GENIUS X66: S2KIZY, USIIGE NA WEWE, MIMI SI MBONGO, AJIBU KULIPWA MAMILION NA JAY MELODY
Пікірлер: 21
@SwifraKitemwe6 күн бұрын
Geniusjin ×66
@jamaaafrikatv65905 күн бұрын
Danzo Tabata boi, mtoto wa kanisani, kiongozi wa viwawa 😂, unatisha SANA Kaka, ithinking it's your time, keep up man
@user-uf7oh5eu4v7 күн бұрын
Mtu makiniii😅😅
@Pemba6804 күн бұрын
Jamaa mkali sana
@kiatuКүн бұрын
Binadamu wote hawatakiwi kusema uongo sio swala la udini
@chidi_don6 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Avibrtz6 күн бұрын
Watanzania tunahuruma sana hawa akina Genius si wakenya tunajua ila tumewapa ustar 😢 ila ingekuwa wakwetu kupata TU hii interview nikisanga
@chuchufplatnumz48885 күн бұрын
Acha ubaguzi ndugu. Wako ndugu zetu WA kibongo wengi Tu wanaopata Kenya. Mr Nice mpka leo Maisha bomba kuptia Kenya, Fredrick Muller ndugu yko kbsa WA Morogoro yko anafanya mziki Safi Tu, hkohko Kenya.
@DavalsonMarlony5 күн бұрын
@@chuchufplatnumz4888syo ubaguz kaongea ukwel tz inaupendo wa pekee
@cristaezekiel1036Күн бұрын
Ebu imba wewe tukuone 😂😂😂😂ww si mtz?ebu imba huku tz tukuone 😂😂😂😂 Acha wivu bwana ,tatizo nyota
@Samtellg7 күн бұрын
Jaman kuliza siyo ujinga hivi huyu Jini wanaundugu na huseni machozi?🙏
@MinisterElisha-d6 күн бұрын
Memi apa ndo ndugu yake
@SuedChuby6 күн бұрын
Acha ujinga😏
@Avibrtz6 күн бұрын
Hapana huyo nimkimbizi kutoka Kenya hana udugu na Huseni
@Fadhiljumanne6 күн бұрын
So ndungu ni wanatoka mkoa mmja
@Soundprobeats5 күн бұрын
Kuuluza ni ujinga acha kujitetea
@hostkayava67685 күн бұрын
it's jin ex dabo six
@user-cf3lt8ji4j6 күн бұрын
Naona kabisa gin×66 anavochukua mikoba ya S2kizzy siku chache zijazo
@Soundprobeats5 күн бұрын
Hujui ulisemalo
@user-cf3lt8ji4jКүн бұрын
@@Soundprobeats sijui nilisemalo vipi Sasa kwani S2kizzy Si kapokea mikoba kutoka Kwa T-touch na queck rock Sasa Kuna ubaya gani ye kumuachia mikoba ginnix66 au mikoba unaichukulia ni uchawi au