FRIJI BOVU : TOBAAH!! SIMBA BADO HAWAJAMALIZA USAJILI |MAGORI ATHIBITISHA HATIMA YA KRAMO ..

  Рет қаралды 6,192

Data Sports Tv

Data Sports Tv

Ай бұрын

Пікірлер: 13
@edwardmbonika5102
@edwardmbonika5102 Ай бұрын
Mohamed Abrahaman angetufa sanaa Simba
@user-qd2hf5dl5n
@user-qd2hf5dl5n Ай бұрын
Kwl kaka umenena kwl kwa sababu inatakiwa wafanye hivyo wa mpe mwaka mmoja maana huyo mchezaji mzuri anauwezo mzuri anaweza akafanya vzr zaidi na wakashangaa hiyo dhahabu wasitupe wawe na.subira kwa huyo mchezaji atawasaidia
@user-qd2hf5dl5n
@user-qd2hf5dl5n Ай бұрын
Kabisaa kaka wampe mda huyo mchezaji wanawezawakajutia kumuacha kramo hiyo ni Mali kaka huwezi ukamlinganisha hata nafred kramo.anakiwango kizr zaidi ya Fred cobra hana kiwango.ana bahatisha tu nakufunga.huyo Co streka wakukupa matokeo huo ni mzigo utakuja kuniambia wanaacha wachezaji.wazuri wanabakiza mizigo ya wachezaji Fred Co ni galasa nakuunga mkono.kaka Fred hamna kitu hapo utakujaniambia nipo hapo.pembeni nasikilizia
@MartinMsanga
@MartinMsanga Ай бұрын
Mimi Martin Msanga kutoka Kalambazite Sumbawanga Rukwa chondechonde viongozi wa Simba nibora wamtoe Onana Kwa mkopo kulikokumtoa Cramo,Cramo abaki Simba atatusaidia Sana.
@user-gh9uh7rm2e
@user-gh9uh7rm2e 4 күн бұрын
Je Fredi naye akibadilika itakuwaje?
@salimusemkuya3086
@salimusemkuya3086 Ай бұрын
apana hatutak ku risk tena simba inatakiwa ipate wapambanaji amabao wapo active
@DandiGadafi
@DandiGadafi Ай бұрын
moja ya kitu ambacho simba watakuja kukijutia ni kumuacha kramo na kumbakishs onana au fred.au wote fred na onana.
@khamismahmod2740
@khamismahmod2740 Ай бұрын
Ni kwel viongoz wetu hamusthili kumuacha kramoo
@jacksonmofulu9336
@jacksonmofulu9336 Ай бұрын
Nawashauri Simba wasimuache Kramo aende popote waache mihemko dube aliumia akatibiwa na anacheza kramo ni mchezaji mkubwa tusimpoteze kwa sababu za kitoto hivi Onana hana uwezo wa kramo chukueni hii tumeamua kushindana tusiachie wachezaji wazur kizembe hivyo
@LetasKomba-br1xh
@LetasKomba-br1xh Ай бұрын
Onana Hana kiwango Cha ushindani ni bishoo Tubaki na Cramo chonde mtakuja kuniambia kuwa nilisema kweli juu ya Cramo
@cosmasthomas9164
@cosmasthomas9164 Ай бұрын
Kwangu bora wamtoe kwa mkopo wa miezi sita,halafu akifanya vizuri arudishwe kikosini.tuna mifano mingi ya wachezaji waliopata majeruhi na wakashindwa kurudi kwenye kiwango
@LetasKomba-br1xh
@LetasKomba-br1xh Ай бұрын
Cramo ni mchezaji mzuri wasimtoe Kwa mkopo anaejua anajua tu chukueni mfano wa Shomary kapombe
@VehaelMmari
@VehaelMmari Ай бұрын
Cramo abaki, alafu boresheni camera zenu picha mbayaa!
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 32 МЛН
Meet the one boy from the Ronaldo edit in India
00:30
Younes Zarou
Рет қаралды 10 МЛН
Lehanga 🤣 #comedy #funny
00:31
Micky Makeover
Рет қаралды 27 МЛН
ZA-NDAANI | MZEE WA KUDERE MPANZU NA SIMBA MAMBO SI MAMBO 🔥🔥
7:00
TETESI ZA USAJILI
Рет қаралды 85 М.
200IQ Free Kicks🤯🔥
0:17
Best Football Shorts
Рет қаралды 4,2 МЛН
Китаянка не понимает, зачем КУСАТЬ медаль
0:21
Собиратель новостей
Рет қаралды 3,2 МЛН
опозорились на олимпиаде в париже🥵
0:15
sila_pelmeney💪
Рет қаралды 5 МЛН
НЕЙМАР со ДВОРА РАЗДАЛ
0:29
Слава Черненко
Рет қаралды 546 М.