No video

FULL VIDEO: Rais Magufuli afanya ziara ya kushtukiza Airport Terminal 3

  Рет қаралды 230,833

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo February 08 2017 amefanya ziara ya kushtukiza katika mradi wa ujenzi wa jengo jipya la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam (Terminal 3) na kuagiza shughuli za ujenzi wa uwanja huo ziendelee kuanzia kesho.

Пікірлер: 70
@omarykhamis3356
@omarykhamis3356 5 жыл бұрын
Raisi huyu bwana n noma sana namkubali sana kama wamkubali nawe gonga like hap
@andrewasagwile7162
@andrewasagwile7162 7 жыл бұрын
Ogopa sana kudanganya kitu kwa mtu ambaye ni professional kwa kitu hicho utaumbuka mheshimiwa Raisi Hongera sana be blessed honorable
@hawawezidianakukushusha756
@hawawezidianakukushusha756 7 жыл бұрын
yaani huyu Rais cjui alichelewa wapi jamani hawa ndio watu tunaowaitaji ktk uwongozi bg up mzee magu
@tuphujekumuhkunonyiile3739
@tuphujekumuhkunonyiile3739 5 жыл бұрын
Walikuwa wanambana nauwaziri sasa kumbe mwenzao alikuwa anasoma nyakati zanchi sasa matumbo joto waliompisha
@hassankayla4076
@hassankayla4076 7 жыл бұрын
Ukiona watu wanakushangilia ujue wamekuelewa na hata mm pia nimekusoma mzee #MAGUFURI nyoosha njia baba
@mimifulani948
@mimifulani948 7 жыл бұрын
rais huyu muacheni tu walah duh noma san jpm 💪💪👏
@jakayapombe4056
@jakayapombe4056 7 жыл бұрын
yaaaaaàaani rais wewe mungu akujalie sana
@azizayassin3623
@azizayassin3623 7 жыл бұрын
yaan ukikurupuka na hchi kichwa ujuwe imekula kwako hpa kazi tooo ki dhungu nayoooooo safiiii
@allymapinda8804
@allymapinda8804 7 жыл бұрын
Wezi washapiga mabilioni tayari, Bongo bwana! Ila kwa umakini alionao jembe JPM kitaeleweka tu, Kikwete alikua hana habari watu wale jinsi wanavyotaka he did´t bother nothing.
@ummyissa4622
@ummyissa4622 7 жыл бұрын
watamkumbuka
@barakaelbernard3722
@barakaelbernard3722 5 жыл бұрын
pambana JPM baba pambana ya hela yote. wataelewa tu
@Digitalhhhhhgfgg
@Digitalhhhhhgfgg 5 жыл бұрын
@@ummyissa4622 yaaan alikuwa afai kabisaa tungejenga uwanja. Kama wa Qatar airport
@gaspershirima103
@gaspershirima103 7 жыл бұрын
Ahsante mzee wa Mubashara
@joycemichaellovelove2221
@joycemichaellovelove2221 7 жыл бұрын
shukran sana Mtu wang wa nguvu hulal husinzii unahakikisha unatuhabarisha kila kitu💪 Mr president 👏👏🙌
@andrewasagwile7162
@andrewasagwile7162 7 жыл бұрын
Wakumuombea aishi miaka mingi huyu raisi
@jaycee9067
@jaycee9067 7 жыл бұрын
I like this move. Terminal 2 inatia aibu.
@maxzitatu1617
@maxzitatu1617 7 жыл бұрын
Mheshimiwa mi Nimeielewa sana hiyo kofia yako..
@ummyissa4622
@ummyissa4622 7 жыл бұрын
Max Zitatu 😂😂😂🙌
@explorelondon3695
@explorelondon3695 3 жыл бұрын
I will miss his smile a lot😢🙏
@sphrb1063
@sphrb1063 7 жыл бұрын
mungu akupe heri daima
@azizayassin3623
@azizayassin3623 7 жыл бұрын
sph rb ameen ameen
@mara-cb3gx
@mara-cb3gx 7 жыл бұрын
kazi juu ya kazi
@wisdomconqueror3045
@wisdomconqueror3045 7 жыл бұрын
Nice Presdaah..!!
@user-de7nf8pp3w
@user-de7nf8pp3w 7 жыл бұрын
maguful nakuona nakuona kama kawaida yako ziara za ghafla magufulization
@mamatuishi-mamatuondoke8822
@mamatuishi-mamatuondoke8822 7 жыл бұрын
Hapa kazi tu
@myoutubecom-gg7sb
@myoutubecom-gg7sb 4 жыл бұрын
MashaAllah mujitu akuhifadhi. Leta raha baraka mzee magufuli
@justinekimaro2737
@justinekimaro2737 7 жыл бұрын
SAFI UNA UZALENDO WA KWELI
@joelnassari105
@joelnassari105 7 жыл бұрын
Congratulations Presdent JPM
@YamunguYb
@YamunguYb 7 жыл бұрын
Safi sana rais wetu
@kassimjeilan58
@kassimjeilan58 6 жыл бұрын
Much respect to Mr .President
@jacobleonard2129
@jacobleonard2129 7 жыл бұрын
vamia baba ukitoa taarifa watakudanganya baba angu
@deongalo2034
@deongalo2034 7 жыл бұрын
Kweli inaumiza sana ni vyema tukawaita watathmini wa kimataifa waje nao wajionee ukweli mbona hela za rada zilirudishwa? Hii itaisaidia Nchi ili tutakapowaambia hatuna pesa za kulipa madeni watuelewe.Tunataka dola lenye nguvu,heshima na uwajibikaji.Hongera sana uongozi wa awamu ya tano kurudisha hadhi ya DOLA.
@felixjilalajilala8398
@felixjilalajilala8398 7 жыл бұрын
mweshimiwa nakuelewa sana
@japhetjoachim9925
@japhetjoachim9925 3 жыл бұрын
The man has gone forever
@kombosalehekombosalehemgan7570
@kombosalehekombosalehemgan7570 7 жыл бұрын
safi sana
@issaramadhan3941
@issaramadhan3941 7 жыл бұрын
Na Bado Hii ni Trela Picha Bado Acha Awaonyeshe Kazi
@eliphaziamon8794
@eliphaziamon8794 6 жыл бұрын
Duuu fanyeni michezo yenu ya ujanja sio kwa mzeee wetu magufulu ,hicho kichwa sjawah ona, mungu akulindeeee baba
@jisamjoseph4558
@jisamjoseph4558 2 жыл бұрын
Man of the people umetuachia mzurulaji tu
@innocentnkunguz2857
@innocentnkunguz2857 5 жыл бұрын
Waambie ukweli hao
@jimmymusti165
@jimmymusti165 7 жыл бұрын
safiii sana my rais
@saulmwakyusa1001
@saulmwakyusa1001 7 жыл бұрын
watu wengine wanamkosoa wengine wanamshangiria duh ila kwa upande wangu magu akiwa anaongea anaongeaga point tu lkn maamuzi yake tu ndo siyaelewi
@agnesmasaki5069
@agnesmasaki5069 7 жыл бұрын
piga Kazi baba
@ashamkuchika7494
@ashamkuchika7494 7 жыл бұрын
Sana baba
@inclyrics4384
@inclyrics4384 7 жыл бұрын
eh hyo nmeipenda
@mwamengele
@mwamengele 7 жыл бұрын
safi Mr president
@noronhacompanylimited5370
@noronhacompanylimited5370 4 жыл бұрын
Kiongozi tuliyemtaka tumempata hatuna budi kumuongezea muda zaidi, Naomba Naomba Naomba sana Mheshimiwa Rais Magufuli aongezewe muda angalau miaka 20 katiba sio Msahafu Ibadilishwe!!!!!!
@afropanorama4730
@afropanorama4730 7 жыл бұрын
ndio mh.rais
@rajabukulandea827
@rajabukulandea827 7 жыл бұрын
big up Mr President
@juliuskatemi6816
@juliuskatemi6816 7 жыл бұрын
ponesha nchi hii ilikuwa hatarin kukwama
@fbr5113
@fbr5113 7 жыл бұрын
WALIFIKIRI NGUVU YA SODA KUMBE NI ZAIDI YA TINGATINGA
@chrisbee7876
@chrisbee7876 7 жыл бұрын
ngoja namimi nikatafute iyo kofia maaana ipo poa
@shadymbuki87
@shadymbuki87 2 жыл бұрын
R.I.P JPM WETU..
@salvatoryeliezely6040
@salvatoryeliezely6040 7 жыл бұрын
Mzee we kck cha ukweli
@Digitalhhhhhgfgg
@Digitalhhhhhgfgg 5 жыл бұрын
Yaan huu mradi ungeaanza kujengwa kwenye utawala wako tungepata uwanja mkubwa Sanaa na ungemalizika mapema sanaaa lakini daaah
@josephnchunga3019
@josephnchunga3019 5 жыл бұрын
Huyu ndie rais
@aliyrashid6743
@aliyrashid6743 5 жыл бұрын
Congrajulation my pre
@metalcombat4470
@metalcombat4470 7 жыл бұрын
cool!
@zungubakathir1761
@zungubakathir1761 6 жыл бұрын
Hhhhhh walaji wengi tanzania
@hamisiliwoko9736
@hamisiliwoko9736 4 жыл бұрын
Magumu nangurukuru lindi
@mikechali1052
@mikechali1052 4 жыл бұрын
Raiti wangemuinga
@kulwaabdulrahman6196
@kulwaabdulrahman6196 5 жыл бұрын
mzee ameamua !!!!!! fanya mzee tumbua kabisaa🔯🔯🔯🔯🔯
@justinnoderosa9
@justinnoderosa9 7 жыл бұрын
mzee iyo sio ajira iyo ni kibarua......sifa ya ajira ni mkataba kuna alo sign mkataba ata mmoja kati y hao.....
@davidrugabuka3222
@davidrugabuka3222 7 жыл бұрын
wewe kijana ajira sio mpaka usaini hapa , ukipata kazi filmradi upate mshahara iyo ni ajira usimkosowe Rais kinyeji , jifunze kiswahili
@officialkinghezekiah2094
@officialkinghezekiah2094 7 жыл бұрын
Justinno Derosa hakuna ajira apo iko n kibarua,hakuna kiswahil zaid y hiko upo sahihi
@officialkinghezekiah2094
@officialkinghezekiah2094 7 жыл бұрын
David Rugabuka kwaio ukipewa kazi y mda kma iyo y ujenz w nyumba n ajira kw tafsir y kiswahil chako
@jelasnkoma4240
@jelasnkoma4240 7 жыл бұрын
ziara ya ghafla? kwahiyo anatembea na vipaza sauti?
@fafi9092
@fafi9092 7 жыл бұрын
Yan magu atak watu wale marupurupu khaa utauwa baba
@zungubakathir1761
@zungubakathir1761 6 жыл бұрын
Mchi inaendeshwa kwa kiki siasa imefunika muzic hhhhhh nyimbo zengine bwana
@edwardedgar2911
@edwardedgar2911 7 жыл бұрын
haaa haaa tz hiyooo ashapigwa muheshiimiwaa
@charlesmagere9020
@charlesmagere9020 7 жыл бұрын
mheshimiwa pole.....
ZIARA YA RAIS DKT.JOHN POMBE  MAGUFULI MKOANI RUKWA
8:13
Ikulu Tanzania
Рет қаралды 19 М.
My Cheetos🍕PIZZA #cooking #shorts
00:43
BANKII
Рет қаралды 28 МЛН
Can This Bubble Save My Life? 😱
00:55
Topper Guild
Рет қаралды 84 МЛН
طردت النملة من المنزل😡 ماذا فعل؟🥲
00:25
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 19 МЛН
Rais Magufuli afanya ziara ya kushtukiza Terminal One JNIA Mei 13,2016
17:24
JPM ALIVYOWAKA KUHUSU MAKONTENA KUCHELEWA
8:38
Millard Ayo
Рет қаралды 352 М.
KIPINDI MAALUM CHA ZIARA YA RAIS DKT MAGUFULI BANDARINI SEPT 26,2016
34:35
Rais Magufuli ametaja mshahara wake leo
12:08
Millard Ayo
Рет қаралды 440 М.
Rais Magufuli afanya ziara ya ghafla Wizara ya fedha Nov. 6, 2015
14:29
Maamuzi magumu aliyowahi kuyafanya Rais Magufuli katika uongozi wake
12:53
Mwananchi Digital
Рет қаралды 605 М.
My Cheetos🍕PIZZA #cooking #shorts
00:43
BANKII
Рет қаралды 28 МЛН