GODBLESS LEMA ATOA MANENO MAZITO JUU YA MNEC ALLY HAPPY || KUMBE HUJABADILIKA EHH

  Рет қаралды 21,505

RAI TV

RAI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 114
@SalimAbdallah-mi1wc
@SalimAbdallah-mi1wc 4 ай бұрын
Matusi ndo mnayoweza Lakin Lema mganga wako makonda Kaja arusha
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 4 ай бұрын
Hawa WAHUNI ndio wapewe nchi kweli UPINZANI bado SANA 😢😢😢😢
@MohammedAwadh-gq9si
@MohammedAwadh-gq9si 4 ай бұрын
Sidhani kama hii dio Sera za chamacha chadema ,ila ni kukosa maadili ! Kuishiwa na Sera ni kukiangamiza chama ! Msije mkatafuta mchawi ,
@martinabayyo9982
@martinabayyo9982 4 ай бұрын
Na matusi yote hayo unalitaja jina la Mungu! Mungu akusamehe kwakuwa hujui utendalo
@neemanziku5403
@neemanziku5403 4 ай бұрын
Makonda hoyee mtu mwenye nyota yake mjini kwanza Makonda njoo uchukue maua yako🎉🎉
@user-ct3kz3rq1q
@user-ct3kz3rq1q 4 ай бұрын
Hahahahaha
@umalqasimalhamhami6707
@umalqasimalhamhami6707 4 ай бұрын
Pombavu zakoo ww msengee tuu
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 4 ай бұрын
Kweli kwa matusi haya Chadema mtapata kura kweli
@mgosimkome9242
@mgosimkome9242 4 ай бұрын
Yaani huyu jamaa huwa simuelewi kbsa maana sijawahi kuona akiongea kitu cha maana yeye kila siku ni kulaumu, ongea kitu cha maana ongea hoja ya maendeleo, watu wenye akili zao sidhani kama wanaweza kuwasikiliza, Kifupi Lema siasa hajui huo ndo ukweli
@mwllughanosanga960
@mwllughanosanga960 4 ай бұрын
kwahiyo matusi ya CCM ndo halali?
@TanganyikaChakupewa
@TanganyikaChakupewa 3 ай бұрын
Weeee jinga kweli ni uchawa tu unakusumbuwa ​@@mgosimkome9242
@donatusdaniel3722
@donatusdaniel3722 4 ай бұрын
Lema na uamini sana kama kiongozi mzuri wa kitaifa. Lafiki hatuba zako zako zimejaa matusi plz nakushauri k8ongea na kusimamia hoja zinatuhusu. Nakuamini Sanaa
@MsAggie5
@MsAggie5 4 ай бұрын
Wapinzani wanaongea kwa jazba hata wanakosa points. Unahutubiaje "upumbavu" 'kuwa na adabu"
@festokivuyo7121
@festokivuyo7121 4 ай бұрын
@@MsAggie5 yaani upande jukuani kitu unasema pamoja na somo yako nikutukanana nakupenda majina ya watu siasa safi utaji mtu jina ukitaka kukosoa huyu anafaa tu kwenda bungeni kwa kuteuliwa asiwakilishe maali
@lucaschisamalo2852
@lucaschisamalo2852 4 ай бұрын
Mpumbavu siyo tusi kwanza kauli za kistarabu sasahivi hakuna ccm wamekuwa siyo watu wakuambiwa maneno matamu siyo watu kabisa
@zawadichalale4047
@zawadichalale4047 4 ай бұрын
Kura haziwezi kuibiwa sera zenu ndio mbovu pigeni sera za maendeleo sio kishindana ninyi kwà ninyi hazitusaidii wananchi tunakiu na maendeleo tu sio sera mbovumbovu
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 4 ай бұрын
Utabaki kusikia lakini ccm ya sasa iko juu we endelea kutukana
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 4 ай бұрын
Wewe ndiyo mjinga Lema .Wewe ni tatizo huna lolote .Unaomba huruma ya Mungu
@markoshem-ij6cf
@markoshem-ij6cf 4 ай бұрын
Rema ndoo kiongozi mzr hapa Tanzania wewe
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 4 ай бұрын
Clemence huyo Lema ana laana ya kuwatukana viongozi wa dini ndiyo maana matusi mengi hata huo Ubunge hapati
@MsAggie5
@MsAggie5 4 ай бұрын
​@@margarethpolepole7438weee si anajifanyaga ana hofu ya Mungu na nilisikia akijiita Nabii au pastor ........anatukanaje?
@MsAggie5
@MsAggie5 4 ай бұрын
​@@markoshem-ij6cftutalijua hilo uchaguzi ukifika 😂
@user-vv2jy6gx6n
@user-vv2jy6gx6n 4 ай бұрын
Shida uenu mnatukana sana watanzania waliwapenda sana ila mmezalaulika kwajili ya matusi weken sela mezani tuwachamvue
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 4 ай бұрын
Lema nahisi una afya ya akili hauko sawa kabisa
@MsAggie5
@MsAggie5 4 ай бұрын
😂
@geey7893
@geey7893 4 ай бұрын
Kumanina umeshapigwaaaa huna ishu. Huwez kushinda Ubunge Arusha Makonda akiwa mkuu wa Mkoa Mbwa kokooo wewe😂
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 4 ай бұрын
Hao walitakiwa wamsikilize Dr. Nchimbi kwa aliyosema kwenye kongamano la kumbukizi ya Mwl.Julius Nyerere
@denisipaulo7785
@denisipaulo7785 4 ай бұрын
Safi kwa kuwashauli mana watu wanalewa madaraka wakati Mh Rais yuko safi mama wa watu
@rehemakimungu6494
@rehemakimungu6494 4 ай бұрын
Unajitukana mwenyewe lemaa, huna jipya kwa wananchi, kaa kimya
@TrinaRoman345
@TrinaRoman345 4 ай бұрын
Raia mwema utunza kinywa chwake kwa kutamka lugha za matusi🤔🤗 utausikia ubunge kwenye television tu
@user-xm9wr1lk4t
@user-xm9wr1lk4t 4 ай бұрын
Huyu jamaa anafanya siasa za kipuuzi!!
@kwayaviwawaparokiayabashne9281
@kwayaviwawaparokiayabashne9281 4 ай бұрын
Mungu akubariki Sana Lema Nakuelewa kweli kabisa
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 4 ай бұрын
Wewe ni mjinga kama Lema jambazi huyo
@Ibrahim-ne3in
@Ibrahim-ne3in 4 ай бұрын
Lazima umuelewe c n shoga mwenzio
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 4 ай бұрын
Lema anaongea kama kavuta bangi vile!! Unamtukana mtu bila sababu! Hoja hujibiwa kwa hoja! Acha ujinga! Hawatakuchagua nakwambia!😅😅😅
@user-vb9ci1wl5e
@user-vb9ci1wl5e 4 ай бұрын
Hamna kura hapo lema
@user-oh6pc7zd4s
@user-oh6pc7zd4s 4 ай бұрын
Kweli Lema ni bangi si alikimbia huyu wakati wa kidume Makufuli.Mikwala ya kishoga tu hiyo huaga kisaini hiyo.
@joscamwoshezi2986
@joscamwoshezi2986 4 ай бұрын
Mhh huyu kiongozi wa wapi jamani
@ManenoAnthonyMachaku-dt4jm
@ManenoAnthonyMachaku-dt4jm 4 ай бұрын
Anavyotukana utazani mwamba kwer ,,lakin sasaiv UTASIKIA kakimbia Nchi kupitia Chocho na bodaboda 😂😂😂 mwoga uyooo .
@Rai_online_tv
@Rai_online_tv 4 ай бұрын
H ha ha Daa
@user-qe6xc4nm8u
@user-qe6xc4nm8u 4 ай бұрын
Kumbe magufuli hakukosea kuwanyima Uhuru 😢😢😢.
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 4 ай бұрын
Kweli hawana HOJA
@user-ct3kz3rq1q
@user-ct3kz3rq1q 4 ай бұрын
Asante Ally Hapy lime mata mtoto Lema
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 4 ай бұрын
Chumbani kwa mongela na chooni ulifata nini shehe unatutisha lema😎
@stevenmabungi3245
@stevenmabungi3245 4 ай бұрын
😂 kwakweli anatutisha chooni kwa Mongera
@wamburajohanes952
@wamburajohanes952 4 ай бұрын
Lugha hii. Pole sana
@zablonnyanda6095
@zablonnyanda6095 4 ай бұрын
Acha woga bro! Unatuangusha banaa!!
@festokivuyo7121
@festokivuyo7121 4 ай бұрын
Lema we ni kiongozi MTU mweye uwezo mzuri sana wakuongea lkn mm na onauongeaji wako mara nyingi unakosea kidogo sana wapizani wa kuongea sana kuliko kufanya kazi wana maana ww muongeaji sana kuliko kazi
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 4 ай бұрын
Matusi yamezidi Lema ongea siasa yako tu
@stevensteve7519
@stevensteve7519 4 ай бұрын
Wanatia hasira
@MsAggie5
@MsAggie5 4 ай бұрын
​@@stevensteve7519kwenye upinzani au mashindano huoni mpinzani anakutia hasira halafu ukikasirika unakosa mwelekeo ndo unampa ushindi yeye? Kama kiongozi anatakiwa alijue hilo, kauli njema na hekima ni ushindi sio matusi.
@danielshauri6390
@danielshauri6390 4 ай бұрын
Viongozi wa chadema wengi ni wavuta bange . Wanaongea ujinga sana
@MsAggie5
@MsAggie5 4 ай бұрын
Wanaongea kwa jazba, wanaishia kutukana na inafanya wakose points
@shabanikitula645
@shabanikitula645 4 ай бұрын
Lema kamanda achana na hii takataka ya pilipili haina issue anaacha kudil na mambo ya chama chake anazungumzia vitu tofauti makonda alipokuwa mwenezi hakumtaja lema wala mbowe ndiyo maana watu walimpenda hata alivyotolewa uenezi watu walilalamika sana
@husnashehe1721
@husnashehe1721 4 ай бұрын
Chadema kuitawala Tanzania bdo sana kabisa yani
@ANYELWISYEMWALUKASA-zd7yl
@ANYELWISYEMWALUKASA-zd7yl 4 ай бұрын
jamaa amejaaa Shari tu hanajipya matusi tu ndio Kaz Yako ndio maana nashangaa mbona kabila Moja TU hakunagauchaguzi hata wa Mwenyekiti Mkuu ni yuleyule inamaana wengine hawafai hata huyu njaa TU anataka ubunge maisha magumu
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 4 ай бұрын
Hata Siku moja hakutatokea mchaga kuwa Rais ndani ya Tanzania hii
@ashrona9884
@ashrona9884 4 ай бұрын
Ila umewatukana wanaum yaani Bung zima hamna mwanaume
@stevensteve7519
@stevensteve7519 4 ай бұрын
Kwa mantiki yake neno wanaume siyo kuwa na jinsia ya kiume la hasha, katika tafasiri ya fasihi neno mwanaume au wanaume amemaanisha watu walio shupavu, jasiri na wenye kujiamini kuweza kuiwajibisha serikali wakiwa katika jinsia yoyote ile. Kwahiyo hajatukana wanaume kwa maana ya jinsia. Angalia pia mfano katika lugha ya kiingereza kuna maneno kama " This is a man made problem" hapa haimaanishi kama tatizo limesababishwa na mtu mume bali limesababishwa na mtu au watu(Binaadam) Kwahiyo kwakusema pale bungeni hakuna mwanaume tafsiri ni kwamba hakuna mtu katika hao wote waliopo mwenye ujasiri na ushupavu unaopaswa au kustahili. Nadhani naeleweka vizuri.
@augustinomhanje9225
@augustinomhanje9225 4 ай бұрын
Mimi nashanga sana hivi wananchi wanategemea viongozi waweze kuwasaidia chaajabu kazi kupiga soga zisizo na manufaa yoyote kwa wananchi.
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 4 ай бұрын
Huwwzi kumuita mwanamme mwenzio mpumbavu! Jazba ndizo zinazokuponza! Unataka haki wakati umefivha mapanga nyuma ya migongo yenu! Kwani bila kutukana hueleweki?? Wewe pia ni mpumbavu mmoja! Na hutaongoza nakwambia! Nimekaa paleee!😢😢
@user-kt8jf8uy8r
@user-kt8jf8uy8r 4 ай бұрын
Wewe sio mpiga kura, umesema asitukane wewe unatukana tena
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 4 ай бұрын
@@user-kt8jf8uy8r Sijatukana! Nimemrudishia neno lake asikie kama linapendeza!
@zablonnyanda6095
@zablonnyanda6095 4 ай бұрын
Huyu jamaa anaonekana ni muoga sana! Sasa maneno gani hayo?? Piga kazi bro! Kwa mtu muelewa atakudharau tuu! Angalia uhalisia, shindanisha hoja
@hamzakhamis1575
@hamzakhamis1575 4 ай бұрын
Uongozi ni hekma na sio matusi kaka, jifunze siasa za kistarabu. kama nchi hii viongozi wote wangelikuwa na jazba kama wewe jee inchi ingelikalika.
@mgosimkome9242
@mgosimkome9242 4 ай бұрын
Huyu jamaa hajui siasa bana zaidi ya kuropoka ropoka tu, hivi lini Lema alisimama akaongea kitu cha maana jmn tuseme tu ukweli,
@mohamedhamsini9106
@mohamedhamsini9106 4 ай бұрын
HUYU BOYA LEMA ANAJIFANYA ANAJUA SANA MPUMBAVU SANA HHICHO CHA ARUSHA KITAKUPONZA ULIKIMBIA MBIO ULAYA KAMA JASIRI SIUNGEKAA???? CHAUWOGA MKUBWA ACHA KUCHANGANYA DINI NA SIASA UMESHAOMBA RADHI ULIYOYANYA ARUSHA WATU HAWATAKUSAHAU
@AliKibwana-mg3uu
@AliKibwana-mg3uu 4 ай бұрын
Hiyo ni press imepanda
@user-er5to1ko1y
@user-er5to1ko1y 4 ай бұрын
Kapimwe akiri kakaangu nchi hii c kijiwe Cha wahuni
@user-er5to1ko1y
@user-er5to1ko1y 4 ай бұрын
Ndo maana hamuwezi kuongoza nchi ,hivi ulitaka kuongea sera za kujibu hoja mpaka utu km umtukane kweli endeleen kukaa pemben mpaka mkuwe ki akiri
@neemanziku5403
@neemanziku5403 4 ай бұрын
Lema usompenca kaja utampenda kwa lazima 😂
@hamadsaburi3569
@hamadsaburi3569 4 ай бұрын
Acha matusi kiongozi gani mlevi
@martinabayyo9982
@martinabayyo9982 4 ай бұрын
Uongozi haupatwi kwa matusi uongozi utaupata ukiwa na hekima hiyo tabia yako itakuponza mbaba mzima unachafua kinywa chako kwa kutamka matusi jaman hata watoto watakudharau unatakiwa kuongea maneno ya busara
@komuhsengo9796
@komuhsengo9796 4 ай бұрын
Ukiongea ujinga utajibiwa ujinga, chungeni kauli hii ni awamu ya 6, mama yetu hataki vitisho, ndio maana nchi imepoa, hata huyo mwenezi katolewa kwa kauli tata zisizo za kisheria,😮
@MsAggie5
@MsAggie5 4 ай бұрын
Hakutolewa Kwa kauli Makonda hajatoa kauli yoyote Tata na amemsifia Kwa kukiamsha Chama, ni ubabe alioufanya Dar uliomuondoa Kwa sababu aliyemfanyia ubabe nae ana watu wazito CCM
@SalimAbdallah-mi1wc
@SalimAbdallah-mi1wc 4 ай бұрын
Na wandishi mwatakiwa kuangalia vitu vya kupost ujinga kama huu
@user-vw5bn4pf4y
@user-vw5bn4pf4y 4 ай бұрын
Bangi ni bora ikutume kulima sio kuwa kichaa kama huyu
@istambulahmed6664
@istambulahmed6664 4 ай бұрын
Masikini chadema hawana viongozi wazuri hata kidogo badala ya kuongea sera badala yake ni kutukana na ............ hii ni aibu sana
@rehemakimungu6494
@rehemakimungu6494 4 ай бұрын
Sasa kwa matusi hayo nani akupe kura? Unatia kichef chef
@mgosimkome9242
@mgosimkome9242 4 ай бұрын
Ndugu yangu wajinga wajinga ndo wanaweza kumpa kura hivi kweli Lema anaweza ongea Huo mkutano niwe nimekaa kbsa nasikiliza, shule nzuri jmn tuache utani, watu somesheni watoto hata mtoto akisema anaingia siasa awe na utulivu, Japo sio wote ambao hawajasoma hawana busara, angalia Mashine Kishimba mbunge wa kahama yule mzee akiongea unatamani urudie rudie kusikiliza anaongea point tu, ukija akina Zito Kabwe, John Mnyika, Akina Kafulila enzi wakiwa wabunge wakisimama kujenga hoja hadi unasema kweli mbunge kaongea lakini Lema na Sugu jmn hebu jiangalieni angalieni hata clip zenu muda mwingine muone wapi mliwahi kusimama mkajenga hoja za maendeleo mkasema namna gani serikali ifanye kwa wananchi mkashauri nn kifanyike kwenye majimbo yenu zaidi ya mtu akisimama utasikia serikali ya CCM dk 15 zote speaker anatoa mtu ni kusema CCM CCM, kuna muda weka pembeni CCM ongelea hoja za Jimbo lako tetea wananchi hujatumwa kwenda kutoa lawama jmn. Mnajifanya mnajua siasa lkni Kiukweli Lema na Sugu kwa mtu mwenye akili timamu aisee hawezi wasikiliza ndugu zangu.
@georgemassebu2083
@georgemassebu2083 4 ай бұрын
Mmebakiaga kudandia dandia maneno tu ktk kila kinacjotokea nchini,hamjengi hoja peke yenu ili wananchi tusikie,nyie mnasubiri wenzenu waseme yao ndo mnarukia maneno
@abdulwadi8667
@abdulwadi8667 4 ай бұрын
Lema unatukana ndio siasa safi hiyo?lete hoja sio matusi sasa ww mwite mpumbavu makonda uone maana ya upumbavu ni nini
@user-cx1xz2is5d
@user-cx1xz2is5d 4 ай бұрын
Nae hapi kakosea msitegemee huruma ya nn leteni katiba mpya uchaguzi wa haki wa wizi tu ccm
@MsAggie5
@MsAggie5 4 ай бұрын
Hata kwenye biashara huwa wanavutia vyao na kuviponda vya wenzao lakini hakuwa na haja ya kutukana angeongea sifa za Chama chake na points nzuri alizonazo. Asijetafuta mchawi uchaguzi ujao
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 4 ай бұрын
Aseme Mbowe we ukitishwa kidogo unakimbia Nchi.
@doiabel3793
@doiabel3793 4 ай бұрын
Lema unasifa gani ya kuwa kiongozi?? Sifa ya kiongozi huwa ni hoja za msingi, busara khekima na maono si matusi haya unayo toa sifa ya kiongozi ni kutoa hoja zako za msingi si kutukana watu.
@bajagihaji8923
@bajagihaji8923 4 ай бұрын
Nchi ipo na amani na demokrasia inaendelea safi
@henryndosi2002
@henryndosi2002 4 ай бұрын
Huyu🌈 mkanada anajiandaa kukimbia ni muoga kinyama😂
@user-cf6kq7bf2t
@user-cf6kq7bf2t 4 ай бұрын
Wee mwenyewe muhalifu tu
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 4 ай бұрын
Matusi ya kutajiana wazazi Zinatokea wapi Unatafuta njia ya kukimbia nchi tena
@user-mx7mi6pd6q
@user-mx7mi6pd6q 4 ай бұрын
Wew ni pembeni,hakuna kupewa nafasi arusha hii tena,kelele tu na huo mdomo wako usiokuwa na staa,
@mangobase
@mangobase 4 ай бұрын
Hivi huyu lema huwa anavutaga bangi? ... Anavyo toa povu...... 😮
@abdullayahya8717
@abdullayahya8717 4 ай бұрын
Nimehisabu wanasikiliza (nyuma) 18 na mbele 150 😂😂 hapa mpaka 2040 mjipange
@user-ow6wc1qv2h
@user-ow6wc1qv2h 4 ай бұрын
Makonda ndo kabaliyako
@GeofreyKalo-ot3we
@GeofreyKalo-ot3we 4 ай бұрын
Lema huna hekima fala ww
@balozikaniki3808
@balozikaniki3808 4 ай бұрын
Chizi katoroka milembe
@user-de4sv1yn2t
@user-de4sv1yn2t 4 ай бұрын
Yaani Huna maneno ya stara hadi unatukana . nani atakupa uongozi wewe
@davidkilajaga8842
@davidkilajaga8842 4 ай бұрын
Cku zote hasira ni hasara, unajua siasa ni mchezo wa kutekenyana hv, kwa hio lazima akili itumike zaidi
@user-qz7wz3ew8q
@user-qz7wz3ew8q 4 ай бұрын
Ww lema mpuzii kwli huna lolote
@stafordchamgeni8430
@stafordchamgeni8430 4 ай бұрын
Lema unaonekana umezeeka huna la kuongea? Pole sana karne hii kuna kauli za hivyo katika siasa za kistaarabu wajinga ,wehu,wapumbavu ,washenzi na Mabwege ni wepi? mbona unaongea kilevi hivyo na nyie wananchi mnaohudhuria mikutano ya watu waliokunywa pombe mnajisikiaje? Kwahiyo Rais akifanya vizuri asifiwe na nani?mbona wewe unasifu Chadema mmefanya nini?
@samochristopherroche9953
@samochristopherroche9953 4 ай бұрын
Tulia wewe huna lako tulishachoka mambo yako na ndio maana tulikukataaa
@user-cf6kq7bf2t
@user-cf6kq7bf2t 4 ай бұрын
Utaharibiwa wewe boya wee
@elihurumamushi2521
@elihurumamushi2521 4 ай бұрын
neno mpumbavu maana yake ni nini jamani kwa anayejuwa mimi kwa huelewa wangu mdogo ni mtu anayejuwa jambo fula lakini anafanya tofauti mfano unajuwa 5+5=10 lakini lakini wewe unafanya 5+5=13 wakati unajuwa ni10 mjiga nalo siyo tusi kwa sababu yeye hajui 5+5= ni10
@clemenceparokola
@clemenceparokola 4 ай бұрын
Kwa wataalam wa biblia neno alilotumia si matusi,maana limea dikwa kwenye kitabu kitakatifu zaidi ya mara 200
@Ibrahim-ne3in
@Ibrahim-ne3in 4 ай бұрын
Vibaka kama hawa tunawapaje nchii hii...bangi bangi bangi vichwa maji panzi
@steveouko7537
@steveouko7537 4 ай бұрын
Kweli kabisa
@AllyMaya-yj3xd
@AllyMaya-yj3xd 4 ай бұрын
HAKUNA SIASA ZA HIVYO HUTAPATA KURA UNAINGIZA MAMBO YA WAKE ZA WATU NA WATOTO NN ? 😂😂😂😂 MBONA KAMA UNA STRESS BAADA YA MAKONDA KUJA MTAANI ?
@GodfreyibrMyagila
@GodfreyibrMyagila 4 ай бұрын
Mjinga sana wewe mbona wewe huongei na mkeo mjinga wewe
@BonaBonala-bp5qm
@BonaBonala-bp5qm 4 ай бұрын
Ccm wote wajinga tuu
@MsAggie5
@MsAggie5 4 ай бұрын
Hahahaha na chadema wote wajanja tu 😂😂😂 bado wanaibiwa kura pamoja na ujanja wao 😂😂😂😂😂 so funny 😂
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 4 ай бұрын
Wewe mwenyewe mjinga tu Huna sera! Tulieni dawa iwaingie...uongozi mtausikia redioni....!
@lucaschisamalo2852
@lucaschisamalo2852 4 ай бұрын
Hapi nilijuwa kukaa benchi atakuwa kajilekebisha kumbe hamna kitu Ila Tanzania viongozi hakuna kweli kila siku wanaludi haohao mbona wasomi wapo wengi tu wanajeshi hebu tusidieni jamani angalau hata mwaka mmoja mtunyoshe kidogo
@maggiehiza5884
@maggiehiza5884 4 ай бұрын
Nchi hii hatuendelei kwa sababu ya upumbavu wa watu. CCM imewafikisha wapi??? Pumbavu kabisa!
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 38 МЛН
Они так быстро убрались!
01:00
Аришнев
Рет қаралды 3 МЛН
Kids' Guide to Fire Safety: Essential Lessons #shorts
00:34
Fabiosa Animated
Рет қаралды 13 МЛН
Son ❤️ #shorts by Leisi Show
00:41
Leisi Show
Рет қаралды 10 МЛН
САМЫЙ КРЕПКИЙ ТЕЛЕФОН #shorts
0:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 1,5 МЛН
he was mad 😂❤️ #shorts
0:23
Pop it GO
Рет қаралды 10 МЛН
ТЫ С ДРУГОМ В ДЕТСТВЕ ПОШЕЛ В ПОХОД😂#shorts
0:59