LEMA AMJIBU GAMBO SIWEZI KUMJIBU MTOTO MDOGO YULE /WANAMTAJA MAGUFULI KAMA ALIKUWA TLP

  Рет қаралды 45,458

KUSAGA TV

KUSAGA TV

3 ай бұрын

Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: / kusagamedia
Instagram: / kusaganews
KZfaq : www.youtube.com/@kusagatv6320...
Tiktok. www.tiktok.com/@kusaganews?la...

Пікірлер: 112
@robertlary6007
@robertlary6007 3 ай бұрын
Baada ya Mungu ni mama. Heshimu Mamlaka Lema, MAMA amemteuwa MAKONDA kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha, Magufuli atabaki kuwa Icon ya Tanzania. Kazi Iendelee 🇹🇿
@qonquererqanquerer1781
@qonquererqanquerer1781 3 ай бұрын
Mbunge Wetu Halali Wa Arusha ✌️✌️💪
@DoctorRengeda
@DoctorRengeda 3 ай бұрын
Lema wewe ni fimbo ya mssa ,,,,, Big up sana tupo pamoja 🇹🇿💪✌️✌️✌️
@alfrediaugustino1026
@alfrediaugustino1026 3 ай бұрын
Nakukubali sana
@user-bp7nb7yp2o
@user-bp7nb7yp2o 3 ай бұрын
Nimekuelewa kaka.
@patellaisangai6013
@patellaisangai6013 3 ай бұрын
Mungu bwana sio mwanadamu huyu jamaa yupo siryasi na sana na nimkweli tungepata wabunge 20 nchi hii ingeenda mbali sana
@sonnyr1899
@sonnyr1899 3 ай бұрын
Kadri unavyo mtukana Magufuli ndio jinsi unazidi kuonekana mpuuzi.
@mtimti3912
@mtimti3912 3 ай бұрын
Waambie bila Mungu Roho mtakatifu siyo bila Chadema.
@mariamfaicalhassan2890
@mariamfaicalhassan2890 3 ай бұрын
Hakuwa na pressure ila alikuwa mzalendo kumbe unajisifia wizi
@daudisalum9574
@daudisalum9574 3 ай бұрын
Namkubali sana lema
@malkavoice2570
@malkavoice2570 3 ай бұрын
Lema mwamba jamaas
@sonnyr1899
@sonnyr1899 3 ай бұрын
Mkubali mwenzio kikinuka anakuacha kwenye moyo yeye anapanda zake ndege kwenda Canada.
@thomasmunis9814
@thomasmunis9814 3 ай бұрын
Lema ww ni mkweli pambania jimbo la A town nijimbo lako
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 3 ай бұрын
dah magufuli alikua rais wawanyonge
@judicalosika7642
@judicalosika7642 3 ай бұрын
Ukweli sisi sijui katuloga nani!!!
@Petro.John.
@Petro.John. Ай бұрын
Yaani hawa wanafurahi sana vifo vya watu wa ccm lakini kifo cha mtu ni mpango wa mungu tu .
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 2 ай бұрын
Watu wanataka ubunge tu.Mtu ameishi Kanada na makazi anayo.Analipwa na majajusi.Siyo mwenzetu😮
@hajimnubi4581
@hajimnubi4581 3 ай бұрын
Usiempenda kaja....😅Makonda anakuja hapo jiandaeni kisaikolojia.,..mkuu wa mkoa makonda mbunge Gambo
@Froedpr
@Froedpr 2 ай бұрын
Chadema mkiendelea kumchukia Magufuli mtachelewa kukubalika Tanzania.........Magu alikuwa ni Rais sahihi kwa Tanzania japo alikuwa na mapungufu yake ambayo hayakuzidi ubora wake. Na hii si Cdm tu hata CCM kuwa kinyume na Magu ni hasara kwenu. Qualities za Tanzania mpaka sasa ni 2 tu Nyerere na Magu.
@kigomamaranathagospelchoir2642
@kigomamaranathagospelchoir2642 3 ай бұрын
Wanachadema wote ni wenyekujitambua
@Petro.John.
@Petro.John. 27 күн бұрын
Ila huyu jamaa ananifurahisha sana.
@user-bv1wt9ut8t
@user-bv1wt9ut8t 3 ай бұрын
LEMA waelimishe sana Wana chadema wawe waaminifu nawakweli.
@MnyamaTolu-kd5ct
@MnyamaTolu-kd5ct Ай бұрын
Upo Vizuri MABWEGE hawawez kuelewa ila ikibidi TUTAWALAZIMISHA.
@user-ly3yy8iv9z
@user-ly3yy8iv9z 2 ай бұрын
Bodaboda zime poteza vijana wengi
@HijaSaid-xd7fg
@HijaSaid-xd7fg 3 ай бұрын
Lema tabiri nyingine
@EzekiaMichael-jn5np
@EzekiaMichael-jn5np 3 ай бұрын
Lema sema sana ila juu ya Magufuli acha bro yule alikua damu yetu haitokuja tokea
@Worldunite
@Worldunite 3 ай бұрын
Hakika 100%
@Jal210
@Jal210 3 ай бұрын
Tanzania ilipata kiongozi Jemedari
@user-ct9nx3jw1k
@user-ct9nx3jw1k 3 ай бұрын
Enz zake watu walikufa weng kwaxabab ya unyanya xaj pia
@Jal210
@Jal210 3 ай бұрын
@@user-ct9nx3jw1k nyie Chadema ndiyo mlikuwa mnaua
@user-ct9nx3jw1k
@user-ct9nx3jw1k 3 ай бұрын
Hak ya kwel aipotei broo na ndo uyo alikuw atak akoxolew
@user-oh1wu7bq1k
@user-oh1wu7bq1k 3 ай бұрын
Leo uchaguliwe kuwa kiongozi
@nasaelmanya1850
@nasaelmanya1850 3 ай бұрын
Sukari kilo 5000
@user-zo8ep4rz3l
@user-zo8ep4rz3l 2 ай бұрын
Utoto upo wapi hatujui mtu anakufa kwa mipango ya Mungu.
@yusuphabel5530
@yusuphabel5530 3 ай бұрын
✌️✌️✌️👏
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 3 ай бұрын
Lema oyee
@romastasenterprises4447
@romastasenterprises4447 3 ай бұрын
Kwanza hongera kwa kuongea na wananchi kwa kua wanapata nafazi ya kutafakari. Ila upinzani mtambue kwa sasa wapiga kura wengi wanataka Sera itakayowatoa hapa kwenda mbele. Gari walilopanda hawawezi kushuka mpaka wahakikishe wamefika kituoni. Usiringe kuwataka watu washuke kwa kisingizio cha kubanana wakati hutawafikisha kwenye kituo kwa usafiri mbadala.
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 2 ай бұрын
Ana nchi mbili😢
@antonykomba6631
@antonykomba6631 3 ай бұрын
We ongea yako ila Magufuli muache kabisa yaani
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 2 ай бұрын
Sukar matbab petroliam Tozo vat zipo juu,wa Tanganyika Tatizo shule,
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 2 ай бұрын
Mtume angekua dhaifu uislam usingekuwepo,lema kazia hp hp,haki kwanza,
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 2 ай бұрын
KWANINI ULIKIMBIA.CHAGADEMA😂
@EzekiaMichael-jn5np
@EzekiaMichael-jn5np 3 ай бұрын
Sio ushamba ila ni uchawa
@noelsanga6853
@noelsanga6853 3 ай бұрын
Bingwaa Sana wewe
@ZaycargoMovers-vx6lf
@ZaycargoMovers-vx6lf 3 ай бұрын
Hakuna mpya
@why-ir8zl
@why-ir8zl 3 ай бұрын
Ulipokuwa mbunge hukuwaona bodaboda watakatwa miguu
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 3 ай бұрын
Askar Kaz hiyo Wiz live
@maruhe1958
@maruhe1958 3 ай бұрын
Mbona kama akili 0 !!!! Acha kumsema Magu we lema mpuuzi, mwizi
@DanielTumaini
@DanielTumaini 3 ай бұрын
Magufuli Yuko wapi nawe R I P ili ujue haya ni maisha
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 3 ай бұрын
Kama lema ni mpuuzi, basi wengine wameuzo. Lema safi
@LilianMpenda-gw5pp
@LilianMpenda-gw5pp 2 ай бұрын
Kwahiyo amekuwa mungu asisemwe.. km unavyofurahi akisema kwa mazuri yake na mabaya yake pia yapokee
@ClaudyKonga
@ClaudyKonga 3 ай бұрын
Mimi nasikiliza
@thomasluhumbika9606
@thomasluhumbika9606 3 ай бұрын
Kweli bangi ni mbaya sana
@marandoruzali1946
@marandoruzali1946 2 ай бұрын
Magufuli kilikuwa chuma imara hamtakoma kukitaja
@SaidKinyota
@SaidKinyota 3 ай бұрын
Ongea yako magu acha apumzike uache ujinga wako magu muache ajipumzikie kwa amani acha ujinga wako
@PeleSilili-uk3vd
@PeleSilili-uk3vd 3 ай бұрын
Wananchi awatakiayo madeniyako
@SaidKinyota
@SaidKinyota 3 ай бұрын
Sasa apo magu anausika nini acha ujinga usitukumbushe uchungu
@emanuelcharles1464
@emanuelcharles1464 3 ай бұрын
Achana na magufuli
@user-zj3ov6ht8n
@user-zj3ov6ht8n 2 ай бұрын
Wewe una kili
@HassanSaleheSima
@HassanSaleheSima 3 ай бұрын
Lema sio mwanasiasa Bali ni msanii au mchambuzi wa siasa TU Hana jipya Kwa kusherehesha TU.
@frimatuslupimo2031
@frimatuslupimo2031 3 ай бұрын
Wewe hutakufa?
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 3 ай бұрын
MH.BENSON KIGAILA NI TISHIO KWAKWELI,WALA HACHOKI, LEMA HAKUMPAMBA BURE MPENI MAUA YAKE JAMANI
@qonquererqanquerer1781
@qonquererqanquerer1781 3 ай бұрын
Namkubali Sana Lema Na Kigaila
@user-vz4xv7lg3x
@user-vz4xv7lg3x 3 ай бұрын
Kigaila ni habari nyingine kabisa....namkubali sana
@qonquererqanquerer1781
@qonquererqanquerer1781 3 ай бұрын
Kigaila ni Mashine Si mchezo
@mariamfaicalhassan2890
@mariamfaicalhassan2890 3 ай бұрын
Koma kumuita JPM mwendazake kumanyoko wewe mxiiiuuuu
@alexsimon9674
@alexsimon9674 3 ай бұрын
Kuna muda sijui uyu jamaa anaongeaga nini,
@user-qe7or5jc1u
@user-qe7or5jc1u 3 ай бұрын
Huna akili
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 3 ай бұрын
Mungu wako Nani meku ? Sasa we si uwe Nabil ufungue kanisa Tu ili uwaongopee Hao Wana Apollo vizuri 😅
@user-ne5nz5sz6i
@user-ne5nz5sz6i 3 ай бұрын
Wewe mtukane aliye tangulia mbele ya haki lakini jua jembe limeshafika hapo ,maliza maneno yako yote kisha jembe linakuja kulima kuanzia shambani , kwenye vibaraza hadi barabarani tutaona utajificha kichaka gani
@CharlesLimo
@CharlesLimo 3 ай бұрын
Sio lazima ww kusikiliza alafu ww ni chawa wa ccm alafu chadema hawataki macha ww na ndo maana wanao kuja kwenye mikutano hawabebwi kwenye fuso kama mizigo una jua ni kwanini hatuli zulma ya taifa
@designdesign4426
@designdesign4426 3 ай бұрын
YANI MIMI BINAFSI AWE MTU WA CCM AWE MTU WA CHADEMA ,KAMA ANATAKA NIMTUKANE NA NIMCHUKIE amseme vibaya MAGUFULI , Tena kwa kumdhihaki ukome shoga la wazungu na ukengewako ata ungekua rais usingewafanya watuwote kua matajiri kenge mmoja ukome kumdhihaki JPM lione akili alina
@hancybrouwn5032
@hancybrouwn5032 3 ай бұрын
We ujiulew watu wanamsema mungu asisemwe nan
@user-oh1wu7bq1k
@user-oh1wu7bq1k 3 ай бұрын
Unamaisha mafupi sana
@paschalmagandula5929
@paschalmagandula5929 3 ай бұрын
Chiziiiii
@florencemeza6540
@florencemeza6540 3 ай бұрын
Ktk uchizi wake
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 3 ай бұрын
Wewe unaonge kama mtu mwenye tumbo la kuhala asingekuwe huyo unemuita Samia siungendelea kuwa mkimbizi uchwala wewe😂😂
@florencemeza6540
@florencemeza6540 3 ай бұрын
Ukimbizi alijipeleka kwa kufadhiliwa na ngozi nyeupe
@valenakomba7686
@valenakomba7686 3 ай бұрын
HILI JAMAA BWANAA, BWEGE SANA. YAANI ATAKAYE MCHAGUA LEMA HANA AKILI.
@magidalenarauya4286
@magidalenarauya4286 3 ай бұрын
Hunatofauti na mlevi,halafu unapigiwa makofi
@magidalenarauya4286
@magidalenarauya4286 3 ай бұрын
Ulipita nazo kwahiyo wewe mwizi
@user-wu7vm2vc8z
@user-wu7vm2vc8z 3 ай бұрын
Bora magufuri alivyofukuza wezi bungeni
@user-uy2dk2yv2c
@user-uy2dk2yv2c 3 ай бұрын
Jinga tupu
@kilonzokallage6159
@kilonzokallage6159 2 ай бұрын
Ulipita nazo zote ukamsaidia nani wewe bangi imekujaa. Kila kitu hovyo huna sera. Lock yako Makonda tu.
@Vickypaulo-kr8kj
@Vickypaulo-kr8kj 24 күн бұрын
Hapana👎👎👎👎👎
@joezeno8
@joezeno8 3 ай бұрын
Kweli Bangi mbaya
@mbwanahasan2971
@mbwanahasan2971 3 ай бұрын
Ulivyovuta ulifanyajwe?
@MussaSelemani-wz5np
@MussaSelemani-wz5np 3 ай бұрын
inatakiwa uache kuvuta
@TarimoTarimo-pf5lo
@TarimoTarimo-pf5lo 2 ай бұрын
Acha ujinga wewe,hata wewe utakufa tuu,
@user-on4qu8yj3t
@user-on4qu8yj3t 2 ай бұрын
Wewe ikifa chadema utakukufa wewe
@geey7893
@geey7893 3 ай бұрын
Mvuta Bangi anawahubiria Wala unga😂
@OdiloMagungu-uf5is
@OdiloMagungu-uf5is 3 ай бұрын
Akili ndogo wewe
@mbwanahasan2971
@mbwanahasan2971 3 ай бұрын
Ulijuaje kama mvuta bangi alikufanya nini?
@chande2k250
@chande2k250 3 ай бұрын
Na ww uliye comment nani
@florencemeza6540
@florencemeza6540 3 ай бұрын
Exactly jambazi
@geey7893
@geey7893 3 ай бұрын
@@mbwanahasan2971 huwezi kuwa na akili unaongea Siri za maisha yako jukwaani. Empty Brainy hilo
@ZaycargoMovers-vx6lf
@ZaycargoMovers-vx6lf 3 ай бұрын
Hao wanakusikiliza ni wajinga wote
@TarimoTarimo-pf5lo
@TarimoTarimo-pf5lo 2 ай бұрын
Jambazi wewe?
@mwanaishaabubakar5013
@mwanaishaabubakar5013 3 ай бұрын
Unaeleza sera au unaropoka comedy? EleA sera tukukubali jatutaki historia yako. Hayo yako twambia utatufanyia nini katika ukombozi wa maisha bora. Hatutaki maisha maisha yako ya ujanja ujanja usipoteze muda wetu tuma mengi ya kufanya.
@gbless9784
@gbless9784 3 ай бұрын
Boya ww
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 3 ай бұрын
Kweli ni comedy toka Canada 🇨🇦 😢😢😢😢😢😢
@JosephJonas-to9ny
@JosephJonas-to9ny 3 ай бұрын
Webangi ndozinakusumbua jambazi mkubwa wewe,chadema kaziyenu matusitu,,magufuri mwacheni tutamkumbuka daima nyie wanafik
@JosephJonas-to9ny
@JosephJonas-to9ny 3 ай бұрын
Wesimwizitu nachamachenu chakibiashara,,demokorasia gani mwenyekit kakaa miaka 25,kunachamahapo,,
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 3 ай бұрын
Huna lolote mhuni tu wewe .
@Jal210
@Jal210 3 ай бұрын
Bwege wewe muhuni kabisa huna lolote
@user-wp2ww7mf7r
@user-wp2ww7mf7r 3 ай бұрын
Huyo anawapa story za kijiweni na nyie mnasikiliza utumbo
LEMA ASIMULIA KILICHOMKIMBIZA NCHINI / AMSHUKURUB RAIS KIKWETE
20:04
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 91 МЛН
“Watu wanauawa, msifikirie Watanzania hawaoni”-John Heche
9:21
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 91 МЛН