GB 64 APAGAWA NA TAKWIMU ZA mchezaji mpya wa SIMBA STEVEN MUKWALA | HAPA SIMBA TUMELAMBA DUME

  Рет қаралды 50,510

SANGA TV

SANGA TV

4 күн бұрын

Пікірлер: 42
@lonesomekabora5547
@lonesomekabora5547 2 күн бұрын
Kama chama ana ukubwa huo wananchi wanaokata keki na kuweka Mabango watuambie hapa ni Timu gani nyingine kubwa imempa ofa zaidi ya Yanga? Aziz ki kala ofa tatu kubwa feisail anaofa za moto kubwa kumuwekea Chama mabango ni dalili za wananchi kuogopa ukubwa wa Simba katika nafasi ya tatu, sasa wasubirie tujaze vikapu vya makombe msimu ujao
@OvinusOsward
@OvinusOsward 2 күн бұрын
Apo umenena Asante
@mwanangusana
@mwanangusana 2 күн бұрын
😂😂😂 jipe Moyo
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 2 күн бұрын
WACHEZAJI HAWANA MAKOSA , WAO WANATUMIA DAMU na WANATAFUTA MAISHA , SHIDA YA SIMBA NI UONGOZI.. KIONGOZI SERIOUS LAZIMA WALIOKO NYUMA YAKE WAWE SERIOUS
@MohamedMshiti
@MohamedMshiti 2 күн бұрын
Muongo wewe ila viongozi wetu wako pouw
@spencersambo469
@spencersambo469 2 күн бұрын
❤❤❤🎉 simba yetu
@yusuphabsaid8151
@yusuphabsaid8151 2 күн бұрын
Chama Simba walichelewa kumla kichwa
@monicachacha455
@monicachacha455 2 күн бұрын
mungu ibaliki simba
@Dastanikasanda
@Dastanikasanda 2 күн бұрын
Ukiona mwana chama wa simba au shabiki anapiga kelele chama kuondoka ujuwe huyo ana ujinga wa kumtosha. Tena nimamruki wa kudum..nyoooo. mfuate. Hakuna mkubwa kuliko simba. Pumbavu zenu. Nitabaki na simba yangu daima.
@allykagawa
@allykagawa 2 күн бұрын
100%
@JacobMwamabhise
@JacobMwamabhise 11 сағат бұрын
Simba nguvu moja
@JacobMwamabhise
@JacobMwamabhise 11 сағат бұрын
Namini Simba ijayo itakuwa bola sana miaka 25 kushuka chin hapo sawa
@ernestkamata2555
@ernestkamata2555 2 күн бұрын
Unachokiongea ni sahihi, watu wanaongea juujuu tu, lakini kiwango cha chama na pesa anayoitaka haviendani kabisa
@OmariSaidi-r1k
@OmariSaidi-r1k 2 күн бұрын
Hii imeendaaa
@EliasCosmas-qp6gn
@EliasCosmas-qp6gn 2 күн бұрын
Asante Sana GB64 Kwa hamsa yako wazee hatuwataki tena tunataka vijana wanao kimbia 😂😂😂❤❤❤Simba mwaaaah 🤪
@KennedyGiti
@KennedyGiti 2 күн бұрын
good brother
@SamwelyMartine-to4ki
@SamwelyMartine-to4ki 2 күн бұрын
Chemalone shondo 😂😂😂 hii imeendaaaaaaaaaaaa
@user-xq9qg5lp4f
@user-xq9qg5lp4f 2 күн бұрын
Da kaka gb64 kwann tuskujengee sanam kaka nakula mpaka nakuombe uishi miaka ming
@user-en1re7ot8c
@user-en1re7ot8c 2 күн бұрын
Ahaa gb umebalikaa
@ShaabanMfalme
@ShaabanMfalme Күн бұрын
KAA KIMYA ACHA WATU WENYE MAPENZI NA SIMBA WACHANGIE HOJA WEWE HUNA HOJA ZENYE MASHIKO KWA KIFUPI WEWE NI SHABIKI MAANDAZI
@user-hv1dd3zf3i
@user-hv1dd3zf3i 2 күн бұрын
Ngoja tunywe mtoto nyama tutazikuta chini
@SalumAuka
@SalumAuka 2 күн бұрын
Yanga bingwa tena
@abdullramadhanii626
@abdullramadhanii626 2 күн бұрын
Umekula rushwa wrweee kuwekwa ndani kumefanya uponeee
@PhinidyShaban
@PhinidyShaban 2 күн бұрын
Tunaitaji vijana saizi siyo simba hile wakifika dk 70 wamechoka
@chillogeorge1383
@chillogeorge1383 2 күн бұрын
Juzi tu walikuwa wanautukana uongozi wao kuwa ni mbovu, leo anamshutumu mchezaji aliekuwa anapambania timu yake na maslahi yake binafsi. Hivi ni mtu gani anaejitambua atakuwa mstaarabu palipo na uongozi mbovu??? Wakulaumiwa ni mzazi na sio mtoto.
@SirajiRashidi
@SirajiRashidi 2 күн бұрын
Aliempa chama jina la mwamba wa rusaka sio baraka kapewa na enock bwigane
@ShaabanMfalme
@ShaabanMfalme Күн бұрын
Wewe huna unalijua unabwabwaja si ulisema chama akisaini YANGA unaacha kuishabikia simba uko
@CharlesMchina-hm6yj
@CharlesMchina-hm6yj 2 күн бұрын
I've hzi xajili zitakuwa na tija
@RomwadMhagama
@RomwadMhagama Күн бұрын
Wefala unatupotosha
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m 2 күн бұрын
Madampo yanakata keki
@drallan6879
@drallan6879 2 күн бұрын
unafiki;chama Leo munaona ni Nani?
@saidhassan3181
@saidhassan3181 2 күн бұрын
Hahahaa chama leo kazaliwa
@EdwinSimba-j9x
@EdwinSimba-j9x 2 күн бұрын
Gb 64 unaupiga mwingi uko sahihi
@Dastanikasanda
@Dastanikasanda 2 күн бұрын
Wamfuate kama imewauma
@Joicejafet
@Joicejafet Күн бұрын
chama hatuna haja nae kachoka aende tu uko
@muhamedjaffar5653
@muhamedjaffar5653 2 күн бұрын
Gb 64nakubailisha ww sio 64.ww ni 512 gb
@GerfansiBakari
@GerfansiBakari 2 күн бұрын
chamade anataka ufaza bora aondoke
@user-ny1wh3ue8n
@user-ny1wh3ue8n 2 күн бұрын
😂😂
@jseventz
@jseventz 2 күн бұрын
mamluki
@allykagawa
@allykagawa 2 күн бұрын
👏👏GB64
@RomwadMhagama
@RomwadMhagama Күн бұрын
Wefala unatupotosha
@RomwadMhagama
@RomwadMhagama Күн бұрын
Wefala unatupotosha
1 or 2?🐄
00:12
Kan Andrey
Рет қаралды 36 МЛН
WHO DO I LOVE MOST?
00:22
dednahype
Рет қаралды 79 МЛН
Khó thế mà cũng làm được || How did the police do that? #shorts
01:00
UCHAMBUZI SAKATA LA FEISAL SALUM, JE, ANAKWENDA SIMBA AU HAENDI?
14:01
AHOUA JEAN CHARLES
4:22
Thierry Djodjo
Рет қаралды 79 М.
STEVEN MUKWALA DESE ! GOALS AND ASSISTS HIGHLIGHTS 2023/2024 SO FAR
3:42
Mukwala Steven dese
Рет қаралды 126 М.
СПОРИМ, ВЫ НЕ ПОДПИШИТЕСЬ‼️
0:20
rOmaanyy
Рет қаралды 128 М.
Как Емельяненко из дзюдо в ММА переходил!🔥👑
0:50
Человеческая Мысль
Рет қаралды 1,3 МЛН
❌⚽️ Who is the strongest football player of all time?💪
0:14
ag_soccer team
Рет қаралды 6 МЛН
Asmr Belt Catching The Ball 🥋⚽️🏀🎈#shorts #challenge #asmr
0:12
ПРОДУМАЛ ТАКТИКУ
0:16
В ТРЕНДЕ
Рет қаралды 14 МЛН