рет қаралды 16 М.
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 10 МЛН