KILLY: SIKULIPWA MIA KONDE GANG, NAONGEA FRESH NA ALI KIBA, HARMONIZE ALINITAFUTA AKIWA UNDERGROUND
Пікірлер: 9
@pc_boy42619 күн бұрын
Nakubali
@rhodestweve442323 күн бұрын
Ooooooooooooooh huo ni uwongo
@jastinedaudi-qi9vr23 күн бұрын
Daah soud bhn unanfraisha xn
@pc_boy42619 күн бұрын
Killy ame ongea ukweli kabisa.
@mohammededy708623 күн бұрын
muongo uyo anajutia kuondoka kw kiba et aliaminishwa anachereweshwa kimaisha aya Akaenda uko kunako Wahi hahaaha kilichotokea mulizeni Ibrah
@user-it6zi7zw8y23 күн бұрын
sema dogo yupo sawa wasani wa tz wanawanyonya wasani wasio jiweza yeye konde boy alikua analia nahuwo mkataba au kasahau napia kama pia alitakiwa awalipo ao vijana haki zao pesa zake na digital account zao wakae nazo sababu konde geng wao ndo walikatisha mikataba Yao nanyie vijana muwe na akili mtulie usisaini mikataba bila kujua ukweli na wanasheria wawepo nanyie
@SaidiMkome-qq7hy23 күн бұрын
Tamaa mbaya mtto wa kiume kaza
@jeremiahcharles602723 күн бұрын
Wanasemaga harmonize Ako na pesa ,,ni kweli anapesa au basi😁😁😁😁