No video

Fix You: Daktari huyu anakufundisha namna ya kutumia hela yako, ukimsikiliza huwezi kuwa Maskini

  Рет қаралды 38,590

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Dr. Makirita Amani anakupa elimu muhimu sana kuhusu fedha, matumizi pamoja na jinsi ya kupanga bajeti
#FixYou

Пікірлер: 121
@citymaxbookshoptanzania2924
@citymaxbookshoptanzania2924 Жыл бұрын
Hongera sana Makrita wewe ni SHUJAA wangu wa NGUVU ni mtu mhimu sana Tanzania 🇹🇿
@godfreya6955
@godfreya6955 Жыл бұрын
Aiseeh!! I had to remain at work so I can finish this episode. Much respect to our Coach
@tp-kh8hl
@tp-kh8hl Жыл бұрын
Acha ubahili wwe sema ulikuwa unatumia wifi ya bure ndo maana ukwenda hom ili usitumie bando lako!..
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 Жыл бұрын
Waoo hakika nimepata kitu kutoka kwa Dr. mada tam sana Irene ikikupendeza mrudishe tena 😉❤
@agathakalulu1056
@agathakalulu1056 Жыл бұрын
Asante sana Irene....kweli unatupatia vitu adim sana...hasa leo yani elim niliyoipata hadi nimejishangaaa mwenyewe daaa asante aseee🙌🙌🙌🙌
@fevactv
@fevactv Жыл бұрын
Binafsi mimi umenisaidia sana kubadilisha maisha yangu,toka zamani tupo pamoja.#coachmakrita
@mohamedmbaruku6979
@mohamedmbaruku6979 6 ай бұрын
Thanks god huu umekuwa mwaka wangu wa kutaka kaubadilika na nimekutana na hii interview nimejifunza mengi na nimesikilza za Joel nanauka kazi ipo kwangu maarifa ninayo ya kutosha. IRENE MUNGU AKUBARIKI
@sadasaid7212
@sadasaid7212 Жыл бұрын
Asante Sana kwa elimu sns! Mungu awabariki Sana!
@nathanjunior7694
@nathanjunior7694 Жыл бұрын
This is nice interview, Hii elimu vijana wengi sana wanahitaji
@beatricefrankngalubutu1448
@beatricefrankngalubutu1448 Жыл бұрын
Daah huyu jamaa ni noma hongera sana dada irine
@leoniamayco8652
@leoniamayco8652 Жыл бұрын
Duhh nimejifunza vitu vingi 🙏 thanks kaka
@sophiasophia9713
@sophiasophia9713 Жыл бұрын
Ahsante sana kwa elimu bora kabisa
@trillhappybeautypoint9874
@trillhappybeautypoint9874 Жыл бұрын
Nimekusoma haswa hapa kwenye kujilipa mwenyew barikiwa bro.🙏
@lucyjeremia1381
@lucyjeremia1381 Жыл бұрын
Doctor asante mi nina tabia nikiweka hela kwenye kibubu lazima ni bomoe lakin huu mwaka Mungu anisaidie
@omarsalum4052
@omarsalum4052 Жыл бұрын
Hhhh
@iragababien4092
@iragababien4092 Жыл бұрын
Much respect ❤you
@andrewshustle1331
@andrewshustle1331 Жыл бұрын
Asante! Kwa madini 💎 🙌
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 Жыл бұрын
Nakupenda sana dada Irene kamugisha
@hezekiamtera3559
@hezekiamtera3559 Жыл бұрын
Kuna fix costs ambazo hizo lazima ziwepo.1.Fungu la kumi 2. Umeme 3.Maji.4.Chakula 5.Usafiri wa kwenda kwenye shughuli zako.6.Nauli ya watoto kwenda shule.7.Kama wazazi wapo hai kiasi fulani.7. Ada za watoto.8.Matumizi ya simu kwa gharama ya chini.8.Kinachobaki ndio ujilipe na kufanya uwekezaji.
@agreymbwilo5874
@agreymbwilo5874 Жыл бұрын
Boss hiki unachokisema wewe ndio kila mtu anakifanya sasa hakipo sahihi kwasababu matumiz ni mengi kuliko kipato. Sasa ukiwa na uwezo wa kujilipa kabla ya kuwalipa wengine ndio unapojitengenezea nafasi ya kuhama kutoka nafasi moja kwenda nyingine. Me nlisoma hiki kitu kwenye kitabu (The Richman of Babylon) nmefanyia kazi. Niko mahali Pengine kiukweli 🤝
@JamesIzra
@JamesIzra 6 ай бұрын
​@@agreymbwilo5874kwahiyo umejifunza nn kwenye hicho kitabu
@boniphacemagese1033
@boniphacemagese1033 Жыл бұрын
Kweli leo namimi naanza
@pascalkasandakasela4541
@pascalkasandakasela4541 Жыл бұрын
Huyo ni mwamba kwenye tasnia hiyo
@ahmuhally4430
@ahmuhally4430 Жыл бұрын
Sana Namjua sana niliwahi kwenda kwenye semina zake
@FrolahMsekalile-ql4gu
@FrolahMsekalile-ql4gu 9 ай бұрын
Mmmmh da Irene sema kweli kwa kipndi hiki mmeshtua sanaaa mentality yang,,,thanks alot I learn something good.
@neemamatanga2093
@neemamatanga2093 Жыл бұрын
Du,nimejifunza Jambo. Asante.
@user-ipallangyo
@user-ipallangyo Жыл бұрын
I appreciate your work SNS, 😀
@mwasitiiddy1089
@mwasitiiddy1089 5 ай бұрын
Asanten sns nimejifunz vit vin leo
@elishamghase4559
@elishamghase4559 2 ай бұрын
Big up sana.
@johneliezeri9786
@johneliezeri9786 11 ай бұрын
Asante Dr kwa mafunzo mazuri
@danielgodfrey2449
@danielgodfrey2449 Жыл бұрын
Much respect kwa kipindi hiki
@salehsalim6052
@salehsalim6052 Жыл бұрын
Big up sis Irene ur very confident I like what ur doing 🫶👍
@irenekamugisha
@irenekamugisha Жыл бұрын
Thanks🙏
@mdoman9044
@mdoman9044 Жыл бұрын
Asante sana
@ashamutambo3189
@ashamutambo3189 Жыл бұрын
Mi niko DRC🇨🇩 napataje vitabu hibyo jamani
@Oye494
@Oye494 Жыл бұрын
Nimeoenda sana iki kipindi nimesoma sana kinanifundisha sana gisi yakutumikisha hera zangu. Kujiripa kwanza.
@johneliezeri9786
@johneliezeri9786 11 ай бұрын
Dr nimekukubali sana
@samwelchotola8149
@samwelchotola8149 Жыл бұрын
Hutu ni mwalimu wangu mkubwa sana yani karibia vutabu vyake vyote ninavyo najifunza kila siku kutoka kwake
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Жыл бұрын
Asante sana 😍
@redmioman4371
@redmioman4371 Жыл бұрын
Jamani mungu awabariki
@aishaamwalimu2887
@aishaamwalimu2887 Жыл бұрын
Ahsante Sana.
@trillhappybeautypoint9874
@trillhappybeautypoint9874 Жыл бұрын
Respect kwako mdg wangu 🙏
@nickylyanga2139
@nickylyanga2139 Жыл бұрын
Kwa umri wako vitabu 30 ...Nina mashaka na Experience Yako ...any way😊
@GilbertNkitoz
@GilbertNkitoz 3 ай бұрын
Wueh! Sasa mimi napata hiki baada ya mwaka?
@AmigoTv7
@AmigoTv7 Жыл бұрын
Nimeangalia Mara mbili mbili hii maana inahamasisha saana
@andrews_kodeson
@andrews_kodeson Жыл бұрын
Jama mbaya sana
@user-gp3cv9pk8u
@user-gp3cv9pk8u 7 ай бұрын
Make your books audio-more people can utilize/listen even during working hours & easy to revisit @ any environment-gym, office,leisure, travel,etc ! Reading can be impeding at times.🤷🏽‍♀️
@lucialaurent-nq2zf
@lucialaurent-nq2zf 6 ай бұрын
Huyu kaka ni mdogo lkn ana akili sana❤❤
@cocotz1892
@cocotz1892 Жыл бұрын
Nimependa anafundisha vizuri
@johnchristopher8583
@johnchristopher8583 Жыл бұрын
Sio mara zote gari linakuwa liability, na sifa ya asset sio kuingiza tu income.
@marykennedymarwa1641
@marykennedymarwa1641 Жыл бұрын
Ulaya tumewekewa system ya (pension servings) ambayo huwezi kuwithdraw Kwa muda wa miaka Fulani uliyowekewa. Japokuwa tunaishi Kwa credit but hiyo pesa unahakikisha inatolewa automatic .
@tanzaniacarschannel6975
@tanzaniacarschannel6975 Жыл бұрын
Having a liability as a means of facilitating deals chasing sio shida..but liability iwe na minimum costs..so kama ni basi gari nunua hybrid car ambayo ina very low running costs kuliko hata bajaj
@user-mj7gq3hq7k
@user-mj7gq3hq7k Жыл бұрын
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 Жыл бұрын
Ipo sawa
@irakozegracia183
@irakozegracia183 Жыл бұрын
Ubalikiwe sana kaka wacha nimtumie mpenzi wangu ajifundishe na yeye
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@omarmahirizi-km8dc
@omarmahirizi-km8dc 11 ай бұрын
Dada naomba katika hili somo jaribu pia umlete joel nanauka atufundishe hili somo naona joe ni mwalimu mjuzi zaika Ana ufasaha wa kuongea zaidi
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 11 ай бұрын
Ngoja niskilize kwa makin
@jennifermmanyema6693
@jennifermmanyema6693 8 ай бұрын
Juzi Kati nimeokota laki Tatu yaan nilichokinunua cjakuon yaan ningeingz hat kweny cement inanium Sana 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢bora ningewek bank
@peninashungu6633
@peninashungu6633 Жыл бұрын
Nimejifunza
@gildasnyaki3812
@gildasnyaki3812 Жыл бұрын
Daah mkali Sana
@mussafoum6562
@mussafoum6562 Жыл бұрын
Nice one 💯💯💯
@rahaytv26
@rahaytv26 5 ай бұрын
🎉🎉🎉
@TradersEasyWay
@TradersEasyWay Жыл бұрын
Irene sisi ambao tuko nje ya nchi tunaomba namba zake za whatsap
@stephenmbwana603
@stephenmbwana603 Жыл бұрын
Nikiitaji hicho kitabu nakipataje
@kiumbekiumbe4711
@kiumbekiumbe4711 Жыл бұрын
What if you live outside the country how can we get the book 📕?
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 Жыл бұрын
Good question.
@habibubinmoss72
@habibubinmoss72 Жыл бұрын
Sema doctr anafeli hana social media
@adkajisi4536
@adkajisi4536 Жыл бұрын
Ni Dr wa binadamu?
@knowledgetv5594
@knowledgetv5594 Жыл бұрын
Mtafute KZfaq yupo majina, Dr Makirita Amani.
@belindalowasa2819
@belindalowasa2819 Жыл бұрын
❤❤❤❤😊😊🎉
@marrykamera611
@marrykamera611 Жыл бұрын
Me binafs nimekuelewa sana
@annastaziaemmanuel8664
@annastaziaemmanuel8664 7 ай бұрын
Vitabu vinapatikana wapi?nakihitaji hicho
@susans4490
@susans4490 Жыл бұрын
Huyu Dr. Serious kidogo utani na kucheka sana
@Happy-tx7p
@Happy-tx7p Жыл бұрын
Dada napata vip namb yk na mkasa nilitaman nikuambie uweze nitafutia ushaur
@victorwilliam9987
@victorwilliam9987 Жыл бұрын
nina uhakika asilimia 100 huyu jamaa ni mchaga😄 anyway nitawarudia kucoment baaada ha mwaka mmoja.
@alexjustin2788
@alexjustin2788 Жыл бұрын
mangi nimekukubali.
@user-op5gz7vj6w
@user-op5gz7vj6w 10 ай бұрын
❤❤❤❤
@syprianfrank3283
@syprianfrank3283 Жыл бұрын
Jamaa yuko vizur lakin anapita kwa rich dad poor dad Naisi rich dad poor dad ni kitabu kinachoeleza kila kitu kuhusu fedha
@daudmadaha4168
@daudmadaha4168 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 rich dad poor dad ndo namalizia kusoma
@izobinyoizobinyo
@izobinyoizobinyo 7 ай бұрын
😂😂copy
@mwasitiiddy1089
@mwasitiiddy1089 5 ай бұрын
Unakipat wap
@nickylyanga2139
@nickylyanga2139 Жыл бұрын
Tatizo hamsem ni wapi tunavipata hata tuliopo mikoani
@irenekamugisha
@irenekamugisha Жыл бұрын
Ametoa namba yake unaweza kumcheki
@atomphoton5000
@atomphoton5000 Жыл бұрын
sasa kama Gari ni liability kwa maana ya kuwa ukishainunua inatumia pesa na haingizi pesa yeyote. sasa kwa mtiririko huo wa kufikiria, swali ni je, watoto pia ni Liability?
@GUSAMEDIA
@GUSAMEDIA Жыл бұрын
Liability sio kitu kibaya
@GUSAMEDIA
@GUSAMEDIA Жыл бұрын
Kuna liability za kuepuka na kuna ambazo haziepukiki
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 Жыл бұрын
@@GUSAMEDIA wow 👌 👏
@Mpakauseme
@Mpakauseme Жыл бұрын
NDIO
@knowledgetv5594
@knowledgetv5594 Жыл бұрын
Liability ni chochote kisichokuzalishia faida. Kama una gari na unalitumia kwenda kazini na linasave pesa ambayo ungeilipa kwenye daladala nk, lakini pia, unakuwa kama ni usafili wako wa haraka kukufanya kuwahi kutimiza majukumu yako. Liability kwa Gari ni ile hali ya kutumia gari kwa starehe binafsi zisizo na faida yoyote ile.
@allybakari7888
@allybakari7888 Жыл бұрын
aisee umeuliza swali zuli saana
@mwasitiiddy1089
@mwasitiiddy1089 5 ай бұрын
Vitab tunatoa wap
@khadijashabaninimba7890
@khadijashabaninimba7890 Жыл бұрын
Tunawezaje kupata hivyo vitabu
@irenekamugisha
@irenekamugisha Жыл бұрын
Mwishoni alitaja namba yake
@cosmaslunyembeleka251
@cosmaslunyembeleka251 Жыл бұрын
Vitabu vinapatikana wapi
@lillianapondi2175
@lillianapondi2175 Жыл бұрын
I have a question, What is I want to buy a piece of land and I don't have money. Is it ok if I take a loan to buy a land
@irenekamugisha
@irenekamugisha Жыл бұрын
How long it will take for the land to appreciate in value, matters when making such a decision
@adolphmarimbo7731
@adolphmarimbo7731 Жыл бұрын
Vitabu tutapata wapi
@Oye494
@Oye494 Жыл бұрын
Jina Kamugisha ina origine ya Rwanda. Sasa nimetaka kujuwa kama Kamugusha iko na origine Rwandaise ao?
@lucyjeremia1381
@lucyjeremia1381 Жыл бұрын
vitabu tunavipataje jmn
@irenekamugisha
@irenekamugisha Жыл бұрын
Ukisikiliza kipindi mpaka mwisho, alitaja namba!
@ireneassey2022
@ireneassey2022 Жыл бұрын
Vitabu vinapatikn wap
@Bob-kz2ql
@Bob-kz2ql Жыл бұрын
Wap muongozo wa bilionaire😂😂😂😂😂😂 dah ni njia ya kutengeneza pesa tu maana yy ni muandishi ila utajiri ni nidhamu yako kwa ujumla kuanzia ndani na nje…huyo dokta kwan ni billionaire😂😂 mamae
@zaharamwaruka3138
@zaharamwaruka3138 Жыл бұрын
Mimi binafsi naomba no ya Makita nafeli kila cku biashara zinakufa
@izack9191
@izack9191 Жыл бұрын
Kwanza anajiusisha na biashara gani na anapesa ngapi kwa account yake
@elimidakashumba2422
@elimidakashumba2422 Жыл бұрын
Hata kama huoni, je husikii?
@estermahenge5972
@estermahenge5972 Жыл бұрын
@@elimidakashumba2422 atakua ana vyote 😄😄😄
@user-pr5sl2qe4r
@user-pr5sl2qe4r 7 ай бұрын
Mm niko Omn, wapi ntapata hivyo vitabu?
@ADMIN-yo7wu
@ADMIN-yo7wu Жыл бұрын
Irene asante sana kwa kumleta mtu huyu, kwa sababu ana vitu vingi sana, sisi tuliyosoma vitabu vyake tuna ushuuda mzuri zaidi, Ombi langu, ukipata nafasi muite kwenye fix you mtu mmoja anaitwa Joel Nanauka, naye ana maajabu yake kwenye angle hiyo ya masomo ya maisha.
@irenekamugisha
@irenekamugisha Жыл бұрын
Nitafanya hivyo
@abdulazizbrek4980
@abdulazizbrek4980 Жыл бұрын
Uyu jamaa yake you tube channel inaitwa?
@irenekamugisha
@irenekamugisha Жыл бұрын
Hana KZfaq channel
@knowledgetv5594
@knowledgetv5594 Жыл бұрын
Anayo KZfaq chanel yake, mtafute ni mtaalamu mno. Jina analotumia KZfaq ni, Dr Makirita Amani.
@abdulazizbrek4980
@abdulazizbrek4980 Жыл бұрын
@@knowledgetv5594 poa shukran
@Mpakauseme
@Mpakauseme Жыл бұрын
Asante sana
@belinakabunduguru
@belinakabunduguru Жыл бұрын
Dada Iren huyu coach tunaweza kupataje namba yake ya wasap
@redmioman4371
@redmioman4371 Жыл бұрын
Jamani mungu awabariki
@salehsalim6052
@salehsalim6052 Жыл бұрын
Big up sis Irene ur very confident I like what ur doing 🫶👍
Unveiling my winning secret to defeating Maxim!😎| Free Fire Official
00:14
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 9 МЛН
白天使选错惹黑天使生气。#天使 #小丑女
00:31
天使夫妇
Рет қаралды 14 МЛН
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 4,6 МЛН
NAMNA YA KUPIGANA NA UMASIKINI KAMA ROHO   2
58:30
Mch. Raphael Joshua
Рет қаралды 1,5 М.
Aina 5 Za Watu Muhimu - Joel Nanauka
1:02:23
Joel Nanauka
Рет қаралды 164 М.
Elimu ya fedha ambayo hautoipata darasani.
54:16
Michongo podcast
Рет қаралды 8 М.