#GOODLUCK

  Рет қаралды 1,047,565

IBM CHANNEL

IBM CHANNEL

2 жыл бұрын

#GeorDavieTV Nabii mkuu Mheshimiwa Dr. GeorDavie Alimzawadia mwimbaji wa nyimbo za injili Goodluck Gozbert gari aina ya Mercedes Benz C Class yenye usajili wa namba T 256 DRC kwenye dhifa ya kitaifa kwa wana-vituo juu ya mwamba iliyofanyika GLC/MMD tarehe 10/12/2021.
Sifa na utukufu kwa Mungu wetu aliyeinua watu wakuu katika kizazi chetu wanaofanyika Baraka katika maisha yetu Amen🙏

Пікірлер: 657
@tabithamuthoni9301
@tabithamuthoni9301 2 жыл бұрын
Mambo mengine mi huona kama ndoto. Imagine watching this when am this hungry and empty in my stomach....my tomorrow is greater. Ebu niendelee kulinda kusudi la mungu.
@arampaafricalive4922
@arampaafricalive4922 9 ай бұрын
Bishop wacha kutudanganya,waongea hivyo juu amekua celeb na pesa mingi ndio wamsifia na kumzawadi,kuna masikini wengi Sana wako kanisani kwako ,wazuri zaidi,wanajitolea kuosha kanisa,kubeba vitu,kufanya shuguli ndogo ndogo na kujituma zaidi ila watoto wao hawana kitu hata chakula,hajui atatoa wapi Karo ya shule,wala nguo,hautaki hata kupata nafasi na kukula nao ,na kuwasikiza ,na kuwasaidia hata Kari Tu,simchukii good luck,nampenda Sana niliokoka kupitia nyimbo zake ,ila wachungaji wengi nu wanafuki,wanawazingatia Sana watu mashuuri juu wanajua wataonekana na followers WA mtu shujaa na watapata followers wengi.wachungaji kuna watu wanateseka kanisani kwenyu,...na sijutii kuandika hii coment yangu
@user-ye7hg5pn7x
@user-ye7hg5pn7x 4 ай бұрын
Mtumishi nakupenda sana
@mwanaishakatuli5707
@mwanaishakatuli5707 2 жыл бұрын
Zile zama zote za agano la kale naziona nyinyi bado chache tu yesu arudi tu bora ukweli ujulikane
@elizabethmuganzi6261
@elizabethmuganzi6261 Жыл бұрын
Shukrani yangu kwa kipawa cha gari kwa kijana Goodluck. Mungu huwa na sababu zake. Iko siku mimi nika pewa gari mpya hapa niishiko. Wakati nilikuwa na upweke, umasikini hata kujiweza nafsi yangu na jamii ilikuwa shida. Mungu huonekana wakati wake kupitia kwa watu wake. Jina lake liabudiwe.
@patiencehumbled3519
@patiencehumbled3519 2 жыл бұрын
Huyu nabii wa kuzima,ĢOODLUCK kuwa makini na hawa watumishi wa kuzimu,unapewa zawadi wakufutie kutoka kwa Mungu
@ibmchannel
@ibmchannel 2 жыл бұрын
Nabii wa kuzimu anayekupa Gari Mercedes Benz C class huyo mimi namtaka kama unamjua naomba unipeleke. Yaani huu ni uongo uliopitiliza na uache kuwadanganya watu nabii wa kuzimu unaendaga naye kuzimu?
@nurafedrick378
@nurafedrick378 2 жыл бұрын
@@ibmchannel 😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄mm mpenxi mtanzamaji na.msikilizaji
@debrahhellen6661
@debrahhellen6661 Жыл бұрын
@@ibmchannel 🤣🤣 umemjibu vizuri kweli.
@partsonlupenza9666
@partsonlupenza9666 Жыл бұрын
Msenge huyu anapanga sadaka
@elisebaamuko3280
@elisebaamuko3280 5 ай бұрын
If God has blessed me with a harrier why should I be given a Mercedes Benz...not adding up
@ChristophinaMuundaNdakev-hs8jg
@ChristophinaMuundaNdakev-hs8jg Ай бұрын
God bless you l listen to your music last night until now,l can't stop listening, watching from Namibia. God bless your gift and your minstry.
@jamesponeca8912
@jamesponeca8912 2 жыл бұрын
Ati tofauti na waimbaji wengine,Wewe sema unampenda tu basi,mbona kunawaimbaji wazuri tu sana,Ambao nyimbo zao Zinaimbwa karibu Afrika Mashariki na Na kati.j
@mekajamtv9603
@mekajamtv9603 2 жыл бұрын
Acha wivu🤣🤣🤣
@viddamgeneka4263
@viddamgeneka4263 2 жыл бұрын
hawezi waita wote, huyu kawakilisha.
@ashurakodd1589
@ashurakodd1589 2 ай бұрын
Eh jamani acheni wivu waimbaji wako wengi
@raymondbahati7626
@raymondbahati7626 Жыл бұрын
Waimbaji wametekwa kabisa,na wanasema; Mungu kafanya miujiza nyoooo!!!
@elisebaamuko3280
@elisebaamuko3280 5 ай бұрын
Haki
@IsaacGM-cv1pz
@IsaacGM-cv1pz 4 ай бұрын
Nyooo!!! Lazima wapimwe suti.
@jackkimwely5275
@jackkimwely5275 2 жыл бұрын
Nabii mkuu asante kwa ajiri ya zawadi kwa goodrack na kwa wote uliowazawadia Bajaji pia najua umebadilisha maisha yao na Mungu azidi kukutumia Amen
@khalfanikishki7465
@khalfanikishki7465 2 жыл бұрын
Nabii mkuu kapewa kitabu?
@zaitunjendeli1748
@zaitunjendeli1748 2 жыл бұрын
Hahahha hahaha nabii wa mchongo
@angelatarimo1969
@angelatarimo1969 Жыл бұрын
Amen
@EddahBure-te7ft
@EddahBure-te7ft 2 ай бұрын
Si nabii wa bajaji 😅 au we hujui ukitaka kumteka binadamu we dili na mazaifu yake tu 😅​@@khalfanikishki7465
@user-mq3sn3zf1e
@user-mq3sn3zf1e 9 ай бұрын
Kusema ukweli Mungu ndo anajua yupi ni mtumishi wake wa kweli mengine tuache tu yapitee
@MisalabaZanzibar-k8c
@MisalabaZanzibar-k8c 11 күн бұрын
neema ya bwana wetu yesu kristo na upendo wa Mungu baba na ushirika wa roho mtakatifu ukae nasi sote tangu sasa na hata milele amima
@furahabeatrice2057
@furahabeatrice2057 2 жыл бұрын
Amen Amen. Nami nimelia machozi ya furaha. Baba MUNGU akubariki zaidi pia👏👏🙏🙏
@kemuntoombui9462
@kemuntoombui9462 Жыл бұрын
Even me I love this man anaimba ukweli Mungu akubariki
@Sarah-l2v
@Sarah-l2v 15 күн бұрын
Kwali mungu awasaidiy na atusaidy sote❤
@rosenangosya2549
@rosenangosya2549 Жыл бұрын
Amen too am blessed with his gospel music.God bless you so much.
@happykamuu9262
@happykamuu9262 Жыл бұрын
Hakuna nabii zaidi ya yesu
@edouardnsengiyumva1145
@edouardnsengiyumva1145 2 жыл бұрын
Mungu mwenyewe ndoo anajua wao nambae siyo wake maana siku hizi nizamwisho wanabii wauongo wamezaa dunia wanawapotosha kwa miuziza feki
@davidmgungu168
@davidmgungu168 2 жыл бұрын
Ens barikiwa sana godluck
@geitandelwa299
@geitandelwa299 Жыл бұрын
@@davidmgungu168 mmmm Hali Ni mbaya mno tujitakase TUOMBE
@nancynangena4135
@nancynangena4135 7 ай бұрын
Kwanini watu wamedanganywa kuwa shetani ni tajiri kuliko Yesu?? Blessings are from God almighty❤
@Niyonsaba-hn7ex
@Niyonsaba-hn7ex 4 ай бұрын
Wewe nani wakuhukumu ?neno la bwana linasema usihukumu usije ukahukumiwa
@GloriaNduku-mw2jk
@GloriaNduku-mw2jk 9 ай бұрын
May Almighty God protect you from evil gifts cause nowadays people are serving evil spirits soo be wise bro
@wangaramedia8792
@wangaramedia8792 2 жыл бұрын
Hii umenitoa machozi, machozi ya furaha, acha mungu aitwe mungu,
@richardmushi-lj6tb
@richardmushi-lj6tb 7 ай бұрын
Nabii mkuu ni wapeke sana napoa nimtu wamui sana duniani kote kama yupo hajitokeze nione.
@jadie-jk9tj
@jadie-jk9tj 6 ай бұрын
The great prophet is only God.Zingine achia Mungu siku ya kiama
@ShukuruShaban
@ShukuruShaban 7 ай бұрын
Barikiwa sana kwa nyimbo zako hakika umeonyeaha inawezekana
@mrnickmusician7139
@mrnickmusician7139 Жыл бұрын
amen mtumishi wa Mungu Good luck mungu hamekubariki sana Mimi najua nyimbo zangu kwazia leo zitakuwa nyimbo bora sana sana nimebarikiwa sana mtumishi 😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@nduwayezugirene8770
@nduwayezugirene8770 Жыл бұрын
Naomba mungu anibariki pamojana famille yangu
@mossesjovenari9457
@mossesjovenari9457 2 жыл бұрын
Kuna watu wanaumwa hawana hata Ela ya kwendea hospitali!!!!!!!!!!
@adelinefikiri7571
@adelinefikiri7571 2 жыл бұрын
Amen ,amen ,katika kutumikiya Mungu kuna faida . Asante nabii mkubwa kwa kumutiya kijana nguvu !!
@yasintashepi149
@yasintashepi149 8 ай бұрын
Huy mchungaji yup wap
@alexekiru4758
@alexekiru4758 Жыл бұрын
Asante sana Mungu muumba wa mbingu na dunia kwa kumkumbuka uyo kijana Zablon kwa kumbariki na gari aina ya mazendez benz kutoka kwa nibii wako mkuu. Hakika ni ushuhuda mkuu 🙇🙇🙇 asante sana Mungu bariki pia uyo nabii kwa njia kubwa sana 🙇🙇🙇
@andrebikuba337
@andrebikuba337 2 жыл бұрын
ningetamani siku moja nifike kanisani mwako baba nabii wa mwenyezi mungu ila uwezo sina isitoshe niko mbali kidogo niko kongo drc
@annshalon-RN
@annshalon-RN Жыл бұрын
Joy comes in the morning😭😭... I am blessed and its not in vain to serve God, Goodluck God has remembered you and I partake in this favor from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@robbyman6213
@robbyman6213 2 жыл бұрын
Amen,,,Wakati wa Mungu ni wakati sahihi.
@user-ls6ru1ik1p
@user-ls6ru1ik1p 7 ай бұрын
ongera xan gud,ulichokipata kinadhiilixha ubora unacho kitenda usikate tamaa ongeza juhudi zaidi sababu yu mwema amina❤❤❤
@kimemori8540
@kimemori8540 Жыл бұрын
Dah , uyu gozbet toka ameanza kuimba sijawai ona sura ya utukufu mbele za Mungu ,mapoz yake ya kike kwenye nyimbo zake,nikajua huyu hayupo kweli
@AminaBakari-cl6mb
@AminaBakari-cl6mb 4 ай бұрын
Yaan wewe akili yako ni kama yangu
@zawadithomas1008
@zawadithomas1008 Жыл бұрын
kweli mungu amekujibu make uliwahi imba ipo siku yako utabarikiwa Glory to God 🙏🙏.
@JohnKanyi-ks9qo
@JohnKanyi-ks9qo Жыл бұрын
Amen,,hata yangu siku yaja in Jesus Name.
@mklekingDebanagang-zn4vv
@mklekingDebanagang-zn4vv 10 күн бұрын
Uyo siyo MUNGU muhumba ni mungu
@bettymakheti8858
@bettymakheti8858 Жыл бұрын
Papa. 🙌🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏am watching from kenya no one is like God
@martinmbithi3126
@martinmbithi3126 2 жыл бұрын
Truelly God lives ... I shed tears of joy . One day God will lead me to the right destiny helper
@ronniesmawira3115
@ronniesmawira3115 Жыл бұрын
Amen
@mvuyekureraphael6760
@mvuyekureraphael6760 Жыл бұрын
Sharome Nabi Mungu akuongeze mafuta Peana number Sisi tuko Burundi Tunwafata 100/100
@lucasmartin-vs2yh
@lucasmartin-vs2yh Жыл бұрын
Kondooo wangu wanapotea kwa kukosa maarifa🙆
@ndoricimpaelyse7752
@ndoricimpaelyse7752 Жыл бұрын
Huyu sio mutumishi wa Mungu.taayali huyu kijana kwiingia kwa shetani
@kessoytegela58
@kessoytegela58 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana kwa ulivyo utambua uwepo wake ndani yako
@victordeekenya3539
@victordeekenya3539 Жыл бұрын
I always love this musician music.. Is a blessings to his life
@rigasianshayo3403
@rigasianshayo3403 Жыл бұрын
nabii mkuu me siku amini kabisa yani unaimba muzic acha kupumbaxa watu
@graciousisdory2666
@graciousisdory2666 6 ай бұрын
I felt God is going to touch through this video
@zaidyabdalah3691
@zaidyabdalah3691 Жыл бұрын
Na haya mambo haya ya kugawiwa gari kila anayekuja huko Kisongo napata mashaka kidogo, lakini mmmhh haya bhana, yangu macho na masikio. But there must be something behind the scene.
@estherkavugho3981
@estherkavugho3981 2 жыл бұрын
vrmt j'aime aussi la chanson mitindo ya nyele 🙏🙏🙏🌹 Mungu akubariki
@ndubhasemapalala7916
@ndubhasemapalala7916 2 жыл бұрын
Ngoja niigoogle nijue thaman yake
@saidimakula1363
@saidimakula1363 2 жыл бұрын
Mungu nimwema.
@mercychebet2576
@mercychebet2576 2 жыл бұрын
Mungu hakisema hatatenda hatatenda I love your song's so much uendele na hinjili ya mungu
@danielmparanyi
@danielmparanyi 2 жыл бұрын
Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻kzfaq.info/get/bejne/b9t6jKSlrau8gmw.html God bless you🙏🙏🙏🙏🙏
@tanfredmichael1777
@tanfredmichael1777 11 ай бұрын
Ahimidiwe Mungu Baba anayetupa kushinda na zaidi ya kushinda, katika hayo tunapokea amani ya kweli. Asante Kwa shuhuda hizi kutoka Gudluck Gozbert mwimbaji na Nabii mkuu 🙏🙏
@MedaElkananaipendasimbajmnMmmm
@MedaElkananaipendasimbajmnMmmm 8 ай бұрын
Mungu hana choyo kwa wakat atatenda
@natachaminguandrea2618
@natachaminguandrea2618 2 жыл бұрын
Nabii Mkuu Mungu azidi kukubariki baba. Nakufata sana nikiwa congo Bukavu
@dianacharlie5283
@dianacharlie5283 2 жыл бұрын
Thank you jesus 🙌🙌🙌hakuna machozi isiojibiwa thanks father 🙏🙏🙏
@meleckzedeckmassawe860
@meleckzedeckmassawe860 2 жыл бұрын
Kijana hakikisha zawadi unayope imetoka kwa mungu.nikwambie ukweli kwasasa Kama shabiki wako sipendi kukusikia Tena maana nyimbo zako hazipatjkani mbinguni alipo kristo.
@erickmnazareti3759
@erickmnazareti3759 2 жыл бұрын
True
@adeliphinamussa3085
@adeliphinamussa3085 Жыл бұрын
Barikiwe Mtumish kwa kumuambia kweli huyu kijana,,, anapotea
@venancemwanya4212
@venancemwanya4212 Жыл бұрын
Hii zawadi kama imepitia kwa baraka za Mungu,basi mtukuze Mungu. Lakin kama hiyo gari itakuwa ina mambo mengine ndani yake ,eee Mungu mponye kijana wako na tamaa hizi ili akakutumikie katika ile kweli imwekayo huru mtu yeyote ajae kwako.
@meryrajabu3476
@meryrajabu3476 Жыл бұрын
Kwel kabisa mana haya mapepo ya mezid Sasa na huyu ni mwingine tenh
@matesoyayesu
@matesoyayesu Жыл бұрын
Sasa wewe umeenda mbinguni ukajua nyimbo hazipatikani huko? Antichrist wewe kemewa katika jina la YESU
@somaricratos7714
@somaricratos7714 2 жыл бұрын
Mungu uwarudi nakuwaonya wale wote awapendao mzeeeeeee or nabiiiiii kumbuka atabahali aliitwa nabi mzeeeeeee tubu tenatoba ya mabadiliko lasvyo itakupa hukum
@inesirakoze4980
@inesirakoze4980 Жыл бұрын
Hakuna machozi asio jibiwa ❤❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮Mungu nimwema....
@hitecstars.1
@hitecstars.1 6 ай бұрын
No wonder he has touché me too .What a blessing he is to the church.Machozi yaishe how nice
@brendah9831
@brendah9831 Жыл бұрын
Cought myself crying,, glory be to ,Good
@judamsaki5609
@judamsaki5609 Жыл бұрын
Yesu ni mwema barikiwa nabii wetu
@jackkimwely5275
@jackkimwely5275 2 жыл бұрын
Mtumishi mimi nakupenda vile unavyoludisha shukrani kwa watu Tazama unavyowazawadia watu Mabajaji na magari tena magari ya kifahari Mungu azidi kukuinuwa Mtumishi NAKUPENDA SANA
@JuniorGaddafi3978
@JuniorGaddafi3978 2 жыл бұрын
Goodluck Gozbert nyimbo zako zimejaa shuhuda tele za Mungu na matendo yake makuu. Umefanyikwa wa baraka katika kizazi hichi.
@chrisdeoglatias8665
@chrisdeoglatias8665 8 ай бұрын
Mh!
@VicentYMtwe
@VicentYMtwe 2 жыл бұрын
Mungu AKUTUZE wa mbinguni IPO siku atanikumbuka tu namimi injili ienderee kusonga mbere
@PhinaEdmund
@PhinaEdmund 2 ай бұрын
Mungu anaangalia moyo..mambo ya rohoni ni kwa watu wa kiroho.. Kwa wasio wa rohoni ni upuuzi
@rosendinyo2454
@rosendinyo2454 2 жыл бұрын
Hallelujah that's really God's heart be blessed Man of God Sio wote walio na moyo kama huo giving the Best!! great lesson to me🙏🙏
@malangwaexpress285
@malangwaexpress285 8 ай бұрын
Mungu akuongoze sanakijana
@E.G.Mlegend
@E.G.Mlegend 7 ай бұрын
Mungu atusaidie nisiku zamwisho😢😢😢
@AlfredKondowe
@AlfredKondowe 2 ай бұрын
Yesu anatumia watumishi wake kubariki watu wake. Neno la Bwana li hai, Tena Lina nguvu.
@user-yz1tc9bb3x
@user-yz1tc9bb3x Жыл бұрын
Ashukuliwe mungu kwayote anayotenda mungu amubaliki nabii kwakujitoa jaman wakati ukifika hakuna wakuzuuia baraka zatu
@flossyndovi7914
@flossyndovi7914 Жыл бұрын
Weeping may endure for a night but indeed Joy Comes in the Morning to those that put God s Work first.
@EstherFrancis-qh1jp
@EstherFrancis-qh1jp Жыл бұрын
nime falijika sana kaz ya wimbo zako kat ya moja wapo naona ume jibiwa leo bila kutegemea mungu ni mwema
@knightchebunga5123
@knightchebunga5123 2 жыл бұрын
Much love from Kenya
@gracejoseph9451
@gracejoseph9451 2 жыл бұрын
Namuomba mungu namimi anibariki nabii zidi kutuombea watoto wako
@AnithaMwijonge
@AnithaMwijonge Ай бұрын
Wengi mnacoment kua uyu sio nabii ila iko hivi usiuvunje moyo wa mtu aaminie maana ni sawa na kuuwa ko kimfano awo watu wnaamini kua yuko MUNGU ndani ya uyo nabii sasa wew unasema wanapotea pita kimya kimya kama hapakufai
@fredriquej.m.m2693
@fredriquej.m.m2693 2 жыл бұрын
I always love the man of God,May God continue keeping you for these generation 🙏 ,from Kenya 🇰🇪
@danielmparanyi
@danielmparanyi 2 жыл бұрын
Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻kzfaq.info/get/bejne/b9t6jKSlrau8gmw.html God bless you🙏
@levisdiamond4797
@levisdiamond4797 Жыл бұрын
Mungu amuone huuu jama siwezi nikahukumu ila hapa umepotezwa 😢😢😢😢 Hawa ndo wawakilishi wa sheteni kwenye Dunia hii😢😢😢😢
@EllshamasimdeRobbn
@EllshamasimdeRobbn Жыл бұрын
Natamani sana pia kuona mungu Akinitumia na mm🙏🙏
@levisdiamond4797
@levisdiamond4797 Жыл бұрын
@@EllshamasimdeRobbn ila sio kwa njia hiyo 😏😏😏
@mariawanjiru1275
@mariawanjiru1275 2 жыл бұрын
All glory and honour is yours almighty God . thank you man of God be blessed
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 Жыл бұрын
Nabarikiwa Godluck na song hii kwakweli kaniepusha
@sarahadamnakintu6893
@sarahadamnakintu6893 2 жыл бұрын
All glory and honour is yours almighty God .God bless you man of God
@lydiawasike712
@lydiawasike712 Ай бұрын
Amen hakika akuna machozi yasiyo jibiwa kwa Mungu ukweli,❤
@SalmanSelah
@SalmanSelah 18 күн бұрын
Na amini na mimi Salman,iko siku moja na mimi tafanikiwa kwani,hiyo ni mipango ya Mungu Baba.
@yekonianakisigaye2157
@yekonianakisigaye2157 2 ай бұрын
Mungu alitembea na masikini kuliko matajili usimtumikie mungu kwa kutegemea zawadi mana si KILA zawadi ni zawadi
@lucybakari8335
@lucybakari8335 2 жыл бұрын
Nnaomba mungu na.mimi unibariki 🙏🙏🙏
@GitongaM
@GitongaM Жыл бұрын
Wanaomchukia baba nabii joedavie wanamchukia MUNGU sababu alisema MUNGU anaesaidia maskini anaifanya kazi ya MUNGU..baba nabii hongela sana
@davisjuma5887
@davisjuma5887 Жыл бұрын
ko uyo ni Mungu wako au sio
@frankmasamaki9640
@frankmasamaki9640 2 жыл бұрын
Jamani nawakaribisha kusikiliza wimbo wangu mzuri na mtamu sana ____________
@JosueNsengiyumva-ch7mh
@JosueNsengiyumva-ch7mh 2 ай бұрын
Nabi muku Burundi tunagupenda sana🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@flossyndovi7914
@flossyndovi7914 Жыл бұрын
Let your Light Shine on All the Continents of this Universe As you are a Shinining Star.
@wambui-nx8vw
@wambui-nx8vw 5 ай бұрын
Waw ni mungu haki mungu uko I wishe hata Mimi kilio changu Amen
@jescamike2186
@jescamike2186 9 ай бұрын
Kwanini sasa anapondea nyimbo za watu wengine wakati nyimbo zote mimi naamini wanamtukuza kristo mmmmh pia Mungu ndo anajua yaliyomo ndani moyoni mwa mtu
@user-lh1ob5bh7h
@user-lh1ob5bh7h 9 ай бұрын
Mungu ni mwema Kila wakati napenda San nabii wetu gospel 🙏🙏🙏🙏
@adisabetty2173
@adisabetty2173 Жыл бұрын
Bwanayesu akubaliki Mutumichi wamungu Mimi nimelogwa Eti pesa yangu iyiche Kira kiyu nanaco masatani mapepu kipiga migukunimaliziya nguvu nimerogwa kuhangayika Bwana yesu asifiwe balikiwa ameeeeeen🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳
@jumaamohamed2815
@jumaamohamed2815 Жыл бұрын
Nabii tembelea Hospital na mitaani kwa watoto wenye mahitaji maalumu Hali ni mbaya , tofauti na Hao wenye Harrier af unawaongezea Benz"
@nixonmutungakisuo5583
@nixonmutungakisuo5583 Жыл бұрын
I couldn't hold the tears. Blessings
@alianewumuntu2124
@alianewumuntu2124 2 жыл бұрын
Thanks ubarikiue sana sana Mungu
@mhojajulius8509
@mhojajulius8509 10 ай бұрын
Nabii wa yesu hana tamaa na vitu vya kidunian i belief in jesus
@rosemaryikamba5288
@rosemaryikamba5288 Жыл бұрын
Gozbert usisahau kurudi Ngurumo ya Upako be blessed Bro.
@RebecaMaloda-xx2qm
@RebecaMaloda-xx2qm 7 ай бұрын
Good luck jaman kuwa mkin Sana Kila kitu kina galama hiyo gari ni bure lakin utalipia hakuna kitu Cha bure
@mikemaruti6904
@mikemaruti6904 2 жыл бұрын
Wow! that is great news good luck keep it up with the word of GOD
@danielmparanyi
@danielmparanyi 2 жыл бұрын
Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻kzfaq.info/get/bejne/b9t6jKSlrau8gmw.html God bless you🙏🙏🙏🙏🙏
@MaseleMageleja-gw5gz
@MaseleMageleja-gw5gz 9 ай бұрын
Mungu ni mwema ,na pia mungu hajawahi kumtupa mja wake
@sheilaadhiambo2503
@sheilaadhiambo2503 2 жыл бұрын
Huu mwezi na pata mtoto wangu. Mungu wacha ni ku one
@elishamafulu106
@elishamafulu106 10 ай бұрын
Naomba maobezi ya biashara yanga yaspare zamangari zikuwe famili yanga uchum afya nyumban watoto wangu shule tupate ada Kwa jina la YESU christo amen baba 🙏 naomba nipate kibali kama cha baba baba
@shukurukihwelo3084
@shukurukihwelo3084 2 жыл бұрын
Mungu nimuweza akikuahidi hakuna wakupinga zidi kujituma utainuka zaidi. Kweri imani yako hakika imeng'ara,pia unaombwa kwajiranizetu Rwanda nenda kaseme yesu nibwana
@susanwanyama2986
@susanwanyama2986 5 ай бұрын
Who's God may your name be raised for ever God bless you nabii
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 Жыл бұрын
Mungu akubariki muimbaji Gosbert
@bethkatunx7677
@bethkatunx7677 Жыл бұрын
Hii no hatali ya hatali jamani kuweni makini sana
@lolimokolo3591
@lolimokolo3591 Жыл бұрын
Yes pastor.ww papa ya watu wengi..
@RehemaElias-el3jg
@RehemaElias-el3jg 26 күн бұрын
Mungu ndo ajuae jmn ila tumtegemee munguu
@iteritekakenny565
@iteritekakenny565 2 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu ubarikiw sana wew njoo mwalimu mzur ulio tumwa na Yesu kristo kusaidia watu na mimi naomba muniombee na teseka na maisha
@livingstonekabantega
@livingstonekabantega Жыл бұрын
Amna uyu ni freemason pesa zote izo anazitoa wapi ni sadaka ai
@albelikane7005
@albelikane7005 2 жыл бұрын
Amene Amene Mungu akisema anasema
@magdaleneurio7416
@magdaleneurio7416 2 жыл бұрын
Baba nabii Mungu ambariki .🤗
@NoelSengunda
@NoelSengunda 3 ай бұрын
Mungu akufikishe mbal zaid
@dariuskasitu4083
@dariuskasitu4083 Жыл бұрын
Amen amen baba nabii ubarikiwe
@nationrazalo8551
@nationrazalo8551 Жыл бұрын
Watu wangu wanaangamia Kwa kukos. Maarifa
@lusicherobai
@lusicherobai Жыл бұрын
True
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS Жыл бұрын
Kabisaaa
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 38 МЛН
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 128 МЛН
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 10 МЛН
Goodluck Gozbert - Usinipite (Official Video) SMS SKIZA 6983633 TO 811
6:05
Gozbert Ministries
Рет қаралды 195 М.
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 38 МЛН