KWA HABARI NA MATANGAZO TUPIGIE SASA 0753393036 CALL 0625466848 WHATSAPP
Пікірлер: 55
@CareenJulias-iu7tf7 күн бұрын
Acheni uongozi ufanye kazi yake tulieni mnatuchanganya na NYIE Baba GB 64. Tuweni na Imani bana, Tulikuwa na hao wote Lakini wameshindwa kutusaidia timu Hadi tumeenda shirikisho ndo Nini Sana. Tumeamua mabadiliko hivyo tuvumilie maumivu yote. GB64, wewe uko vizuri sana Lakini una huruma Sana wakati mwingine. TUVUMILIANE TU NDG, YETU GB TUKO WOTE.
@alphoncelushinge11207 күн бұрын
good
@danieligledson56976 күн бұрын
Kabisaaaa
@MashakaMaduhu6 күн бұрын
Tayila. Wewe.
@allygoodboytzsdoneintanzan39706 күн бұрын
sahihi kaka
@joshuasamson96187 күн бұрын
Luis pale simbasc ndiyo mchezaji ambaye Alilipwa pesa nyingi kuliko mchezaji yeyote yule hajaipa simbasc kiwango chake ni kimbovu bora wamemuacha tu
@user-lt3us3fn4x6 күн бұрын
Bwana waacheni wafanye kazi yao aende mihela kibao c mlitaka maamuzi magumu ndio hayo acheni unafiki jamani
Apana mbona yanga iliacha kikosi kizima ndo ikarudi ikawa bora na wao wachezaji ndo walikuwepo na ndo wameiferisha timu adi kwenda shirikisho
@abdallahmwaipopo707 күн бұрын
GB ukosawa kabisa mikison Bado yupo vzr tatizo bench limempunguza kasi.
@sangaelly85486 күн бұрын
Hizi habari za kweli?au magazeti tu.
@pauldamas56136 күн бұрын
We GB 6.4 Acha unafiki anajitafuta Luis leo hii we ulitaka apewe muda kiasi gan ili ujue mchezaji kahudumu na kocha wanne na bado kafeli acheni kujifanya mnajua sana kuliko wengine as if mechi huwa mnaangalia peke yenu
@AmaniKasekwa-uw8hp7 күн бұрын
Wewe kisugu acheni viongozi wa fanye kazi yao
@AlexGwambie-xr2hm7 күн бұрын
Akili nyingi Sana Gb
@msabahaissa62016 күн бұрын
Unamapenzi ,luis amefikia climax
@hamisimsosi62376 күн бұрын
Hamuwezi kutuambia tutulie wakati sisi tunawajuwa nje ndani anaetuli ni makabuli siyo binadamu aliye hai😅😅😅😅😅😅😅😅
@danieligledson56976 күн бұрын
Safi we unaelewa
@user-ld6fy2fi5s4 күн бұрын
Hatumtaki onana hayupo serious na kazi yake
@saumkhalifa85176 күн бұрын
Nyinyi simlikua mnasema wachezaji waachwe SS MBN mnaongea tena acheni usenge
Ivi uyu jamaa anashida gan, kila kitu kwake ni tatzo
@namtingakassim55296 күн бұрын
Kumuacha Luis ni mihemko ya viongozi wanabugi
@alphoncelushinge11207 күн бұрын
walisajili kwa kelele za mashabiki hivyo katika swala hili tukae kimya kwanza sikilakiyu ya tupasa kuongea
@MeniJr6 күн бұрын
Acheni uongozi ufanye kazi yake unajua sometime nyie mashabiki mnakuwa chanzo Cha matatizo mnawaweka VIONGOZI kwenye pressure
@AndrewShayo-np1sy6 күн бұрын
Na mtu anaeipoteza Simba yupo na anafahamika ni Mungu tumtoe.
@frankraphael75466 күн бұрын
Shida yenu nyie kina gb nimoja mnataka kuingilia uwongozi kwann
@ernestmkila93567 күн бұрын
Imeumiza sana wengi kumuacha luis
@badendavid84567 күн бұрын
GB tutasota zaidi msimu huu Luis na Saido pengo
@WilfredSaidi-st3tn5 күн бұрын
Gb jaman is the best wape makolo wenzio madini😂😂😂😂
@MrishoMindu-zq7mz7 күн бұрын
Kua Muelewa kidogo binafsi amesikitishwa na ameanza kwa kusema tuuache uongozi ufanye kazi yake. Ila ametoa angalizo kua makini tu. Hata wewe unaweza kutoa maoni yako lkn usi vunje sheria. Aache maneno huko ni kumdhihaki Gb 64.
@kasimuhamidu84677 күн бұрын
Mangungu anazingua
@user-wk2bg8zf3l7 күн бұрын
SIMBA NGUVU MOJA
@saimonntani68316 күн бұрын
Umessahau pale juu nilipokuwa nashona ? Kama unaenda kwa mzee dongwe?
@badendavid84567 күн бұрын
Luis Yanga wanadaka
@Bboy-ek8vn6 күн бұрын
Jobe na mangungu
@namtingakassim55296 күн бұрын
Hakuna kitu simba
@BarakaSureiman-zz2ri6 күн бұрын
ila simba bwana haina ungozi bola mikison anaachwa jobe anabaki da tutateseka sana
@Bboy-ek8vn6 күн бұрын
Mzalamo ,kisugu na pass milion ni machawa
@mr_voiceeyounghustler1494 күн бұрын
Sisi Simba tunambwera
@kabwangaselemani52287 күн бұрын
Utawafanya kitu gani? Acheni kujifanya nyie ndio wenye Simba
Ni kweli viongozi wa simba waachwe wafanye kazi yao we acha maneno yako
@MashakaMaduhu6 күн бұрын
Kuma. Wewe
@user-xz2vl8up5e6 күн бұрын
GB kinacho mponza analeta mapenz kwa mchezaji kuliko kuangalia uhalisia nahiki kinatugali Sana mashabiki wa Simba ndo maana mpaka Leo chama tunashindwa kumuondoa ila tunatakiwa kubadilika tuna itaji mabadiliko nabodo Kuna wachezaji tunataka kuwa beba waki kisa tuna wapenda hili nitatizo kubwa Sana
@BarnabaJaphet6 күн бұрын
Miqson hakuonyesha kiwango bora toka alipojiunga dilisha kubwa na inaonekana alisain mkataba wa muda mfup na kwamshara mnono sasa haiwezekan huonyeshi kiwango bora na unamlipa pesa nyingi huon kama ni hasara kwa club
@adrianorayner65515 күн бұрын
Kabisa yani
@user-cc4pp2kl5z7 күн бұрын
Acha kuwa bebelu ww acha viongozi wafanye kazi yao ndo maana unafungwa magereza make unaongea upumbu wee GB
@iddykasabe847 күн бұрын
Acha uchiz ww
@MrishoMindu-zq7mz7 күн бұрын
We ni wakurudi Milembe huna unacho kijua ktk Soka shabikia Ngumi za kuku huko huko kijijini kwenu. Usije mjini kuna wenyewe psku lala hakuna Ubungo terminal kuna jengwa.