HAYA NDIYO ALIYOYASEMA SHEIKH KISHK KABLA YA RAIS MAGUFULI KUZIKWA

  Рет қаралды 885,069

Kishki Online TV

Kishki Online TV

3 жыл бұрын

Пікірлер: 880
@hawaparis8899
@hawaparis8899 3 жыл бұрын
MIMI NI MKRISTO KABISÀA ILA SHEHEE MUNGU AKUWEKEEE UNA MANENO YENYE FUNZO AMEEN
@hamisisha
@hamisisha 3 жыл бұрын
AMIIN🙏🏽
@fraviansweetberty8819
@fraviansweetberty8819 3 жыл бұрын
Ndio kaongea ukwel nakasimamia palipo na haki tutamkumbk Sana Magufuri
@frolalupogompumbavuwewesiw179
@frolalupogompumbavuwewesiw179 3 жыл бұрын
Nakukubali cna she wewe mie Ni mkristo
@monicahovda4524
@monicahovda4524 3 жыл бұрын
Mmmmh hizo coment , Hebu kwanza Tuangalie Undugu wetu sisi Sote tu ndugu wa jamaa moja Ambayo ndio TZ, hatuwezi kuliepuka Hilo na kumchukia ndugu yako , Hata kama Dini zetu ni tofauti, Lakini undugu upo pale pale, siwezi mbagua ndugu yangu au Wazazi wetu kwa kuwa wako tofauti mradi wote Wanamwamini Mungu alieziumba Mbingu na Nchi
@nimbonajamilla6102
@nimbonajamilla6102 3 жыл бұрын
Anta namimi Mkristo namupendaga nasa Shehee kutoka Burundi
@allmotorbikesrepair6565
@allmotorbikesrepair6565 3 жыл бұрын
Sheikh hongera sana kwa nasaha na hotuba nzuri zenye kujenga na kuimarisha taifa letu binafsi nimekuelewa Sana
@muharamiesther5908
@muharamiesther5908 Жыл бұрын
Mungu azidi kukubariki Sheik Umeshuhudia Vema Mwenye Masikio Asikie na Kujifunza🙏 RIP JPM🤲🙏🇹🇿
@stephanominja8927
@stephanominja8927 3 жыл бұрын
Magufuli alikua anaufundisha umma wa waisilamu kuwa mungu wetu ni mmoja,, kama mnanielewa gonga like
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 3 жыл бұрын
Sasa mbona wenu kazaa na kuzaliwa?
@mamymdogomamy3670
@mamymdogomamy3670 3 жыл бұрын
@@alhamdulillah5796 😂😂😂
@brightongetruda9370
@brightongetruda9370 3 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu hakuzaa wala hakuzaliwa
@mamymdogomamy3670
@mamymdogomamy3670 3 жыл бұрын
Umma gn ulokuwa ukifundishwa na mtu aso kuwa muislam?? Sijawai sikia ata siku moja leo ndio nasikia kwako
@mgbilal9707
@mgbilal9707 3 жыл бұрын
@@alhamdulillah5796 🤔🤣🤣
@abdulhafidhuqassim2481
@abdulhafidhuqassim2481 3 жыл бұрын
Shekh wangu kishki unanikosha sana Allah atukutanishe peponi, amiin
@lazzrchanal1935
@lazzrchanal1935 Жыл бұрын
Amiin
@oscarkasalile8442
@oscarkasalile8442 3 жыл бұрын
Sasa nimekubali Tanzania hakuna udini na wewe shehe unaweza ukanishawishi niipende dini hii ya kiislam wewe ni mkweli magufuli alikuwa tunu yetu watanzania wote, naomba wanaoniunga mkono wa like tujuane wazalendo.
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 3 жыл бұрын
Mashaallah, mwenyezi mungu akulinde sheikh wetu uzidi kutupa elimu.
@user-ih8yq8dp4z
@user-ih8yq8dp4z 3 жыл бұрын
Umeongea maneno muhimu sana shekhe wetu namuomba Allah awafanyie wepesi alhekma foundation kazi tunaiona namuomba awape Baraka Tele na pepo ya juu kabisa siku ya mwisho yaani tufe akiwa ameturidhia
@naamohamed1042
@naamohamed1042 3 жыл бұрын
Mzee Magufuri kaumiza mioyo ya watu wengi wallah dahhhh😭😭😭
@mwannerajabu8688
@mwannerajabu8688 3 жыл бұрын
Naa nakukubali tunazurula et 😊😊kwazahir nako sema. Niko mzito kutoa cement
@naamohamed1042
@naamohamed1042 3 жыл бұрын
@@mwannerajabu8688 na kwel tunazurula mana mpk tunakaliliana 😄
@SaitoMk
@SaitoMk 3 жыл бұрын
😭😭😭
@kawtharsaleh9229
@kawtharsaleh9229 3 жыл бұрын
😭😭😭
@SaitoMk
@SaitoMk 3 жыл бұрын
@@kawtharsaleh9229 huku pia upo wngu n 🇪🇭🇪🇭❤❤ N Aysha mahariq 😋😋
@saraphinamtegwa9128
@saraphinamtegwa9128 3 жыл бұрын
😭😭😭😭mola amlaze mahali pema peponi ameen🙏🙏🙏🙏
@elymollel
@elymollel 2 жыл бұрын
Lingine kubwa aliongoza mchango kanisani wa kujenga msikiti chamwino dodoma.mimi ni Mkristo ila ninachoamini sisi sote ni ndugu dini ni daraja tu la kutufikisha tunapokwenda. Asante #Shekh kishki.
@amarislam1589
@amarislam1589 3 жыл бұрын
mashalah maneno ya hekima sanaa.na hio dua iko sawa kabisa ALLAH ampe malipo yanayostahiki.shuran sheikh kishki
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 3 жыл бұрын
Ninayo jua kwamba asie muamini mtume mohamed NA asio muslaam kulipiwa huko katika dunia tu kwa mfano mungu anampa afya anampa mwili mzuri yaani raha ya dunia tu lakini amlipe kama walivyo muamini mohamed hapo lazima kuuliza wenye elimu ikiwa abu thalib baba yake mdogo wa mtume mohamed alimlea NA kumlinda NA kupenda sana ali ingia motoni abu thalib akiulizwa huyo mohamed ni nani anasema ni mtoto wangu mohamed alikua yatima amemlea amu yake
@leylahbillah4876
@leylahbillah4876 3 жыл бұрын
Yaarabby tupe mwisho mwemaa na sisi waja wako🇴🇲🇴🇲😭😭🤲
@asmakigahe3198
@asmakigahe3198 3 жыл бұрын
Aamiin
@machiavelshakur8939
@machiavelshakur8939 3 жыл бұрын
Yan wewe n shetani
@user-ws9ek8dj5n
@user-ws9ek8dj5n 3 жыл бұрын
Asalaam alleykum warahmatulah wabaraqatuu Maasha Allah hayati mzee Magifuli kifo chake kime leta utata,wananchi mutakaa mutamkumbuka hata kwa kidogo alichokifanya muhimu ni upendo na amani utande,shukraan jazzakah Allahu kheir sheikh barakallahu fik
@michaelmsis3965
@michaelmsis3965 3 жыл бұрын
Sheikh, nakuombea kwa mungu,akuzidishie hekma, na tuombee taifa letu like na amani na ushirikiano, tusiishi kwa kubaguana, sisi sote ni ndugu, tusibaguane kutokana na dini zetu, AMANI itawale katika nafsi zetu AMINA.
@mohammedrajabumwamba1322
@mohammedrajabumwamba1322 3 жыл бұрын
Kishki Jazakallahu khaira 🙏
@naslee1010
@naslee1010 2 жыл бұрын
Shekhe#kishki muislam mwenzetu hawezi napia dini yetu inakataa kuongozwa na mwanamke unaona yanayo tokea leo nitabaki kumkumbuka bwana #magufuli mungu ailaze roho yake mahali pema insha allah 🙏😭
@mponelamathei7245
@mponelamathei7245 3 жыл бұрын
Allah ampe qauli thabit baba huyu, JPM alikua mtu mwema sana alipenda din zote, na sasa katuachia mama nae muumin mwenzetu Tumuombee Allah ampe uwezo na ujasiri katika kulipeleka Taifa hili mbele🙏
@mwanzomwisho1217
@mwanzomwisho1217 3 жыл бұрын
Kauli thabit ya nini na huyu JPM ni kafiri.
@zuenasadick9433
@zuenasadick9433 Жыл бұрын
@@mwanzomwisho1217 hzo shda zako Kwan kishiki anaemuombea haoni kua ni kafir??
@jacksonmponela7915
@jacksonmponela7915 Жыл бұрын
Muda utaongea juu ya mama
@didaamohsin6594
@didaamohsin6594 3 жыл бұрын
ALLAHUMA AMEEN YARRAB..TAKKABAL DUA
@paulinacherement2534
@paulinacherement2534 3 жыл бұрын
AMIIIN
@niimasinan
@niimasinan 3 жыл бұрын
Amen tunamuombeya inshallah Allah amuwezeche
@rajabnzota9871
@rajabnzota9871 3 жыл бұрын
Asaalam aleikum naomba niseme Sheikh kishk wewe uko vizuri mwenyezi mungu akufanyie wepesi
@DottRoBroc
@DottRoBroc 3 жыл бұрын
I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. I agree about Magulification of Africa! So, absolute estimate for Magufuli who for me will remin alive for ever for his honesty
@esterkiyabo1329
@esterkiyabo1329 3 жыл бұрын
Thank you
@calvinlekule5400
@calvinlekule5400 2 жыл бұрын
Do you have any prove that his salary was $4000
@menalikechildren8836
@menalikechildren8836 Жыл бұрын
Grazie
@omakywazamani6696
@omakywazamani6696 Жыл бұрын
You right
@maulidsawaka2463
@maulidsawaka2463 Жыл бұрын
Ina maana hujui Kiswahili sasa umejuaje kama anaezungumziwa hapa ni Magufuli au ukiwa Italy Kiswahili hakitumiki
@hamidafundi5890
@hamidafundi5890 3 жыл бұрын
Ama kwa hakika, Shekh Kishki wewe ni mtu wa 'HAKI na KWELI, Katika mawaidha yako. MWENYEZIMUNGU akufanyie wepesi Ishallah 🙏
@mkushmpondomoka
@mkushmpondomoka Жыл бұрын
Allah amripe
@benedictmbelwa2385
@benedictmbelwa2385 Жыл бұрын
Asante sana Sheikh, umarikiwe sana
@bugapeasant1827
@bugapeasant1827 3 жыл бұрын
Ubarukiwe kwa mafundisho yako mazuri na yenye hekma,Mungu akuzidishie uzidi kua mwalim bora amina
@davidbakengwa3492
@davidbakengwa3492 3 жыл бұрын
Allah mwenyezi mungu Mola mlezi wa viumbe vyote amjaliye mahala pema peponi magufuli rafikiangu
@salumumagono8095
@salumumagono8095 3 жыл бұрын
A alaykum sheikh upon vizur Mashallah Allah akulipe
@azizimangara9024
@azizimangara9024 3 жыл бұрын
Wamkamba?
@selestinfrancis5904
@selestinfrancis5904 Жыл бұрын
Mungu akubariki Shekhe kwa hekima zako
@trillhappybeautypoint9874
@trillhappybeautypoint9874 3 жыл бұрын
Haki Mungu yuko pamoja nawe Mungu wetu ni mmoja ubarikiwe sana
@najluq3366
@najluq3366 3 жыл бұрын
Allahumma Aaamin Allah amlipe malipo yake stahiki na amtie nguvu mama yetu Samia aliongoze jahazi kwa uwezo wa Allah S.W Aaamin
@mwanaidimwachitumbo9111
@mwanaidimwachitumbo9111 3 жыл бұрын
Asalaam alaykum waarahmatullah wabarakaatuh, Alhamdhulilah wallah .. maashaallah tabarakallah Sheikh kishk Allah akupe uzima na afya na umri mrefu akupe subra na nguvu uweze kutupa mawaidha.. aamiin yarabby 🤲
@armsochatu8122
@armsochatu8122 3 жыл бұрын
Ameen
@FatmaFatma-dy8pv
@FatmaFatma-dy8pv 3 жыл бұрын
Najikuta naumia moyo Sana kw haya maneno daaah Hata mm ilikuwa namuombea Allah ampe hidaya Magufuli kipindi Cha uhai wake matendo yake alikuwa anayafanya yalikuwa yanaumiza moyo wangu pale nikimfikiria kuwa Hana imani ya kweli daah alikuwa mtu wa ajabu Sana pia alikuwa kiongozi muadilifu sina la kusema ila Allah ndie anaejuwa zaidi yetu Allah amlaze panapomstahikia ila nikikumbuka nashindwa kuondowa maumivu ya moyo jinsi Shekhe ulivyomuelezea alivyokuwa Hana ubaguzi wa dini yetu na pia aliupa saport inaniuma Sana 💘😭 hatuwezi kumsahau
@emariusrush7704
@emariusrush7704 3 жыл бұрын
Waislam sku hizi mnahukumu?? Dini yakweli anajua mwenyezi mungu pekee
@nasmamponde5737
@nasmamponde5737 Жыл бұрын
Huyu raisi wa sasa ni muislam ambae anaimani jee mbona hawakumbushi kumjuwa Mungu kama Magufuli
@AyshaHamza-yd7so
@AyshaHamza-yd7so Жыл бұрын
Vizuri ila hapo kwenye Imani ya kweli. Umeleta hadithi za halfu- olela. Imani yake ni ya wale waliopewa kitabu kabla ya Imani Yako na mmeambiwa muwafiate wawafundishe Sasa sijui ata kama Imani Yako unajijua vema?
@bikomboali2845
@bikomboali2845 3 жыл бұрын
Masha Allah shekh Allah azidi kukupa nguvu ili uzidi kusimama kwenye membar....kuelimisha watu maana kuna binadam wanajivisha sifa ya allah kuhukumu binadam wenzao......cha msingi tukae chini...tujitathimini na sisi tulio bakia tutaondoka ktk hali gani na sifa gani.....Allah amuoke kiongozi wetu ktk sehemu anayo stahiki...
@sawdaasawdaa7903
@sawdaasawdaa7903 3 жыл бұрын
Kwani coroan na sunnah zamutume habina maana ayo tamakufuli musiyajafili sana ata nyinyi hamujuwi anapokwenda ebu twambiye wamasukini wambinguni nikinanani ambao walikua funiani nimatajiri nyie hamujuwi nafsi zinakwenda wapi aca ivo sio muhukumu kwamaco yenu uyo amesoma chimi lazima atende wema anao uona nakutafuta vyeo vyamasauti
@sawdaasawdaa7903
@sawdaasawdaa7903 3 жыл бұрын
Kaforinikafiritu ivi kadema marangapi yesu nimokozi nani Mungu kitukitakao aneishwa kuesabika sio sala? Atakayesalisga watu peponi dio MUTUME ebu angaliyeni kitabo cenu nayanao wausu iyo nikutafautiyana waesilamu wazama izi nihatari ivi tanzania mpaka sasa kakuna walokosa mi makufuli nilimupendeya tu ile kupatiya hakiyao waisilamu yamusikiti vinginevyo niwajibu wa kiongozi mwema
@florachogo243
@florachogo243 Жыл бұрын
Sheikh unanikosha mawaidha yako ,msema ukweli mpenzi wa mungu, unasema ukweli hupindishi wa huogopi mtu uwe na afya njema ,kazi zako ziinuliwe
@sabrakhamis8070
@sabrakhamis8070 3 жыл бұрын
Mashallah sheikh Kishiq Allah akubareeq uendeleze kazi ya mitume.Ameen Yaraby
@mohammedrajabumwamba1322
@mohammedrajabumwamba1322 3 жыл бұрын
🤲 Yaa Rabbal-aalamiin jaalia kheri na baraka tele ktk kipindihiki tunacho ongozwa na rais wetu Samia mjaalie atuongoze vizuri watu woote na umkinge na maadui wa nje na ndani ktk uongozi wake na umkinge na kila aina ya sharri ya ulicho kiumba kwa Rais wetu wa sasa na Mama yetu kipenzi Allahumma Aamiin 🙏
@telaamtauta2227
@telaamtauta2227 3 жыл бұрын
Amiin yarabby
@micky5357
@micky5357 3 жыл бұрын
Alikuwa anaonyesha upendo kwa kila mtu wala hakuwa na mipaka
@andraabdulla4898
@andraabdulla4898 3 жыл бұрын
Hhhh
@haikalali3095
@haikalali3095 3 жыл бұрын
Shukran sheikh kishki kwa manenoz mazuri ,didi bin adam hatuja uwezo wa kumuhukuma bin adam mwenzetu bali Allah Ndie Mueza wa kila kitu ,haikua hayati mzee magufuli kuwa muislamu vitendo bake vimewashinda waisalamu wenyewe kiongozi mwema sifa zisizo na kifani mtetezi wa wanyonge hakubagua muislamu wala asiekua muislamu bali ni kiongozi ,baba wa taifa lote na akatuachia mama wa kiislamu nae ni mama wa taifa la tanzania na simama wa waislam peke yake in sha Allah namuombea rais mama samia Ampe nguvu hekima uongozi mwema Allah Ampe afya na furaha na familia yake na watanzania wote amiin
@tiopherysanga2934
@tiopherysanga2934 2 жыл бұрын
Mungu apumnguzie adhab ya kaburi mimi ni mkristo ila nilipenda sana kujenga misikiti mingi kuliko makanisa asanteh nawe shekh
@davidbakengwa3492
@davidbakengwa3492 3 жыл бұрын
Allah akujaliye Dada uiongoze pia tanzania vizuri
@mahmoudjaffar148
@mahmoudjaffar148 3 жыл бұрын
Allah amrehemu Maghufuli, allahuma arhamhu .
@abdallahsalum9839
@abdallahsalum9839 Жыл бұрын
Allah akujalie baraka na umri mrefu insha Allah mwenyez mungu akujalie baraka insha AllH
@kittygirlarmy2651
@kittygirlarmy2651 3 жыл бұрын
Amiin summa amiin ya Rabi subuhanallah subuhanallah subuhanallah subuhanallah Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar
@habibamusa1520
@habibamusa1520 3 жыл бұрын
Mashalla he was good person
@oparetionmaalum9030
@oparetionmaalum9030 2 жыл бұрын
Hutba nzito imenitoa machozi Allah mrehemu shekh kishk warehem waislamu warehemu viongozi wetu warehemu Tanzania wote Amin Amin 🤲🤲😭😭😭
@masumbukomaganga438
@masumbukomaganga438 Жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/a7uIos-mv963kZc.html MUINGILIANO KATI YA UISLAMU NA UKATOLIKI
@hakizimanajean7702
@hakizimanajean7702 2 жыл бұрын
Hongera xna mtumishi wa Mungu Kishk. UKWELI UTASIMAMA DAIMA.
@UwesuUwesumohammed-sm5lh
@UwesuUwesumohammed-sm5lh Жыл бұрын
Daah!huyu Mzee alikuwa mtu mmoja mwenye Imani like Islam mungu mlipe Kwa aliyoyafanya!!
@trillhappybeautypoint9874
@trillhappybeautypoint9874 3 жыл бұрын
Sheikh Mungu akubariki sana🙏
@aishatwizerimana2505
@aishatwizerimana2505 3 жыл бұрын
Mash Allah shekh nundin
@hafsaramadaan9966
@hafsaramadaan9966 3 жыл бұрын
Shekhe Allah akuzidishie iMani
@timboxlee919
@timboxlee919 2 жыл бұрын
Ameni ,Takbir ,mtumishi wa mungu kishiki,waliobaki ni mawakala wa shetani,, allah akupe maisha marefu Sana
@chrispinandrew5067
@chrispinandrew5067 11 ай бұрын
Nakukubali sana kiongozi Mungu akubariki
@khamisikindungakhamisi5774
@khamisikindungakhamisi5774 Жыл бұрын
aminn🤲🤲🤲🤲
@norbertlilungulu5018
@norbertlilungulu5018 3 жыл бұрын
Shee kisiki unaongea vizuri sana Japo unataadhalisha wenzako kwakuwa ni wepes sana kuhukumu binadamu WENZAO na kuwachukia wakristo, sasa huo ndio Upendo ambao sis tumeambiwa na Kristo Yesu kuwapenda watu wote bila kubagua
@devidsumaye5353
@devidsumaye5353 3 жыл бұрын
Ndungu zangu waislamu acheni mambo kunzungumzia udini hamn vita mbaya Kam kudini mm ni mkirsto lakin ukweli niseme tu sijawahi mdharau mtu kwa imani yake ila nawachukia wakirsto ambao ni walokole màan wanadanganya Sana watu na HV vitabu vya dini viliandikwa na binadamu jamn tuwe wamoja tu mungu wetu ni mmoja kama sisi ni binadamu bas aliyetuumba ni mungu tu mamb uislamu ukisto tuayaache kwenye imani ya kila mtu hamn anayejua yupi yuko sahihi yupi hayuko sahihi hiz din sisi tumeletewa na waarabu na wanzungu ila mungu kweli siyo dini ni imani yako kujuwa hiki ni kibaya na hiki ni kizuri mungu awe nasi allah hamdulillah
@geophreyponera4254
@geophreyponera4254 Жыл бұрын
Dini siyo kivuko Bali matendo yako
@muganyizibuzubona7160
@muganyizibuzubona7160 Жыл бұрын
Mbona unaenda tofauti na maada yake sasa
@mamawawili4069
@mamawawili4069 3 жыл бұрын
Wallah nakupend sana mzee wang nataman nionane na ww ht kwa dakika 5 maan unatoag vit ambavy vinaniingia sana kwa ubong wang
@telaamtauta2227
@telaamtauta2227 3 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭kwakweli magufuli hasahauliki maishani umeona mungu tupe subra
@dawaseif3699
@dawaseif3699 3 жыл бұрын
Kweli kabisaa
@amanaomar6232
@amanaomar6232 3 жыл бұрын
Kweli kabxa
@charleskizo911
@charleskizo911 Жыл бұрын
Nimetokwa na chozi hakika kwa namna alivyomwelezea Magufuli. Ila siku zote muislam ni muislamu tu haachi asili yake ya kupenda wasio wa imani yake kwn kasisitiza kwa asiye muislamu kuna mipaka ya kimuombea dua limenifikirisha sana hili😭😭😭. Ila sijasikia Shehe akisisitiza mshikamano wa kitafa bila kubaguana kidini. Magufuli aliheshimu sana misingi ya dini Kiislamu na ndio maana hakuwahi kuvunja taratibu za kimsikiti ndani ya msikiti, Mungu amrehemu. Lengo la Magufuli kujenga misikiti na kuishi katika mioyo ya Waislamu ilihali ni Mkristo ni kutupa elimu kuwa Watanzania wote ni sawa, hatuna udini, hatuongozwi na udini. Mungu ibariki Tanzania, Mungu muongoze mama yetu Mh. Rais atuongoze vyema, Amen.
@marianamontoedi2333
@marianamontoedi2333 3 жыл бұрын
Mungu amrehemu Raisi wetu
@kennethngoleka517
@kennethngoleka517 3 жыл бұрын
Mimi ningeomba pia kupitia dini zetu mbili yaani waislamu na wakristo mashehe,mapadre,na maaskofu tuombe kwa mwenyezi Mungu wale wanaomgeuka wote na wasiopenda aliyoyafanya awaangamize wote.
@fowzosman3211
@fowzosman3211 3 жыл бұрын
أللهم ءامين 🤲🤲🤲
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 Жыл бұрын
Allah atakulipa shekhe kishik
@salmamkeyenge2322
@salmamkeyenge2322 3 жыл бұрын
Jazakha Llah sheikh Kishk
@ismailidi882
@ismailidi882 3 жыл бұрын
Asslaam aleikum Shukran Allah akujaze kher
@shirfadigubike7920
@shirfadigubike7920 Жыл бұрын
Inalillah wainahililajiuna.mungu amtolehe azabu ya kabuli😭😭
@saleemsaleems3407
@saleemsaleems3407 3 жыл бұрын
Inna lillahi wainna ilayhi rajiun In sha Allah Tanzania itaendelea vizuri Jazaakum Allah khairan
@mumkmamymshindoh7939
@mumkmamymshindoh7939 3 жыл бұрын
Allahumma Aameen
@bmpondamussa3624
@bmpondamussa3624 3 жыл бұрын
😭Subhana llah Allah atujalie mwisho mwema
@machiavelshakur8939
@machiavelshakur8939 3 жыл бұрын
Umekufaa
@aishaaboud4406
@aishaaboud4406 3 жыл бұрын
Ameen thuma Ameen Alhamdulillah
@user-xg3hz4ti5b
@user-xg3hz4ti5b 9 ай бұрын
TAFADHARI NAKUOMBA KAICHUKUE FOFU YA URAISI,, inshaallah Allah akufanyie wepesi ilifanikishe,, tumerudi nyuma 😢😢😢😢 kimaendeleo,, kiimani, kimaendeleo,, kimafanikio na wizi umerudi,, ona wamachinga, ona wakulima, ona sisi tunaojiita wafanyakazi iwe binafsi au serikalini 😢😢😢😢😢,, HII KAULI YA tumerogwa nanani inaumiza sana,, sana kiukweli
@SaitoMk
@SaitoMk 3 жыл бұрын
Allah amlaze pema Amin🤗🤗😭😭🇪🇭🇪🇭
@emmanuelshausi3393
@emmanuelshausi3393 2 жыл бұрын
Mi napenda watu wanaosema ukweli, kuna watu wanajua dini hii inaleta faraja sana katika nchi yetu, mi nakupenda Shekhe umeonyesha uisilamu aisee
@zulbbylukina5833
@zulbbylukina5833 3 жыл бұрын
Allah ampe kauli dhabit Allahuma Amiin Amiin Amiin🙏🙏🙏
@abdulkareemahmady5971
@abdulkareemahmady5971 3 жыл бұрын
Shart ni imaan
@rehemaabdallah5306
@rehemaabdallah5306 3 жыл бұрын
Mh
@rahimaalbusaid1425
@rahimaalbusaid1425 3 жыл бұрын
Kauli thabit Ni kwa muislam tu
@mamymdogomamy3670
@mamymdogomamy3670 3 жыл бұрын
Mwisho mutamuombea FIRAUN pia Allah amsamehe 😭😭
@rahimaalbusaid1425
@rahimaalbusaid1425 3 жыл бұрын
@@mamymdogomamy3670 😂😂
@jumannemwakalinga2586
@jumannemwakalinga2586 Жыл бұрын
Sheikh, umeongea Jambo jema sana kuwaunganisha Watanzania. Maneno yako yanatukumbusha jinsi Rais wetu Magufuli alivyojitoa kwetu bila ubaguzi wa dini. RIP JPM
@kijitamfyomi5598
@kijitamfyomi5598 3 жыл бұрын
Mama Samia ni mwerevu sana anajua kina nani wanamuombea dua ya kweli na kina nani wanataka kujipendekeza kwake maana hajawa kiongozi leo hata alipokua makamu wa raisi alikua ni kiongozi na alikua na majukumu mengi sana yakufanya ila hatujapatapo kusikia hao masheikh wakimuombea leo kawa rahisi utaona masheikh watakavyojitokeza kumuombea kwa kujipendekeza Ya Rabbi tujaalie ni wenye kujipendekeza kwako tu ameen
@vickykwimbere9904
@vickykwimbere9904 3 жыл бұрын
Hongera sana shekhe!
@yasodishonest9792
@yasodishonest9792 3 жыл бұрын
Mashaallah Allah amlipe anayostaiki Magufuli
@producerkenn2807
@producerkenn2807 3 жыл бұрын
Nimependezwa na mafunzo yako,mi ni kenn from kenya
@t.jsaidia2047
@t.jsaidia2047 3 жыл бұрын
Shehe Tunakupenda sana.. Nakufuatilia sana... Shukrani kwa mawadha
@mams1892
@mams1892 3 жыл бұрын
Jazzakallahu khairan
@salimaslalaamalekumwardah1318
@salimaslalaamalekumwardah1318 3 жыл бұрын
Allahuma Ameen yarabi alalamen
@jonathanmwakabuku4714
@jonathanmwakabuku4714 Жыл бұрын
Shekh Kishk wewe ni noma akika ni mtu wa Mungu. Mimi ni mkristo lakini nakukubali sanaaa
@aishaarusha894
@aishaarusha894 3 жыл бұрын
Ata mimi na muombea kwa allah ampe malipo yanayo stahiki da angekuwa muslimu na aliyo yafanya leo angekuwa mwenye fahari ila ndo hivo hakumuamini Allah na mtume muhamad ila Allah ndio anajuwa haswa inshallah Allah atupe mwisho mwema kafanya mazuri haswa kwa waislamu leo ndo usiku wa kwanza kaburini wallah allah karim hata ufanye mema kama jabali lakini kama hukumuamini Allah na mtume wake utakua huna kitu wallah maana allah hapendi kushirikishwa na kitu chochote na ukimshirikisha na kitu chochote basi utakuwa kwenye khasara duniani na akhera Allah atupe pepo waislamu wote inshallah atupe pepo ya firdaus inshallah Allah karim
@albertdoherty9394
@albertdoherty9394 3 жыл бұрын
Allahumma Amiin
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 3 жыл бұрын
Nakonga asl mia kwa mia dada wangu kwa uslaam kama ulivosema mungu hapendi kumshiriki mungu atakusamehe kwa kila kitu ila alshirk NA mungu ni moja tu wala hana haja kusaidiwa
@khadeejaabdullah7083
@khadeejaabdullah7083 3 жыл бұрын
Aamiin
@abuubakarsoud4588
@abuubakarsoud4588 3 жыл бұрын
Amiin
@dushmanabdul4929
@dushmanabdul4929 3 жыл бұрын
Afwqn nikurekebishe kidogo, haifai kumwombea asiekua mwisilamu baada ya kifo yake, unaweza kumwombea hidaya kama Yuko hai kama alivyomwombea sheikh kishki, lakini Kwa hotuba yote hujasikia akimwombea baada ya kufa kwake
@fatmajuma7216
@fatmajuma7216 3 жыл бұрын
Nakupendaje wwe shekhe kishki mungu akujalie jannatul iwe makaz yako
@rahmakontomarahmakontoma369
@rahmakontomarahmakontoma369 3 жыл бұрын
Masha Allah Mungu hasaidie Mama wetu Inshaallah.
@hemedymkala7566
@hemedymkala7566 3 жыл бұрын
Asante shee
@ramamambosupesupa3724
@ramamambosupesupa3724 3 жыл бұрын
masha Allah
@kaundasutikaunda7769
@kaundasutikaunda7769 3 жыл бұрын
Mungu akubaliki sana.
@raheeamanzi3319
@raheeamanzi3319 3 жыл бұрын
Allahumma amiin 🤲
@surayaali2470
@surayaali2470 3 жыл бұрын
Allahuma amiiin
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du 3 жыл бұрын
JPM alikuwa na akhlaaq nyingi za kiislamu. Nyengine hata sisi waislamu hatunazo. Natamani iwe ametoa shahada kabla ya kufa kwake. Allahu aalam.
@timetravellor5367
@timetravellor5367 3 жыл бұрын
Allah akulipe la kheri
@user-xg3hz4ti5b
@user-xg3hz4ti5b 9 ай бұрын
TAFADHARI NAKUOMBA KAICHUKUE FOMU YA URAISI,, inshaallah Allah akufanyie wepesi ilifanikishe,, tumerudi nyuma 😢😢😢😢 kimaendeleo,, kiimani, kimaendeleo,, kimafanikio na wizi umerudi,, ona wamachinga, ona wakulima, ona sisi tunaojiita wafanyakazi iwe binafsi au serikalini 😢😢😢😢😢,, HII KAULI YA tumerogwa nanani inaumiza 😮sana,, sana kiukweli
@shocknumbe5602
@shocknumbe5602 3 жыл бұрын
Mimi ni mcongo nakupongeaza sana tofauti na waziri mnafiki alionsaliti Ayati Rais Magufuli bungeni bila Ahibu yoyote nilazima alaaniwe
@vsounds1539
@vsounds1539 3 жыл бұрын
MIMI NI MKIRISTO.... ILA WEWE KISHK NAKUKUBALI SANA
@hawaheri5833
@hawaheri5833 3 жыл бұрын
Alla akuongozo katika DINI ya haki
@J4UPro
@J4UPro 3 жыл бұрын
Mungu mkubwa
@aisha004
@aisha004 3 жыл бұрын
Magufuli Allah akusameh mapungufu yako na akulaze mahali pema peponi
@Almujdy.78
@Almujdy.78 3 жыл бұрын
Kama una kubali karibu uingie kstika dini ya haki ya uislamu
@Almujdy.78
@Almujdy.78 3 жыл бұрын
@@aisha004 ni haramu kumuombea kafiri kuingia peponi
@dotahamad6640
@dotahamad6640 3 жыл бұрын
Amiin thuma amiin 🤲
@whiteAfrican83
@whiteAfrican83 3 жыл бұрын
Tunahitaji taifa la namna hii.sisi tuu wana wa Ibrahim
@albertdoherty9394
@albertdoherty9394 3 жыл бұрын
Allahumma Amiin thumma Amiin
@naturelle1097
@naturelle1097 Жыл бұрын
Rest in peace our President your legend lives on.
@shanishosho911
@shanishosho911 3 жыл бұрын
Aamiin
@henryanatoly2522
@henryanatoly2522 3 жыл бұрын
Tanzania tunahutaji watu wa aina yk, yaan kiongoz anaekua na matamanio ya kuwaweka watu pamoja pacpo kujal imani zao. Mungu akuweke ktk salama yake tena ktk afya ya mwili na akili. Amina!
@yusufumahendeka2456
@yusufumahendeka2456 Жыл бұрын
Ameeen asante kwa kusema wema wake na ukweli tutaendelea kuusema wema wake sana
@hassamaimun9103
@hassamaimun9103 3 жыл бұрын
Amiin Amiin yarabbylillamin
SHEIKH KISHK  -  HAYA  NDIYO MADHAMBI SABA (7 )MAKUBWA
1:06:09
Kishki Online TV
Рет қаралды 7 М.
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 34 МЛН
WHO LAUGHS LAST LAUGHS BEST 😎 #comedy
00:18
HaHaWhat
Рет қаралды 17 МЛН
Вечный ДВИГАТЕЛЬ!⚙️ #shorts
00:27
Гараж 54
Рет қаралды 14 МЛН
When You Get Ran Over By A Car...
00:15
Jojo Sim
Рет қаралды 22 МЛН
Sheikh KISHKI Amkumbusha MAGUFULI, Alichomfanyia Akiwa Waziri!
7:27
Global TV Online
Рет қаралды 289 М.
TAZAMA KISA CHA AJABU KILICHOMTOA MACHOZI SHEIKH KISHK
4:56
Kishki Online TV
Рет қаралды 97 М.
SHEIKH SAID ATOA SOMO JIJINI DSM, MTOTO WA BACHU USIPOELEWA HAPA BASI
19:54
Kauli 10 Tata za Magufuli Lazima Uzikumbuke Kabla Ya Uchaguzi 2020
7:20
Top Stories Tanzania
Рет қаралды 3,1 МЛН
NAFSI YAKO NI ADUI MKUBWA KULIKO IBILISI //SHEIKH OTHMAN MAALIM
24:24
arkas online tv
Рет қаралды 12 М.
SHEIKH KISHK AWACHEMSHA BONGO WAKAZI WA MILIMANI.
36:39
Kishki Online TV
Рет қаралды 91 М.
DAKIKA 19 ZILIZOMUANGUSHA SULE NA WAPIGA RAMLI WENZIWE || Muhammad Bachu.
19:15
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 45 М.
UDUGU ULIYOUNDWA NA ALLAH MBINGUNI. MUHADHARA LAMU KENYA, SHEIKH KISHKI
1:19:51
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 34 МЛН