FAIDA YA MBOLEA YA KUKU

  Рет қаралды 2,290

AGALUS  TV

AGALUS TV

Жыл бұрын

Mbolea ya kuku Ina faida Sana. Hii kutokana na kuwepo kwa madini AU virutubisho muhimu Aina ya NPK.
✍️Husaidia mmea kukua kwa haraka
✍️Husaidia mizizi kua na afya njema
✍️Mazao mengi pia
✍️Afya bora ya mmea
#mbokea#tibaasili #ufugajikuku
🤝Jifunze mbinu mbalimbali za ufugaji kuku
• ufugaji wa kuku
👋Jiunge nasi kwenye group letu LA telegram
t.me/agalustv

Пікірлер: 17
@kishimbaigobeko2297
@kishimbaigobeko2297 5 ай бұрын
Naomba somo la mbolea ya samadi ya popo
@AGALUSTV
@AGALUSTV 5 ай бұрын
OK ✍️🙏🏿
@JamesFesto-x1e
@JamesFesto-x1e Күн бұрын
Baada ya kuitoa kwenye banda natakiwa kuianika au
@AGALUSTV
@AGALUSTV Күн бұрын
Si lazima Sana maana haichukui muda mrefu inaanza kukauka Ata ukiweka tu ktk mfuko
@JamesFesto-x1e
@JamesFesto-x1e Күн бұрын
@@AGALUSTV Asante sana kaka nakubali kazi zenu ,,Hamna namba za WhatsApp kutusaidia sisi wakulima wadogo wadogo ushauri
@froline5209
@froline5209 Жыл бұрын
Asante kaka
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Tupo pamoja ndugu
@shelternimzihirwa3583
@shelternimzihirwa3583 Жыл бұрын
Ubarikiwe kwa kweli
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
AMINA NDUGU
@sfggf468
@sfggf468 Жыл бұрын
Nimejaribu kwenye mahindi imefanya kwa kiwango kikubwa sana
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Barikiwa Sana ndugu
@sheldashabani1943
@sheldashabani1943 Жыл бұрын
Habar nilikuwa nataka kujua kama mbole ya kuku wa kisasa naweza kuitumia kwenye kilimo cha nyanya ikanipa matokeo mazur ?
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Nzur Sana tu inafaa
@mulhatkhattor6075
@mulhatkhattor6075 8 ай бұрын
Mnapatikana wapi jamani na nibei gani
@AGALUSTV
@AGALUSTV 8 ай бұрын
Unahitaji? Je upo wapi
@mechtildabyambwenu8548
@mechtildabyambwenu8548 Жыл бұрын
Ahsante sana. Je ni kiasi gani Cha mbolea ya kuku kinahitajika Kwa mmea?
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Mkono 1 tu
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 62 МЛН
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 28 МЛН
DAWA YA KUMDHIBITI MDUDU KANITANGAZE (BOKO HARAMU)
6:34
Floresta Tanzania
Рет қаралды 3,4 М.
Harvesting Deshi Vegetables In Uk 2021
27:42
Ali Raja Bagan Bari Uk
Рет қаралды 11 МЛН