GOOD NEWS: Mtoto wa Ray Alamba Shavu Nono, NMB

  Рет қаралды 148,613

Global TV  Online

Global TV Online

6 жыл бұрын

GOOD NEWS: Mtoto wa Ray Alamba Shavu Nono, NMB
MTOTO wa Staa wa Filamu Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’, aitwaye Jaden Kigosi, amepata shavu kutoka Benki ya NMB, ambapo amefunguliwa akaunti ya ‘NMB Mtoto Akaunti’ kwa ajili ya akiba itakayoweza kumsaidia hapo baadaye.
Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kumfungulia akaunti hiyo, Makao Makuu ya Benki ya NMB, Posta jijini Dar, Ray alisema kuwa, amefurahishwa na hatua ya benki hiyo kumpokea mwanaye Jaden kufungua akaunti ya NMB Mtoto Akaunti jambo ambalo hata yeye alikuwa akilitamani sana japo hakujua wapi angeweza kumfungulia akaunti kwa ajili ya maisha yake ya badaye.
“Niwaombe tu mastaa wenzangu kuwa, suala la mtoto kumfungulia akaunti benki ni ya muhimu sana kwani sisi wazazi tupo leo lakini hatujui kesho yetu itakuwaje?
“Ili usimnyime haki ya maisha mazuri mwanao hapo baadaye, basi ni jukumu la kila mmoja kuhakikisha anamfungulia akaunti mwanaye ila hata asipokuwepo ataweza kusoma bila shida,” alisema Ray.
Ray aliambatana na mzazi mwenzake ambaye pia ni msaniiwa Bongo Movies, Chuchu Hans katika kumfungulia mtoto wao NMB Mtoto Akaunti.
Kwa upande wake Meneja Huduma za Kibenki NMB, Caroline Mosha, ametoa wito kwa walezi na wazazi kuwa na utamaduni wa kuwafungulia akaunti watoto na vijana wao bila kusahau kuwahimiza kuhusu elimu ya fedha
Install #GlobalPublishersApp Android: bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi
FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1
kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

Пікірлер: 107
@wemakalam9415
@wemakalam9415 6 жыл бұрын
Congratulations ray kigos na chuchu hans mubarikiwe inshaallah 👃 👃 👃
@nafisamohamad3182
@nafisamohamad3182 6 жыл бұрын
Kitto chasumbua kumbe, na hasa mtto anapofikia hio age yakutembea ndi ulezi ni kazi hapo, yani hataki hatakubebwa au kukaa sehem moja anataka kuzunguka tu kila mda.
@Lahyzeecrucial
@Lahyzeecrucial 6 жыл бұрын
Wana act bongo movie...hyo ni SCENE
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 6 жыл бұрын
Mbona ray kanuna au hajapenda
@ahmedalminshad1211
@ahmedalminshad1211 6 жыл бұрын
Mashaallah, katembea haraka aje big up bro
@elizabethmwandu9899
@elizabethmwandu9899 6 жыл бұрын
Hongereni chuchu and Ray kwa zawadi ya katoto kazuri
@jenivavedasto636
@jenivavedasto636 6 жыл бұрын
congratulations!
@zennakailo8106
@zennakailo8106 6 жыл бұрын
Nice
@queenyahaya3147
@queenyahaya3147 6 жыл бұрын
Safi sana
@sashah_ace8598
@sashah_ace8598 6 жыл бұрын
Huyu mtt hatulii jaman mbona ameanza uigizaji mapema
@leaphanuel5986
@leaphanuel5986 5 жыл бұрын
Nice toto
@mariammgeni1410
@mariammgeni1410 6 жыл бұрын
Kuna watu jamani wanaitwa Watanzania...jamani ukisoma koment humu ndani mbavu utakuwa huna ....hahahah hawa ndio Watanzania ...lzm ujute kuwajuwa....mmmmh
@mwanaajuma3945
@mwanaajuma3945 6 жыл бұрын
Mariam Mgeni 😂😂😂😂 nakuunga mguu😂😂😂
@mbogabahati8599
@mbogabahati8599 6 жыл бұрын
Upo vizur kaka ila utapendeza ukitoa hio kitu kwenye sikio napenda movies zako
@Renee-lh8nc
@Renee-lh8nc 6 жыл бұрын
Hongereni sana
@samanthaali873
@samanthaali873 6 жыл бұрын
Congrats bby boy
@ruqaiyahali8055
@ruqaiyahali8055 6 жыл бұрын
Ongera sna Rey kigosi na chuchu 😍😍😍💕💕💞💞💅
@sumuyaodawayao8866
@sumuyaodawayao8866 6 жыл бұрын
hongera
@farhatomar7495
@farhatomar7495 6 жыл бұрын
Mashallah mungu akuweke maisha marefu nabaraka tele akuongoze kwakila jmbo Amin inshallah
@maryjane7043
@maryjane7043 6 жыл бұрын
Ongera
@annastaziakibole5603
@annastaziakibole5603 6 жыл бұрын
safi san
@sayunidonard6014
@sayunidonard6014 6 жыл бұрын
hongera zenu mungu awalinde
@FatimaFatima-xu2ff
@FatimaFatima-xu2ff 6 жыл бұрын
Alhamdulillah , kuzaa c kazi kazi kulea
@salomemakene4446
@salomemakene4446 5 жыл бұрын
Junior account ndio hiyo au!!!
@user-dh8ll9zh1g
@user-dh8ll9zh1g 6 жыл бұрын
Ma nsha allah muko vizuri
@Bonnere
@Bonnere 6 жыл бұрын
Mashallah that's so great
@rumongianomadex862
@rumongianomadex862 6 жыл бұрын
big up saana bro...usiwe kama hao wanao udumia watoto mpaka wafikishwe mahakamani
@sophiajumah4808
@sophiajumah4808 6 жыл бұрын
Mashallah toto zuri sana HB
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 6 жыл бұрын
Hongera kwenu.
@boniphacemarco9421
@boniphacemarco9421 6 жыл бұрын
Good
@mwanaishambili241
@mwanaishambili241 6 жыл бұрын
Mashaallah
@ummisamuel6966
@ummisamuel6966 6 жыл бұрын
hongera.brother.
@adolfmjungu4000
@adolfmjungu4000 6 жыл бұрын
nimependa sana
@y6y6hg77
@y6y6hg77 6 жыл бұрын
Ongera Baba and Mama
@nusurakajubu8785
@nusurakajubu8785 6 жыл бұрын
inch nyingine awakubali mtoto mdogo kufanya hivyo ila tz inakubali hongera yako
@mwajumakweli6753
@mwajumakweli6753 6 жыл бұрын
Safiiiii sana
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 6 жыл бұрын
Cute baby loh
@mohamedabed2167
@mohamedabed2167 6 жыл бұрын
well
@tracyjustice1600
@tracyjustice1600 6 жыл бұрын
Hongereni wazazi
@anselmoliberatus4255
@anselmoliberatus4255 6 жыл бұрын
Safiii sana Ray na Chuchu
@mreallashy3525
@mreallashy3525 6 жыл бұрын
Congrats bby Jaden
@lilianmavika2757
@lilianmavika2757 6 жыл бұрын
hahaha jaman katoto katunduu mungu akutunze totoo
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 жыл бұрын
Congratulation Ray, hata mimi nimemfungulia mwanangu Account, hapo NMB.
@shemelaruhinda6113
@shemelaruhinda6113 6 жыл бұрын
Ongera Ray
@alphoncemwilolezi218
@alphoncemwilolezi218 6 жыл бұрын
hongera braza
@naimaidd2086
@naimaidd2086 6 жыл бұрын
Hongera Ray
@user-sz6gn1wl8c
@user-sz6gn1wl8c 5 жыл бұрын
mmependeza.sana.inabidi.mfungendoa.
@queenhalimoja2599
@queenhalimoja2599 6 жыл бұрын
ongera brother
@julianaconradi853
@julianaconradi853 6 жыл бұрын
Blessed family😍.
@chantalmulasi5663
@chantalmulasi5663 6 жыл бұрын
Congratulations Ray
@albetinaprincess9805
@albetinaprincess9805 6 жыл бұрын
kabisa kutoto sura wow😍😍😍😍😍😍😍😘😘😘
@dawhiteaissa2522
@dawhiteaissa2522 6 жыл бұрын
hongereni jamani !!!
@magnaallen115
@magnaallen115 6 жыл бұрын
Afya je
@yvonnely7010
@yvonnely7010 6 жыл бұрын
Mungu agukuzie mtot onger kaka
@seifmohamedseif9384
@seifmohamedseif9384 6 жыл бұрын
baba ya mtoto kalazimishwa kufungua account mbona kanuna hvo
@reginajava6384
@reginajava6384 6 жыл бұрын
gwajima
@sashah_ace8598
@sashah_ace8598 6 жыл бұрын
Seif Mohamed Seif nimecheka hahahhahahahhahaha
@firdausabdullah6315
@firdausabdullah6315 6 жыл бұрын
Hongera kwa wazazi wa mtoto
@sunmussa9312
@sunmussa9312 6 жыл бұрын
Ha ha ha penda xana katoto yan kazur xana kulko yan kazur guys pita kbxa master ooooooote had Amixa PGA chni kabxa.
@nelwensnelwens5537
@nelwensnelwens5537 6 жыл бұрын
Duh, ray anachogo.
@frankjully5457
@frankjully5457 6 жыл бұрын
kwani ulikuwa hujui
@aminahassan8532
@aminahassan8532 6 жыл бұрын
naipenda sanaaa hifamilia mungu awajalie mdumu mpaka mwisho wamaisha yenu nawapenda sana
@bintimohammedrashidrashid4929
@bintimohammedrashidrashid4929 6 жыл бұрын
amina hassan amin yarabby
@dawhiteaissa2522
@dawhiteaissa2522 6 жыл бұрын
Daah!hez bon mpate ni ww
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 6 жыл бұрын
Mtoto mzuri uyu
@AzaAlhabsi
@AzaAlhabsi 6 жыл бұрын
Nice family💞mdmo wa Ray cjaelewa mbon ka Meno ya mbele...
@halimaabdi4893
@halimaabdi4893 6 жыл бұрын
Aza Al.habsi jaman watu mna macho ka mapengo flani
@rahimajuma688
@rahimajuma688 6 жыл бұрын
mbona Ray kanuna hivo
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 6 жыл бұрын
Rahima Juma 😅😅😅😅😅 Nashangaa mi pia.
@ashurathomas482
@ashurathomas482 5 жыл бұрын
Anampenda sana mtoto wake dah hadi raha
@julytito3891
@julytito3891 6 жыл бұрын
Sipendi mwanaume kuvaa hereni jmn duuh
@silutz5958
@silutz5958 6 жыл бұрын
sasa nimme wako
@tausak4568
@tausak4568 6 жыл бұрын
Silu Tz 😂😂😂😂😂
@susanafabiani3468
@susanafabiani3468 6 жыл бұрын
jaman hizi kiki...mbona wengine tumefungulia watoto acount bila mbwembwe
@frankjully5457
@frankjully5457 6 жыл бұрын
kwani ww staa
@sophiajumah4808
@sophiajumah4808 6 жыл бұрын
Na mufunge ndoa sasa sio mlete mapoz yenu ya kinachi
@jaybchaponda6886
@jaybchaponda6886 6 жыл бұрын
Wala sijaelewa
@rahmaomarali4123
@rahmaomarali4123 6 жыл бұрын
Ray mbona ambadilika sura mbali na rangi
@kiki-ko8vi
@kiki-ko8vi 6 жыл бұрын
hii ni part katka movie yao mpya iitwayo chakala boksi
@khloealfan7924
@khloealfan7924 6 жыл бұрын
Sasa rey ndo aloenda leba lkn😪😪😪😪😪kila kitu rey..kutia sain cjui nn rey....
@frankjully5457
@frankjully5457 6 жыл бұрын
sasa yy si baba ww vp mtoto Wa baba
@rahimajuma688
@rahimajuma688 6 жыл бұрын
kusoma elimu na kuvaa vizuri 😂😂😂 hakuna kula
@mirriam.mwangangi4614
@mirriam.mwangangi4614 6 жыл бұрын
Hogera kigosi na Chuchu.
@dativarutta4346
@dativarutta4346 6 жыл бұрын
familia inapendeza sana
@yshamwilima3301
@yshamwilima3301 6 жыл бұрын
Mtunduuuu huyoooo😂😂😂😂😂🤗
@nurumwingira1392
@nurumwingira1392 5 жыл бұрын
Hahaha itakua yameisha
@rosemarybenjamin4333
@rosemarybenjamin4333 6 жыл бұрын
Muwakumbkge na watoto maskini jmni duu
@magesilamagesila7737
@magesilamagesila7737 6 жыл бұрын
tuache masiala chuchu mkali ajawai feli
@aksantedeborah7913
@aksantedeborah7913 6 жыл бұрын
Ray ameacha kunywa maji mengi 🤣😂
@sashah_ace8598
@sashah_ace8598 6 жыл бұрын
Alafu baba jaden kaacha kunywa maji
@fediliaulomi4969
@fediliaulomi4969 5 жыл бұрын
du kanuna baba mtu
@vivianiabas7868
@vivianiabas7868 6 жыл бұрын
Honqera kaka na dada
@mpangampanga1609
@mpangampanga1609 6 жыл бұрын
ray kunywa maji baba ushaanza kufifia
@emmynellyson463
@emmynellyson463 6 жыл бұрын
yussuf rashid 😂😂
@halimaabdi4893
@halimaabdi4893 6 жыл бұрын
yussuf rashid hahaha
@boniphacetv739
@boniphacetv739 6 жыл бұрын
Mmmmhhh nmb mtt account
@shjeoagfajit282
@shjeoagfajit282 6 жыл бұрын
Mtoto mtundu
@elizabethpili6257
@elizabethpili6257 6 жыл бұрын
😂😂😂😃
@frankfrancis4934
@frankfrancis4934 6 жыл бұрын
mbona baba wamtoto kanuna😔
@manenonihuzuni9112
@manenonihuzuni9112 6 жыл бұрын
aryna
@manenonihuzuni9112
@manenonihuzuni9112 6 жыл бұрын
Aryna
@jairatuhappy634
@jairatuhappy634 6 жыл бұрын
Poz
@lilianjeremiah2880
@lilianjeremiah2880 6 жыл бұрын
Nice
@asilanassor8767
@asilanassor8767 6 жыл бұрын
Safi sana
@TanzanianStars
@TanzanianStars 6 жыл бұрын
unajina kama langu
@tinyaanosiatha1118
@tinyaanosiatha1118 6 жыл бұрын
Nice
Smart Sigma Kid #funny #sigma #memes
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 2,7 МЛН
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 38 МЛН
Каха заблудился в горах
00:57
К-Media
Рет қаралды 10 МЛН
TOP 10 ya Watoto wa mastaa wanaotikisa Instagram Bongo
4:47
Global TV Online
Рет қаралды 623 М.
Humood - Falasteen Biladi |  حمود الخضر - فلسطين بلادي
3:46
Humood AlKhudher حمود الخضر
Рет қаралды 32 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #memes
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 2,7 МЛН