Ingekua ni taraab yaimbwa wengi wengienuka wakamtuza muimbaji ila ustadh anatoa visa va mitume hakuna hata mmoja kimemgusa akamtuza ustadh Allah akupe umri na afya inshallah
@bellbell92943 жыл бұрын
Shukraan Sana sheikh wetu Allah akuhifadhi naakujaalie jannah firdaus Aamiin
@haidarihondo44755 жыл бұрын
allah akulipe pepo shekh anwar
@KingKhan-us8dt Жыл бұрын
Jazzaka lau kher allah akuzidishie malamia ya icho kidogo ambacho umetufikishia
@fatumjumaa55633 жыл бұрын
kisa kizuri mungu akuhifaadhi
@aligmoha90155 жыл бұрын
Allah akuifadhi sheikh wetu
@hajiothmanali63243 жыл бұрын
Mashaallah sheh Allah akulipe lenye heri na wewe
@aligmoha90155 жыл бұрын
+254 tunakukubali sheikh anuar
@punguwasasa79755 жыл бұрын
Mashallah...
@dasilvajunior30164 жыл бұрын
Kumbe SHK ni shabiki wa Liverpool 😄😄😄
@altafabdulla77425 жыл бұрын
Mashaallah shehe anuwar
@neemainabikorwa55703 жыл бұрын
Jazzaka Allahu kheir
@minaminaa16695 жыл бұрын
MashaAllah
@asiamchingama24845 жыл бұрын
Masha Allah
@musalumbi84904 ай бұрын
Maashaa Allah!
@nickbrown83504 жыл бұрын
Mashaallah shekhe
@jumasungura56223 жыл бұрын
Mashaallah
@imranbanda396310 ай бұрын
Allahu Akbar
@shabanimohamedi98183 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akulinde shehe
@alhabibyahyabinkibwana94305 жыл бұрын
Maashaallah
@issamarijani35245 жыл бұрын
Maashbllah
@khadijaomarkhadijaomar62712 жыл бұрын
Maashaallah subhanallah Allah Akbar
@michaelgyunda36354 жыл бұрын
Fundi
@nohatredbutlove57865 жыл бұрын
Sheikh kisa kizuri maashallaah, lakini inaonyesha ushakizoea sana, hivyo hata huihusishi sana akili yako wakati unapokisimulia. Uwe makini kwa maana kuna vitu kadhaa umevisimulia tofauti na uhalisia wake.
@ibrahimharuna98213 жыл бұрын
Alhamdulillah kwako nurse.maana tabu ya kuzoea mawaidha no kuingiza vitu ambavyo niva kuchekeaha Zaid ya uhalisia wake,na wanaosikiliza wataondoka na anachokisema.