RAIS DKT MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA KATIKA OFISI ZA GAZETI LA UHURU NA MZALENDO mp4

  Рет қаралды 1,148,588

Adam Gille

Adam Gille

7 жыл бұрын

Rais na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Dkt.John Pombe Magufuli, leo tarehe 19 Sept,2016 afanya ziara ya kushtukiza katika ofisi za Magazeti ya Uhuru na Mzalendo jijini DSM

Пікірлер: 203
@tausifungameza947
@tausifungameza947 6 жыл бұрын
Nimempenda sana huyo Dada alikua anatambua uwepo wamarehem mungu akuzidishie
@sarahlydia2635
@sarahlydia2635 4 жыл бұрын
Asante dada mungu akubariki
@johnnasunga55
@johnnasunga55 5 жыл бұрын
I have never seen some one who solves issues directily and much knoledge used like President John Pombe Magufuli may God Bless you so much
@jumanesaidi7635
@jumanesaidi7635 6 жыл бұрын
Huyu mama amekaa vizuri kiutawala, anatissha, ana hatari, namuogopa, Mungu awe naye.
@Kundaimana9103
@Kundaimana9103 5 жыл бұрын
Rais DKT Magufuri nakupenda sana kazi unafanya iko sawa
@jafaripilly3594
@jafaripilly3594 6 жыл бұрын
Hugo Dada anaewatetea familia ya malehem Yuko vizuri maana anajiamini sana.
@otivo15
@otivo15 4 жыл бұрын
wololo I fell in love with that lady anaetetea family of the late. God bless you mama
@gospalflavour7304
@gospalflavour7304 7 жыл бұрын
Upo vzr sana mzee wetu.hakika wewe ni Jembe. Unafatlia sana mambo kwa kina. mungu akupe maisha marefu. Ila kwa mfumo wako huu.kabla huja take action jitahidi sana kuwabana wanaokupa taarifa ziwe na usahihi ili kama kunamtu anastahili kuhukumiwa basi ahukumiwe kulingana na uhalisia wa makosa yake. Apo sidhan kama kutakuwa na dosari yoyote. piga kazi mzee wetu
@costantneathanas8809
@costantneathanas8809 7 жыл бұрын
Joel Justin Mhavile g
@christophercheruiyot5755
@christophercheruiyot5755 5 жыл бұрын
Thank you mr president for listing to your people
@DottRoBroc
@DottRoBroc 3 жыл бұрын
I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. I agree about Magulification of Africa!
@adelinekombe9660
@adelinekombe9660 6 жыл бұрын
Hapo nimempenda bure huyo dada anaye tetea haki ya marehemu.
@emmanuelmogela5871
@emmanuelmogela5871 6 жыл бұрын
wanaume wanatetemeka mwanamke anajiamini
@paulmajaliwa2798
@paulmajaliwa2798 6 жыл бұрын
Nakosa hata neno zuri la kumpongeza Rais wangu#John Joseph Pombe MAGUFULI.
@selemanjuma785
@selemanjuma785 5 жыл бұрын
Kama umekoswa neno la kumpongeza bas ata kumuombea aishi miaka mingi zaidi inatosha, naimani hakuna kama yeye tena mbele yake vinginevyo ni kudanganyana2
@dennok3357
@dennok3357 4 жыл бұрын
Badilisheni katiba aongezewe kipindi kingine cha kuongoza, yeye ni sauti ya waliofinyiliwa na wanyonge
@hdhdbdh26
@hdhdbdh26 6 жыл бұрын
dr jpm tunakushukuru kwa kazi zako nzuri mungu akuongoze
@happymsaki1720
@happymsaki1720 4 жыл бұрын
Ila jamani watanzania mnataka JPM awape nini hebu ona huo UBADHILIFU ULIOFANYWA NA HAO wakina VIONGOZI WA NYUMA YAANI 😭😭😭😭 viva JPM 2020
@hindisaidi5097
@hindisaidi5097 6 жыл бұрын
afya ya raisi wetu ni nzuri .kwa hio anaweza kutembea atakavyo.mungu ampe afya njema aendelee kufanya majukumu.tungechagua wagonjwa tungeshuhudia uwongo na uvivu tu.
@mariamustapha1677
@mariamustapha1677 5 жыл бұрын
Mbona wengine wametoa macho au wanahusika kuuza skirepa?
@sangolocaleb4202
@sangolocaleb4202 7 жыл бұрын
Rhoda Kangero ..huyo dada anayetete familia ..big up my campus classmate!
@sifasanga7866
@sifasanga7866 7 жыл бұрын
sangolo caleb amenifurahisha mwanamke ana akiri sana huyu
@kamwene
@kamwene 7 жыл бұрын
Sana tuu. BIG UP
@shilangonya1546
@shilangonya1546 6 жыл бұрын
sangolo cale
@shilangonya1546
@shilangonya1546 6 жыл бұрын
Mheshimiwa rais wetu hongera kwa kazi nzuri ya kutuongoza watanzania wanaokuchukia bila sababu za msingi ni wengi lakini huwa hawakosekani hao hata walio mtesa kumpiga na kumchukia yesu kristo hawakuwa na sababu ya msingi majukumu mema rais wetu
@kauzeniabdi2716
@kauzeniabdi2716 5 жыл бұрын
Hongera rais magufuli
@sherylcarlos2580
@sherylcarlos2580 5 жыл бұрын
Magufuri Oyeeeeee Asante sana magu
@stellanestory7022
@stellanestory7022 7 жыл бұрын
safi rais mungu akulinde
@habibadhikr9406
@habibadhikr9406 4 жыл бұрын
Poleni Sana mungu mlinde rais wetu kwa utendaji wake wa kazi kama amli yangu aendelee maisha yake ypte
@princshammah5700
@princshammah5700 4 жыл бұрын
Mweshimiwa Raisi Magufuli mimi naitwa Prince from DRC napenda sana unavyo tumika wewe ni mfano bora wa ma Raisi wa Africa asante sana na Mungu akulinde
@stormingfoh
@stormingfoh 7 жыл бұрын
Big Up Rais wetu.. Uhuru na mie niko pamoja nao...
@jamilamuhunzi1253
@jamilamuhunzi1253 5 жыл бұрын
Nakupenda kwa itendaji wako wa kazi
@meshakimmale2003
@meshakimmale2003 6 жыл бұрын
sister pekee ndie arie onyesha ujasiri she,s haver confdens
@rehemaelliottsuleiman6465
@rehemaelliottsuleiman6465 7 жыл бұрын
huyo Dada anayetea family ya marehema mwenyezi mungu amubariki
@zaituinkisus1516
@zaituinkisus1516 6 жыл бұрын
Rehema Elliott Suleiman mishonoyavitege
@upcmgprof.lemoiskaleku6780
@upcmgprof.lemoiskaleku6780 6 жыл бұрын
kazi nzuri kiongozi
@sweetbertmathew4783
@sweetbertmathew4783 5 жыл бұрын
Rehema Elliott Suleiman v
@marleyelias9888
@marleyelias9888 5 жыл бұрын
Dada ongera kwa kuwatetea watoto wa marehemu
@buganjidele1531
@buganjidele1531 7 жыл бұрын
Mungu ibariki Tanzania
@naomilaulance1634
@naomilaulance1634 6 жыл бұрын
mungu akuweke muheshimiwa katika uongozi wako
@shabanimambo9430
@shabanimambo9430 6 жыл бұрын
vzur San mheshimiwa rais
@piusjaphet2760
@piusjaphet2760 6 жыл бұрын
Ukijiuliza marais wote wangefanya kazi kama Mheshimiwa Magufuli nchi hii ingekua ya mfano wa kuigwa masikini asingekuepo
@iddyjuma225
@iddyjuma225 6 жыл бұрын
good...we apprecoate
@abdallahmwanyende66
@abdallahmwanyende66 7 жыл бұрын
Magufuli mzazi Mungu akueke baba utete wanyonge
@juliusonay361
@juliusonay361 7 жыл бұрын
baba nasisi madereva was maroli nishida tu baba tusaidie baba
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 5 жыл бұрын
Mashallah, Dada uko vizuri kwa maelezo.
@jamesmhagama5407
@jamesmhagama5407 4 жыл бұрын
Hongela sana
@ayubumvungi70
@ayubumvungi70 6 жыл бұрын
huyoo dadaa nimempendaa anajiaminiii saaanaaa saaaafiii dadaaa sijakujuaa jinaa saaafii
@safiasaleh4447
@safiasaleh4447 4 жыл бұрын
Magufuli oyeeee Mungu akubarik sijapata kuona Rais mwenye Imani tangu nizaliwe . Mungu akujaalie umri mrefu na juhudi zaidiii na sisi Wazanzibar mwaka 2020 tijepata Rais Kama ww . Aaamin
@isayamziwanda5872
@isayamziwanda5872 7 жыл бұрын
kazi kazi tu,
@adinanjuma2457
@adinanjuma2457 7 жыл бұрын
Hii nchi yetu bana....Magumashi mengi sana!
@costantneathanas8809
@costantneathanas8809 7 жыл бұрын
Adinan Juma nn
@ommarnduru8253
@ommarnduru8253 4 жыл бұрын
kuna kiongoz wa chama kma namuona kakonda sanaaaa au macho yang tu jman?
@saidbanga
@saidbanga 6 жыл бұрын
Mi nakupendeaga hapo tu...!!
@mboneadavid9661
@mboneadavid9661 6 жыл бұрын
Logic sana muheshimiwa
@diamondgeyser7987
@diamondgeyser7987 5 жыл бұрын
Hongera Raising wetu
@kyekwew3216
@kyekwew3216 5 жыл бұрын
Familia ya marehemu ilipwe with interest
@josephmasebo6761
@josephmasebo6761 6 жыл бұрын
nimeipenda sana ziara ya mheshimiwa Rais. na maagizo yake nimeyapa tiki. naamini watumishi Wa gazette hili watafanya kazi kwa umaridadi zaidi
@khalidballeth5957
@khalidballeth5957 5 жыл бұрын
Sipati picha kwa kampuni ya gazeti la tanzanite🚶🏻‍♂️
@domitilazakaria7171
@domitilazakaria7171 5 жыл бұрын
Mungu akubariki baba yetu Mh Magufuli
@sadickrajabu4536
@sadickrajabu4536 6 жыл бұрын
Ongera magufuli my president
@yaedlifemedia3203
@yaedlifemedia3203 5 жыл бұрын
Dah ewe mungu NIONGOZE huyu rahis mpe pepo na daraja la mtume aishi fildausi
@adambago
@adambago 7 жыл бұрын
Tanzania tusipobadilika hatutaendelea ng'ooo! Tumejaa wizi na kukosa mapenzi mema ya vitu vinavyomilikiwa na umma.
@kapilimajuma6558
@kapilimajuma6558 6 жыл бұрын
absolutely true !
@donaldmakunzo788
@donaldmakunzo788 6 жыл бұрын
kweli dada upo vizuri waizi ndo hawajiamini
@sifasanga7866
@sifasanga7866 7 жыл бұрын
Magufuri natamani siku moja nikubebe mgongoni walahi daa! unaukosha moyo wangu...kudadadadeki
@godymaphone1775
@godymaphone1775 6 жыл бұрын
sifa sanga hahahaaa umeonaaa anaakili sana huyo mzee
@pangamwilingagungasimba530
@pangamwilingagungasimba530 4 жыл бұрын
sifa sanga nitaaza kumubeba mimi kwanza
@martinchachanyakusaima6649
@martinchachanyakusaima6649 6 жыл бұрын
mheshmiwa morogoro idara ya maji majanga uje uwaulize
@habilicharles4410
@habilicharles4410 6 жыл бұрын
Huyu ndio rais maamuzi haraka na utekelezaji wa haraka ndio maana upinzani unapukutika siku hadi siku 2020 kazi lainiiiiiiiii
@juliusuronu8812
@juliusuronu8812 7 жыл бұрын
Bora muheshimiwa umesema ukweli sheria ni msomeno ukatao kuwili....Mungu akuongoze vyema
@beatressmsofe3469
@beatressmsofe3469 7 жыл бұрын
@beatressmsofe3469
@beatressmsofe3469 7 жыл бұрын
@beatressmsofe3469
@beatressmsofe3469 7 жыл бұрын
@mudrickjuma5065
@mudrickjuma5065 6 жыл бұрын
dada unayetetea familia ya marehem mungu akulinde
@sebamrope7691
@sebamrope7691 5 жыл бұрын
huyo dada anaetetea family ya marehemu nimeipenda aendelee kuipigania hiyo família
@mussaabdiel9797
@mussaabdiel9797 5 жыл бұрын
Anaongea chapu sana uyo Dada
@innocentnchimbi1325
@innocentnchimbi1325 5 жыл бұрын
Nahuku rais wetu mbinga kuna shida san
@jonathanlema7782
@jonathanlema7782 7 жыл бұрын
That's my President.
@theophilukapinga2316
@theophilukapinga2316 4 жыл бұрын
Bravo Magufuli
@azizikeya8314
@azizikeya8314 6 жыл бұрын
Kila siku huwa nasema toka Tanzania iumbwe haijawi kupata rais kama magufuli ndiyo rais wa kwanza kuwa mzalendo kwa vitendo twajivunia tunarais
@nelsonmakoye3005
@nelsonmakoye3005 6 жыл бұрын
kiukwer nmempendae huyo dada aliyetetea maslahi ya mfanyakaz mwenzake aliyefariki! hongera rais wetu
@nestoryshadrack6171
@nestoryshadrack6171 7 жыл бұрын
saf mweshmiwa maguful, njoo na kwetu huku mza
@hamadrashid637
@hamadrashid637 6 жыл бұрын
Komaa nao mr president, usisikilize kelele za wengine
@msuyaherbalresearcher7184
@msuyaherbalresearcher7184 7 жыл бұрын
HEKO HEKO ,HEKO MAGUFULI HEKO.HEKOOO HEKO, HEKO MAGUFUKI HEKO.UNAYOYATENDA HAYAJAWAHI KUTENDWA TENA.HEKOOOOO.
@kihimbially1311
@kihimbially1311 7 жыл бұрын
abibu eliya
@mlishomndolwa1222
@mlishomndolwa1222 6 жыл бұрын
abibu eliya good
@rodasamweli5858
@rodasamweli5858 6 жыл бұрын
HEKO SANA
@monicajapheth8564
@monicajapheth8564 6 жыл бұрын
magu hoyeeeee....pongez kwako.mungu akutunze
@saifalrajhi5001
@saifalrajhi5001 7 жыл бұрын
Tutumie mfumo wa AUDIT na report yoyote isiyostahili hatua kali ichukuliwe. Rais bado tunakuhitaji kwa maamuzi mazito tunahofia sana afya yako na usalama wako.
@bonifacedonro3496
@bonifacedonro3496 7 жыл бұрын
Saif Al Rajhi Wn
@aqwilinolugalamila3390
@aqwilinolugalamila3390 4 жыл бұрын
Siyo kahama tu hata kilolo uku uje mkuu
@bernadgidatu4067
@bernadgidatu4067 7 жыл бұрын
Tunakuombea uzima rais wetu mungu akutangulie
@ahmedshariff8064
@ahmedshariff8064 5 жыл бұрын
Mungu akupe afya mheshimiwa na utuongoze daima
@allenchisunga5378
@allenchisunga5378 6 жыл бұрын
Piga Kazi Mkuu
@amanimaseleka4704
@amanimaseleka4704 6 жыл бұрын
neema
@aminaomary5567
@aminaomary5567 5 ай бұрын
Mwanamke huyu anajiamini sana,safi kabisa anastahili kuwa kiongozi❤❤❤
@marthamdalingwa4163
@marthamdalingwa4163 6 жыл бұрын
Wakati yesu anapitaa kuponyaa kunawatu waliwaficha wenzao eti aibu anapitamkubwa wasiojiweza wanawasukumiza nyumaa. Kwakuogopa kutiaaibu. Kumbee haitakiwii. Hapondopakujilipua matatizo yako iliusaidiwee matimayo alipazasautii yesu yesu natakakuonaa. Naakaona. Akasemaa naonaa naonaaa. Tusiogope tufanyekazi kwakujiamini. Anaekurudisha nyuma mfichuee hakuna wakumshinda yesuuu. Tenapigamaombi. Najua mnakosaa hatamda wakusalii. Hataukiwaa chooni weesaalii hukoohukoo
@rafaelkamau1117
@rafaelkamau1117 4 жыл бұрын
Tz you lucky.you have great president I wish our president was good as yours
@gerraldmbacha2124
@gerraldmbacha2124 6 жыл бұрын
Kahama utakuja lini kuna madudu alimashauri,pia mafundi seremala wameyamshwa bila utaratibu Wa kisheria joo bab kwa kushitukinza hapana Kahama shinyanga
@awadhially
@awadhially Жыл бұрын
Yaani mazingira haya alafu uendelee kusurvive
@papafikiri
@papafikiri 7 жыл бұрын
safi kiongozi wetu
@daudmnyenye8306
@daudmnyenye8306 7 жыл бұрын
Diamond new song
@bonifacedonro3496
@bonifacedonro3496 7 жыл бұрын
Raymond Kaswaga
@kulwamahela4093
@kulwamahela4093 6 жыл бұрын
Raym
@user-vw4te9qr3i
@user-vw4te9qr3i 3 ай бұрын
Nindoto kumpata raisi kama huyu😅
@tshirima8886
@tshirima8886 4 жыл бұрын
Saluti kwa Dada
@binamungualpheus8180
@binamungualpheus8180 7 жыл бұрын
kama shule ya msingi mimi nilikua nawasemeaga wenzangu afu mm nabaki salama
@leahchallomachibya1791
@leahchallomachibya1791 6 жыл бұрын
Ulikuwa muoga dogo
@happymsaki1720
@happymsaki1720 4 жыл бұрын
Dada uko vzr ww jasiri mnoooo
@kayukayu6468
@kayukayu6468 6 жыл бұрын
Njoo na gairo mheshimiwa rais
@eliyaleonard137
@eliyaleonard137 6 жыл бұрын
Kayu Kayu
@abassmwanisenga9146
@abassmwanisenga9146 7 жыл бұрын
Samwel simtengu
@maswiwambura4226
@maswiwambura4226 4 жыл бұрын
Dada uko vizr kwa maelezo
@akanakeza917
@akanakeza917 4 жыл бұрын
RAIS WANGU MAGUFURI NA MIMI PIA NINAKUELEWA NIKO BURUNDI 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@emmanuelmkeba7901
@emmanuelmkeba7901 4 жыл бұрын
Ahsante ndugu yetu was Burundi huku mijizi na mikwepa kodi ndo haimuelewi
@salummtizi1043
@salummtizi1043 5 жыл бұрын
Huyu Dada keshaolewa jamani? Mbona karoho kangu kanafukuta sana
@marcelcmagessa7130
@marcelcmagessa7130 6 жыл бұрын
Raha ya kuwa na rais mfuatiliaji si kungoja uletewe taarifa lazima ushuhudie ukweli wenyewe
@princehancesam9892
@princehancesam9892 5 жыл бұрын
Nan kamuona bodigadi anataka kulia
@hassanihussein4479
@hassanihussein4479 7 жыл бұрын
muheshimiwa km hawo wamkupigia kura mpka ukawa raisi je na sisi wamtaani ambao tumekupigia kura ina kuaje na maisha ni magumu mtaani
@ntulikyomo6337
@ntulikyomo6337 6 жыл бұрын
Hassani Hussein 😂😂
@allyamir7162
@allyamir7162 5 жыл бұрын
Asani weupambane na Ali yako
@wilbardmrina7426
@wilbardmrina7426 4 жыл бұрын
sasakwa nini amjaandika kwanya magazet aah atuwezi kujilipua hahahaha noma sana
@ericktarimo9756
@ericktarimo9756 5 жыл бұрын
Upo pow xana kila cku ujawai koxea
@mugenzihonore3821
@mugenzihonore3821 6 жыл бұрын
Tatizo la Africa Rais anakuwa na kazi nyingi sana kawaida hilo lengehudumiwa hata na waziri sizani labda naibu waziri na kingini tunaitaji justice yenye nguvu kweli kweli
@georgemassebu2083
@georgemassebu2083 5 жыл бұрын
Mugenzi honore unaelewa RAIS ni mtu gani au unasema tu
@charlesmaziku271
@charlesmaziku271 5 жыл бұрын
vizuri
@RoseMary-hp5bz
@RoseMary-hp5bz 7 жыл бұрын
surprise eeeeeeh😅😅😅
@erickyjuliusakaplayboy1762
@erickyjuliusakaplayboy1762 7 жыл бұрын
Rose Mary mambo vip +255673869835 njoo whatsApp
@maryawino4166
@maryawino4166 5 жыл бұрын
mike sonko wa kenya
@mithlekhalfan4895
@mithlekhalfan4895 6 жыл бұрын
Jomba magu upo juuuu
@tibambadala7143
@tibambadala7143 4 жыл бұрын
Hureeeeeeeeeeeee.njoo na kwetu Baba tunateketea
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 4 жыл бұрын
Yani hadi maraika wana shangilia maana watu wanaiba sana
@favourfavour8295
@favourfavour8295 7 жыл бұрын
Huyo Mgurugenzi afukunzwe kazi hana huruma na watanzania
@kihuntekimossa4643
@kihuntekimossa4643 7 жыл бұрын
favour favour Hana huruma na waizi safi sana. waizi wote wanataka ashindwe.
@piliomar231
@piliomar231 5 жыл бұрын
Wanawake tupewa tuanaweza dada asate
@tabbykibukila8535
@tabbykibukila8535 5 жыл бұрын
I@@kihuntekimossa4643
@elisantennko8222
@elisantennko8222 4 жыл бұрын
Huyu ndie kiongozi! Mungu amempa uwezo wa kuona micro issues ambazo wengine wana overlook! Alafu huyo dada mweupe yupo vizuri “ Managerial skills “Mungu akupandishe juu.
@jamnsokolomkonongo4036
@jamnsokolomkonongo4036 7 жыл бұрын
njoo na kwetu mheshimiwa magufuli morogoro idara ya maji na hosptali kuu hali sio shwari ni mawzo tu ehehe
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 7 ай бұрын
Kiongozi mzalendo JPM ulijituma sana kuwatendea haki watanzania lakini kumbe ulikuwa unatembea na wasaliti wamekuzunguka! Mungu ndiye jibu la mambo yote.Mungu akuangazie mwanga wa milele, Ameni
@sarahlydia2635
@sarahlydia2635 4 жыл бұрын
Ayaa
@ishpalemypasco5751
@ishpalemypasco5751 5 жыл бұрын
huyo dada nimemkubali sana
@samasob8233
@samasob8233 4 жыл бұрын
mnamuona kinana huyo,,,,hilo nalifahamu..... mwizi mkubwa, bila haya, mzee kawapiga madongo hapohapo
@juliuskatemi6816
@juliuskatemi6816 7 жыл бұрын
heal Tanzania
@minadakazi1019
@minadakazi1019 5 жыл бұрын
Nyoosha nchi Mzee magu kulikuwa na wapiga dili wengi mungu yupo na wewe popote
@basumegembotwa3437
@basumegembotwa3437 6 жыл бұрын
Safi mzazi
@albogastbitega9360
@albogastbitega9360 7 жыл бұрын
five star modem taarsbu-kupenda usher tabu
@albogastbitega9360
@albogastbitega9360 7 жыл бұрын
isha mashauzi
@albogastbitega9360
@albogastbitega9360 7 жыл бұрын
amee
@albogastbitega9360
@albogastbitega9360 7 жыл бұрын
Njoo NAN
@fainesmpolo4770
@fainesmpolo4770 5 жыл бұрын
utaware miaka yote
Rais Magufuli afanya ziara ya kushtukiza Terminal One JNIA Mei 13,2016
17:24
RAIS MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSTUKIZA GEREZA LA UKONGA  mp4
34:13
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 28 МЛН
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 11 МЛН
BREAKING: JPM Awasweka Wenyeviti Ndani Hadharani!
17:33
Global TV Online
Рет қаралды 109 М.
RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA ALHAJI DANGOTE
8:16
Adam Gille
Рет қаралды 127 М.
Ziara ya Rais Magufuli kwenye Bandari ya Dar es salaam
5:57
Millard Ayo
Рет қаралды 936 М.
FULL SPEECH: Donald Trump speaks before the NABJ in Chicago
36:28
FOX 32 Chicago
Рет қаралды 368 М.
Rais Magufuli afanya ziara ya ghafla Wizara ya fedha Nov. 6, 2015
14:29
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22