Fatma: Baba Alikuwa Rais Mimi Nina Kazi Yangu I Sikuwahi Kumsaidia Kwenye Kampeni

  Рет қаралды 58,663

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

7 ай бұрын

#CloudsDigital tumekuwekea mahojiano ya Mwanaharakti Fatma Karume katika kipindi cha #Shajara ya #CloudsTv na mtangazaji Babbie Kabae.

Пікірлер: 149
@isaachayes9783
@isaachayes9783 6 ай бұрын
Fatma, she is very straightforwardness, strict and justice lover.
@nasirmohamed1589
@nasirmohamed1589 5 ай бұрын
Lover of gay n lesbian rights huh
@yasminjuma9146
@yasminjuma9146 7 ай бұрын
She is intelligent fatma❤
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 7 ай бұрын
Ila nampenda she's so beautiful❤
@bas2823
@bas2823 7 ай бұрын
IM PROUD OF U LAWYER FATMA U R AN AMAZING N GREAT PERSON! AT LEAST U CAN TALK N LET PPL THOSE THEIR MENTALITY THOUGHT WEMAN PLACE IS IN THE KITCHEN ONLY! THEY CANT TALK OR WORK! ONLY MEN CAN! BUT WE CAN AS WELL WELL AS WE CARRY MALES N FEMALES IN OUR TUMMY! STOMACH FOR OVER 9 MONTHS N DELEIVERS THEM N TOOK CARES OF THEM UNTIL THEY GROWS BIG TO KNOW HOW TO STAND BY THEIR OWN FEATS! KEEP IT UP MY DEAR SWEET CREATION OF GOD"💙💜💚❤👌👍 GO ON N FIGHTS FOR THE WRIGHTS"👌👍"
@Lumi063
@Lumi063 7 ай бұрын
I like her personality she has very strong personality, she deserved to be leader in Tanzania “may be one day”..
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 7 ай бұрын
She deserves one when Chadema takes Tanganyika.
@user-wh7gj9ug9s
@user-wh7gj9ug9s 5 ай бұрын
Forget
@nasirmohamed1589
@nasirmohamed1589 5 ай бұрын
A lesbian president no way
@nasirmohamed1589
@nasirmohamed1589 5 ай бұрын
President for LGBTQ in east afrika may b
@Ericzdeking24
@Ericzdeking24 5 ай бұрын
oooh munajuana eeeh​@@nasirmohamed1589
@aliiyvuai116
@aliiyvuai116 6 ай бұрын
Hongera sana muandishi wa habari. Uko vizuri sana❤❤
@user-fl3yl4or3e
@user-fl3yl4or3e 7 ай бұрын
Uko sawa anti
@ahmedhamdan8526
@ahmedhamdan8526 7 ай бұрын
Dear ❤ fatma safi uko juuu
@ahmedbashash3672
@ahmedbashash3672 7 ай бұрын
Me nataka nikuoe ur still.beautifull and smart ❤❤
@marionelias1621
@marionelias1621 6 ай бұрын
Good interview hongera sana Supuu
@pauloropian2367
@pauloropian2367 5 ай бұрын
Naipenda Sana huyu bi Fatma anaongea Sana kwa hekma na busara mungu akuongezee muda mrefu wakuishauti democracy ndani ya nchi,na mungu akupiganiye ndani ya Hawa wakoloni weusi.
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 7 ай бұрын
Ulikuwa so beautiful lady 🎉
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 7 ай бұрын
She is so beautiful still. Not she was she still is.
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 7 ай бұрын
Huyu Fatuma sheria alisoma na ikakubali. Limeenda Shule kweli na linajiamini kinoma.
@neemam5042
@neemam5042 7 ай бұрын
Hongera sana mahojiano mazuri sana👏👏👏👏
@rahmaidd8818
@rahmaidd8818 7 ай бұрын
Ana good skin care routine period
@michaelngalo1808
@michaelngalo1808 7 ай бұрын
Hata Mahakamani hukuwahi kutaka au kupewa priority bcse we mtoto wa Rais. Watu wana uelewa potofu sana kuhus life ya Fatuma
@jumaseifjuma4185
@jumaseifjuma4185 6 ай бұрын
Mahojiano hayakuwa mazuri kwa ufahamu wangu naona yalikuwa ni mazungumzo zaidi kuliko mahojiano. Muulizaji alitumia muda mwingi kutoa maelezo marefu lakini pia alikuwa akifanya vipande vipande zaidi kuliko kutafuta ufafanuzi. Hata hivyo hongera.
@JacksonNovatM
@JacksonNovatM 7 ай бұрын
Kwa jambo la Rais kukatiza safari na kwenda kuwafariji wana Hanang lilikuwa tendo la uungwana. Nakumbuka yaliyotukuta sisi wana- Kagera baada ya tetemeko. Mungu ndiye anajua.
@mako331
@mako331 7 ай бұрын
Thou grew up in the first family but very humble
@oyay2821
@oyay2821 7 ай бұрын
Super woman
@user-jl4br2rg3e
@user-jl4br2rg3e 7 ай бұрын
Huwa nakukumbali sana wakili Fatuma
@zaneco
@zaneco 6 ай бұрын
Nimemuelewa vizuri Bi Fatma
@fahadfahmy
@fahadfahmy 7 ай бұрын
Fatma ninachompendea ni mkweli hafichi miaka yake
@MwanaishaHemed-xi6rj
@MwanaishaHemed-xi6rj 7 ай бұрын
😂😅Nimecheka eti wanataka kujua tunarudi saa ngapi Maisha mulioishi ni mazuri sana nimependa ❤❤❤❤
@keyla3641
@keyla3641 7 ай бұрын
Jaricri sana
@ZainaAlly
@ZainaAlly 6 ай бұрын
Mzuri
@anandemalaki1878
@anandemalaki1878 7 ай бұрын
Fatuma nakupenda jinsi ulivyo mwanamke shujaa kwelikweli
@nyerere1259
@nyerere1259 7 ай бұрын
Babie Kipindi kile mlikua wapi kumhoji Fatma
@Commentsplus
@Commentsplus 6 ай бұрын
Nilichogundua watoto wa viongozi wengi hawana raha kabisa
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m 7 ай бұрын
Atakuja kuwa rais wa znz huyu akili nyingi sana
@kassidpandu866
@kassidpandu866 7 ай бұрын
zanzibar ipi hiyo aje awe Rais!
@laylatabdallah2796
@laylatabdallah2796 7 ай бұрын
Hawampi hata cku1
@allykigatta7564
@allykigatta7564 6 ай бұрын
Upo usingizini jamaa??
@Ericzdeking24
@Ericzdeking24 5 ай бұрын
Fatma ni mzuri sana
@EshaHamd-ed9yv
@EshaHamd-ed9yv 4 ай бұрын
Huyu hakuwa Kama Muislam Hana tafauti na Mzungu wewe ni mtoto wa Kiislam hebu jiheshimu Kama mtoto wa Kiislam mikwapa nje huna tafauti na shetani la Kizungu
@Venas-uh3wz
@Venas-uh3wz 7 ай бұрын
Fatuma you are the best. Love you!❤
@user-fr7jj1bo7y
@user-fr7jj1bo7y 7 ай бұрын
mgeni mzuri lakini mtangazaji Babbie maswali yapo chini ya viwango..mtu ana miaka 30 sio mtoto tena ni mtu mzima ana maisha yake apewe ulinzi wa nini? uliwai mkosoa baba yako? why not?
@jumaseifjuma4185
@jumaseifjuma4185 6 ай бұрын
Apewe ulinzi kama mtoto wa rais, kama angetekwa nyara ?
@autoimmunesecurity2140
@autoimmunesecurity2140 7 ай бұрын
Hii kichwa haiko sawa trust me.
@jerrybasaya5377
@jerrybasaya5377 7 ай бұрын
Wewe ndio una matatizo
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 7 ай бұрын
Pata Kesi halafu aisimamie ndio utajua kichwa kikosawa au la
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru 7 ай бұрын
Cha kwako kina nini hebu jieleze kama Fatima tulinganishe kama hatutagundua utopolo Fatuma ni jasiri ana kitu kichwani ndiyo maana juhudi za kumzima na kumkwamisha ziko juu mpaka kumsimamisha uwakili ni kwa sababu anaonekana ni tishio
@kassimchuo5290
@kassimchuo5290 7 ай бұрын
Kabisaaaaaaaaa haipo Sawa kweliiiiii 😅😅
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 7 ай бұрын
Naamini hayo maneno yako kwa kweli ..!
@ZainaAlly
@ZainaAlly 6 ай бұрын
Fet we mzurii ujue
@safaribuganga
@safaribuganga 7 ай бұрын
Tanzania inatakiwa iongozwe na watu wanaojua sheria ili haki itawale.Nchi hii Haki nyingi za msingi hazifuatwi
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 7 ай бұрын
Hizo za mshoga ndio haki kweli ah ah ah
@yusuphabel5530
@yusuphabel5530 5 ай бұрын
Miss independent
@user-uk3iw1su4i
@user-uk3iw1su4i 7 ай бұрын
hy bituu
@kassidpandu866
@kassidpandu866 7 ай бұрын
cjapenda hayo Mavazi yako kwa kweli
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru 7 ай бұрын
Unataka unayotaka wewe yeye ni mtu mzima huyu na kwa taarifa yako kuna wanaojificha ndani ya hayo mavazi uchafu wa hali ya juu sana na kama huelewi historia Waafrika walikuwa kwa asili hawana mavazi ya gubigubi Waarabu na Wazungu wameturithisha mavazi yao lakini haimaanishi mavazi ndiyo utakatifu bali usafi unatoka moyoni
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 7 ай бұрын
​@@Kwelihukuwekahuru inaonesha wewe ndio wale watu wa wa pope Benedect aloowabiriki maana unapenda sana hayo mambo kwani huyu ndie mtetezi wenu..!
@neemam5042
@neemam5042 7 ай бұрын
Ni business outfit
@estermpagama9664
@estermpagama9664 7 ай бұрын
Fatima justiri we mwislam pia nakushauri uwe na tabia za mwanamke wa kiislam usijifanye Kama Mzungu
@frankrobert9706
@frankrobert9706 7 ай бұрын
Huyu amekulia ughaibuni so amekuwa affected na mila za kimagharibu ndio maana yeye anaamini ushoga na usagaji ni sawa kwake maana huyu utamaduni wa ulaya umemuathiri sana na hata mavazi yake yamebase kimagharibi sio ya kizanzibar kabisa
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 7 ай бұрын
​@@Official83640wewe baba yako anafanya kheri gani?
@thomaspeter2540
@thomaspeter2540 7 ай бұрын
Nchi yetu Haina dini acha upuuzi
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 7 ай бұрын
@@Official83640 je una uhakika hakufanya maovu kwa siri, na je una uhakika yaliyomo nyoyoni mwake?
@Official83640
@Official83640 7 ай бұрын
@@mohdkhatib223 kafa kaniacha mdogo nitajuaje maovu yake na km anayo sipaswi kumuhukumu mm atamuhukumu Allah full stop usinitag story ishapita hadi uokote hela ya bando ndy uje kureaplay why?
@nasirmohamed1589
@nasirmohamed1589 5 ай бұрын
Mnaoandika ze english comments humu jaribuni kujitathmini make kingereza chenu kinasikitisha isitoshe sioni ulazima hamna mzungu hapa huyu ni mwenzetu tu kutetea mashoga hakutamfanya awe mzungu
@aliisaid854
@aliisaid854 7 ай бұрын
Mzungu hata akaishi miaka 40 Tanzania,kisha arudi kwao lazma lugha yake atazungumza fresh tu hata hanganya na kiswahili,leo wewe eti hadi ucjanganye na kizungu tuseme maneno mengine ya kiswahili huyajui,au kwa vile wajifanya msomi sana,muangalie mkaa uchi wahed
@neemam5042
@neemam5042 7 ай бұрын
Sio wahed, na hayuko uchi ni vazi la wanawake kuvaa maofisoni
@ShabanJames-rp1jl
@ShabanJames-rp1jl 7 ай бұрын
Kibenten
@eliajimmy95
@eliajimmy95 7 ай бұрын
Fatma karume wa sasa sio yule wa miaka miwili iliyopita, amepoa sana
@daimavlog
@daimavlog 7 ай бұрын
Sababu nchi imetulia pia, alikuwa anawaka sababu ya Magu kuvunja haki za binadamu.
@eliajimmy95
@eliajimmy95 7 ай бұрын
@@daimavlog bado kuna sakata la ngorongoro
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 7 ай бұрын
Uyu anaonekana mkali Sana,hapendi ujinga,very complicated
@nagekitunga8714
@nagekitunga8714 7 ай бұрын
Wanasheria wengii ndivo walivo
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 7 ай бұрын
@@nagekitunga8714 kumbe wow,,very interesting,, kwaiyo ndivyo walivyo
@abbiecox1
@abbiecox1 5 ай бұрын
lakini hukuwahi kupinga udhalimu wake kwa kina hanga
@Commentsplus
@Commentsplus 6 ай бұрын
Kuna mtetemo wa sauti ya Fatuma #chidbenzlaw
@mwanaishaabubakar5013
@mwanaishaabubakar5013 5 ай бұрын
Karifhi sauti ya bibi yake Fatma Karume Sr.
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 6 ай бұрын
Kinachonisikitisha ni ile kuchanganya lugha mbili kwa wakati mmoja.Kiswangereza Hata accent ya kulee wakati anaongea kiswahili.Kasumba ambayo JK NYERERE ALIKUWA A N AICHUKIA SANA.Kasumba mbaya sana.😅
@abelsonda4486
@abelsonda4486 5 ай бұрын
Accent ni nini mkuu? Naona umechanganya pia
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 7 ай бұрын
Akuna feni hapo
@barakamwasenga2143
@barakamwasenga2143 7 ай бұрын
Anauelewa mkubwa Sana huyu mama sio mbinafsi
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 7 ай бұрын
Kweli​@@zanzibarboyzanzibar509
@jerrybasaya5377
@jerrybasaya5377 7 ай бұрын
Kuna kipande kikubwa kilikatwa alivyoanza kumwongelea Rais.
@amanimlengwa9202
@amanimlengwa9202 7 ай бұрын
Unacho?
@joniajonhson2909
@joniajonhson2909 7 ай бұрын
😂😂😂 dah atakuwa nacho
@kingwandeinvestment8002
@kingwandeinvestment8002 6 ай бұрын
uyu dada ata mama samia hajaona kua ni kiongozi mwenye msimamo
@MaryamChuma-jp6nq
@MaryamChuma-jp6nq 7 ай бұрын
She looks like Celine dion❤❤♥️♥️🤍🤍🤍
@sleeprelaxation8431
@sleeprelaxation8431 7 ай бұрын
mmmh
@kaizamulinda633
@kaizamulinda633 7 ай бұрын
Exactly. I love the discovery
@user-pu6pr5jt4n
@user-pu6pr5jt4n 6 ай бұрын
So poor😢I thought there is something wrong 😂inabid utulize akili kumfaham
@lukullikiwamba6494
@lukullikiwamba6494 7 ай бұрын
Most people scare of unknown, shangazi she one of the kind … it’s not easy for ordinary person to understand her…
@htx1873
@htx1873 5 ай бұрын
Article zangu zilikua za kisomi Sanaa 😂😂😂😂 shangazi 😂😂😂 utawauwa wenzako hawajui kidhungu jamani😂😂😂
@user-wv9fb3ck5x
@user-wv9fb3ck5x 7 ай бұрын
Umeolewa Shangai nataka nikuoe
@citygraphics6670
@citygraphics6670 6 ай бұрын
Maji ya jioni dada..bye bye
@spreadlove5300
@spreadlove5300 5 ай бұрын
Is it a crime??? 😮😮 mtu hakui kurudi chini hata nawe unakwenda maji ya jioni
@abelmbijima4324
@abelmbijima4324 7 ай бұрын
Uzungu mwingi aibu
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru 7 ай бұрын
Kila mtu na makuzi kwani amemtukana mtu hatuwezi kufanana wewe chukua yaliyo mazuri kwa faida yako hakulazimishi kumsikiliza huyu ni msomi hivyo yataka utulivu kumsikiliza na siyo lazima kila mtu amwelewe
@aminattai2676
@aminattai2676 6 ай бұрын
Wakati baba yako alikua raisi kulikua na mambo mengi ya uvunjwaji wa sheria mpaka mauwaji kwa zanzibar na bara pia,ila cha kushangaza huyu mdada mwenye sura kama chupa ya konyagi hakuwahi kuwa mpinzani mpaka pale baba yake baada ya kuondoka kwenye madaraka ndio upinzani ulipoanzia,lakini hatushangai kwa ajili muamsho ilikua ni ya baba yake na kupendelea upinzani,na shemeji yake karume pia akapelekwa upinzani mansuri kwa kutegemea wametoka kwenye utawala na watarudia kwenye utawala kupitia upinzani na sasa mpaka Ali karume pia ni mpinzani munawaona watu ni wajinga
@luganolukali2638
@luganolukali2638 7 ай бұрын
Dongozuri,hazeeki.
@omarsaid673
@omarsaid673 7 ай бұрын
.
@MrKhatibu
@MrKhatibu 7 ай бұрын
Mbona Fatma hujasema baba yako alipopata urais ukataka kutumia political power ya baba yako kwa kuvamia makaburi ya wa Anglican pale Mbeni?eti ukijidai ni eneo la babu yako ilhali makaburi yapo kabla ya babu yako kuzaliwa!
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 7 ай бұрын
Shangazi yangu nikwambie tu ukweli kwenye kujieleza sifuri kabisa mbele nyuma mzunguko hata sijui interview ilikua ya jambo gani?
@hassansalum2572
@hassansalum2572 7 ай бұрын
Sasa mlaumu alouliza maswali mbona Shangazi yuko vizuri
@user-gd2xj3xd1b
@user-gd2xj3xd1b 7 ай бұрын
That's selfness
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 7 ай бұрын
Laumu uwezo wako wa kuelewa😂😂😂
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru 7 ай бұрын
​@@gibsonjosephat6352exactly sisi tumemwelewa saaana
@amanimlengwa9202
@amanimlengwa9202 7 ай бұрын
Zuzu hili
@nasirmohamed1589
@nasirmohamed1589 5 ай бұрын
Swali baba yako alikuwa rais tunajua lakini alikuwaga anatetea mashoga na washenzi kama wewe
@bimumaulid1171
@bimumaulid1171 7 ай бұрын
Big layer ni muongo hupangi foleni na upo tofauti na watanzania wengine muongo sana wala hampo public diwani tuu hapangi foleni vipi mtoto wa Raisi mlikuwa mna ulinzi mkubwa tuu
@stonedicksonkisamo809
@stonedicksonkisamo809 7 ай бұрын
Inategemea ni customer wa aina gani na amesema hajui kwa sasa.
@Kabwela776
@Kabwela776 7 ай бұрын
Mwanaharakati wa Nini ambaye amelelewa na kukuzwa kwenye system ya uchafu, ufisadi uonevu na dhuluma. Ni kizazi cha mafisaidi kizazi cha nyoka wamekuwa kwenye ufisadi na kufanyiwa kila kitu na kodi za watanzania masikini ila Leo wanawadharau hao masikini kodi zao zilizotumika kuwasomesha na kuwalisha
@yasminjuma9146
@yasminjuma9146 7 ай бұрын
Chuki tu.
@msabahaali758
@msabahaali758 7 ай бұрын
kulelewa sio ttzo unaweza ukalelewa na bado ukawa mtu mzur t
@user-gd2xj3xd1b
@user-gd2xj3xd1b 7 ай бұрын
Nabii mussa alilelewa na friaun ambae alikuwa mchafu zaidi ya KARUME na kizazi chake na alikujakuwa mwema tu kwa umma wke ko sio hoja ya msingi sana.
@Kabwela776
@Kabwela776 7 ай бұрын
@@msabahaali758 ni mnafiki mkubwa huyo
@Kabwela776
@Kabwela776 7 ай бұрын
@@yasminjuma9146 mnafiki mkubwa huyo kizazi cha mafisadi
@AdamSaffi211
@AdamSaffi211 7 ай бұрын
Siyo hawa domo, hawajui kiingereza. I really don’t know how they got their degrees. Look at Ali Kamwe wa yanga, couldn’t speak in English in front of the UK Ambassador.
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 7 ай бұрын
Your argument In this case is quite irrelevant and English mastery and proficiency has nothing to do with this conversation. Why pointing out Ally Kamwe in particular? Seems as if you have some grudges with him.
@terrence9477
@terrence9477 7 ай бұрын
Kwa hiyo elimu ni kingereza? kweli mwafrika akili yake bado iko chini sana! elimu ni english? Dah! ndio maana hatuendelei sababu tuna wrong perception of education. Koreans, Chinese, et al, they don't use english lakini maendeleo yako juu. Waafrika ambao wameng'ang'ania english kama ndio usomi, ndio wako zero kwenye maendeleo
@fatmakhanii1676
@fatmakhanii1676 7 ай бұрын
@@terrence9477kweli kabisa
@MrA24G
@MrA24G 7 ай бұрын
Terrence mzungu humkwepi utasema tuu maneno.Hyooo mchina Hong Kong katawala muingereza tusijiliwaze uongo.Aliyekutangulia kakutangulia tuu.Lugha inayotumika Kwa ku guide ndege ulimwenguni ni English why ndege zilitengenezwa na right brother's.Sasa basi kama unataka uswahili uwe juu.Hzooo suruali za mzungu unazovaa ,magari ya mzungu unayopanda na mifumo yote ya kizungu ibomoe Jenga yko ili tuone maendeleo ya mswahili si Sawa mzungu kafanya yake hayooo yameonekana ya mswahili nionyeshe mmoja tangu uambiwe uwache kuvaa ngozi ulirudi kuendelea na ngozi zako ili ujikite kwenye uswahili wako.Tuwache kujiliwaza upuuzi soma lugha ya kingereza elewa kabiliana na changamoto alizokuachia mzungu hutaki tengeneza mifumo yko ya Kiswahili ifuatwe na wengine tukuone wa maana.Tuache ujinga mpk leo tuna arguments za kijinga huku umevaa koti la mzungu jeans ya mzungu gari ya mzungu ndege ya mzungu computer ya mzungu.Bora unge argue huku umevaa ngozi ili tujue kweli unatetea uswahili midomo tuu hatuna lolote nionyeshe kitu kimoja cha muafrika Sawa tuna madini tumeyafanyia nini.Aliyewafungua akili mzungu kwamba hii ina thamani hamukuona.Mi huwa nashangaa hata viongozi baadhi ya wafrika unampinga mzungu umevaa suti ghali umeingia na Mercedes Benz Kali ya mzungu viatu vya mzungu kompyuta uliyochapiwa makaratasi ya kusema maneno ya ovyoo ya mzungu tuwe kwenye senses zetu waafrika kama hatuna jipya Bora tukae kimyaa.Hujui kingereza tembea na mkalimani.Lakini kusema kuwa oooh kuongea kingereza ni kujirudisha nyuma na tayari upo nyuma na ma professor wa makaratasi theory no practice.Hyooo mchina nyuma alikuwa kachoka kaenda ulaya kuchukuwa technology ndio maana kumkwepa mzungu bdo kizungumkuti.Mtu kama aliwahi kukutawala bro kaa kimyaaa.
@OmerSuley-gl7go
@OmerSuley-gl7go 7 ай бұрын
​@@terrence9477ndio lugha ya kimataifa na pia ni lugha ya wasomi saiv huwez kufanya kaz tz tu kuna nchi na mashirika mengine ya nje yaweza kukuchukua muda wowote Kwa iyo English lazima kwa wasomi wenye maono ya kufika mbali
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 7 ай бұрын
Jasho la menoupose limekupata Fatma unajipepea na kunywa maji, pole sana. Wanawake kuanzia miaka 45 kwenda juu hali hii ni kawaida kutoka jasho pasipo joto ushauri mywe maji mengi ni hatua ukimaliza hedhi unaingia hatua ya menopause
@johnmike6059
@johnmike6059 7 ай бұрын
Ivi jameni tusaidiane jibu ivi mwanamke mwenye makucha kama ayo ya fatuma mkono wa kusho anachamba vipi uyu anajisafisha vipi uyo au ndo usafi wa nje ndani ovyoo
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru 7 ай бұрын
Yaani wewe kuchamba tu ndiyo umeona cha maana tekinolojia iko juu sana kucheza na uchafu watu wamesahau ndiyo maana kipindupindu kinatadhibu kwa kucheza na kinyesi
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 7 ай бұрын
​@@Kwelihukuwekahuruacha kuingia mada zinazohusika na uislamu unaingia bila kujua bora ungerudi kujadili inshu ya pope kuruhusu ushoga ingekuwa Mali sana..!
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru 7 ай бұрын
@@hassanmfaume4522 hata ushoga ni uchafu tena wa hali ya juu siwezi kuunga mkono uchafu na mtu mmoja akiamua kumkufuru MUNGU haimaanishi ni watu wote na kuhusu kucha za Fatuma sijazifungamanisha na uislam kwani kuna Waislam wengi nawafahamu na wanafuga kucha na bado ni wacha MUNGU kufuga kucha na kutunza nywele ni umaridadi wa mwanamke mwanaume akifanya hayo tutamtilia shaka
@AaAa-vm8bb
@AaAa-vm8bb 7 ай бұрын
Anajisafishia mashine
@amanimlengwa9202
@amanimlengwa9202 7 ай бұрын
Kama Mimi tu nimeshasahau kujigusa Nyoro kitambo, huyu je? We bwana endelea na maisha yako ya kubebana na makopo kwenda msalani, wengine hayatuhusu.
@MegaAlexison
@MegaAlexison 7 ай бұрын
Wale kwa kina bunyoni burundi walikuwa na walinzi
@fadhilmohamoud
@fadhilmohamoud 7 ай бұрын
Uyu teja😂😂😂
@zmclassictv
@zmclassictv 7 ай бұрын
kzfaq.info/get/bejne/i7GHjdZ1zMuck3U.htmlsi=F7A1iO-vd4kKJr6h Vita kali
@omarsaid673
@omarsaid673 7 ай бұрын
.
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 55 МЛН
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 9 МЛН
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 14 МЛН
Mercy Mawia's Eulogy.. RIP 💔 😭 Mercy
5:41
Stephen Kasolo Official
Рет қаралды 20 М.
Salama Na Shangazi Ep 28 | FIRST BORN Part 1
41:43
YahStoneTown
Рет қаралды 124 М.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /22/ #love
38:39
BabaJoan
Рет қаралды 34 М.
Елдос жылап тұр: Эмоцияға толы марапаттау сәті
8:45
Qazaqstan TV / Қазақстан Ұлттық Арнасы
Рет қаралды 156 М.
WHY IS THIS SO FUNNY😂
0:15
Noogi
Рет қаралды 8 МЛН