FAMILIA YA MZEE KICHECHE (Ep 01)

  Рет қаралды 1,154,852

kicheche

kicheche

5 ай бұрын

#kicheche #kichechecomedy #familiayamzeekicheche

Пікірлер: 1 800
@kamaraetienne651
@kamaraetienne651 5 ай бұрын
Wa kwanza leo hebu jama nipeni like ZANGU tunao mukubali KICHECHE
@user-wl7rt4qo8y
@user-wl7rt4qo8y 5 ай бұрын
Hii Kali ya mwaka😅
@estherzangi2649
@estherzangi2649 5 ай бұрын
Uzipeleke wapi 😂
@Kabeya410
@Kabeya410 5 ай бұрын
Kaombe kwa mjomba wako upewe we kama nani ktk hii episode umecheza kama nani kenge we mkome na ushoga wa kuomba omba kwa kazi za wengine mtaolewa ndoa ya mkeka
@husnaarafat2725
@husnaarafat2725 5 ай бұрын
Chukua yangu
@BillBlackoshawn
@BillBlackoshawn 5 ай бұрын
Hongera
@Spagles
@Spagles 5 ай бұрын
Kwenye comedy uyu jamaa baada ya Steve bas ni uyu jamaa kicheche next level 😂😂😂
@Mpakauseme
@Mpakauseme 5 ай бұрын
Mimi huyo stive hanifurahishi , number moja ni Jot na Mpok
@Mnyaturu980
@Mnyaturu980 5 ай бұрын
Jamn hii move nimecheka sana 😂😂😂😂😂 nipeni like za bure
@19Tcoins-ru3ko
@19Tcoins-ru3ko 3 ай бұрын
Proud to be a Tanzanian ❤
@user-hi9zh2zi2w
@user-hi9zh2zi2w 5 ай бұрын
Hii nimeikubali sana bongo la movie kicheche noma sana 2024 kaja kivingne ❤
@user-fb1ce4wq8t
@user-fb1ce4wq8t 5 ай бұрын
Naombeni na mm hizo like nijue za kazi gani
@SoslyneNanjala-oi9zf
@SoslyneNanjala-oi9zf 5 ай бұрын
Wow Mkenya Aka Catherine Makena Aka Naomi much love from Kenya ❤❤
@aishaomar2287
@aishaomar2287 4 ай бұрын
​@threemediastudios3037tena amekunywa coffee kwa ndege😂😂😂
@SmilingCurling-js5ff
@SmilingCurling-js5ff 3 ай бұрын
❤❤❤
@SmilingCurling-js5ff
@SmilingCurling-js5ff 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@89_Media
@89_Media 5 ай бұрын
Nisiposema kazi nzuri mno nitakosea🎉,CHUKUA MAUWA YAKO KICHECHE HII ITABAMBA,GONGA LIKE HAPA FROM+254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@user-rv6wq8eb4n
@user-rv6wq8eb4n 3 ай бұрын
❤🎉
@dakiduba47
@dakiduba47 Ай бұрын
Kicheche hii imeweza bana from 254 Kenya 🇰🇪🇰🇪
@Lathifa-zl8hg
@Lathifa-zl8hg 5 ай бұрын
😂😂Hii familia ya mzee kicheche waeza.sema wako.shule😂😂Uyo wa ushauri wa kufungua club nimecheka😂😂😂🙌🙌
@johnmeshack4431
@johnmeshack4431 5 ай бұрын
😂😂😂😂nyuma kicheche nakukubali mwamba wangu❤❤❤
@user-lo8vo4tl4f
@user-lo8vo4tl4f 5 ай бұрын
Kaka kicheche ungejalib kuwek muonekano wa kizee Yan ungekua umekua kabisaaa man yang
@gogoloveofficial5666
@gogoloveofficial5666 5 ай бұрын
Love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI
@MjingaComedy
@MjingaComedy 4 ай бұрын
❤❤❤❤ Good Life Kicheche keep going with the good work
@user-ic8mc3bd8l
@user-ic8mc3bd8l 5 ай бұрын
Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂
@Mrkigoma
@Mrkigoma 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 Huo mjengo nouma nouma sana sheilaah izo balaaa ila kicheche syo pw😂😂😂😂😂🎉
@makofia_kilker
@makofia_kilker 4 ай бұрын
Tatizo lako ni moja tuu haumalizagi tamthilia Pastor simon na mara hii ni pesa na matatizo na hii nayo sijui kama itaisha
@Oggangmkmamase-lion8pp
@Oggangmkmamase-lion8pp 5 ай бұрын
Daaaahhh nimekukubali sana mwamba kicheche from Canada 🇨🇦 ❤❤❤❤❤
@stevkaliona4107
@stevkaliona4107 5 ай бұрын
Wa pili kulike gonga like twende pamoja 😂😂😂😂😂kama unamkubali kicheche mbwa yeye😅😅😅
@Mr.kigoma
@Mr.kigoma 5 ай бұрын
Kweli mzee kicheche umeamuwa kuwekeza kwenye watoto hongera sana Kuna tumbwa flan twenyewe tumeamuwa kuwekeza kwenye kilimo,elimu n.k ilaa mbwa wewe umetishaaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉
@Alicia-pl8zh
@Alicia-pl8zh 4 ай бұрын
Ninakuku bali sana brother
@medardmwiyande-oc8ut
@medardmwiyande-oc8ut 4 ай бұрын
nakubali kicheche 🇨🇩
@ladislaus799
@ladislaus799 5 ай бұрын
Umenifanya nilale vizuri kwakweli 😂😂😂😂😂😂😂😂
@DavidMgaywa-zd5kd
@DavidMgaywa-zd5kd 5 ай бұрын
Me Zaid yako 😂😂😂
@NajmaRamadhan-ig2cw
@NajmaRamadhan-ig2cw 5 ай бұрын
mkenya kaweka uman hair
@bennamush4616
@bennamush4616 5 ай бұрын
😂😂 haka kajamaa kalevi kalikuwaga wapi jaman anajua anajua Tena 😂
@user-hn8un5fz2n
@user-hn8un5fz2n 5 ай бұрын
Mlevi ila anaakili kakumbuka kufunga mlango ❤
@anithapol5341
@anithapol5341 3 ай бұрын
😂😂😂
@jedielmwenda617
@jedielmwenda617 5 ай бұрын
Big respect from Kenya,🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@ChenchiKing
@ChenchiKing 5 ай бұрын
Chenchi Seen It , Kazi Kubwa Xan Hii Kam Unamkubal Kicheche Tujuwane Hapa Jamaniii 🎉🎉🎉🎉
@josemangula8806
@josemangula8806 5 ай бұрын
Sasa move nyingine hamjamaliza mnatoa nyingine
@dianeuwamahoro5186
@dianeuwamahoro5186 5 ай бұрын
Iyo Ni shida Kbs
@Goldenprince-uk6mq
@Goldenprince-uk6mq 5 ай бұрын
Hainan soko
@user-ym9bb2jf7x
@user-ym9bb2jf7x 5 ай бұрын
ni kwel Pesa na matatizo haijaisha wameleta nyngne ndo nn
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 5 ай бұрын
Kwl kabisa na mm nliuliza ivo ivo
@user-vi2gs5ie9m
@user-vi2gs5ie9m 5 ай бұрын
😂😂😂😂Nimecheka ka fala much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
@user-or2xn4bp7o
@user-or2xn4bp7o 5 ай бұрын
Iko kiberit so poa wazee😂😂😂
@Bradleycarlostawai
@Bradleycarlostawai 5 ай бұрын
Yani huyu ni mwamba, tunakujua na idea mpya Kila wakati, inaitwa kuchanganya maadui na washindani wetu😂😂😂😂❤❤❤
@moneyfollowme737
@moneyfollowme737 5 ай бұрын
Kicheche Kwa Clam atakaa sana ni kibenten tu ndo imeisha yaani Hana jipya hajawahi maliza episode zote🥺
@cosbytz2370
@cosbytz2370 5 ай бұрын
Kabisa
@user-dk5rm6yv2q
@user-dk5rm6yv2q 5 ай бұрын
​@@moneyfollowme737ila mm ananikosha ivoivooo😂😂😂😂
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 5 ай бұрын
Kweli kabisa
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 5 ай бұрын
​@@moneyfollowme737 anajitahidi kwa uwezo wake huna haja ya kumtukana wala kumfananisha na mtu kila mtu anafanya kwa uwezo wake ila kwenye kuhusu umaliziaji kweli anazingua na kukaa mda bila kutoa kazi inaweza kumpunguzia mashabiki akijitahidi kutoa kazi kwa wakati na kuzimaliza yupo vizuri zaidi ya unuavyojua wewe
@Kashindijohn
@Kashindijohn 5 ай бұрын
Wa Kwanza Mimi apa naanza like 1 naombeni like kwa KAZI nzuri mzee kichche kabla ya Ku communt angalia Kwanzaa video 😂
@DaudAshery-ie2pf
@DaudAshery-ie2pf 5 ай бұрын
Hoteli ya kibilit🤣🤣🤣
@Mr_Lionize
@Mr_Lionize 5 ай бұрын
Much support from Kenya 🇰🇪
@monyoh6879
@monyoh6879 5 ай бұрын
Tunao mkubali kicheche gonga like🎉
@EvelinJuma
@EvelinJuma 5 ай бұрын
Yani kicheche nimecheka mpaka bas et haya mambo ya kujifanya baba kujionyesha 😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤🇹🇿
@FeysaalAbed
@FeysaalAbed 4 ай бұрын
😂
@shishiafricanaofficial325
@shishiafricanaofficial325 5 ай бұрын
Kali sana Much love from kenya 🇰🇪
@maliki-sl7ut
@maliki-sl7ut 5 ай бұрын
We love him very much kicheche anaendesha vizuri commedia yake
@SleepyBackgammon-hk9wk
@SleepyBackgammon-hk9wk 5 ай бұрын
Sijachelewa sana. Naombeni. Like zangu. 🎉❤ from south Africa
@ambindwilehosea6837
@ambindwilehosea6837 5 ай бұрын
Yaani kicheche anaweza kufungua shule ikajaa familia ake bs 😂😂😂😂 kicheche
@etsareliza6687
@etsareliza6687 5 ай бұрын
Kicheche kwenye hii umetisha ila huyo mlevi nimemuwerewa wamwisho anakuwa wakwanza😅😅
@user-fg8zd8no1l
@user-fg8zd8no1l 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂nmecheka kinoma much love from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@djumarama
@djumarama 5 ай бұрын
Kicheche mwalimu😅😅😅😅😅😅
@angelrichard899
@angelrichard899 5 ай бұрын
Jmn kazi nzuri xana MUNGU Awabarikii yaani uyo dada mwenye macho makubwa nampenda mno mwingine nae mkubali valet.japokuw wote mnafanyaaa kazi nzuri xana MUNGU Awabarikii xanaaa
@metrinenyakoe1764
@metrinenyakoe1764 5 ай бұрын
Kicheche mwenyewe mpenda makalio😂😂😂
@user-jl2vy2no9j
@user-jl2vy2no9j 5 ай бұрын
Ila kwakweli kicheche unachekesha wew🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😅😅😅
@user-ez6lv3yr6t
@user-ez6lv3yr6t 5 ай бұрын
Asante sana King 👑 of new generation 😂😂wewe ni mwamba na nime kubali sana wangu
@kayvoke
@kayvoke 5 ай бұрын
Mbwa family😂🙈 tamu walai nimeipenda sana🔥💥💥🔥
@jeckytown907
@jeckytown907 4 ай бұрын
Oya kicheche unajua ww jamaa ni mpuuz sna ten unazngua mpumbavu zako ww hv kwann unapenda kuziumiza mbav zngu yan hii kaz kila cku huw naiyangalia 2 na kuipita nikiona kama rabda itakuw co nzur kumbe wala aisee noma sna mmetisha sna na zaid alienikosha huyo demu wait kwan ni mbea hatar yan hpo ndan kila k2 hanachockia hanaongea mwenzake yey uwamka na kucheka yan noma had noma tena nimekapenda bure hako kademu nice....?ni hayo 2 kwa kifup kaz nzur hongeren❤❤🔥🔥🤛🏻🤛🏻👏🏻👏🏻
@ImanuweliDismas
@ImanuweliDismas 5 ай бұрын
Nan una mkubali seem yakwanzaa❤❤❤❤🎉
@anthonygenge4366
@anthonygenge4366 5 ай бұрын
Mleviii8😂
@kenedypaul1776-ni2nl
@kenedypaul1776-ni2nl 5 ай бұрын
Kicheche una kazi nzuri, sounds nzuri, production ni nzuri kiujumla frame nzuri,shida huna muendelezo mzuri wa kazi zako "pesa na matatizo ni best story ila umeacha". Hapo ni shida
@user-jf9pt8bu5j
@user-jf9pt8bu5j 5 ай бұрын
😢😢 kabisaa
@user-ym9bb2jf7x
@user-ym9bb2jf7x 5 ай бұрын
Kweli kabisa ilikuwa patamu hatar
@kenedypaul1776-ni2nl
@kenedypaul1776-ni2nl 5 ай бұрын
@@user-jf9pt8bu5j eeh afanye kazi tuu endeleze hio epsod za pesa na matatizo
@kenedypaul1776-ni2nl
@kenedypaul1776-ni2nl 5 ай бұрын
@@user-ym9bb2jf7x kweli afanye amalize pesa na matatizo au pastor saimoni
@kenedypaul1776-ni2nl
@kenedypaul1776-ni2nl 5 ай бұрын
Ndio hivyo sio poa
@officialbasheer13_tz
@officialbasheer13_tz 5 ай бұрын
Kicheche anafanya mambo ya KIJINGA Sana michezo mingi anaiishia njiani Hana lamaana analofanya michezo anaikatisha njiani aache ujinga achukue Mfano kutoka kwa CLAM VEVO
@user-ug3vp8dh7l
@user-ug3vp8dh7l 5 ай бұрын
Kwani we umeombwa u coment au ndo umetumwa nyoo kama aumpendi kicheche pita ivi so lazima uandike kasolo kaone chefuu😂
@djsmoky2544
@djsmoky2544 5 ай бұрын
hawataki kuskia ukweli😂😂😂mi labda nilipwe ndo nicheke
@chagudaniel8037
@chagudaniel8037 5 ай бұрын
Hajui kumalizia dadeq
@QueenBigaba
@QueenBigaba 5 ай бұрын
Wewe kama hahutaki mambo ya kicheche achausi fate mambo yake
@richdick5523
@richdick5523 5 ай бұрын
Kila mmoja anachanga karata namna yake kicheche take love from Burundi🇧🇮🇧🇮
@HilaListone
@HilaListone 5 ай бұрын
Nakukubali sana kicheche😅 9
@zuhuraamani483
@zuhuraamani483 5 ай бұрын
😂😂😂 mbavu zangu jamani napenda iyo nyimbo mnaisabu mabati
@user-wl8ce5ew7g
@user-wl8ce5ew7g 5 ай бұрын
Kama unamkubari kicheche gonga like❤❤❤❤
@SalmaPurity
@SalmaPurity 5 ай бұрын
Kicheche yupo vizur bt mimi ananisinyaga, haongei vizili yaan movie nzuri bt haibambi
@moreenmungu5900
@moreenmungu5900 5 ай бұрын
Ako vzr but anasinya movie zake haziisha
@zariminihucnabby6318
@zariminihucnabby6318 5 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅
@TerenaStevelii-1995
@TerenaStevelii-1995 5 ай бұрын
Kicheche ameanza kuniboesha wallai mbna hajamaliza pesa na matatizo
@halunimnenwa5224
@halunimnenwa5224 5 ай бұрын
Kicheche mmekosea apo vaeni kishamban shamban izo sio sula za kijijin ili kuongeza mvuto zaidi sasa umevaa sut
@AROMAAR_KING001
@AROMAAR_KING001 5 ай бұрын
First one, I love the way Kenyans come together 💪 to support KICHECHE kikofia makotii❤❤❤🎉🎉🎉 nipeni likes 20 tukisonga 🔥💯☑️🥰
@MakalaDwasi
@MakalaDwasi 3 ай бұрын
Nakukubaliiii babaaa
@user-bh5gt3pw6j
@user-bh5gt3pw6j 3 ай бұрын
Aaàh noma hii ndio Familia yenyewe sasa❤❤❤❤❤ like.
@Mrkigoma
@Mrkigoma 5 ай бұрын
Kicheche hyo familiar yako kweli😂😂😂😂😂😊😊😊😊
@lindauma982
@lindauma982 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂nicheke mie kicheche niokote sasa 😂
@user-hi9zh2zi2w
@user-hi9zh2zi2w 5 ай бұрын
Wote nyuma geuka mbele tembea turudi kwenye KIBIRITI❤❤❤❤
@wizzydomtz
@wizzydomtz 5 ай бұрын
Kazu nzuri sanaa❤❤🎉Kicheche forever🎉🎉
@user-jz9tq3ye5k
@user-jz9tq3ye5k 5 ай бұрын
Wakwanza Leo ku Toka Zambia naomba like zangu
@Kabeya410
@Kabeya410 5 ай бұрын
Utaolewa kuomba like kenge we kaombe kwa babu yako we kama nani kwenye episode hii acha ushoga
@Miss_PK254
@Miss_PK254 5 ай бұрын
Hii movie noma sana😂❤, naitazama nikiwa Kenya❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@JOHAREHfilms2023
@JOHAREHfilms2023 5 ай бұрын
Ila familia ya kicheche Ina balaa🎉🔥🔥🔥 Kicheche hii series balaa nikupe maua Yako sema nn waisha bac ep 2 isije ikawa kama pesa na matatzoo movie qali sana Ile jmn sijui imeishia wap daah🎉
@user-ov6qh2yv9u
@user-ov6qh2yv9u 5 ай бұрын
La suite svp🇨🇩
@deborahmidiburo3541
@deborahmidiburo3541 5 ай бұрын
🇨🇩🇨🇩🇨🇩❤️
@lindauma982
@lindauma982 5 ай бұрын
Hii nayo ni kibiriti ya kicheche 😂😂😂
@user-wv2do3lu6g
@user-wv2do3lu6g 5 ай бұрын
nakubali kicheche wew nifundsana wew tazania wa1
@jumaabdallah7590
@jumaabdallah7590 5 ай бұрын
Oyahhh mwamba anajua kutufurahishaaaa😂😂😂😂😎
@user-hj4vf6xn2g
@user-hj4vf6xn2g 5 ай бұрын
More love from 🇧🇮
@angelinamgaya5802
@angelinamgaya5802 5 ай бұрын
Ila kicheche anajua kutufurahisha kama unakubali gonga like hapa
@user-vq9bk9oc2p
@user-vq9bk9oc2p 4 ай бұрын
Kicheche mkali katika movie❤❤❤❤❤❤❤
@user-rl6wq2wp2p
@user-rl6wq2wp2p 4 ай бұрын
Nakubar kicheche we noma
@Ntabo393
@Ntabo393 5 ай бұрын
ILA KICHECHE UWE UNAMALIZIA SERIES UNATUHAMISHA SANA WAP PASTOR SIMON,WAp PESA NA MATATIZO BICHWA MNATUFELISHA JAMAN
@Mulei-Nasibu
@Mulei-Nasibu 5 ай бұрын
Kweli
@user-jf9pt8bu5j
@user-jf9pt8bu5j 5 ай бұрын
Yaa clam anamaliza series zake vizuri,, anatuchanganya uyu kicheche,, hadi lambalamba hukuwai maliza
@EmmyMo
@EmmyMo 5 ай бұрын
Nahic salio malige😂😂😂
@nassoroswallehe4631
@nassoroswallehe4631 5 ай бұрын
Mawazo yanamuishia jamn msimlaumu😂😂😂
@user-rm3km1qr2q
@user-rm3km1qr2q 5 ай бұрын
Hhh tunahesabu mabati😂😂😂😂
@user-dt2be7eg1c
@user-dt2be7eg1c 4 ай бұрын
Nimependa icho kijiji sana venye n kizuri na minazi vizur
@leahedson6431
@leahedson6431 4 ай бұрын
Kicheche. Umetisha. Sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@Salim-mrefu-527
@Salim-mrefu-527 5 ай бұрын
😂😂tulio muona mkenya mwenzetu tujuane hapa 😀❤❤
@Claudiasadick-ym2nt
@Claudiasadick-ym2nt 5 ай бұрын
Kicheche your welcome again in high power bro 👍👍👍
@user-vl1yd8ii7x
@user-vl1yd8ii7x 2 ай бұрын
❤2riwaaaaa
@SallyKemmy
@SallyKemmy 3 ай бұрын
Oy kicheche ongera san unatufuraisha san 🎉🎉🎉🎉
@remiKichwa-py4qw
@remiKichwa-py4qw 5 ай бұрын
Nakukubali snaa kicheche
@Jacob_Wasaf_Tz
@Jacob_Wasaf_Tz 5 ай бұрын
😂😂😂😂ila kicheche mungu akuweke
@user-yx7yc3qh6o
@user-yx7yc3qh6o 5 ай бұрын
Jmn mlevi kanikosha 😂😂😂😂
@sarasara-ur6nz
@sarasara-ur6nz 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂mbavu zangu zimevunjika zote ahwiii 😂😂😂
@user-cx3ob6tn8i
@user-cx3ob6tn8i 5 ай бұрын
More love from 🇺🇸
@Joshua6kambale
@Joshua6kambale 5 ай бұрын
Sisi tupo drc congo butembo 👑 king of New generation 🇨🇩🇹🇿
@RacheRache-qw7yl
@RacheRache-qw7yl 3 ай бұрын
Kicheche vipi Kaka mimi ni mkongomani nakukubali kaka
@MoTalentTz
@MoTalentTz 5 ай бұрын
Ndo tumeanza timu kicheche gonga like apa💪💪💪💪
@YusuphJuma-ji2gv
@YusuphJuma-ji2gv 5 ай бұрын
Kicheche unaniboa sana unapo Kaa kimy bila kupost move zako watu tunaumia kuto kukuona bana
@msondehamisi7746
@msondehamisi7746 5 ай бұрын
Wasije wakalana wenyewe kwa wenyeweee🤣🤣🤣🤣
@kingrabi5118
@kingrabi5118 5 ай бұрын
Nimempenda uyo jama anaeye sema kirundi Eti Wabibonye 😂😂😂😂
@DavinaPhanie
@DavinaPhanie 5 ай бұрын
Uyo numugore wanj😂😂😂
@salumthomas7-rs8ip
@salumthomas7-rs8ip 2 ай бұрын
Kwa baba uyoo haaaaaaa polen sana kwa kibanda ichooo
@Ammarloliso
@Ammarloliso 5 ай бұрын
Kicheche 😂 umeongeza maajabu😂 nipo Zanzibar mwambaaa 😅
@nyamiziramadhani4232
@nyamiziramadhani4232 5 ай бұрын
Akili nyingi😂😂
@Ammarloliso
@Ammarloliso 4 ай бұрын
@@nyamiziramadhani4232 lakini mshamba sana kicheche
@abdulhafidhi84
@abdulhafidhi84 5 ай бұрын
Hapo ndio wabongo mnapo feli moja hakijaisha mnarukia nyengine
@user-jf9pt8bu5j
@user-jf9pt8bu5j 5 ай бұрын
Ovyoo sana ndio maana napenda clam vevo
@rajaburamadhani-gs9ye
@rajaburamadhani-gs9ye Ай бұрын
Mungu akupe maixha marefu na akuzidixhie ubunifu kwenye uigizaji wko,nakukubali xana
@africanbusiness7243
@africanbusiness7243 5 ай бұрын
Much love from USA 🇺🇸 🇺🇸 🇺🇸
@giveninyagawa2784
@giveninyagawa2784 5 ай бұрын
Daaah so funny😂😂😂
@AllyJuma-xu8bs
@AllyJuma-xu8bs 5 ай бұрын
Kicheche never disappoint
@SawareSamba
@SawareSamba 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@saumodzumbo9671
@saumodzumbo9671 5 ай бұрын
Kichechee 😂😂😂😂😂😂 kali ya mwaka
@cristaezekiel1036
@cristaezekiel1036 5 ай бұрын
😂😂😂😂Angekua anakupenda angekuacha uje kwenye nyumba ya kinjeketile ngwale 😂😂😂😂😂😂kiberiti cha baba
@user-dd6mm4dn5b
@user-dd6mm4dn5b 5 ай бұрын
😂😂😂😂nyuma adi mmi team kichechee😂😂😂❤❤❤❤❤one love from Kenya🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏😂😂😂😂😂
FAMILIA YA MZEE KICHECHE (Ep 02)
25:55
kicheche
Рет қаралды 665 М.
BABA YANGU KIPOFU Full episode/15/ #love
50:40
BabaJoan
Рет қаралды 285 М.
버블티로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 125 МЛН
THEY WANTED TO TAKE ALL HIS GOODIES 🍫🥤🍟😂
00:17
OKUNJATA
Рет қаралды 22 МЛН
Happy 4th of July 😂
00:12
Pink Shirt Girl
Рет қаралды 61 МЛН
KINYOZI MPUUZI
8:16
CLAM VEVO
Рет қаралды 1,9 МЛН
BABA MKWE
10:07
kicheche
Рет қаралды 1,3 МЛН
Bray wa love bite  jojo Ep 03
30:26
B Family 6666 tz
Рет қаралды 1,3 М.
Dinner date😋🤓 - Oga Obinna & Dem wa Facebook
32:47
The Weekly Show KE
Рет қаралды 66 М.
TT Comedian Movie's KATUMBAKU _Full Movie
1:00:49
TT Comedian
Рет қаралды 4,6 МЛН
MALAYA MGENI 💞 Love Story | DONTA TV
22:35
Donta Plus
Рет қаралды 235 М.
MWENYE NYUMBA MCHAWI (FULL MOVIE) MWAKATOBE
1:33:41
Dubu Tz
Рет қаралды 791 М.
GUBU LA MAWIFI_Ep_01
20:28
kijiti media
Рет қаралды 126 М.
LIKE FATHER LIKE SON
8:33
kicheche
Рет қаралды 298 М.
MKE WANGU MCHAWI
8:21
ASMA COMEDIAN
Рет қаралды 1,3 МЛН
Burger Boom 💥 #настольныеигры #boardgames #games #игры #настолки #настольные_игры
0:35
Power of science !! #shorts #explore #fyp
1:01
Nedo X
Рет қаралды 44 МЛН
红尘为救闺蜜使出了浑身解数
0:39
侠客红尘
Рет қаралды 28 МЛН
Sigma Girl Past #sigma #funny #comedy
0:20
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 22 МЛН
One Two Buckle My Shoes 2 ! #spongebobexe #shorts
0:20
ANA Craft
Рет қаралды 19 МЛН