GB64 ATOA KIHAPO SIMBA/ MWAKA HUU WAKIROGA NASI TUNAROGA/ WANA WAZEE WENGI

  Рет қаралды 13,488

Maximum Tv Online

Maximum Tv Online

Күн бұрын

KWA MATANGAZO HABARI NA MATUKIO TUPIGIE
0625466848 AU 0753393036

Пікірлер: 33
@MamboMbuli
@MamboMbuli 22 күн бұрын
Ukweli unajitenga na uwongo cku zote,,wewe unasema ukweli,,lazima NSSF wakuchukie,,,,ishi na ukweli ,,SIMBA NGUVU MOJA
@alexchikoko9369
@alexchikoko9369 22 күн бұрын
Brother 64, Mimi huwa nafatilia sana interview zako mana huwa unaongea Kwa references, na ndivyo inavyopaswa kuwa katika taaluma hii ya mpira.
@SamsonMwambope
@SamsonMwambope 22 күн бұрын
Jamaa anaakili nyingi sana kuliko wachambuzi wote wa Tanzania
@salimujuma5185
@salimujuma5185 22 күн бұрын
Nakuelewa Sana bro ubaya ubaya
@SamsonMwambope
@SamsonMwambope 22 күн бұрын
Uyu jamaa yupo vizuri sana
@user-ps6wm2qm4f
@user-ps6wm2qm4f 22 күн бұрын
Naomba kadi tupo mwanza
@jumaali9243
@jumaali9243 22 күн бұрын
Hongera G64
@mariammbapira645
@mariammbapira645 22 күн бұрын
Maana ubaya unakuja
@user-ps6wm2qm4f
@user-ps6wm2qm4f 22 күн бұрын
Mbona namba 2 haina mtu.Kuna watu.
@KifyasHamis
@KifyasHamis 21 күн бұрын
Daa kwel
@saidingumbo-is2oe
@saidingumbo-is2oe 22 күн бұрын
Haongei kimpira
@SamsonMwambope
@SamsonMwambope 22 күн бұрын
Uyo na babaako sawa
@salimmalaka256
@salimmalaka256 22 күн бұрын
MATOPOLO MACHOGO FC WAMEMCHUKUWA CHAMA ILI WAONEKANE WAMEJAA MAVUMBI YA JANGWANI HAYA ONEKANI WALA HAYA JULIKANI 😂😂😂😂😂😂😂 MACHOGOOOOOOOOO 😂😂😂
@bobbyfiasco4311
@bobbyfiasco4311 22 күн бұрын
Achee USENG. Huyo 😂😂
@daruweshshifaaonlinetv6958
@daruweshshifaaonlinetv6958 21 күн бұрын
Weye ni taira gb
@RashidKaoneka-bj8mm
@RashidKaoneka-bj8mm 21 күн бұрын
Kila wakati wausajili ndiofulaha yenu tunaomba 8 ifike halaka tuone kituko
@user-yn3dr7ve8k
@user-yn3dr7ve8k 22 күн бұрын
Saf sn bro Akuchomae Mahomet mpk kieleweke
@saidabdul832
@saidabdul832 22 күн бұрын
Wewe sio gb 64 bhana Kaka inafika GB 565446😂😂😂😂😂😂
@jamalmanishi7282
@jamalmanishi7282 22 күн бұрын
Brother wewe unatosha kutusemea wana simba wote ktk engo yakunesha thamani ya Simba nikuombe ujitaidi kuilinda brand kwa kutokusema uongo vinginevyo tukonyumayako
@saidingumbo-is2oe
@saidingumbo-is2oe 22 күн бұрын
Ilikuwa kipindi Cha korona na mjinga mmoja kumkamata manji
@user-cg4gi3no7r
@user-cg4gi3no7r 20 күн бұрын
Aliye mkamata manji sio mjinga
@DianaLyimo-be7yp
@DianaLyimo-be7yp 22 күн бұрын
Siulisema unahama timu wew au ndo maneno yamtu mwenye nja
@user-cg4gi3no7r
@user-cg4gi3no7r 20 күн бұрын
We ndio fala mwema njaa
@user-cg4gi3no7r
@user-cg4gi3no7r 20 күн бұрын
Boya kweli
@user-cg4gi3no7r
@user-cg4gi3no7r 20 күн бұрын
Pimbi wwe
@mussahhassan8818
@mussahhassan8818 22 күн бұрын
😅😅😅😅 nakubal gb 64
@user-bt6ep3yb2h
@user-bt6ep3yb2h 22 күн бұрын
Simba hewa, ubaya ubwela ni misemo ya kale sana, ya kijima, sasa mambo ya kale uyalete leo?.
@sakinasakina1286
@sakinasakina1286 22 күн бұрын
wew unatafuta bwana nini
@farajasospeter9668
@farajasospeter9668 22 күн бұрын
Akili hana huyu ila kwa kuwa makolo hua hawana wanamuona huyu jamaa anaongea madini
@user-rq1hn1xx9x
@user-rq1hn1xx9x 22 күн бұрын
Ww mwenyewe unampenda huyu ndomana unamfatilia.
@omanoman8700
@omanoman8700 22 күн бұрын
Ww mwenyewe huna akili
@user-rq1hn1xx9x
@user-rq1hn1xx9x 22 күн бұрын
@@omanoman8700 ww mwenyewe akili zako umeziacha utopoloni umekuja kumwangalia shabiki tu..je angeongea msemaji cungeanza kutukana matusi kabisa??fata yako chura ww
@Gisakijamaduda
@Gisakijamaduda 22 күн бұрын
Weeeeeeee ngogwe fc huna cha kusema mbele ya gb64 unajiropokea tu!!!!!😅😅😅😅
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 29 МЛН
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 46 МЛН
GB 64 AMLIPUA HAJI MANARA KISA AHMED ALLY, ANAZUNGUKA TU ZAIY LISSA
12:06
SHETANI ASHUSHA MAPANGA CHINI HUYU DEBORA NTAMFANYIA UMAFYA ASICHEZE TENA
9:13
Haaland Respect Moments 🥶
0:40
Foot Mood
Рет қаралды 3 МЛН