Mashaa Allah shekhe shukran sana Allah akuhifadhi ktk din na dunia na akhera pia kwa sote waislam atuhifadhi na atujaaliye mwisho mwema nawatakiya waislam wote ramadhani Qareem
@saay42733 жыл бұрын
waaleykum salam warahmatullah wabarakatuh
@aishasaid67493 жыл бұрын
Waalaykum salaam warahmatullah wabarakatuh Alhamdulillah shukraan sana
@omansinaw75383 жыл бұрын
Walykumu salamu warahmatullahi wabarakatu ninakupendeni kwa ajirih yake allah
@Mohamedtwarif4 ай бұрын
Nakupenda kwa ajili ya Allah Allah atukubalie sote funga zetu pamoja na ibada zote kwaujumla atuwke mbali na moto wake na Atuingiza jannatul firdausi Amin
@missrukia96613 жыл бұрын
Jazakallhaàhu kheli
@furahamossi31993 жыл бұрын
Waleikussalam warahmatullah wabarakat, shukran
@user-ws9ek8dj5n3 жыл бұрын
Wa alleykum salaam warahmatulah wabarakaatuh sheikh wetu kipenzi @kishki,maasha Allah hili swali kuna mwenzetu aliuliza ye mkristo na anapenda kufunga,Mwenyezi Mungu azitakal Saumu zetu,Dua zetu,towbah zetu na atuongoze tuwe wenye kutenda mema katika mwezi huu wa maghfira, shukraan jazzakah Allahu kheir barakallahu fik
@sakinat25273 жыл бұрын
Amiin
@zainabmaulidi98463 жыл бұрын
Ameen
@ZainabATuli-xk4de3 жыл бұрын
Shukraan Sheikhe wetu Allah akupe umri mrefu wenye manufaa insha Allah
Walkm salaam warahadhullah wabarakatuh. Allah atukubalie saumu zetu
@ismailimzeewachpsazizi51903 жыл бұрын
assalaamy
@sophianyangalio37963 жыл бұрын
Waalaykum salaamu warahmatullah wabarakatuh
@jasminjuma63903 жыл бұрын
Waalaykum salam warahmatullah wabarakatuh ramadhani kareem waislam wote
@bellbell92943 жыл бұрын
Waaleyku msalaam warahmatullah wabarakatuh sheikh wetu Allah akulipe kher
@najluq33663 жыл бұрын
Waaleykum Salaam Warhamatullah Wabarakatu
@husseinkhalfan94673 жыл бұрын
وعليكم السلام ورحمة الله وبركاته
@qawsscddttgyrf92503 жыл бұрын
Waaleykum salam warahmatullah wabarakatuh
@rahmaalfan17763 жыл бұрын
Wa alaykum salam warrahmatullah wabarralatuh sheikh shukran sana barraka allahu feek
@zawadikambi803 жыл бұрын
Waaleykumsalaaam
@latifamkulazi83783 жыл бұрын
Ramadhan mubarak 🌙
@bennymochiwa48003 жыл бұрын
kigezo cha kwanza kimesema walio amini hakijata awe muislam au mkristo au muyahudi au mpagan, ikiwa kaamini anaruhusiwa kufunga, na kuamin maana yake ni kumuamin Mwenyezi Mungu na manabii wake,
Waalaykum salaam shekh, nikiwa safarini na nmefunga, vipi funga yangu??
@alfanm.82213 жыл бұрын
Na wanawake wanapokuwa kwa siku zao(hedhi) wanatakiwa kufunga ama mbaka pale watakapo maliza hedhi ndo watakapoendelea na saumu na kuyalipa izo siku alizoacha kufunga.
@muhamadihassan2483 жыл бұрын
Sheikh mimi ninataka number yako inshallah
@simonkariuki96893 жыл бұрын
Waislam. ramadha simfunge saumu Cha ukweli . asubuhi mtu ameshiba kweli kweli atafunga Nini surely? wakristo wamelala Muslims ndio wanakula hii tutaita kufunga ama kubadilisha masaa ya mlo aki?
@Nimalese2 жыл бұрын
Na je mtu akiwa na maradhi yasio pona...mfano mshipa...asipo kula tu mshipa unapanda
@dechaggagirl16143 жыл бұрын
Aleykum salamu warahmatullah shekhe naulizaje mwanamke afaa akae cku ngapi after kumaliza cku za hedhi ndio ajitwaarishe?? ((kuoga))
@zuhurazuu44583 жыл бұрын
Ninachokifahamu mm ukishamaliza tuu siku zako unajitoharisha
@dechaggagirl16143 жыл бұрын
@@zuhurazuu4458 shukran habbt
@yusrashabani29833 жыл бұрын
Assalam Aleykum Nauliza je mjamzito anaruhusiwa kufunga?
@mahmoodalghefeili53703 жыл бұрын
inategemea na hali yako kama uko mjamzito na uumwi au ukifunga hujisikii kuumwa unatakiwa ufunge laa ukifunga kuna shida unapata inatakiwa ufunge ila ukijifungua unatakiwa ulipe
@mahmoodalghefeili53703 жыл бұрын
usifuge ila uje ulipe den apo nimekosea
@yusrashabani29833 жыл бұрын
@@mahmoodalghefeili5370 nakama nitaweza kujitolea kumfutulisha mtu mwezi mzima je nitalipa zile siku
@simonkariuki96893 жыл бұрын
Hakuna mtu anae funga hapa,ila kilicho hapa nikubadilisha masaa ya kukula tu hapa hamna lolote hapa,we mwambie akule chakula kingi sababu ya mtoto